Na DAVE please respect ur working place,,,,that's ur office of work &u should be dressed well through the day,,working wearing a vest it's not making sense anymore!anyways congratulations 🎊 🎉🎉
My brethren_ this is a Major Spiritual Warfare and so it demand Lot Spiritual Powers of the Holy Spirit of God' You cant do anything by mere natural or carnal powers Ephesians 6:12 Prayers and Holy Ghost n ointing is a MUST
Muache kusumbua watu na strong men of God. Hata huyu ni Pastor.Hata Dave na officer mark are men of God. Wazidi kuwa na Imani kwa Mungu hii vita wanashinda. Msisumbue watu hapa na men of god na hao ndio wanafanya dark business
Weeh adi nikewatch kama movie na kitu ya ukweli DCI mark, senior dave and all your team congrats 👏 tena congrats akina kevo for doing great to expose mashetani mshike wote one by one pia tunawaombea mfunikwe na damu ya yesu
Kumbukeni hyo mtu ukimuweka ndani mkubwa wake atakuja na nguvu mpya ampe stroke so tafuteni anointed kitambaa afungwe mkono ama mguu ndo wezake wakimkujia wapingwe na shock wanguke chini,so muwekeni kwa roam na muweke hidden camera ndo mjue wanacommunicate nini
Sure juu hii ni spiritual sio ya kawainda ndio wakimkujia kumburusha akwame pia wao wakwame hapo wapatwe wote hapo na azingile kila mahali na salt water akiwa ameiombea hata olive oil anunue kwa duka aitakashe kwa Nguvu za Mungu na damu ya mwanawe Yesu kristo
I salute officer mark and Dave, you are covered with the mighty power of God, nothing with defeat you even satan is dieing your hands 🙏🙏🙏🙏
My DEAR GOD, hii ninnini???pls GOD we cover everything in the blood of Jesus Christ.
Pigeni likes hapa wenye tunataka Tycoon back alive in Jesus Name.
We surround Team DCI mark by the precious blood of Jesus Christ.
Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏
Amen amen amen
Amen
In mighty name of Jesus 🙏
Na huyu linet kuna chain Ana kuanga amevaa kwa waist na labda iko na nguvu za mashetani,anafaa atolewe ndio ii maringo yake ya shilingi mbili iishe
Inampea nguvu ya rudiness
All the time she been checking I saw her
Aki
Ata Kuna vile anasungusha vidole tatu @@JayseeKesumo
@@vanicygichana Ni kweli
I salute you Officer mark Dave and kevo blood of Jesus Christ upon you
Amen
Na nilijua tu uyu jamaa uvuruka akieda mombasa kwa bahati,pia uyu Dem nshetani mkuu,kamkora
@@jetitahkarimiuyu Dem Dio nataka afinywe sana ju wanawake Dio utumiwa ku seduce men,
Senior Dave ni wa mungu. He has the power of God. NO DEVIL WILL TOUCH HIM
Amen
Amen
Fita sio yetu niyako Mungu usituache Mungu wetu
Amen
The ring is what gives him powers and thank God you heed our warning Dave and mark🙏🙏🙏🙏kongole
Na DAVE please respect ur working place,,,,that's ur office of work &u should be dressed well through the day,,working wearing a vest it's not making sense anymore!anyways congratulations 🎊 🎉🎉
@@damariskimeu4930 true dear
@@damariskimeu4930😅😅😅😅😅
Team Dci and Dave, the blood of Jesus Christ is enough to protect and keep you safe.
Amen
Amen
May the blood of jesus christ protect you guys nice work.
Let us all agree that God is doing his work in Jesus name amen
Yesssss
Amen
Amen Amen
🙏🙏🙏
Amen
Maombi ya watu wa Mungu u yatawashikilia kabisa! We speak the blood of Jesus to DCI Mark, Dave and their team. Amen
Na bona ivo mashetani zake hazikumuonyesha hawa watu wana pretend ,nguvu za kishetani hazina mamlaka kwetu sisi na familia zetu,in Jesus name
Mungu qlifunga kioo yao ya uchawi
Ukweli @@nmogaka889
Amen Amen
I wonder pia
Sisi kama mashabiki ni maombi tu we can give this team..come holy spirit..guide this team the blood of jesus ..cover your pple
Senior Dave na Mark ,muko na nguvu ya Mungu ndio maana wakijaribu kuwatafuta nguvu zinawaishia.
