Binti anaichezea gari anavyotaka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2016

ความคิดเห็น • 91

  • @NotesofNate
    @NotesofNate 7 ปีที่แล้ว +6

    I dont understand a thing...but I'm so happy to see you doing auto vids.

  • @LivenLove2020
    @LivenLove2020 7 ปีที่แล้ว +21

    Kipindi ni kizuri and i have bn gud fan wenu sana ila presenters hawajui kuuliza maswali yanayoshibisha watazamaji. Na nahisi hilo linatokana na kuwa na presenters wasiokuwa na ujuzi zaidi ama interest ya magari.
    hata yule binti pia naonaga anauliza shallow questions ambazo zinakua za kufikirika kwa mtazamaji. ukiwa kama mtangazaji unapaswa kuuliza maswali ambayo mtazamaji atakata kiu ya kuangalia kipindi chako.
    Kwa ushauri zaid tunaweza kucheckiana na kushauriana zaidi.
    Thank you.

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 4 ปีที่แล้ว +4

    Tuning watu hawaelewi lkn powerful... Wanaelewa , bongo bana!!!!!

  • @lukasjoseph644
    @lukasjoseph644 3 ปีที่แล้ว

    Mpo vizuri sana 5gear, napia napenda sana kipindi chenu, maana na me napenda sana magar

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 4 ปีที่แล้ว

    Hongera jitaid uende huko nje ukatangaze nchi yetu. Unge tuonyesha resi uliyonayo misijaona

  • @yehornaumov5893
    @yehornaumov5893 8 หลายเดือนก่อน

    Nice taste in cars

  • @taifocuscompany9246
    @taifocuscompany9246 4 ปีที่แล้ว +8

    Wabongo jeuri sana, mtu unaangalis kipindi mpaka mwisho tena hamu kubwa ila mwisho wa siku unaishia kumtukana mtangazaji badala ya kuachia ushauri wako.

    • @leonardmdegela4258
      @leonardmdegela4258 4 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji ndio wakwaza kumuona mtazamaji mjinga ndio maana wanaandaka taalifa nyingine na wanaonyesha vingine

    • @farajajuddy3871
      @farajajuddy3871 4 ปีที่แล้ว

      Sio jeuri ujinga umejaa vichwani mwao.huwezi kuwa kila kitu wewe niwa matusi tuuu.inamaana huna jema wala zuri ktk maisha

  • @janewanjiru111
    @janewanjiru111 3 ปีที่แล้ว +1

    Amejaribu... come to kenya see magic

  • @freduallughano2301
    @freduallughano2301 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi hivi tuned cars zinaweza kusafiri umbali mrefu bila kuleta hitilafu?

  • @wolfhelmgothom6077
    @wolfhelmgothom6077 4 ปีที่แล้ว

    Mwanachama Wangu Respect sanaaa

  • @RackaApps
    @RackaApps 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyo petrol head mwenyew hajui lolote😂😂

  • @kevinslav
    @kevinslav 6 ปีที่แล้ว +4

    Did well in Kenya st Masinga TT

  • @donaldmbanguka6783
    @donaldmbanguka6783 4 ปีที่แล้ว +1

    jerry umetisha na hii tbt

  • @farxadsidedacar
    @farxadsidedacar 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @judgemoatlhodi9396
    @judgemoatlhodi9396 7 ปีที่แล้ว +3

    the problem is language but just that you are talking subaru i will watch

  • @kombolizzou5826
    @kombolizzou5826 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa hata hajui dragrace ni nn😂😂

  • @emanuelmuyanga9993
    @emanuelmuyanga9993 4 ปีที่แล้ว +3

    Hatare sana Neema, nilishapanda hyo gar akatuendesha yupo vizur sanaaaaaa.. anajiamin mpk bas

  • @shootershilcon8307
    @shootershilcon8307 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa anavyo shika vizuri gari subaru 🇧🇮

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 4 ปีที่แล้ว +1

    UDHIBITI WA MWENDO KASI WA MAGARI :KIFUNGU NA.51 CHA 30 (1973) NA MABADILIKO NA. 12 YA 16 (1996):Ni wajibu kwa madereva kuendesha gari katika mwendo ambao anaweza kulimudu gari lake hata kama kukitokea jambo lolote la dharura. Ukisoma kiundani zaidi utajua vizuri sana gari haina mazoea

  • @fahadalbusaidi2492
    @fahadalbusaidi2492 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwache apije race na chombo yangu toyota supra 2jh engine turbo hp 1600

