M.baruk hahahaaa mai mrembo kwa kweli mrembo haswaaaa 🎉🎉🎉🎉anaurembo wa asili mai🎉🎉🎉🎉nakuwasa mai usijetumiya akrim uzuri wako halisi unakutosha kabisa mwaya hongera sana🎉🎉🎉🎉
mm hawa wanawake wanao fosingi mapenzi huwa wananibore sna,alfu hyu jirani ya mai mwanamke hana adabu kabisaa, ajue shida haimpati mmoja tuu siku yke itafika tuu
Hii Naina kumbe upo na shemeji sasa kinachokuliza kwa twizy ni nini😂😂 malaika wewe siku yako haja shida ni kwa kila mtu leo kwake kesho kwako naisubir hiyo siku
UNAMSHAURI NINI MAI?
@@twizydadytv_ apunguze msimamo. Wako japo yupo sawaa ila aangalie na upande wa pili baht haiji mara mbili
Amkubal tyu twezy😊
Mkubalie twezy mai ❤
Baba muache twizy amchangue amtakae uyu biti n kiganganz sana
Akubali twizy Ili tusonge vzuri
Daah jamn kweli majuto no majukum maan mmh pol San dada kumb mapenz hua yanauma mmpolen San mnaoumwzwa na mapenz ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wewe jirani mwanaharam 👌kweli yaan punguz roh mby
Dada kaushajua hupendwi na twizy jipunguze hapo kafanye mambo yako twizy anampenda mai❤❤❤😂😂
Twizy una misimamo sana kuwa na mai ndio mnaendana ❤❤❤❤❤ nawapenda
Twiz mie napenda kaz zako kwasababu hutuachi mtupu huchekewechi muvi zako ndokama hivi tunapenda lakn unasubr kitu mpaka unasahauliw hunabaya kk good
Malaika asema anenepa ndio mwanzo uakonda 🤣🤣🤣wanao lia njaa wamenawiri😂😂😂
Ongera vp do mmehamuwa mpenda ni sawa
Malaika mwenyew mwembamba kama shindano alafu ngwakule anenepe unaroho mbaya wew
M.baruk hahahaaa mai mrembo kwa kweli mrembo haswaaaa 🎉🎉🎉🎉anaurembo wa asili mai🎉🎉🎉🎉nakuwasa mai usijetumiya akrim uzuri wako halisi unakutosha kabisa mwaya hongera sana🎉🎉🎉🎉
@@roudhamahmoud763 namshauri aendelee kufokas san atafik mbl
Hiyo jilani yake Mai laana inamuhusu ❤
Hako hakanenepi kana maneno mno halafu inaonyesha ndivyo kalivyo kweli😊
Dada usifosi mapenzi ❤
ivi nyie watu waga mnalala mtandaoni😂 nikajua nitakua wa kwanza kumbo tz😂
😂😅😂😅😂😅😂😅
@zindunabachir1371 yani daah😂
Nawapenda sana ❤❤❤
Aya shem ameanza kumupenda naina waa shemeji ni mboga kweli😂😂😂
😂😂😂kumbe Naina yupo na shemeji hii Siri ndio nimeijua sasa kwann anatafos kwa twizy😂😂
Subra ya vuta kher maisha haya Taki kwa haraka natumai Mai atakuwa na maisha mazuri na bora kuliko Hao wanao mnyanyada🎉❤
Ivi kwenye hii nchi kuna mwanamke mzuri kumzidi mai ukiacha mchumba wang mm aisee mai nimzuri nampenda sana mwaaaah napend movi zake nimuone yeye tmm
😂😂
nakupenda my ❤😂 siwezi kuishi bila wewe 🎉❤
Mai akupende to ❤
Aside kpnda 🎉😢😮achna naye 2 uache king'ang'anizi
Naprnda awe Twizi amewzfuma owaneni sasa mumuace Twizi ajioweye May wake ampendae😂
Kazi nzuri
Kazi nzuri❤
We malaika huendani nahilo jina kwa unyama unao fanya duu😢😮 ungekuwa na shep wewe hapo mjini wengekukoma but mungu kakupa kimwili kisicho lidhika😂😂 😂😂
Makubwa shem azma taa patamu❤❤😂
Wakwanza 🎉🎉🎉
Mnaivuta sana duh
Huy anaesema ale anenep, mwili umemkauka km ana upunguf wa damu mwilini
Nice Mr twizzy kz nzr sana
Mm sijapenda huyu jirani mwanamke ana ukware😂😂
Umekaa tu hapo ndani ya nyumba unasubiri kuolewa wanawake banae
Kwhy naina anamuenjoy twizzy
Ninawapata vizuri sana nikiwa nchini Kenya
Ngoma inazidi kunoga
Nakupenda mai
mm hawa wanawake wanao fosingi mapenzi huwa wananibore sna,alfu hyu jirani ya mai mwanamke hana adabu kabisaa, ajue shida haimpati mmoja tuu siku yke itafika tuu
Wanaigizaa kumbuka ninafasi yake kufanya hivyo..
