Nivizuri tukawasikiliza na wengine kama hawa ilitusonge mbeli tuachane na mambo ya uchama sababu yanahatibu uchumi wa nchi hongera mheshimiwa waelewa tumeelewa
Muzne Ali : MHE. YUSSUF YUPO SAWA NA SAHIHI KILE ANACHO ZUNGUMZA , AMEGUSWA NA KUPOROMOKA KWA UCHUMI ILIHALI NJIA ZIPO TUSIWE WAKAIDI WA KUSIKILIZA TUNAPOSHAURIWA
Kwani unafikiri haya majitu ya serikali ya ccm hayajui? Yanajua sana,na hata huyu ndugai unadhani hajui!? Wanaelewa sana lakini wanatetea chama chao,wakiihamba serikali wataambiwa wanasaliti,kwahio wanajifanya hawaoni ni kuinafikisha tu huku taifa linadidimi,hapo si wabunge,si madiwani,si mawaziri,wakuu wa mikoa na wilaya wote wamekua ni kushangilia rais tu,na ndio maana hutakaa usikie mtu aseme kasoro yoyote ile,kwani wataweza kuachishwa vyeo walivyo pewa na mheshimiwa rais,bunge halina nguvu tena kuiwanibisha serikalk ua ccm maana wanaogopa kumwaga unga,,kweli ccm ni pepo la kiibilisi kabisa.
Wagagagikoko wamepewa nchi kuongoza toka uhuru,imekua taabu,kila kitu kwao wao ,hata mji mkuu,ati ni lazima uwepo huku,kwenye jangwa la fisi,na airport ya bilioni 400 mbugani chato.
Mhe. hawa watu sio wasikivu ijapo wanajiita wasikivu. ndio waliouwa uchumi nakung'oa misingi iliyowekwa na waasisi.wameua nakuuziana viwanda na kujibinafisishia sasa wanadai wanafufua. hawakuweza toka nchi walipoachiwa na waasisi ikiwa ktk Neema leo wanadanganya kwa miaka mitano
Ukweli mtupu VITU vyote bandarini NI Siri mtu hata hujui ukileta mzigo wako hujui utalipa kiasi Gani? Ndio hapo mianya ya rushwa huanza makadirio makubwa mpaka mzigo ukushinde kuutoa kisha waseme umeshindwa waupige mnada Jamani muogopeni MUNGU hiyo ndio Dhulma ya wazi
simu tunazouziwa Tanzania zote tunachukulia Kenya Pale Nairobi ambapo kibiashara kunafanana zaidi na Kariakoo. kule simu unaichukuwa iliyolipiwa Kodi teyari kutoka China mpk Nairobi kisha waenda ichukuwa Nairobi kuja Tzania kwa Kodi pia ambayo ni Kubwa mno sasa kwann ? ile kodi ambayo ililipiwa kutoka China mpk Nairobi isiwe ni kutoka China kuja Kariakoo ? Jamaa zangu niliwahi kukaa nao na nkawaeleza anaua uchumi wa Tanzania ni Mipango na Tra si Magufuli ama ule ufisadi uliyekuwa unasemwa wakawa wanabisha. leo mtanzania wa kawaida ukitaka ufilisike mazima ingia kwny kilimo ambapo ndiyo uti wa mgongo atiiii!! ni lazima viongozi wetu mjitafakari.
Mungu atujalie waanchi tusari kwa pamoja kumkumusa kila mtu wasikilize mazuri wanenayo bila kujari chama wala dini mungu atujariee
kama umemkubali gonga likes
Asante baba
Speech nzuri
Asante
Nivizuri tukawasikiliza na wengine kama hawa ilitusonge mbeli tuachane na mambo ya uchama sababu yanahatibu uchumi wa nchi hongera mheshimiwa waelewa tumeelewa
Big up sana wambie hao
safi sana kwa hoja nzuri!!!!