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥💥👌

  • @gabrieldevid9
    @gabrieldevid9 4 ปีที่แล้ว

    Hongera mdada

  • @sukeplop340
    @sukeplop340 3 ปีที่แล้ว

    Subaru habali ya Town

  • @abdullyhatia4227
    @abdullyhatia4227 4 ปีที่แล้ว +1

    Yupo! Vizuli

  • @rashidirashidi1364
    @rashidirashidi1364 4 ปีที่แล้ว +2

    Mim sijawaelew naona kama kunakit mbon wanajichekesha chekeshatu

  • @joshuamunyao526
    @joshuamunyao526 4 ปีที่แล้ว +3

    Kuja kenya nikupe challenge dada

  • @ramakijiko1155
    @ramakijiko1155 4 ปีที่แล้ว +1

    Hajui gari huyo.

  • @amanimanase5794
    @amanimanase5794 4 ปีที่แล้ว +14

    Mtt wa kike akijua kiingereza na kuwa kweny level flan ya maisha yani ACTUALLY zinakuwa nyingi,kwann hii huwa inaniboa sana kwann usibonge kiswahili tu safii?

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 4 ปีที่แล้ว

      Actually 😀. Kuna watu wanapenda kuwasikia hivyo, ndo maana bado unaendelea kuwaona.

    • @mauricenyello1207
      @mauricenyello1207 4 ปีที่แล้ว

      Yani MTU anaamini kujua kingereza ndo kuwa tajiri,msomi na mjanja kumbe ni lugha kama kisambaa

    • @rademm8924
      @rademm8924 4 ปีที่แล้ว +1

      Nende shule kijana

    • @rademm8924
      @rademm8924 4 ปีที่แล้ว +1

      Nende shule kijana uijue Actually no need of complain

    • @amanimanase5794
      @amanimanase5794 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaaaa kwaiyo unamaansha mi siijui maana yake sio? Acha uree chalii but why every part of words she mention ACTUALLY? This is a bad requirement of using words in the sentences,FUCK in you guys

  • @itsmarz2809
    @itsmarz2809 5 ปีที่แล้ว +4

    Valves zinasaidia kutoa gases kwenye cylinder heads, gari huwa ina valve 2. Inlet valve na exhaust maniford valve
    Binti huyu ana inlet valve zinazopoza cylinder heads. :) tupo petrol heads wengi tz

    • @shedrackmutalemwa7310
      @shedrackmutalemwa7310 5 ปีที่แล้ว +3

      Dump valve husaidia kupunguza excess boost or compression to the engine. Na hufanya hivyo uki release gas pedal ambapo throttle valve inakuwa closed. Katika magari ya diesel inaitwa wastegate.

    • @harrisonthuku3484
      @harrisonthuku3484 5 ปีที่แล้ว +2

      Gari Ina valve 4 buda,kuna zingine zina tano...

    • @abdoulrahimmigomba3885
      @abdoulrahimmigomba3885 4 ปีที่แล้ว +2

      Haya onesheni uwezo wenu

  • @mahadsaid1038
    @mahadsaid1038 4 ปีที่แล้ว

    Yeah

  • @noahpapy2277
    @noahpapy2277 4 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @ohayhayoo9127
    @ohayhayoo9127 3 ปีที่แล้ว

    Ssa mbona kuchekeana chekeana2 badala ya kufanya kipindi?

  • @top3newsdaily.794
    @top3newsdaily.794 4 ปีที่แล้ว

    Qwel nakubali mama lao

  • @orpuladventuretours4313
    @orpuladventuretours4313 4 ปีที่แล้ว +1

    Neema

  • @olaicejohn129
    @olaicejohn129 4 ปีที่แล้ว

    Chuganian girl #subgirl

  • @fragarecipegad
    @fragarecipegad 4 ปีที่แล้ว

    Q CHIEF - #MALAIKA | link 👇👇 Twende| *TH-cam* |tusupport Mziki Mzuri|
    th-cam.com/video/XhF4NRzutaQ/w-d-xo.html

  • @mussaismail7453
    @mussaismail7453 4 ปีที่แล้ว +1

    Htr

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 4 ปีที่แล้ว

    Iringa liniiii

  • @lesliekimaro9569
    @lesliekimaro9569 4 ปีที่แล้ว +1

    3:15 kafuta dash

  • @eliezaphilipo3648
    @eliezaphilipo3648 4 ปีที่แล้ว

    wish...