Mungu wetu Ana nguvu kuliko hao mashetani
I speak the blood of jesus to senior dave and mark may God protect you from any arrows again you call pastor ngaruiya from King dom seeek
Aki mungu asaindie tycoon asiwe alikatwa miguu mungu wangu
MANSHALLAH mhesh mark na senior dave na camera man or sister na kina officer Ap MUNGU akona nyinyi All the time INSHALLAH ❤❤❤❤❤❤
Weeee apana mwambieni asikufe kwaza tunataka kujua tycoon ako wapi pliz.mwambieni akufe kesho pliz😭😭😭😭😭
Exactly
@@annmwikali5439 aache kukua mkufi kwaza
😂😂qty akufe kesho
😂😂😂😂😂😂 kabisa i agree with you
@@siliviaDaliEe aki akufe kesho after tumeona tycoon
Sisi nimaombi tu tunawaombea👏🇧🇮🧚♂️Mulindwe san na Mungu
Ebu mfufue kiasi atupe Tycoon na atoe wale alikua anasema anasacrifice usiku then likufe na liende kuzimu🔥🔥🔥🔥
@@shinehusnah6572 Tuombe Mungu awe hajakatwa🙏🙏🙏
May God be with you mark and Dave,may the blood of Jesus protect you guys
Tafuteni polis wengine musiende pekeyenu plz nmba paster
My brethren_ this is a Major Spiritual Warfare and so it demand Lot Spiritual Powers of the Holy Spirit of God' You cant do anything by mere natural or carnal powers
Ephesians 6:12
Prayers and Holy Ghost n ointing is a MUST
Agent Kamau ni Officer mwenye anasaidia Tom kama mnakumbuka vizuri
Mwenye alimpea simu
@@JoyceMburu-z7d yes, kumbe uko rada
@@MelisaJustus vile nafuatilia Dave,, mungu ndie anajua
Penye Tycoon Ako tunatuma damu ya yesu.
Mungu mbele yenu
Waah s Dave kazi yenu ngumu, almighty god awalinde🙏
Senior Dave and Mark,through your hard work and resilience, you have saved the lives of 55 Million Kenyans
Yesu alikuja kuharibu na kubomoa siri za shetani...Asante Mungu kwa kukomboa taifa la Kenya
Senior Dave ulete a strong pastor awafanyie deliverance kwa ofisi
Kweli Linet Ako na chain Kwa kiuno angalia sn
The blood of Jesus, Dave and your team GOD will fight for you
No weapon formed against Dave and Mark will prosper in any way in Jesus name
Bona pete haziwafungulii cell watoke.? Washindwe kabisa in Jesus name..
Team seniour Dave may you be surrounded by the blood of Jesus
Amen
😂😂 ameshipa maini ya watu.huyu pastor he is evil evil man😢God be with you guys officer dave God bless you guys
Dave and the team hopefully you can now clearly see that it's God who's fighting your battles,,,, please don't give up God is with you all through 🙏
Walisema mutakufa hao dio watakufa wote Mungu ni moto
Very true and Amen
I salute you Dave and officer Mark,God is always with you 🙏
Senior Dave n mark mungu hali juu nyeny hki❤❤🙏
Mungu ameamua Kuwaibisha,,mungu akiwa juu atende kazi yake
Oooh my God have mercy,may the blood of Jesus cover you senior Dave and DCI
Ndamu ya Yesu itamufisa.tunaendelea namaombi.musichoke .God bless you guys
Oh my god, senior D mungu akulinde
Officerark please toeni huyo linet iyo chain yenye ako nayo kwa waist
Officer mark na top dress
😂😂😂😂
Wuiye ata Kama huyu msichana atarudishwa kwa jela acheni kumchapa amewasaindia sana
Munafanya kazizulisana mungu awalinde kazi yakuokowa binadamu mungu awapenguvu ya ibada
Senior dave you are surrounded by the blood of jesus
Senior Dave ni mutumizi wa mungu🙏🙏🙏🙏
I salute yuo guys God bless yuo
thenkyou Mr Mark and team senior Dave God Is with you guys nothing bad will happen to you may God cover you with the blood of jesus
Iteni a strong man of God adeal naye sawasawa na achome hzo vitu na awaambie pahali Tycoon ako
Waende kwa ezekiel mombasa hua naona anasidia bt sai nmeanza kumuogopa kma iv ndio mapasii wanakuanga
Muache kusumbua watu na strong men of God. Hata huyu ni Pastor.Hata Dave na officer mark are men of God. Wazidi kuwa na Imani kwa Mungu hii vita wanashinda. Msisumbue watu hapa na men of god na hao ndio wanafanya dark business
Uyo Master sio yule wa true k masta of masta
HUYU ANA FAA KUANDIKIWA WHIT CAPITAL LETTER R.I.P MR JAMES.i hop amewaambua penye derecter ako.
