Viongozi wa Kenya Kwanza wabadili kauli baada ya kukashifu maandamano ya vijana
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
- Baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza sasa wameonekana kubadili msimamo wao kuhusu vijana wanaofanya maandamano nchini. Kwa kauli moja, viongozi hao ambao hapo awali walikashifu maandamano ya vijana, sasa wanadai kuwa vijana wa Kenya wanastahili kusikizwa. Lakini kama Nimrod Taabu anavyoarifu, viongozi hawa wakiongozwa na Kimani Ichungwa na Aaron Cheruiyot hawakuonekana kubadili msimamo kuhusu mswada tata wa fedha
Nabado Nyinyi wote nyumbani direct ,Ruto and his regime must go go go
Please munene let's make it a reality everyone in Kenya deserves better than Ruto
They must am sick of this idiots
@@diedanoluoch8226 yes sir! That's heard loud and clear Gen s tusikubali kupangiwa future na watu wachache wenye wamewaste this nations resources and telling citizens to live by their means !
Na bado....HII SERIKALI YA WEZI TUNATOA
Wanatetea kauli zao sasa ili waendele kuiba na kunyanyasa raia na kuwabebesha madeni
Kabisa zakayo lazima ashuke chini asikize raiya
Hii lazima iende
Theives
Celebrated by who when most people are dead out of poverty...
Inner circle of dictator ruto, the youth will take you down
"I am Now a Proud Kenyan"[The Youth have taken over)"!!!.
Time has come
Kimani ichungwa bure kabisa
Citizen TV badilisha headline: usiseme viongozi wa kenya kwanza, sema mabibi za Ruto.
🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅❤❤❤
True wote hao mume wao ni ruto
Eeee anakosea sana😂
😂😂😂😂😂
GENz don't be threatened by this 204 Mps, this is your future and your children, as a millennium each day I cry for voting wrongly and not heeding Uhuru speech, its time Genz we are at your back and support you fully, RUTO AND REGIME MUST GO ,GO
Hizi ni fisi zimeamua kuvalia ngozi ya kondoo.tunawanjua Mr tutatenga.....amewatuma
😂😂😂😂😂Kimani Machungwa.... Heeee kweli uko na ulimi mbili kwa mdomo...
UMEONA
😂
😂😂😂😂
Kimani ningoma
Ameshtuka juu ameona nyumbani anaenda bila mmbadala😂hata achange mind vip wembe n ule ule...nyumbani lazima aende....
These work on orders, hata kuongea they must be told what to say.😂😂
And the church must give its stand! Always giving platform to politician liars.. Will you serve GOD or money? Tell us!..
Money as usual.
Vijana lets take votes kwa wingi come 2027 wazeeeeeee wote nimesema ruto regime waende nyumbani kupumzika Vijana its now the time to lead Kenya 🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪💪💪
To be honest all this current mp wote waende home to have this Gene z in power n Kenya will be good country
ichungwa you started story ya mashamba remove taxes on free hold land where do u want us to live
no1 is saying we don’t clear debt but means for clearing it is where lies the problem…cut costs aimed at providing a flamboyant life to government officials including the president…then bearable taxes will be sufficient to slowly clear debt and bring forth development..
Imani ichungwa unafaa kwenda nyumbani upumzike umeshindwa kazi
Politricks! What has changed?
They are now playing mind games
we ain't kids =, we've got brains and we are seeing what you are doing
Ichungwa must go
Mwendazake Ichungwa
Reverse psychology
Kimani Gachungwa walk thé talk not sugar coating
Wanadhania wakiongea kwa upole tutashuka😂😂😂😂Tuesday nayo mtajua GEN-Z POWER.. Its simple AND clear;nyinyi ndio hamuelewi "ruto must go"..wakati wa vipindi imeisha my friend..
Do not pretend because you are in house of God.kenyans knows you. (Chameleons)
Not even worth listening too
ALL THE YOUTH READING THIS COMMENT'S ANYBODY WHO TAKES YOUR SIDE AFTER BEATING YOU WHEN YOUR INNOCENT YOU SHOULD THINK TWICE HUEZI PAKWA MAFUTA KWA MGONGO NA MTU AMESHA KUPIGA THEY WANT TO BE RE ELECTED 2027 SO THEY ARE ACTING ASIF THEY ARE ON YOUR SIDE AND FOR ME I WILL NOT VOTE FOR UDA LEADERS WITH THEIR IDEOLOGY BE IN SUPPORT AND SEE THE FUTURE ICHUNGWA NI BIBI YA RUTO AME SUPPORT AFTER PRESIDENT AME SUPPORT
Finance bill is un negotiable.hii inapita with or without demos.the nation must move forward
Unafki ndio Umewajaa mkishibisha matumbo yenyu hamna haja na mwananchi wa kawaida Shem on you!!
Corrupt people in Kenya are in millions. it's not the Policians alone, but it's their responsibility to fight it and not to be involved as leaders of stealing from the public
GEN Z consist of...mijikenda,luhyas,luos,somalis,arabs,kikuyus,and all
KENYA KWISHA
Tusikubali kupakwa ngo'mbe na sakayo,. Reject finance bill
Whatever they said before is still on record.
