Ukizalilishwaasaa utasema kweli www halafu nyinyi ndomnopenda kutia watu motoni kabla hawajafariki kwakujiona nyinyi ndomkosawa kwa kila kitu ila tambueni hujafa hujaumbika usimhukumie mtu jambo na kutoa fat-wa wakati ww mwenyewe hujijuiapo utaishiawapi hio siotabia aliokuwanayo kiongozi wa ummah Mtume wetu Muhammad(s.a.w) ila nyinyi mnavaa mpaka mablaka ya muungu kugawia watu pepo na moto olewenu nanyinyi mtafute majibu kwa Allah jiangalieni sana msiangalie kasorotuu za wenzenu mkasahau za kwenu ,
Ww unasema kuwa huu sio uislamu sawaa nauwe ukafiri haya jee ww hiitabia ya kumsema mtu vibaya tena tenye hadhara za watu ndouislamuu? Au ndoyale ya waswahilituu kusema Anye pakatuu lakini akinya bata huambiwa kaharisha jee nisawaa? Tafakari hilopia.
❤❤❤❤❤❤ Mshawhll
Mashaallah mashaallah
Mashaallah mashaallah mashaallah tabarakallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ahsnteeeeeeeeeeeee
Mashaallah pambe sana❤
Asante
Safi sana mkuu❤
Asante
Good job
Thanks
Hongera sana ustadhi upovizuuri KAZI nimeipenda sana
Mashallah kazi nzuuri ❤🎉
Mashallah,,nice qaswida😍
Mashallah hongera Kwa qaswida nzuuri bingwa🥰
Hongera Sana mkuu unaweza vizuurituu💪💯🔥
Mashaallah,piga kazi kaka Allah akusimamie,
Mashallah kazi nzuuri sana
Mashaallah hongera sana
Pambeee my brother Allah akikuze kipaji chako. Amiim
MashaAllah qaswida tamu
Mashallah imetoka. Allah akuzidishie kipaji na ukitumie vizuri.
Aamiin yaarab inshallah ahsante kwasote pia 🤝
Asante kaka kazi nzuuri hongera sana
Nakukubali sana teacher abuu yaan kuzion qaswida zako na enjoy san unajua sana hongera
Mashallah hongers ustadhi
Mashaallaha unanikosha sana kwakweli ustadhi
Kweliee😁😁😍Asante
Hongera sana broo 💪
Ndomana nakupenda kaka hongeraa sanaaa
Ahsante sana dadaangu tukopamoja 😁😍🤝
Hongera Sana unajua sana💞
Big up my good job
MASHALLAH UKOVIZUURI💪
Hongera sana brother kazi nzuuri sana💖👍
😅😮🎉❤esyg
kazi kali mzee
Hongera Sana 💯
kazi nzr abu said %%%%
Asante habyby shukran pia 🤝
Mumewa ukht sau mashallahu abuusaid nakwambia kaza unaweza
Asante sana nashkuru tukopamoja inshallah 😍🤝
Vip hap mbona cjafaham
Hongra san ustdh Abuu said Umetsha kwel
Asante mkuu 😋🤝
shkrn tuk pmoj
Abuuu❤❤❤❤
Na mm nicomment wapi?
Abuu said
Mashaallah tabbarkawallah ❤️❤️❤️❤️❤️
Aamiin yaarab kwasote inshallah shukran pia😘🤝
Yooo massive Breda
Masha Lwaah
Mashaallah kaka👏👏👏🥰
Asante😍🤝
Kiukweli hii qawsida imenigusa sanaa
Pole sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ongraaaa ❤
Mashllh 😘
Shukran bilatifa😘🤝
Piga kelele kw abuu wake wewee 👏👏
wanaume wazima ovyoo kujiweka kwapan kwa wanawake
Mashallah
Mwambaaa kabisaaaa unabalaa zito,Allah azidi kukuweka kaka unafanya vitu vikubwa mno umepata support yangu yoteeeee
1🎉🎉
Vittah Alhabyb tupe vyuma ivo
Ivi huu ndo uislam ,mbona mnayoyafanya si ya kiislam mnatuzalilisha nynyi
Ukizalilishwaasaa utasema kweli www halafu nyinyi ndomnopenda kutia watu motoni kabla hawajafariki kwakujiona nyinyi ndomkosawa kwa kila kitu ila tambueni hujafa hujaumbika usimhukumie mtu jambo na kutoa fat-wa wakati ww mwenyewe hujijuiapo utaishiawapi hio siotabia aliokuwanayo kiongozi wa ummah Mtume wetu Muhammad(s.a.w) ila nyinyi mnavaa mpaka mablaka ya muungu kugawia watu pepo na moto olewenu nanyinyi mtafute majibu kwa Allah jiangalieni sana msiangalie kasorotuu za wenzenu mkasahau za kwenu ,
Ww unasema kuwa huu sio uislamu sawaa nauwe ukafiri haya jee ww hiitabia ya kumsema mtu vibaya tena tenye hadhara za watu ndouislamuu? Au ndoyale ya waswahilituu kusema Anye pakatuu lakini akinya bata huambiwa kaharisha jee nisawaa? Tafakari hilopia.
Piga kelele kw one.t wakeeeee
Mashallah