NIMEMUUA MAMA,DADA,BABA NA KAKA WA MJOMBA ALINIINGIZA KIUKWELI DUNIA HADAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @dorothystone1848
    @dorothystone1848 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana mdogo wangu watu tunapitia mambo mengi sana nakushauli tafuta kanisa katubu mbele za Mungu na Mungu ndiye mwenye msamaha na atakubadirisha maisha yako

  • @ZainaRashed
    @ZainaRashed 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mshukuru mungu Fanya toba rejea kwa allah

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 ปีที่แล้ว +3

    Mweee🙆wewe pesa inabidi siku Ujitokeze tumalize Utata wetu mahan Watu wanakubari kupoteza adi ndg zao wadam hiyo yotee sababu yawewe pesa😭😭😭pole kijana kwayaliyokukuta✍️pia Tunashukuru kwakuja kutuelimisha kuwa tusitamani mali yamtu Mwingine❌bali tujitaid kupambana nakulizika Natunachokipata🙏

  • @consolathamartini-mh8hu
    @consolathamartini-mh8hu ปีที่แล้ว +6

    Hawa watu inabidi wakamatwe kwani wanamaliza watu kwa ushirikina

  • @lydiakimani5087
    @lydiakimani5087 ปีที่แล้ว +2

    Shetani ni muongo, haiya hata huu Kijana nanachote, woyeieee, kimbilia Mwenyezi Mungu, utatolewa kafara pia . Kimbiya Kwa Kanisa wakuomba.

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana Majuto Mjukuu

  • @dorothystone1848
    @dorothystone1848 ปีที่แล้ว +3

    Unaweza ukashangaa huyu kijana mbeleni huko ukamkuta ni mchungaji kwahiyo tumtie moyo amefamya kitu kikubwa sana kuachana na hivo vitu kikubwa usirudi Tena huko

  • @HadijaSalum-wv3bd
    @HadijaSalum-wv3bd 4 หลายเดือนก่อน

    Mmh mpqka unqambiwa mtoe mti kwa ajili ya pesa kitu cha kupita ukiondoka unaacha kila kitu kwel mungu tusaidie

  • @mariamali6615
    @mariamali6615 ปีที่แล้ว +2

    Vijana wa sikuizi mna tamaa sana wawaua familia yako kwasababu ya utajiri n utajiri wenyewe hukuupata

  • @billobillo5570
    @billobillo5570 ปีที่แล้ว +2

    Tamaa sio zuri lizika na ulichonacho ata Kama kwenu masikini

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 ปีที่แล้ว +1

    Duh pole mtihan wallah majuto ni mjukuu sasa

  • @raphaelonyango703
    @raphaelonyango703 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kuishi bila ya malengo na mahesabu,umekusanya box unapata 20,000/ Kwa siku na unakaa Kwa ndugu Kaa Kwa muda tafuta mtaji wa matunda na biashara zingine,mama hukumtoa Kwa nn na ushafanya yote malizia na mkia huo Ili mambo yawe mambo.

  • @TatuTatu-f1v
    @TatuTatu-f1v ปีที่แล้ว

    Staafiruallhi nahawa watoto wetu wanatamaa sana wakesha yakuta ndo wanajidai kuliya ufisad wewe ukiambiwa tu ilo swala wewe hujiwelewi mungu tupe moyo wasubira ila wanakuwa hawana imani

  • @JosiahJames-jk3nb
    @JosiahJames-jk3nb ปีที่แล้ว +1

    Unafaa kuwa umehukumiwa kinyonga saa hivi twaongea jaribu huku kwetu kenya

  • @chejoman850
    @chejoman850 ปีที่แล้ว +1

    pole xana bro tafta pesa kaka ya halal sawa

  • @SalumuAdam-wm3nn
    @SalumuAdam-wm3nn ปีที่แล้ว

    Pole sana,ndugu,iyi,ndodunia

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 29 วันที่ผ่านมา

    Nyie mno muhukumu huyu kijana lakwanxa mustahafiru kwasababu huy kweli kauwa lkn mpk akafika hapo huyo wali shampa madawa kwanza halafu yke ona walivomzungurusha....nawakati keshafika huko mbele yao majangiri nilazima tuu nyi firimanson sio nzuri tusikaribie haswaa haya mambo lkn nimtihani mkubwa sana Allah atunusuru na yote hayo dah

