Something is not adding up here. From killing 27 enemies from behind you get back to the barracks given off to relax your mind only to end up in a workshop as a carpenter 😂😂😂😂😂 and now with a jini wife what a poor storyline.. Accent also betrays this chingwe fanatic.. from malindi🤣🤣🤣
Once upon tyme..this Guy is suffering Depression,he needs a physcologe and he needs therapy.hio Kiswahili sio ata ya Mombasani.hio ni Ile ya huku kwa mahindi,madizi,misituni,miembeni ati ilienda ikakuwa,Imagination tupu pliz Ali can U call the doctor pliz🙏🙏🏃🏃🏃🏃🏃🤦🙄🙄🇰🇪🇩🇪
Huyu jamaa hii story yake si ya ukweli, ni kama ndoto aliota akaamka akawa amechanganyikiwa akaifanya ndoto kua ni true story... Kwanza kazi ya jeshi aliacha kivipi na mwaka gani mpaka awe fundi seremala tena wa kuajiriwa??? Akawa anasafiri nchi zote hizo mpaka Nigeria kutafuta matibabu, tickets ni nani alimlipia na passport ya kusafiria aliipata wapi na lini? Sehemu hizo zote alisafiri na fea ya nani? Hawa wachungaji uwa wanakuaga na story mpaka kuwa-train watu wengine jinsi watasimulia story za uongo. 😂😂😂Pastor Juma eti aliambia watu kesho njooni mapema kuna kitu kitatokea mahali hapa😂😂😂. Hawa wana-market kanisa lao ndio wapate wafuasi wengi kwenye kanisa lao kama pastor Ezekiel
Alisema aliuwa watu 27 who are armed with Ak47.... Imagine shooting more than 27 times na alshabab wamesemama wanaguagalia uwauwe😂😂😂😂 Then unafutwa kazi jeshi,
Yeah such unbelievable stories degrade Presenter Ali's whole content. I wish he could bring motivation stories like the ones from reformed gangs from Dandora.
Wow 😲 wonderful testimony and it wasn't the Presence of God it could be worse so that is Ephesians 6 verses 10:23,it says we be armed for for everything types of battles of Church and represented by the leadership of the Church and members be blessed and continue delivering more who are captured in that situation
Astonishing story! Crazy , even scary. Thanks to Presenter Ali for this content, please get us more of them same , yaani kuna parallel universe around us. We need to know more. Abiud shukrani na pole sana from trauma ya jeshi and then hii ni kazi kweli.
🤣🤣🤣 Ati alipiga gaidi 27 risasi kutoka nyuma wakakufa?? Shida wakenya hatujui kudanganya... Jamaa alizaliwa Mombasa na akasoma Tanzania lakini ni kama anajifunza kiswahili leo..?? Omwami Pastor Pius...🤣🤣🤣! #Kibe kuja hapa usaidie ndugu zako.. 🤣🤣🤣
Very emotional story,crazy story but we glorify God 🙏 all the time,God is the final destination where our fellow got restoration, good work Presenter Ali👏👏
@@tabithamwihaki248 hamjaelewa aliua akiwa kwa ndoto. And bydhaa waliambiwa waende wapumzike after Mandera war maisha ikamkalia ngumu aje na mbna akaamua kufanya ufundi wa mbao kwani job alikua amefutwa
@@sammyouko8232 Judges 15:15-17 15 He found a fresh jawbone of a donkey, reached out his hand and took it, and killed a thousand men with it. 16 Then Samson said: “With the jawbone of a donkey, Heaps upon heaps, With the jawbone of a donkey I have slain a thousand men!” 17 And so it was, when he had finished speaking, that he threw the jawbone from his hand, and called that place Ramath Lehi.
Can he elaborate well how he was able to kill all the 27 alshaabas? It isn't adding up. Why couldn't he go back to his KDF job rather opt to be a casual labourer?
Left Jeshi bila professional training.l doubt military are trained in different professionals apart from kushika bunduki.He killed more than 20 terrorists?? Hiyo ya kuoa jini is possible.
