Usifanye tusiwe tunaenda ukumbini kuangalia comedian wengine... kama unatosha vile hahah yaana unafanya mtu peke yake but anacheka kwa sauti sana bro. Hongera uswege fundi.😂
Izo nyimbo zilizokua hazina maadili ndizo zinazopendwa ivi umesahau nyimbo za khadija kopa mzee yussuf mwanahawa nyimbo zao za zaman ni matusi lakini zilikua zinatamba sana na omar kopa wote kila unapopita zinapendwa sana😂😂😂
Asew unajua kuchambua haya matusiyao ya ngono, ni matusi tuu ngonotuu ndiyo manyimbo wanatoa yani kama akilizao zimeunganika na....👈apo usifafanue washaelewa😅bigupsana ukovizuri 👍.
uswege ndo baba lao kuchekesha💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂
Daaah.... Kweli We #Uswege ni Chawa wa BASATA 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Daaah kweli ngono tuu wanaimba hawa wasafi
Futa hii Uswege upost upya ili niwe wa kwanza kucomment na me niombe like 😂😂😂
😂😂😂
Likes husaidia nini 🥲😊
ZOTE ni ukweli umetufungua na ndugu 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉chukua Maya yko❤❤❤❤🎉
Kazi Nzuri mwanangu uswege wachonge kinyago kipelekwe basata😊😊😊😊😊
😂😂😂USWEGE hakii akili hunaa
😂😂😂😂😂😂 wa kwanza nipe like zangu 15 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Malawian bway 🔥🔥💥💥
Leo uswege umefunika
👇👇🙏
th-cam.com/video/3lGHQkjt-rk/w-d-xo.htmlsi=QFkY7zlac5O1zz2L @@hafidhali4336
Duuuuh makawi kuna Waswahil
😂😂😂😂😂😂
Uswege Unajuw Xan Mpak Kero Kwa Wengine😂😂😂
Sawa nimekupata
Kama unamkubali Uswenge weka link apo ❤❤❤❤
th-cam.com/video/vlcjB6oe_ZQ/w-d-xo.html
Safi bro napenda sana
Ayo makofi ya chapati Wacha buanaah wee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Uswege unanujua ad unakeraaa❤❤❤
Uswege mwehu sana😅
Uswege Yani tamsilia zako zinanikosha rihoo kabisa
😂😂😂 the murderer umetisha sana. kiujumla nyimbo nyingi zimekua za matusi sana
Legend Uswege ,unyama ni mwingi ila nasubiri upite na Ali kiba kwenye shughul yake Kuna udabwi mwingi tunakusubiri utuletee 🙏
😂😂😂😂😂😂😂😂kenya mpo wapi
Ahahaha chapati uwez kula Moja hapo inakuwa iviii papapapapa
Heshima kwko unaweza sanaa
Sema kazuchu katakua kanapenda sana ngono
Zuchu""" Mara moja moja navutaga ganja😂😂
Nimejifunza mengi leo. duh😮
Nakubali sana @Uswege Murderer ❤❤
uswege noma san nakubar clip zako nahitaj kazi nzur zaid in feature
Yan uswege weeee ni noma sana
Kiukwl umetisha uswege ww ni zaid ya genius😂😂😂
Kumbe wanauza kumaa😂😂😂😂
Uswege haujawai kuniangusha Big Up
😂😂😂, nakupenda sanaaaa uswege
Brother upo vizuri sana
HAYO MMEYAWACHIA WENYEWE NA KUZIDI HIVI..SASA ZANZ.IMEKUWA KITUO 😢SHAME TO ALL .MACHAFU MNAYAPA FURSA
Usifanye tusiwe tunaenda ukumbini kuangalia comedian wengine... kama unatosha vile hahah yaana unafanya mtu peke yake but anacheka kwa sauti sana bro. Hongera uswege fundi.😂
Uswege weye ni noma sana upewe🎉🎉mahuwa Yako tu
Chapati, cha-pa-ti; chapati : cha-pa-ti
Amaliziliye SUDANI kweli hiyo kbs🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
We msengeeee nmeitwaaa kichaa kisaa wew aiseee hatariiii
uswege umetisha saana
😂😂😂Sema kweli nyimbo hazina maadili
Dah hiki kidude kinaona sifa sasa sijuw kinaichukuliaje Dunia!