Mark n Dave and yoyr whole team, may you be covered by the blood of Jesus in JESUS MIGHTY NAME
Angalieni huyu master asikue niuele wa True k
Ama ni roso keng
Weeh adi nikewatch kama movie na kitu ya ukweli DCI mark, senior dave and all your team congrats 👏 tena congrats akina kevo for doing great to expose mashetani mshike wote one by one pia tunawaombea mfunikwe na damu ya yesu
Congratulations officer Mark and Dave,,, may God protect you all, always try to call the name of Jesus and blood of Jesus it has power
No weapon formed against Dave n mark will ever prosper.
Am happy this law of vetting churches can go through ASAP.
Munafanya kazi nzuli sana kwakuokowa wqtu mungu aa
Sana
Good job officer and be blessed we are praying for you God to protect you and Dave and security
😂😂😂😂 dave mission accomplish wapi???okba sana usthan8 umeachwa na master omba okba ba 7chunge dave don't be happy
We need director tycoon first
Pastor mwenye alomba kwa ofisi yako Dave hope bado mko pamoja..... Aliomba sana.
It's time to go back to God 🙏🙏🙏 nothing is impossible to our living God 🙏 t
Wote waende death sentences ama kinyongo or mob justice ifanye kazi, aki Mungu bona unapea mashetani hii nguvu yote yaku hangaisha wengine
You are covered by the blood of Jesus be blessed
Senior dave u covered with blood of Jesus
Dear lord protect our tycoon cover him with your power
Subhanallah kwa kosa gani kukatwa miguu maskini
Good job, I pray for your safety SD, Officer Mark, and crew.
Mr Mark, snr Davi and the team thanks for the good work and we thank God who has enabled you 🙏🙏
Dave ukiambio na mark wacha pls wacha😮
Good work guys damu ya Yesu ilio mwagika kwa msalapa yawesa mambo yote mpishi ataludi in Jesus name🙏🙏🙏🙏
God protect Mr Mark and senior Dave family
May God protect you pple
Watazamaji maonbi yetu haya potelei 🙏🙏 Mungu ana tenda miujiza tuendeleeni kuwaombea na mungu ataendelea kuwapigania
Wewe kenyonyo,,,,unatesanga watu kuliko vile unajifanya unalia sana,,,shetani receive fire from Jesus almighty God 🔥🔥🔥🔥💪
Wooi eti amekatwa miguu sasa hizi ni gani
Officer Mark, Senior Dave, Kevo and the entire team Kazi mzuri. May Lord protect you and your families
Dci, save and your crew i cover you with the blood of Jesus no weap formed against you shall prosper in Jesus name
Nothing to give u guys bt I can just say my God bless Ed protect u all team Dave n mark
Hapo mmefanya kazi nzuri Wacha akufe pamoja na tom kitombi 😮
Tom alikua anajipiga kifua akijua ana backup YA kishetoo
Kimewaramba wote
Ngai mtoto wa wawenyewe hana miguu....
Kumbukeni hyo mtu ukimuweka ndani mkubwa wake atakuja na nguvu mpya ampe stroke so tafuteni anointed kitambaa afungwe mkono ama mguu ndo wezake wakimkujia wapingwe na shock wanguke chini,so muwekeni kwa roam na muweke hidden camera ndo mjue wanacommunicate nini
Sure juu hii ni spiritual sio ya kawainda ndio wakimkujia kumburusha akwame pia wao wakwame hapo wapatwe wote hapo na azingile kila mahali na salt water akiwa ameiombea hata olive oil anunue kwa duka aitakashe kwa Nguvu za Mungu na damu ya mwanawe Yesu kristo
Aaaaaaah alikatwa miguu jamen
May lord protect you guys, l thank Mr mark plus Dave Kwa KAZI yenye mnafanya
Bak means director is no more 😢😢😢😢et amekatwa miguu na atupwe Kwa Ile shimo walituonyesha God plz
God may you protect every family from any form of evil.
Chukueni pastor pliz muende naye😢😢
Mungu awasaidie
May God guide you and protect you in these . Shetani ashidwe
Ghai sinor Dave na maRk mungu anawApenda mambo inafichuka mnaona .Dave uko na mungu Dani yako uko mama joyner
Mungu saidia Tu...
Tafathari team Dave maombi Kwa wingi.fanyeni fasting once In a week,mshinde aya mapepo.may the blood of Jesus cover your team
No weapon formed against senior dave en officer mark en their families Will prosper .. we are praying for you 🙏🙏🙏🙏🙏 guys
Plz Dave muiteni pastor hii safari ni ndefu Tena niya free mason