Though is a crazy story coz penye sijamuelewa pia mimi ni was he dismissed kwa army & why ndio akajipata Likoni. Secondly financiers wake ni kima nani juu hizo safari za hadi Nigeria si mchezo bana
@@beatricewanjiruwanjiku7560 🤣🤣kuhang Kwa helcopter,kukamua ndovu,mungu mweusi , Jehova wanyonyi,yesu WA tongareni,yohana mpatizaji wote Ni wapungoma🤣🤣🤣
Either his aim must have been top notch....or the gang just stood their to be shot.....🤣🤣yaani hao gaidi 27 hawakuwa na guns? This guy has seen too many commando and Rambo movies...A Heckler & Koch G3 rifle magazine carries 20 rounds of ammunition...Ali did u even confirm this guy was a KDF soldier?
This is some next level spiritual warfare stuff 😱. May God help us all. These things are happening all over Africa but WaKenya wamelalia masikio. Laleni tu!
Bwana PA you are doing an amazing Job but this story is not adding up and felt wasted after watching almost to the end ..from start to end nothing is adding Up,timelines as well,evidences abit to support ..like even photos of the Guy in uniform holding the G3 ...gun mostly used by Admin police not in battle fields from operations deployment to Working in casual labourer in coasto hapana....hii haukupekua vizuri kabla ya kupeperusha ..correct me if i am wrong...
JESUS CHRIST IS THE ONLY SOLUTION TO THIS WORLD. WHETHER PEOPLE BELIEVE IT OR NOT.
Jesus Christ is great and powerful 🙏, believe and trust in God 🙏,,
Yes Jesus to all who really want peace..Jesus our saviour
🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲
🙏🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
True
Glory to God for the victory. ..thankyou Jesus for the finished works of the cross.... keep the faith my brother
Something is not adding up here. From killing 27 enemies from behind you get back to the barracks given off to relax your mind only to end up in a workshop as a carpenter 😂😂😂😂😂 and now with a jini wife what a poor storyline.. Accent also betrays this chingwe fanatic.. from malindi🤣🤣🤣
i thought was the only one who got confused
Yeah this is a long dream
🤣🤣🤣🤣
Kumbe tuko wengi
Marrying a strange woman after 2 months? Seeing signs of her behaviour early yet you continue to live with her?
MOMBASA TO MALABA IS 927KM, KUTEMBEA FOR 8 DAYS MEANS WALKING FOR 116KM DAILY . HUYU APIGWE MAKOFI
🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Waaa hii imeenda
Mrongo hata nawachia story nusu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hes sooooo exhausted...i pray mungu azidi kumprotect na azidi kumjua mungu
presenter good job,God bless you......what a valuable testimony....let God be glorified
Glory be to God
Once upon tyme..this Guy is suffering Depression,he needs a physcologe and he needs therapy.hio Kiswahili sio ata ya Mombasani.hio ni Ile ya huku kwa mahindi,madizi,misituni,miembeni ati ilienda ikakuwa,Imagination tupu pliz Ali can U call the doctor pliz🙏🙏🏃🏃🏃🏃🏃🤦🙄🙄🇰🇪🇩🇪
Jamaa kwani anaandika Insha akiwa sterling?
Huyu jamaa hii story yake si ya ukweli, ni kama ndoto aliota akaamka akawa amechanganyikiwa akaifanya ndoto kua ni true story... Kwanza kazi ya jeshi aliacha kivipi na mwaka gani mpaka awe fundi seremala tena wa kuajiriwa??? Akawa anasafiri nchi zote hizo mpaka Nigeria kutafuta matibabu, tickets ni nani alimlipia na passport ya kusafiria aliipata wapi na lini? Sehemu hizo zote alisafiri na fea ya nani? Hawa wachungaji uwa wanakuaga na story mpaka kuwa-train watu wengine jinsi watasimulia story za uongo. 😂😂😂Pastor Juma eti aliambia watu kesho njooni mapema kuna kitu kitatokea mahali hapa😂😂😂. Hawa wana-market kanisa lao ndio wapate wafuasi wengi kwenye kanisa lao kama pastor Ezekiel
Umesema ukweli
True
Jamani..mimi naona huy kijana sio mkweli. Anakaa kufika Nigeria huyu? Kama nimesema vibaya munisamehe..bt nashuku kuna kauongo flani.
Alisema aliuwa watu 27 who are armed with Ak47....
Imagine shooting more than 27 times na alshabab wamesemama wanaguagalia uwauwe😂😂😂😂
Then unafutwa kazi jeshi,
Ni mrongo sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ati aliuwa watu ishirini ,kwanza accent yake ati mzaliwa wa tz huyu amevuta bangi ya petroli
Ali Sasa hizi ni gani.Msee anakudanganya live.Anakuharibia content.