Kweli😅
Izo nyimbo zilizokua hazina maadili ndizo zinazopendwa ivi umesahau nyimbo za khadija kopa mzee yussuf mwanahawa nyimbo zao za zaman ni matusi lakini zilikua zinatamba sana na omar kopa wote kila unapopita zinapendwa sana😂😂😂
@@khadijachacha3156 Ila kizuchu kinapindukia mipaka watoto wanakipenda sana kinawahaharibu really Mimi ni mpemba lakini yeye kazidi sasa anakokwenda
Nyimbo za wasafi Zaina madili hata kidogo hawafundishi ndio maana ngono zipo hadi mitandaoni
Chapati zikishakuwa nyingi zinakiwaaaa😂😂😂😂😂
Uswege una jua kitu fulahisha kaka
Laaaaaaa iyo namaa sana ndyo maana nakupendaga sana
😂😂😂😂😂 Kenya like zake
Uswege ni fala huyu😂😂
Kazi kubwa sana kaka yangu mungu akope myaka 20000🎉🎉
Huo mlio kwa cha-pa-ti...duh😂😂😂
Grand travaux éventuels, courage frère 🙏🙏
Duuu umetixha❤❤❤❤❤❤
Uswege 😂😂😂 aibu naona mimi
😂😂😂😂hata sina la kusema bro
Kweri chawa😂
aaah upewe sofa nakukubali cana Mzee wang
Uswege mhhm ww noma uajiriwe basata
Kali saana😂😂
Asew unajua kuchambua haya matusiyao ya ngono, ni matusi tuu ngonotuu ndiyo manyimbo wanatoa yani kama akilizao zimeunganika na....👈apo usifafanue
washaelewa😅bigupsana ukovizuri 👍.
Wa kwanza leo 😂😂😂
Uswerge Yaani ww unastahili Tuzo bcoz Level zako sio za hapa Tz Alwayz una tufurahisha xana😂
😂😂katika yote nimeelewa hapo kwenyechapati hapo
Kweny chapt nimechk
Baaabaaa kazi nzuri kbs kk 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hiki kipajii cha uswege kigumuuu kinahitajii kilaa ngoma inayo tokaa usikilizeee
😂😂😂😂 wa kwenye chapati tujuane 😂😂😂😂
❤
Chapati ndo nimeelewa leo maana yake wallah
Mchoro wa kuonesha sudani ndio mchoro bora kuwai kutokea😂
😅😅😅😅😅😂😂😂😂
Dah 😅😅😅
Nyie huyu kaka apewe kombe lake yuaweza mpka yuaweza tena😂😂😂😂😂
Uwiiiiiiii uswegee utafika mbinguni umechokaa
Unajuwa sana mwamba😅
Uswege umetisha sana
Ila wee uswege nom🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mm wangap Leo 👍
Ahah hi nimeipenda sana
Uwezi kula chapi moja 😂😂😂❤
Nakubal san kaz zako gud job
Hahahaa uswege wew😂😂
Amezidi huyo Sana pumbavu matusi aache
Nimecheka hadi machozi yana nitoka😂😂😂😂😂
M❤😢😮😅
Daaaaaaaaaaa acha nichekepo kwenye Chapati chapati Chachachapati😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂,,,😂😂😂 we Ms*nge mdukuzii 😂😂😂😂🎉
Big up... Great work YOU'RE handling
😂😂😂 uswege umetisha sana
umeniuwa kwa chapati hii ghaiii😂😂😂😂😂
Kwenye chapat apo ni wewe umeongezeaaa😮
Huyu jamaa anachambua kicomedy totaly true 😂😂😂
Wewe ni mkenyaa
Hy hajamaa mkali sana
This guy is very talented
😂😂😂kwaiyo unawachomesha...kweli chawa
nakubali saaaaaaaaana uswege makini bro
😅😅😅😅😅 Mtyie mityama xiku nyingine hashike adabe
😂😂😂 much love from 🇨🇩
Diamond kabisa ni shahidi😂😂
Big up mkuuu😅😅😅
Daah chapati zikuwa nyinyi 😂😂😂👏🏾👏🏾
nakukubari sana kaka wote wanaiga ira wewe ndo kiboko yao
We jemaaa utauwa🤣🤣🤣🙄
Dunia nzima inajua anapenda 😂😂😂
Aisee ww jamaa
Mweuwewe nimeelewa😂😂😂😂
😂😂😂 et kusudi aichane nyavu
😅😅😅😅Ila uswege unamasiala sana mwamba😊😊😊
Weww ni blue balaaa
Huyu kaka namkubali ni kweli nyimbo nyingi za matusi ya waziwazi wasio na akili ndio wata comment et kaonewa
uswenge sasa nishawaelewa matusi matupuuuu nyimbo zao
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅NIMEKUOKOPA SANA DUUUUUH!