Inavyoelekea mama mpemba ana kaka yake na ninahisi huyo kaka yake ni baba yake shabani yaani (kasimu)na pia mama mpemba alishawai saidiwa na K.C huku zainab nae ni mtoto wa sehem alokua akifanya kaz mgahawani yaani kwa mama zainab patam saaanaaa
Siku hixi watu wakipata mtu kauliwa ama kupigwaa hakuna kumsaidia nikupiga picha kutuma mtandaoni walaaniwe,,,,zainabu bado unadamu ya kutoa mimba lkn ukomoto kumpata shaban uchu nao🤣🤣🤣🤣🤣
Jeilati hawezi kufa..yy na shaban ndio movie bwana..thanks director
Muwendelezooo prrrrzzz jmn daaa
Shukran sana D oen
Big up sana mogy
D oen uwe unatupa bonance basi kama kwenye ile ya mfungwaaa
Naaaaam
Shukraan
👍👍👍👍👍🔥🔥🔥🌟
Inavyoelekea mama mpemba ana kaka yake na ninahisi huyo kaka yake ni baba yake shabani yaani (kasimu)na pia mama mpemba alishawai saidiwa na K.C huku zainab nae ni mtoto wa sehem alokua akifanya kaz mgahawani yaani kwa mama zainab patam saaanaaa
Waziii tusonge nayo
❤❤🎉🎉
shaaban ni moto
🔥🔥🔥🔥
Mambo ni moto
Siku hixi watu wakipata mtu kauliwa ama kupigwaa hakuna kumsaidia nikupiga picha kutuma mtandaoni walaaniwe,,,,zainabu bado unadamu ya kutoa mimba lkn ukomoto kumpata shaban uchu nao🤣🤣🤣🤣🤣
Wa tatu leo nimewahi
Wakwanz mimi naingoja kwa hamu🔥🔥
Asate sana simlizi mix d oen mogy shine
Considering most of us are not from tz "panya road" sijui ni nini but the flow is excellent,congratulations
Panya rod ni vibaka wanaokaba barabarani na huwa ni kundi kubwa sometimes wanaingia hadi mitaani kuiba
Hi story ni tam sana ngoja nifanye mpango wa App kbx Mana hua inaishiaga patam Kama Azam tv
Zainabu zainabu et watu wanasikia zainabu wakati anayeitwa ni shabani haya ni maajabu😂😂😂 Shabani anapiganiwa na kitambaa cheusi🤔🤔🤔🤔🫢🫢
Mbn zinacherewa sn mmh
Dah jamn
Thank you so much for your hardwork
Asante sana Mr Director Oen kwa muendelezo
Bibi kajichanganya
Shukran sana brother god bless you🙏
Ya tano lini
Hahahha Zainabu,,Dhabi zingine utatubu mbele ya safari..asante D
😁😁😁😁
Asante kwa mwendelezo 🔥🔥
Asante sana kwa muendelezo
Azabu ya muuaji ni kuuliwaa zainabu katoa mimba azabu yake sio kulala chini😢😢😢watu hupata wapi nguvu ya kutoa mimba lkn
Taar jmn taim hhhhhh
𝐻𝑖𝑦𝑜𝑜𝑜𝑜𝑜𝑜𝑜𝑜 𝑠ℎ𝑢𝑘𝑟𝑎𝑛 𝑠𝑎𝑛𝑎𝑎𝑎𝑎😍
Nomaaaaaaa