Zii aa aa
Yeah such unbelievable stories degrade Presenter Ali's whole content. I wish he could bring motivation stories like the ones from reformed gangs from Dandora.
Dear Lord, I sincerely submit myself to you, may your name be glorified always, amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wow 😲 wonderful testimony and it wasn't the Presence of God it could be worse so that is Ephesians 6 verses 10:23,it says we be armed for for everything types of battles of Church and represented by the leadership of the Church and members be blessed and continue delivering more who are captured in that situation
Glory be to God the man is free from the devil. We should be careful with the people we are dating 🙏
Watu 27 na G3 at ago 🤔🤔🤔
Mbona hii story inakaa za jabaa 😂
Terrible
Hizo Ni Jaba🤣🤣 Watu 27, hapo hata mi nimekataa.
😂😂😂😂
Wuueeh! Noma sana...Great work Mr.Amazing
Astonishing story! Crazy , even scary. Thanks to Presenter Ali for this content, please get us more of them same , yaani kuna parallel universe around us. We need to know more. Abiud shukrani na pole sana from trauma ya jeshi and then hii ni kazi kweli.
Waaaah, this story is very touching. Tuache Mungu aitwe Mungu.
As to me God be praised and the guy was guided by God to be saved because in the house of God theirs joyful and freedom.
Hizi zinakaa zile story za jaba
Hekaya za Abunuwasi and other jaba stories
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Nomaa Sanaa Kaka ebu Kam Pokot my brother 🙏
🤣🤣🤣 Ati alipiga gaidi 27 risasi kutoka nyuma wakakufa?? Shida wakenya hatujui kudanganya...
Jamaa alizaliwa Mombasa na akasoma Tanzania lakini ni kama anajifunza kiswahili leo..?? Omwami Pastor Pius...🤣🤣🤣! #Kibe kuja hapa usaidie ndugu zako.. 🤣🤣🤣
Hii ni insha. Marketing ya kanisa to pull more masses
@𝕻𝖆𝖗𝖆𝖈𝖊𝖙𝖆𝖒𝖔𝖑 Ali ampee job ya story telling 🤣🤣
Kaskia Pwani Kuna Majini 😂😂😂♥️♥️🇰🇪
Huyu kiswahili chake it seems like hajaishi mombasa more than 1year
Ati dem alikua ni *chini* cant even pronounce jini properly
Hiyo kijana ni mwizi
PA IS DOING AN AMAZING JOB
HE DESERVES 1M SUBS
NIFIKISHENI 1K PLZ
The audio quality keeps on shifting
A for amazing keep on bro n mungu amkumbuke
PASTOR PIUS AMECHOMA ALIMWONA KABLA AHAJAFIKA NIMEKWAMA HAPO .
Let us give God glory
Very emotional story,crazy story but we glorify God 🙏 all the time,God is the final destination where our fellow got restoration, good work Presenter Ali👏👏
Great job...Ali
Ni pitie kwangu pia uni fikishe 100
Pesa ya kwenda mpaka Nigeria nayo
May God continue delivering you in JESUS mightiest name
Wait kwani izo two yrs hukusave this story is not adding up
Story ya huyu mtu hai add up na hajui kucook story bado
Wow!!! Glory be to God 🙏🙏
How did he join KDF without form 4 certificate, Kenya soldiers using G3 that a big lie
Even about killing 20 people aiiii
Hapo uongo ni mob. Before you kill 27 people one by one... Trust me by the 2nd one even if by surprise... you'll be bullet ridden
😂🤣😆🤣😂4m 6 Tanzania to KDF....bydhaa kenya ni yetu na tunaijua wenyewe
@@tabithamwihaki248 hamjaelewa aliua akiwa kwa ndoto. And bydhaa waliambiwa waende wapumzike after Mandera war maisha ikamkalia ngumu aje na mbna akaamua kufanya ufundi wa mbao kwani job alikua amefutwa
I think amewatch DJ afro mingi.
🤣🤣🤣🤣
Killing 27 armed men when solo???
Huyu ni muongo
How did he knew ni 27
Hii story zii... Hata nimeachia dakika 22
Keep pushing anyway nifikisheni 500; subscribers
Nimekwama apo watu 27 wenye aliuwa peke yake🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Finally nimepata hii swali,he killed 27 people alone 🤔
Amewatch sana DJ Afro
And the 27 people were armed with Ak47😂😂😂
Aliua watu 27 peke yake wakiwa armed, does that add up? Ama Niko peke yangu?