Majibwa ...mbwembwe za uchama tu hayaangalii na kuchua ushauri Wa wenye akili ,yataachaje kurudia mitapishi yao
LAITI ndugu Mbunge usingepoteza mda MWINGI kwa kusoma hayo mashairi ulikuwa na Hoja nzuri sana
Muzne Ali : MHE. YUSSUF YUPO SAWA NA SAHIHI KILE ANACHO ZUNGUMZA , AMEGUSWA NA KUPOROMOKA KWA UCHUMI ILIHALI NJIA ZIPO TUSIWE WAKAIDI WA KUSIKILIZA TUNAPOSHAURIWA
Ni kweli kabisa nakukubali
Umesema Kweli kabisa kabisa
Unatisha sana. Hahahahahaha aaaaaa! Amewashikia kiuno !
Yohana Ezekiel
Ukweli mchungu.
Tumesoma hatukujua, tumejifunza tumetambua. Duh...hatari
Hili limenifungua akili na ufahamu!
TZ NJAA NYINGI SANA
Hawa jamaa wanakiburi sana
Kuvuja ni maramoja ila kujenga inatumia muda nakukubali mzee
Spika hovyoo
Good
Kwani unafikiri haya majitu ya serikali ya ccm hayajui?
Yanajua sana,na hata huyu ndugai unadhani hajui!?
Wanaelewa sana lakini wanatetea chama chao,wakiihamba serikali wataambiwa wanasaliti,kwahio wanajifanya hawaoni ni kuinafikisha tu huku taifa linadidimi,hapo si wabunge,si madiwani,si mawaziri,wakuu wa mikoa na wilaya wote wamekua ni kushangilia rais tu,na ndio maana hutakaa usikie mtu aseme kasoro yoyote ile,kwani wataweza kuachishwa vyeo walivyo pewa na mheshimiwa rais,bunge halina nguvu tena kuiwanibisha serikalk ua ccm maana wanaogopa kumwaga unga,,kweli ccm ni pepo la kiibilisi kabisa.
Tume soma hatukuelewa tume ona tume juwa
Wagagagikoko wamepewa nchi kuongoza toka uhuru,imekua taabu,kila kitu kwao wao ,hata mji mkuu,ati ni lazima uwepo huku,kwenye jangwa la fisi,na airport ya bilioni 400 mbugani chato.
Mhe. hawa watu sio wasikivu ijapo wanajiita wasikivu.
ndio waliouwa uchumi nakung'oa misingi iliyowekwa na waasisi.wameua nakuuziana viwanda na kujibinafisishia sasa wanadai wanafufua.
hawakuweza toka nchi walipoachiwa na waasisi ikiwa ktk Neema leo wanadanganya kwa miaka mitano
Ukweli mtupu VITU vyote bandarini NI Siri mtu hata hujui ukileta mzigo wako hujui utalipa kiasi Gani? Ndio hapo mianya ya rushwa huanza makadirio makubwa mpaka mzigo ukushinde kuutoa kisha waseme umeshindwa waupige mnada Jamani muogopeni MUNGU hiyo ndio Dhulma ya wazi
Duuu
hahahaha Hatar
simu tunazouziwa Tanzania zote tunachukulia Kenya Pale Nairobi ambapo kibiashara kunafanana zaidi na Kariakoo. kule simu unaichukuwa iliyolipiwa Kodi teyari kutoka China mpk Nairobi kisha waenda ichukuwa Nairobi kuja Tzania kwa Kodi pia ambayo ni Kubwa mno sasa kwann ? ile kodi ambayo ililipiwa kutoka China mpk Nairobi isiwe ni kutoka China kuja Kariakoo ? Jamaa zangu niliwahi kukaa nao na nkawaeleza anaua uchumi wa Tanzania ni Mipango na Tra si Magufuli ama ule ufisadi uliyekuwa unasemwa wakawa wanabisha. leo mtanzania wa kawaida ukitaka ufilisike mazima ingia kwny kilimo ambapo ndiyo uti wa mgongo atiiii!! ni lazima viongozi wetu mjitafakari.
Cha ajabu Mbunge anaongea Spika Anampinga