  • @AllhajiAlly-kk8ei
    @AllhajiAlly-kk8ei ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kaka ombakaz watakusaidia

  • @DeBoy-oy2jg
    @DeBoy-oy2jg 10 หลายเดือนก่อน

    Nimefanya utafiti ni kwamba ,Tatizo kubwa ni wenzetu wanaoishi vijijini na hata mijini ni kwamba hawapati wepesi wa kutumia TH-cam ili kufatilia hali ya maisha,kwasababu ya bandle na ajira zao

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว +2

    Weee kijana tamaa ya mambo ya kidunia ndiyo imekuponza

  • @Hbabbyhusnah
    @Hbabbyhusnah 7 หลายเดือนก่อน

    Pole san

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 5 หลายเดือนก่อน

    Sisi watizamaji jamani tuache tamaa kwanini usiendelee NA kazi yko yabox ee jamani Kweli nimajuto

  • @milley7185
    @milley7185 ปีที่แล้ว +2

    I see something else in his mind ...I'm not judging mlaumu muumba

  • @consolatamangera8796
    @consolatamangera8796 ปีที่แล้ว +1

    Kachunguze huyo dogo kwanza kanakaa kaongo kwanza, mbona hakana Mali yoyote Ile Sasa..

  • @elizabethmassi7327
    @elizabethmassi7327 ปีที่แล้ว +1

    huyu muongo namsingizia boss wake alitumwa na mganga wake boss wapi na wapi jinga hili

  • @BushurJoel-t4f
    @BushurJoel-t4f 11 หลายเดือนก่อน

    Utakufa2 nawewe pumbavu sana hyo tamaa itakutokea puan fala weww

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 ปีที่แล้ว +2

    Shida baadhi ya wengine hawataki kufanya kazi za harali na wanataka mafanikio ya harakaraka matokeo mnaishia kujuta ila pole pia usipenda kupokea kila ushauri

  • @IddyMarriam-z7r
    @IddyMarriam-z7r ปีที่แล้ว

    Mungu atakulaani vip unauwa wazazi kisa Mali mjinga wew

  • @Firstjunee-uf6qb
    @Firstjunee-uf6qb 9 หลายเดือนก่อน

    Nonsense 😢, uwezi tegemeq mungu akupe utajiri unamwamini binadamu , wqnatania duh!!!😢😢😢😢

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 29 วันที่ผ่านมา

    Halafu tamaa jamani tukinai tunacho jaaliwa ikiwa nimaskini bqsi tuu

  • @sofiadado3040
    @sofiadado3040 ปีที่แล้ว +3

    Jamani watanzania mna roho ngumu

  • @MwanaidiKihio
    @MwanaidiKihio ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂pole sana zidisha maombi broo

  • @AgnesMponda-le2vr
    @AgnesMponda-le2vr ปีที่แล้ว

    God may bless you

  • @janemillion8614
    @janemillion8614 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU wawakombonzi .Nakuombatu Baba msaidietu huyu kaka.

  • @IsmailHabimana-ct9hv
    @IsmailHabimana-ct9hv หลายเดือนก่อน

    Munavyo sema ni ukweli ? Awo munatafuta viuzi .mimi sidja elea uwuwe mutu wako wa karibu kisa utadjiri .mungu namuomba akucukuwe umezaririka uwe unadjinyea lofa we

  • @robertihiga2707
    @robertihiga2707 ปีที่แล้ว +3

    Unataka uwe tajiri ndio iwe nini

  • @dorismkoma4228
    @dorismkoma4228 ปีที่แล้ว +2

    We rejea kwa Mungu wako utubu tafuta pesa ya halali hata Kama ni ndogo utakula kwa raha ila ukimtafuta huyo ndugu yako atakurudisha tena huko ukamalizie mama yako na ndugu walobaki

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 ปีที่แล้ว +2

    TOKAA APAA MJINGA MWEU WEEE PESA AZIJI KIIVYOO MSHAMBA MKUBWAA

  • @veronikamwampashe984
    @veronikamwampashe984 ปีที่แล้ว +2

    Shetani hana urafiki na binadamu kabisaa

  • @naomiwanjiku7829
    @naomiwanjiku7829 หลายเดือนก่อน

    Siku nyingine ongea mbiombio,sipendi hio kujivutavuta ukiongea,kwanza nina hasira sana na wewe

