ความคิดเห็น •

  • @saluuhans
    @saluuhans 14 วันที่ผ่านมา +4

    Ebwanaeeee #Michael_Michano the real Mc, real talented 🙌🔥👊
    Kipindi kizuri sana 👊 #Dulla #vinaMezani

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 27 วันที่ผ่านมา +8

    Nipeni nafasi bro! Niue🔥🔥

  • @ghachvannychugakid3933
    @ghachvannychugakid3933 8 วันที่ผ่านมา +2

    Michael si talented man🔥🔥🔥✌🏿labda aekewe nikki mbishi au urudishiwe zillla

  • @kinjekitilew
    @kinjekitilew 27 วันที่ผ่านมา +9

    Hii ya wiki ya bongo ama mziki wa nyumbani inabidi iwe kila mwezi iwepo wiki moja

  • @VisualsByEnokaOti
    @VisualsByEnokaOti 26 วันที่ผ่านมา +6

    Nimeipenda idea ya Vina Mezani 🇰🇪

  • @khalidmwakabuta5045
    @khalidmwakabuta5045 27 วันที่ผ่านมา +6

    Mjukuu wa Mbuaaah!
    Pamoja sana

  • @Wizzymp
    @Wizzymp 8 วันที่ผ่านมา +2

    Michael michanooo 💥💥 genius

  • @SadickyDave
    @SadickyDave 27 วันที่ผ่านมา +4

    Dizasta vina, mtuletee 🔥🔥🔥… The only one king ✅

  • @mcbartonkesh3664
    @mcbartonkesh3664 27 วันที่ผ่านมา +7

    Wakwanza from Kasulu to Kigoma

  • @HassanYassin-ju5rf
    @HassanYassin-ju5rf 26 วันที่ผ่านมา +4

    Jamaa kauwa sana ile mbaya

  • @SlsProductionTz
    @SlsProductionTz 24 วันที่ผ่านมา +4

    Mwamba balaa sana🔥🔥🔥

  • @silakatundu1516
    @silakatundu1516 13 วันที่ผ่านมา +2

    Jamaa ameuwa xna ebu fanyeni mpango round 2 wakutane one on one na toxic fufu plz

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks 11 วันที่ผ่านมา

    Mwanangu njoo studio tupige ngumu

  • @ClaraMwingila
    @ClaraMwingila 27 วันที่ผ่านมา +3

    Sawa najua wanajifanya hawaelewi ila sio muda watasema kama wanaelewa huku wakiweka na lakini zao

  • @PaulJoseph-on9yr
    @PaulJoseph-on9yr 27 วันที่ผ่านมา +2

    Noma sana 🔥🔥

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 วันที่ผ่านมา

    Msulimoto mwanangu

  • @abdallahomary5930
    @abdallahomary5930 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🔥

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 23 วันที่ผ่านมา +1

    nomaaaaa

  • @Gerard_Paulo
    @Gerard_Paulo 7 วันที่ผ่านมา

    Jaman me naombeni msaada kidogo kwani vina ni nn maana me sielewi kabisa nasikia tu vina vina

  • @Laughter_man
    @Laughter_man 27 วันที่ผ่านมา +2

    Huu unyamaaaaa

  • @stuartikonko1941
    @stuartikonko1941 26 วันที่ผ่านมา +1

    Knowledge ya vinaa vya rap cyo ivyo mnavyo hesabu jamaa huyo yupo skilled sana vinaa ni same sound hiyo ni ni cyo kiina mfano hapo aliposema mistali na shwari hapo kina ni Ali en ari

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 26 วันที่ผ่านมา +1

      sopoa kama umeeleweka

    • @stuartikonko1941
      @stuartikonko1941 26 วันที่ผ่านมา +1

      @@atenionesmo_A10 nadhani hajaelewa inatakiwa kwanza wasome ndio waweke maana watapotosha watu

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 25 วันที่ผ่านมา

      ila naona kqmq n kisom zaid rutawaelewa hivohivo

  • @saluuhans
    @saluuhans 14 วันที่ผ่านมา

    Dizain kama momo kaelewa hiv 😊

  • @mohamedymkopi5887
    @mohamedymkopi5887 26 วันที่ผ่านมา

    Ingekuwa poa sana for the first time kuanza na Dizasta vina vina mezani ingenoga sana

  • @demask3423
    @demask3423 26 วันที่ผ่านมา +1

    Sipati picha dulla na adam mchomvu wange host kipindi kimoja🔥🔥🔥🔥

    • @salumuseif3324
      @salumuseif3324 23 วันที่ผ่านมา +1

      dulla role model wake ni Adam hakuna chemistry labda ungesema bdozen akae meza Moja na uyo dullah mana dullah ni km mchomvu anaomba, anatangaza, anaekt, meneja

    • @demask3423
      @demask3423 17 วันที่ผ่านมา

      @@salumuseif3324 chemistry gani unayoitaka wewe?! Chemistry pekee inayotakiwa apo ni kumshawishi msikilizaji asikilize zaidi na zaidi hicho kipindi.....
      So na Mi nimesema natamani wakae kipindi kimoja maana wote wana maneno mazuri ya kumtamanisha msikilizaji atamani kuwasikiliza zaidi na zaidi. ...
      Hata kama alikuwa role model wake hiyo sio kesi..
      Maana hata CR7 kamzidi mafanikio role model wake

  • @hassanihussein2731
    @hassanihussein2731 16 วันที่ผ่านมา

    Noma sana muingiliano wa kampun nisije nikaleta shida

  • @ahmedronga7583
    @ahmedronga7583 18 วันที่ผ่านมา

    Momo kaolewa tayar😂😂

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 23 วันที่ผ่านมา

    iwe hivi hivi tu ngoma zandan tu wengne wataiga tu mamae

  • @iddyjuma3795
    @iddyjuma3795 27 วันที่ผ่านมา

    Noouuuma

  • @csungo8471
    @csungo8471 17 วันที่ผ่านมา

    Vina mezani🇰🇪🇰🇪

  • @LandrickXl
    @LandrickXl 26 วันที่ผ่านมา

    @fredrickmullah 🎉❤