🤣🤣tuko wengi hao watu ndio wanafuatana naye ,bt wabukusu waogope
Mbona unapenda stories za mashetani?🏃♂️🏃♂️
Ali keep going you do it best
Ni pitie kwangu pia youtube.com/@hamisidennis254
I thank God for total deliverence
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣waaaaah, Lakini Kifee sio wa kuchezea...aish....amekuMaliza....waaah bro, achana na yeye..😝😝😝😝
Huyu mwamba kauwa watu ishirini bila kujeruhiwa🤔sawa,afisa wa polisi kaenda mapumzikoni na kuanza hustle Kwan salary ipo wapi???
😂🤣🤣🤣asking myself same quiz
Yesu ndiye njia , ukweli na uzima na Tena Ni mfalme wa amani kwake kuna Kila kitu tutakayo 🙏🙏
Glory To God Amen
Huyu anajichanganya, the story is not adding up🤣🤣🤣 Ali ukosure hakua amevuta kitu
Hapo kwa kuua 27 armed gang man Solo is a lie this is just a story cant keep watching nmeachia hapo
Life is spiritual.
@@sammyouko8232
Judges 15:15-17
15 He found a fresh jawbone of a donkey, reached out his hand and took it, and killed a thousand men with it. 16 Then Samson said:
“With the jawbone of a donkey,
Heaps upon heaps,
With the jawbone of a donkey
I have slain a thousand men!”
17 And so it was, when he had finished speaking, that he threw the jawbone from his hand, and called that place Ramath Lehi.
Anajichanganya wapi unless Weww ni mngumu wa kuamini mambo ya kiroho. Hata yeye kama hangekutana na hali kama hii angekuwa anakana tu kama wewe
Mambo na kiroho na reality huwa zinaambatana
Hapo ali apana , there is no way you can gun down 27 pple either they are armed or not those are just but drummers
Baana not even a bomb
@@gregorynyagisera9602 kumbe hata wewe umeona puwer lies
My friend Wema🥺🥺glory to God you're doing good 😊
Tutakufinyia dem ndio uskie poa..uaicheze na kibe tena..jingling
#Presenter Ali unafanya mashavu bro..kongole kwa kazi nzuri shemegi #Makena
Hii ni hadithi za Abu nuwasi. STORY ZA KITOTO
Hekaya za Abunuasi...uongoooo hio ni uongo 🤣🤣🤣
Yeah.....This story is 100% lie
Makofi ya PA iko wapi👏kazi nzuri kujituma Buda🥰team Ali kindly fikeni kwngu msubscribe 🙏
Nitaenda kukutembelea na nikushow dear,na urudishe favour
Inakaa haukuskiza what was going on 😂, ni kucomment tu
Can he elaborate well how he was able to kill all the 27 alshaabas? It isn't adding up. Why couldn't he go back to his KDF job rather opt to be a casual labourer?
Hata na imagine,ama jini ilikuwa already at work?
Even me i was left hanging hapo kwa 27 Alshaaba
Looks like the jini was already in collaboration then😂😂😂that statement alone makes me doubt this whole story
Lies lies and more lies
Huyu alikua jeshi la wokovu
Left Jeshi bila professional training.l doubt military are trained in different professionals apart from kushika bunduki.He killed more than 20 terrorists?? Hiyo ya kuoa jini is possible.
Chungana na Wabukusu sanaa huwa ni waongo bro wanapenda kujiundia stories haziko sijui shida huwa wapi but bukusus are professional liars.
😂😂😂👍🏿👍🏿👍🏿
Hahaha
Kazi safi Ali, mambo ni mengi sana ni tujiweke tu kwa maombi na mungu ata tulinda.
Mkifika kwangu pia mnipe support nita shukuru sana🙏
@iam _ Jackie Asap!
To God be the glory
My friend,,,,,its practically impossible to shoot and kill 27 bandits unless u are a sniper!!!!!!!
I think his whole story is made up!
