Wenye tulianza na camera man wakupiga kelele aka Njugush 😅😅na kamaua na reflection ,oneni sasa tuko London 🙏🙏💃💃 ...always my favourite couple ....tufike 100k subscribers
Njugush cheka Mkuru kabisa, nitaorganize vile atakuja Jyuice party Ujerumani utashangaa😀 Na ujue wasee watatoka hadi Norway. Mkuru lazima afike EU pia insha'Allah 😊😊 Na hii maombi imfikie
Wenye tulianza na camera man wakupiga kelele aka Njugush 😅😅na kamaua na reflection ,oneni sasa tuko London 🙏🙏💃💃 ...always my favourite couple ....tufike 100k subscribers
Njugush cheka Mkuru kabisa, nitaorganize vile atakuja Jyuice party Ujerumani utashangaa😀 Na ujue wasee watatoka hadi Norway. Mkuru lazima afike EU pia insha'Allah 😊😊
Na hii maombi imfikie
I appreciate the fact that Njugush always remembers to mention his closest friend Abel Mutua.. that right there is expectational friendship 🎉😅
just here waiting 😌
Halafu good progress Celee,27k subs🔥🔥😌keep going mum,we here to support you too🤝🤝
Aki Cele, nakupenda bure❤
One of the channels i had to search and subscribe from my heart ❤❤❤
I just love the way you are so realistic guys.Cele endeeai uuu kelitu
Birthday boy c angeacha ako kakofia uku😂😂😂
Ruiru is homeeee
Watu wa murera coffee 😅
Nice one
Waoh huyo jamaa wa Loco twedi huko ni home
Nimtu wahome uyu loc 20
Roirooo ndio homeeeee🤣🤣🤣🤣
I will subscribe now to get more of this cele
Eeeish almost 30k good job cele
Eeeeiiishhh almost 30k good progress 👏👏
Hio kofia ya njugush iliweza
kakofia ka njugush hunijaz sana ahaha.
kumbe hii kofia ya Njugush haikuwangi kwa script tu... in real life anaivaa bado 😅
Ako ka kofia 😂😂😂😂😅
Njugush hauwezi shika babe wako mkono UK?🤣
tha muranaga guy