Huyo jiran my
@MarcoJoseph-t2q kwa hivyo umefikiria sijui wanaigiza au
@SdFft-j5g pole
Hata ule sana mbona hunenepi shida una mdomo haswa mama unaroho mbaya
😢😢malaika jamani mbona ivo kumtamanisha mwenzako chakula 😢😢si sawa na sijapenda kwa kweli😏🎉🎉❤❤
Mai we ni mrembo sana.Kazi nzuri sana
Nice movie
Kwanin wazazi wengine wanalazimisha
Nakubali Sana kazi mzuli Twizzy
Kwanini ulazikishe kumuoa mwanamke asie mtaka jamani
Naina umeanguka mtihani sasa ndo excuse ya Twizy kukutupa out😂Mai pole mvumilivu hula mbivu,,hyu malaika upandacho undio utavuna tu mngu alali dada
hiyi nafasi ni ya Mai mrembo wetu,,
part9 ,imekaa sana itakuja lini KAZi yenyu ni nzuri ,Mai kubaliana na twizy,,araka kabula eti eti kuwepo
Chemegiii mtam😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Asanteni kazi nzuri sana
❤❤nawapenda
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤💯🥀🥀🥀🥀🥀
Twizy una msimamo kibao wewe ni mwanaume fanya nguvu umuowe mai achana n'a ule binti hamu endani kabisa
Nimecherewa dah!
Mbn hunenepi na loho yako
Sasa wew kwani nilazima uolewe na twizy Sasa mutaisha vip kwamutu ambaye hakupendi
Leo wa 3❤❤❤❤❤❤❤
Aachane na huyo mchumba wake maana hajampenda
🎉🎉🎉❤❤ nawapend
Jamani Nasra yuko wapi!!?
❤❤❤❤
Kazi nzur
❤🎉
Unakula lakini ady unenepi kwenda n ujoyo
Mapenzi hayafosiwi jameni
Niulumbukeni wamapenz😂😂😂😂😂😂
❤❤❤
Mai sikuona ukilipa pale dukani
😂😂😂😂
Yaan hiyo jirani wa Mai dawa ya mke jeuri mwibie mumewe
Mallaika ana roho mbaya kweli yni
Jmn tunamshauri nin huyu binti achan na twizzy au aendelee kupambania penzi
Huyo anaitwa My ama Mai
mapenzi ya sasa kila m2 anataka pale ambapo sahihi msichoke kututolea mwenderezo
Malaika ata ukila vp ww umefanana n mm from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Wakenya vip nyinyi
Hii Naina kumbe upo na shemeji sasa kinachokuliza kwa twizy ni nini😂😂 malaika wewe siku yako haja shida ni kwa kila mtu leo kwake kesho kwako naisubir hiyo siku
❤❤❤🎉🎉🎉
Kazinazujj❤❤❤
Ati malaika na sura nayo kama ipilisi
😅😅😅
Bado ya tisa
we malaika wewe mbm hata huongezeki jamn na kula kote huko acha roho mbaya basi
Naona
Remy mkewakaka ako kuwana uaminifu
Afadhali aendelee na mdogo wake
jamani vipi mai
Malaika amekauka lakn maringo yenye ako nayo
Jamani mashabiki wahii kitu mkowapi njoeni kutamu huku
Roho ambayo ulionayo wala hutanenepa malaika
Ataendelea kukauka na roho yake mbaya
Jaman nawapenda bure sanaaaa
Achane naye
Vipi mai
Mmmh
Mai amukubali tu twizy
Vipi jamamni mai ya tisa
Vipi ya tisa mai
Mgonjwa Kila siku ana wanja machoni
Baada kumkosa twizy aamua tuu kuwa na mdg wake aiseee
Kazi nzuri 🎉
❤❤❤
❤❤❤❤
jamani vipi mai