  • @woltabenad8311
    @woltabenad8311 4 ปีที่แล้ว +1

    Wachuga awaojiwi kivoy

  • @0722940123
    @0722940123 6 ปีที่แล้ว +2

    Maswahili ya upuzi.

  • @romyshaban6264
    @romyshaban6264 4 ปีที่แล้ว

    Neema kisanga na nusu

  • @hanifsengu
    @hanifsengu 4 ปีที่แล้ว +2

    NILICHOGUNDUA DADA ANAENDESHA TU...MENGINE HAJUI.
    HATA BLOW OUT HAJUI /.

    • @rasheedabby2871
      @rasheedabby2871 4 ปีที่แล้ว

      Andamana Dingi mpaka wakuelewe

    • @gideon219
      @gideon219 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa

  • @iconic9073
    @iconic9073 4 ปีที่แล้ว

    Moshi lin

  • @kennedykaaya1779
    @kennedykaaya1779 4 ปีที่แล้ว +2

    Link kwa Neema arusha noma

  • @evanskowero3869
    @evanskowero3869 7 ปีที่แล้ว +2

    fuc****off presenter jifunze kuuliza maswali ya maana ...MNA haribu 5gear yetu...

  • @MakusaroTesha
    @MakusaroTesha 4 ปีที่แล้ว +3

    Swali:
    Wapi wanafanya tuning Dar au Arusha?

    • @drankskhally4636
      @drankskhally4636 4 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji hujuwi kuhoji

    • @dicksonmsuya249
      @dicksonmsuya249 4 ปีที่แล้ว

      GTP in Dar es salaam and J-Spec in Arusha

    • @MakusaroTesha
      @MakusaroTesha 4 ปีที่แล้ว

      @@dicksonmsuya249 ... GTP Dar wapo sehemu gani Kaka? Kama una namba zao naombe tupia humu.

    • @davis6692
      @davis6692 3 ปีที่แล้ว

      @@MakusaroTesha GTP tz... namba zao 0713446333

  • @mudriqahmed3666
    @mudriqahmed3666 4 ปีที่แล้ว +3

    Nataka mechi nae mm natumia altteza qualitant

    • @ericklyatuu1301
      @ericklyatuu1301 4 ปีที่แล้ว +2

      Ina engine gani na umepiga mod gani usijempotezea muda

    • @ericklyatuu1301
      @ericklyatuu1301 4 ปีที่แล้ว

      Ina engine gani na umepiga mod gani usijempotezea muda

    • @mudriqahmed3666
      @mudriqahmed3666 4 ปีที่แล้ว

      @@ericklyatuu1301 mm engine yyte napija mm sio race mm ni drift

    • @mudriqahmed3666
      @mudriqahmed3666 4 ปีที่แล้ว

      Ww tuma namba nikutumie video hao drift zao kwenye vumbi mm nacheza na barabara

    • @mudriqahmed3666
      @mudriqahmed3666 4 ปีที่แล้ว

      Na akitaka race iwe ni kwenye lami cz Gari sisi tunashusha Chini sana

  • @prospermruma1825
    @prospermruma1825 4 ปีที่แล้ว

    Penda sana gar dada

  • @dennismusyoki8066
    @dennismusyoki8066 5 ปีที่แล้ว +6

    Huyu neeema ni mambo bwaaaaad . . . .ali nyorosha wanaume masinga TT, ata mimi mwenyewe siwezi thubutu ku challenge yeye

  • @harshharsh2886
    @harshharsh2886 6 ปีที่แล้ว +6

    Badala ya kuwahoji madereva wa Mashindano mnawa hoji hawa watoto wa matajiri wanaofanya fujo barabarani.

    • @tonybrighter3878
      @tonybrighter3878 6 ปีที่แล้ว +1

      Harsh Harsh Wewe kama ni masikini ni wewe

    • @josephinekabuka3877
      @josephinekabuka3877 4 ปีที่แล้ว +1

      Tajiri alitafuta akapata so wacha watoto wake wachezee magari ww km huna kaa kimya😡

    • @mudriqahmed3666
      @mudriqahmed3666 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu hafanyi fujo barabarani anafanya fujo kwenye fumbi

    • @stanlykanwakabo176
      @stanlykanwakabo176 4 ปีที่แล้ว

      Nice

  • @johngyunda3094
    @johngyunda3094 4 ปีที่แล้ว

    nauza Toyota opa 0627432384

  • @heavenlighttemu7406
    @heavenlighttemu7406 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @noahpapy2277
    @noahpapy2277 4 ปีที่แล้ว

    Noma sana