Bt he said he was in a team of 6 soldiers meaning he was a special ops officer. It's much possible
@@oloovikta he says all the others had been killed so he was the sole 'survivor'. Waah! Some stories.....🧐.... Nothing is adding up
Though is a crazy story coz penye sijamuelewa pia mimi ni was he dismissed kwa army & why ndio akajipata Likoni. Secondly financiers wake ni kima nani juu hizo safari za hadi Nigeria si mchezo bana
Hapo pa kuuwa 23 pple once. .. akiwa pekee yake ..hapo n noma
To God be the Glory
Wah crazy story and scary at the same time
😂😂😂😂😂nimecheka sana kwa huyu anaye sema wapukusu niwaongo sana, whaaa kweli unawajua sio uwongo.
Ehehehe nimefikiwa
Aliuwa 23 pple once akiwa solo??
@@catewaithera2188 ni waongo sana, kucreat story za uongo
I dont trust Bukusu .. kutoka ile siku walisika Mtu na touch
Kama ameketi.. na kijana ku hang kwa helicopter juu … baaasiiii
@@beatricewanjiruwanjiku7560 🤣🤣kuhang Kwa helcopter,kukamua ndovu,mungu mweusi , Jehova wanyonyi,yesu WA tongareni,yohana mpatizaji wote Ni wapungoma🤣🤣🤣
Hii story inakaa mauongo😏
Glory be the name of the lord 🙏
The spirit world is the real world
Thank you Lord 🙏🙏 Glory be to God amen 🙏
Kuua 27 people really 🙄🙄or drama
Hahaha
Hata Kama ni amateurs haiwezi make
Te Queen Of Te Zee
I think he's hallucinating
I think So.
Exatly
Spiritual things are difficult to understand
Story ya uongo ati he killed 27 people alone, where?
Either his aim must have been top notch....or the gang just stood their to be shot.....🤣🤣yaani hao gaidi 27 hawakuwa na guns? This guy has seen too many commando and Rambo movies...A Heckler & Koch G3 rifle magazine carries 20 rounds of ammunition...Ali did u even confirm this guy was a KDF soldier?
😅😅😅😅😅🤭🤭
That one also got me too😂😂😂
Mungu asifiwe sana.
jitie moyo kaka Mungu yupo shukuru uko hai
Glory to God
Glory to God 👏👏👏
Hii inakaa story ya jaba😂😂😂😂
Some stories are beyond our understanding weuh
So you are the thretener🤣🤣🤣😇 look at you puny...
Huyu ni bukusu wa mayoni in dreamland
Ooh my God Mungu ndye mwisho wa kila kitu
I like the way this guy is narrating this stor
Ali always do your investigation before bringing such people to give out their punny stories,uyu mtu anasema kitu haiko💔💔💔
i can't agree more
Ati he knew the enemies were 27 n he killed them all single handedly
Nigeria 🤣🤣🤣🤣
Vanee 😂😂😂
Bro hii dunia imejaa mambo utayaona 2 usibishe bishe 2 mwenyezi mungu ndie suluhu
Glory be to God
Ungetupea no. Ya pastor Ali
Uuuuuuui mchungaji himself is more scarry than the Stori its self 🤣🤣🤣akinhawa watu ,wahurumie PA
Kibe hawezi believe hii story😂😂😂
😄😄😄😄
Wah! Noma sana
God is Great 👍 👌
This is some next level spiritual warfare stuff 😱. May God help us all. These things are happening all over Africa but WaKenya wamelalia masikio. Laleni tu!
very true dear
Waah the world is no more people living in the unseen world
Ii ni movie.. everybody in this world should know the power of the blood of Jesus Christ.
Need contact of pastor Pius,I have a similar problems
Uongo miingi kuliko ya shetani mwenyewe. Presenter Ali umeanza kuharibu ile kitu
Really amazing story
Wah Jesus
Good job Ali
Bwana PA you are doing an amazing Job but this story is not adding up and felt wasted after watching almost to the end ..from start to end nothing is adding Up,timelines as well,evidences abit to support ..like even photos of the Guy in uniform holding the G3 ...gun mostly used by Admin police not in battle fields from operations deployment to Working in casual labourer in coasto hapana....hii haukupekua vizuri kabla ya kupeperusha ..correct me if i am wrong...
Shooting down 27 bandits.
So painful story, but nice job brother keep going.. Team Presenter Ali, ni pitieni kwangu muni fikishe 100 subscriber this week
@iam _ Jackie nime pitia kwako tayali
@iam _ Jackie nime pitia kwako tayali
Pitia kwangu nifike 45 tunjengane😂😂😂👍🏿
@@auntiepiarants2238 done
Pitia kwangu na uache comment I will reply,make sure you watch before subscribing