Nimekuja kuangalia hapa baada Mtumishi mzee chidumule kuja Zanzibar kwa ajili ya injili kwakweli alikuwa ni Baraka sana nafurahi sana kuket pamoja na kushikana mkono naye kumbe anaushuda mkubwa hivi ama kweli Mungu ni mwema
mzee kosmas chidumule unaonekana bado kijana YESU anakutunza kweli kuwa na YESU nifuraha mmmmm ila umekuwa na sauti nzuri na katika uwimbaji nahata viwango vyako ya uuwimbaji viko juu sana sana Sana Sanaaaaaaa ubarikiwe sana Sana Sanaaaaaaa
Nilivyokuwa nasikiliza nyimbo zako nilibarikiwa sana ila nilitaka kujua history yako sasa nimebarikiwa zaidi kuisikia umenigusa sana ubarikiwe sana stay kwa Mungu ni mzuri na MWEMA
Nyie nguvu inayobadilisha, mwaambieni huyo mzee Chidumule huo ushuhuda atangaze kama kichaa. Siku hizi tuna upentekoste wa kijinga sana hadi inakera yaani. Kwahiyo huyo mzee anahitaji kutangaza sana, nimefurahi kusema alipookoka aliambiwa kuokoka sio uholela bali ni mabadiliko, vijana wa siku hizi ndio kazi yao kusema nimeokoka na nampenda Yesu.
Kuna njia ngapi za kuufikia wokovu wa dhati?? Je, C. Chidumule alipenda na kuchagua kuokoka?? Je wengine wanao jiita "Wameokoka", waliipitia njia za kutojitambua km Chidumule??

Hapo ulipotaja #radi umenisababisha nicheke sana, Asante sana kwa ushuhuda huu
Kongore sana mzee Cosmas. Umefanya mambo mengi mazuri hata muziki wako una maudhui sana . Na sasa unamwimbia Yesu ,safi sana baba "keep it up"!
Ushuhuda mzuri wa kujenga maisha vizazi Hadi vizazi
Nilivyokuwa nasikiliza nyimbo zako nilibarikiwa sana ila nilitaka kujua history yako sasa nimebarikiwa zaidi kuisikia umenigusa sana ubarikiwe sana stay kwa Mungu ni mzuri na MWEMA
Nimebarikiwa na ushuhida huu, Mungu na azidi kukutumia babu....Mungu aibariki chanel hii
Mungu kubariki upoke Neema ya kuandika kitabu wengi wajifunze kumbe we ndio uliimba nyimbo UKIPATA tabu neema wow leo umeokoka kweli Mungu ni mzuri
Ndugu zangu watanzania Mimi ni mkenya mtumishi chidumule mungu alitangulishiwa ndoto na nyota take AMEN
Hongera sana Mzee chidumule, Historia yako ina mguso wa aina yake.
Imani yangu inakua barikiwa sana mtumishi
Mungu akuongezee siku hadi siku
Mzee cosmas ni hazina upo vizuri sn historia inasisimua big up.
Nipeni namba ya mtumishi COSMAS CHIDUMULE nimeitafuta kwa muda mrefu sana.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Cosmas Chidumule. Yesu kristo anakupenda
Ushuhuda mzito. Barikiwa mtumishi
Msambweni shule yangu, wewe ni hazina kubwa sana katika tasnia ya mziki hapa Tanzania, endelea kumtumikia Yesu kwa talanta aliyokupa.
Cosmas ana historia nzuri sana!!!! Hawa wazee tunahitaji kuandika historia zao
baba Chidumule endelea kumpenda Yesu na kumtumikia. hutajutia.
MUNGU amekuchagua mzee tumtumikie huyu YESU amen🙏
Nimecheka eti vielehele wanaokuja kuona Shida ya mtu Bila kutoa msaada walikumbia ahaa Mzee chidumule 😂😂😂😂😂
Hallelujah Mungu akuzidishie Muchungaji.
Powerful. Glory to God.
Nyie nguvu inayobadilisha, mwaambieni huyo mzee Chidumule huo ushuhuda atangaze kama kichaa. Siku hizi tuna upentekoste wa kijinga sana hadi inakera yaani. Kwahiyo huyo mzee anahitaji kutangaza sana, nimefurahi kusema alipookoka aliambiwa kuokoka sio uholela bali ni mabadiliko, vijana wa siku hizi ndio kazi yao kusema nimeokoka na nampenda Yesu.
Awesome. God bless u
Mtumishi Mungu akubariki
Nimependa sana hiyo da
Amen.powerful testimony.napeda Ddc mlimani.
Amen
HALELUYA!!!!!!!!!!!KAKAANGU BIG UP! AMAZING SAFI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Niipenda hii stori balaa imenigusa
Bwana yesu Asifiwe, naweza kupata Albamu ya chidumule ya Yesu ni Bwana? nimeitafuta sana sana, naomba unichek kwa namba 0785012531. Asante sana
Lingine step down
Maridhawa kabisa... lugha ya staha hekima bila mzaha. Kiswahili cha aina yake
Kumbe tulisomo shule moja magila 💪
Kuna njia ngapi za kuufikia wokovu wa dhati?? Je, C. Chidumule alipenda na kuchagua kuokoka?? Je wengine wanao jiita "Wameokoka", waliipitia njia za kutojitambua km Chidumule??
Maajabu haya
Handsome babu
Amen 🙏
Good
Hakika wokovu halisi
Safari bado