  • @elizabethmassi7327
    @elizabethmassi7327 ปีที่แล้ว +1

    Huyu atakuwa ana visa pia na kakake anamtafutia sababu kumchafua na anaonekana ni amechangnyikiwa tungesikia na upande wa pili na ndugu,kwanza anatakiwa akamatwe awekwe ndani afunguliwe mashtaka

    • @dorothystone1848
      @dorothystone1848 ปีที่แล้ว

      Angekua na kesi asingejipeleka mtandaoni kama hivi na pia huyo kakaake ambae niwakwanza Kuja mjini asingemshinda huyu kumpata seems alipo

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว +2

    Ni hatari

  • @ElizabethPaulJr-tk7zp
    @ElizabethPaulJr-tk7zp ปีที่แล้ว

    Mnaenda wenyew alafu yakiisha wakuta mnarud mnatia huruma

  • @crocodilemasala7956
    @crocodilemasala7956 ปีที่แล้ว +2

    Jameni wenzangu ni vyema kuchunguza hawa matajiri kabla kufuatana nao. Akishakutumbukiza katika dunia ya kishirikina ni ngumu kutoka huko na itabidi ukubali masharti kwa lazima.

    • @DeBoy-oy2jg
      @DeBoy-oy2jg 10 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo kubwa ni wenzetu wanaoishi vijijini ni kwamba hawapati wepesi wa kutumia TH-cam ili kufatilia hali ya maisha

    • @crocodilemasala7956
      @crocodilemasala7956 10 หลายเดือนก่อน

      @@DeBoy-oy2jg 👏👏👏

  • @TatuTatu-f1v
    @TatuTatu-f1v 5 หลายเดือนก่อน

    Pole ndo tamaa kilasiku mnaambiwa nyie vijana tamaa huruma hamna

  • @bahatiabc4291
    @bahatiabc4291 ปีที่แล้ว +2

    Waezaje kukubali maangano bila agreement juu eti ni tajir kasema ....unaexaje muamin MTU kirahis ....milion tano na MTU si kitu bro

  • @kiri5807
    @kiri5807 ปีที่แล้ว +1

    Wee mshenzi Pesa itakuwa kuliko familia ? haya sasa enjoy pesa zako familia yako yaliwa na funza .

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 ปีที่แล้ว +1

    Miaka 22 kijana mdogo

  • @jeniphermlay2946
    @jeniphermlay2946 ปีที่แล้ว

    KWA USHAUR WA BURE KIMBILIA KANISAN UKATAFUTE UTAJIR UPATIKANAO KWA YESU VINGINEVYO WATAENDELEA KUKUTESA

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 ปีที่แล้ว +1

    Wee kijana una jina zuri alhaji
    Lkn mambo yako ya kishetwan utakwenda kuyakuta huko akhera kz kwako

  • @omanwoman6713
    @omanwoman6713 ปีที่แล้ว +1

    Ukistaajabu ya msiki utakutana na ya huyo jamaa pole kwa tamaa mbaya UMAUTI nyuma

    • @dorothystone1848
      @dorothystone1848 ปีที่แล้ว

      Tusimjaji jamani anao uwezo wakutubu na mwenye kusameh ni Mungu sisi pia tuna dhambi jamani

  • @zakiajuma2022
    @zakiajuma2022 ปีที่แล้ว +1

    Tamaa zimewazidi unakubali kuuwa familia Yako kwaajili yapesa namwisho wasku umebaki kapuku pumbavu wewe

  • @JaneStelzer-lk9gl
    @JaneStelzer-lk9gl 10 หลายเดือนก่อน

    Kwendeni uko mnajua iliingia tu kwa freemanson lazima utatoa Familia yako kafara U know IT very well Just enjoy Ur Money wait for je anamu Mito mkali

  • @aziza9093
    @aziza9093 ปีที่แล้ว +1

    Inabidiutobu .radi kwmungu achanao hatakuwatafuta watakulagei tena

  • @crocodilemasala7956
    @crocodilemasala7956 ปีที่แล้ว +1

    Kumbuka kuwa shetani ni binadamu mwenzako.
    Mafanikio ya kishirikina hayadumu, hayana faida.
    Shetani hukopesha na akikukopesha ni lazima utalipa.

  • @mage1799
    @mage1799 ปีที่แล้ว

    mmmmh inauma haina mfano

  • @WitnessJulius-s7f
    @WitnessJulius-s7f ปีที่แล้ว

    Ng'ombe wamaskin azai tamaa mbele mauti nyuma