JAMAA ALIVAA VIATU KILO 50, NA ALIKUWA HATARI SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 25

  • @HassanNasibu-q6m
    @HassanNasibu-q6m วันที่ผ่านมา +1

    Da. Kali. Sana. Mwanetu. Sio. Zile. Za. Mapema. Kila. Wakt. Tunaomba. Kama. Iz. Tafadhali

  • @LazaroNashon
    @LazaroNashon 2 วันที่ผ่านมา +1

    ❤🎉🎉❤❤❤❤ kaz zuri san ubarikiwe dj

  • @FahiliChaz
    @FahiliChaz วันที่ผ่านมา +1

    yakitambo sana broo myaka zaidi yakumi

  • @ReysamSobo
    @ReysamSobo 3 วันที่ผ่านมา +3

    woyooooooo week 2weke ❤❤❤

  • @Khasimzwane
    @Khasimzwane 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Familia sikupingi 🙌

  • @DjamilaHatungimana-ex5ee
    @DjamilaHatungimana-ex5ee 3 วันที่ผ่านมา +5

    😂😂😂😂❤

  • @Zizouozil-q8m
    @Zizouozil-q8m 3 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤

  • @IrakozeAssia
    @IrakozeAssia 3 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉DJ apo sw 😂😂 apn za kizungu

  • @KimokoFamily
    @KimokoFamily 3 วันที่ผ่านมา +3

    The board gard

  • @MerudaSanga
    @MerudaSanga 3 วันที่ผ่านมา +3

    mhhhhhhhhhhhh

  • @Iginasjohn11
    @Iginasjohn11 3 วันที่ผ่านมา +3

    Leta season bac za action au zile za time travel za kikolea

    • @DavidMgaywa-zd5kd
      @DavidMgaywa-zd5kd 3 วันที่ผ่านมา +1

      Inaitwa the bodyguard. bonge moja la movie kabsa jamaa anatumia iron fist & iron kiks adui yake mkubwa ni kaka ake ambae walilelewa na master mmoja badae kaka ake akafukuzwa tukokana na utovu wa nidham akakimbilia mjini ili aweze kuish ilimbid apigane ndipo kundi flani hivi la magaid tena matajir wanao tengeneza bodyguard na kuwauza na kuwakodisha wakamchukua mwamba wakaish nae mda mlefu.
      ssa huyo jamaa mvaa mabut baada ya kumalza mafunzo pia master wake akadedi nae akaenda mjini kutafuta ugar pic inaanza ndo jamaa kafika town ssa hilo kundi analo pigana nalo ndo kundi ambalo kaka ake alie fukuzwa analitumikia huyo kaka ake nae ana chuki na dogo kinyama nyama.
      Pia ukiangalia utagundua kwamba huyo dogo mvaa mabut alitupwa msitun akawa ameokotwa na huyo master alie mfundisha aseee kuna ngumi katika hii movie siyo pw
      Kinacho wafanya wapigane ni kwamba dogo anapewa kazi ya kumlinda dada ambae hilo kundi analo fanya kazi kaka ake ndo wanamtafuta weee😂😂😂 haichosh baba
      Tafuta ambayo haijatafasiliwa kama huelew nger bas aliyo tafasir dj mjukuuu utapenda🎉🎉😊

  • @MarryMera-y4e
    @MarryMera-y4e 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Moyo upo kulia😂😂😂😂

    • @movierecapswahili1
      @movierecapswahili1  14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      mwamba noma sana hahahahahha

  • @jackmeshack
    @jackmeshack 2 วันที่ผ่านมา +1

    The bodyguard Hindi dubbed movie

  • @AllyOmary-g6y
    @AllyOmary-g6y 2 วันที่ผ่านมา +1

    Acha uwongo wewe hiyo inaitwa the board gurd

  • @ZuweinHussein
    @ZuweinHussein 2 วันที่ผ่านมา +2

    Naomba ututafsirie mchezo wa kikorea wa happiness au wowot mzuri wa mazombie

    • @fefeonlyme5394
      @fefeonlyme5394 วันที่ผ่านมา +1

      Wew na nani unaomba😂😂

    • @ZuweinHussein
      @ZuweinHussein วันที่ผ่านมา

      @fefeonlyme5394 😁😁 sote tu

  • @FarajaChristopher-zp2uo
    @FarajaChristopher-zp2uo 3 วันที่ผ่านมา +1

    Naomb title

  • @movierecapswahili1
    @movierecapswahili1  3 วันที่ผ่านมา +1

    Jina la movie ni 1R0N PR0TECT0R : Please angalia channel yetu nyingine www.youtube.com/@bongomovierecap

  • @MicBarua
    @MicBarua 3 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤❤❤

  • @LilyNashela
    @LilyNashela 3 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @RuwaidaSaid-m1x
    @RuwaidaSaid-m1x 2 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