WaKenya bhana....sijui ni utumwa wa mawazo au nisemeje...Anahojiwa vizuri kwa kiswahili kizuri...anajibu kwa kiingereza kisicho sahihi na baadae kiswahili...Waafrika tuache utumwa huu wa fikra kuwa kuongea kiingereza kibovu ndio usomi....
Sasa wewe Kiswahili ndio lugha yako ?! Pengine umuHEHE, mNyamwezi,mNgoni.mDigo.........Acha watu waongee wanavyotaka bora waeleweke ! Mmechezewa shere na kibaraka Nyerere na kuwadumaza kielimu hadi mnadhani kuzungumza Kishwahili ndio uzalendo wenyewe kumbe ni ufala mtupu na kurudi nyuma kimaendeleo ! Shenzi sana !
Mimi ni borana kutoka jimbo la Marsabet tuka hizo mbuzi.kuna ugonjwa inatusumbwa.hiyo ugonjwa mbuzi.inapigwa duru kama wazimu.Kiborana inatwa sirgo na hakuna dawa
Gala goat is our Kenyan pride ❤
That is Somali goat
Thank you this is quite informative. Contacts tunaeza pata. Wafugaji tuko hadi nyanza. We just need to network far and wide to grow ourselves.
Congratulations Julius. A wonderful job
? In
WaKenya bhana....sijui ni utumwa wa mawazo au nisemeje...Anahojiwa vizuri kwa kiswahili kizuri...anajibu kwa kiingereza kisicho sahihi na baadae kiswahili...Waafrika tuache utumwa huu wa fikra kuwa kuongea kiingereza kibovu ndio usomi....
Kiswahili pia ni lugha ya utumwa ama unapendelea azungumze kimaasai.
Ujumbe mwema kabisa ,kwa wafungaji , kuweka records- ni Bora.
Sasa wewe Kiswahili ndio lugha yako ?! Pengine umuHEHE, mNyamwezi,mNgoni.mDigo.........Acha watu waongee wanavyotaka bora waeleweke ! Mmechezewa shere na kibaraka Nyerere na kuwadumaza kielimu hadi mnadhani kuzungumza Kishwahili ndio uzalendo wenyewe kumbe ni ufala mtupu na kurudi nyuma kimaendeleo ! Shenzi sana !
Kaskie vimbaya na huko
@@lenniefei6710Bora ujumbe ufike
This is good.....congratulations julius🎉
Good vibes MaShaAllah
Love from Pakistan
Thanks kenyas gold, very very informative
Woow congratulations good job😊
I love how you work in harmony with nature
Please ur episodes are good but how about us that we are not verse with than language. Please ask questions in English. Thanks for understanding
Congratulations 👏 good and aggressive farmers
Nice video. Thank you for sharing...
Great job Julius
Great job brother
Very informative. Please add me to your list of members.
You make living off the land look so rewarding
Which vaccine do you use against pneumonia
This is wonderful Julius
I love it
Somali GOAT 🐐
Wow congratulations julius
That's true watoto WA mbuzi wakipew maji pia atakuwa wagonjwa ukweli mtu hyu mambo yabuzi anazijua sana
Nice information
In Zulu is mbuzi in Kenyan is mbuzi
In Swahili, not Kenyan. Kenyan is not a language. We speak Swahili.
Mpuzi nyama and many words mfetu
Thank you Sir for the piece/content. You're a great inspiration to NEW FARMERS. Mr Ngoibon Can new buy starter stock from you eg 10 goats ? Contact?
Wow 😮😮
Bw. Julius, nimesoma si haba. asante. Nitafuga. Bei ya mbuzi wa miezi minane kwa farm yako?
Thanks form Dhaka.Bangladesh.
do u need need a large piece of land??
Yes I need a large amount of land. Do you have any?
what area is this
Kupe sio viroboto but great knowledge
How do I get the goats
good job would also like to venture
Galla goats originte from somalia
These are Somali goats😂
Mimi ni borana kutoka jimbo la Marsabet tuka hizo mbuzi.kuna ugonjwa inatusumbwa.hiyo ugonjwa mbuzi.inapigwa duru kama wazimu.Kiborana inatwa sirgo na hakuna dawa
It's preventable by use of vaccine
Huyo ni mbuzi akipata Wendawazimu
Kichaa ya mbuzi
contacts pls
Anyone intrested to be supplied with gala goat contact @ 0706913273 / 0720743887
Chakula ya mama mbuzi una towa wapi?
🎉
Vipi market?
Maisha ya mifugo naitamani sana
Karibu nkuuzie hao galla nnao kaka...Tanzania
@@abufirdaus4254 njoo soko ya Bissil
@@abufirdaus4254hellow Niko Kenya Na nataka
I want to buy galla goat
3ltrs of milk?? 🤔
very much interested in goat farming. Kindly share your contacts. Thank you