So basically they are saying the only ways the govt has to raise money are debt or excessive taxation?
Gen Zs bona mlipea Ichungwa ruhusa ya kuongea kanisani?🤔🤔
Manipulative tactics. Msiwaamini hawa waongo. Psychology watu. Maintain focus.
Wasn't he the one who said yesterday na kiburi?
Reverse physiology,stay focused
please Gen z, never ever listen to them, they're all hypocrites
Please our leaders talk to us, make us understand that we are your bosses and make your explanation as simple as possible so that it can be understood. Be our servants.and not our bosses . That's my plea.
Msichanganywe,youths remain unbowed !!!
We go with your 1st words,
Kimani machungwa...wacheni ujinga mnaogopa gen zee
Ruto must have told them what to do...
Umeolewa n Ruto fala wee
We dont need ro listen yo the government, let them park and go home
I just want to c Ruto out
No retweet no surrender
Wanafuki warudi mbunge wafutulie Bali iyo financial Bill,tukiona
😂😂 sio Photoshop tena?
😂😂
Watajua hawajui
Shame shame shame 😢😢😢
We don't trust youuuuuuù NO
NEVER
Now I understand that ichungwa is a mad man. Ruto is truly a dictator. How can he be that feared by people who are employed by Kenyans
Hatuwataki tena waende zao
Waongo siku zao kwisha
Gzen chukueni Kura election ikija msimamishe vijana
Bure kabisa hao wote
Mnafiki machungwa ulisema wanaenda kfc
Msitubebe ufala, we are far way these nonsense. These kind of people should never be allowed to continue manipulating Kenyans
Nyamaza mbwa
Acheni kutuweka box
Kalaleno on Tuesday tuko kwa groun💪
Tutaona nani atatii mwenzake sasa, it's us vs the mf our parents elected
Mkona mchezo sana
Hawa jamaa kina ichungwa ndio nani sana na badoo mandamano ibakucha kwa mingi
Story Ya IPhone Na KFC Na Uber Imekufa Tayari?
# 204 crooks
Ndii ni hypocrite mwizi wa kijificha akijifanya mzuri devil's
Uda nyumbani 2027
Ichungwa juzi wewe ndo ulisema wanaenda maandamano na Uber na kula KFC 😂😂 Genz si wanjinga kenya
Hogwash
Ooooh kwanza when its coming from bibi ya ruto its a definate a fake statement kama kawa....my friend kimani ichungwa plz we are nolonger fools in this country we know who u r😂
Iphone, uber na KFC imeenda wapi sasa? Useless
Mnafki mkubwa
Racheal’s co wives.
we cannot listen to this people no matter what they say, REJECT THE FINANCE BILL 2024
ile stori ya kfc na uber iliendaje 😂😂😂
😂😂ata Mimi na shangaa. Now they are lying without brinking😅😅
Double standard @kimani Ichungwa...mnafiki number one
Bure kabisa
Stay focused
Huyo ni nyoka hafai wanatajirika wakinunua property now wanabadilisha kauli Genz should not accept kabisa this people's should be removed from office
Kenyans are not against taxation.The Simple language that our political class is not getting is that Kenyans are against over taxation and double taxation.Kenyans don't want to be punished because the previous govt took loans and didn't pay.Dont we have the relevant offices that deals with misuse of public funds or what is the work of Eacc they seem to have evidence of who and how our money was looted.Then they should act.We Kenyans we don't forget they told they have a plan on how to revive the economy without high fuel prices,to save us from fulizas,to borrow loans from inside our country to buy fuel with kshs then what happened in their first budget public participation was nothing to them they used their numbers in parliament.I think it is high time we forget about this so called electing suits in our elections coz they are misusing our political right.
Wherever this sheep belong,ichungwa mrudishe huko
Why were they allowed to speak?you see how the church has always been in bed with our enemies
Why by the way!
Check history, the Bible came first for pacification and brutal military power to subjugate and plunder wealth, it is still true today , nothing has changed
The devil hides in church
These con churches are what we need to boycott. They thrive from our sadaka and hide these criminals. BOYCOTT CHURCHES THAT GIVE THIEVES A MOUTHPIECE
The same question nlikuwa nauliza mbona kanisa zina wapea nafasi😢wanaudhi...ndio mana mungu anatuadhibu...mbona hawapeleki huo upuzi kwa mosques?juu mapastor n walafi na hawamuheshimu mungu...huezi izi upuzi kwa misikiti n makanisa tuh
Wanafiki!.. We're not going to listen to hypocrites. Kwanza wameua vijana wenzetu. We are pouring to the streets full force. Away with Ruto!
Sisi si watoto wenu bana,ma askari wenu wanatuua
four days ago, you were calling ichung'wah "the great son of kenya" !! what do you stand for??
@@johnbrown3235 we kwani unanifuata fuata,only a fool doesn't change his mind
@@mr.i5310very true... you change your mind every four days...if you keep on like that, you might be left with nothing!! but thanks for your honesty.
@@johnbrown3235true n vizuli Kuwa na musimamo
We will take them to their respective homes...hawa wanatuchezea...Ballot ya 2027 ata tushaawasahau kama nyinyi ni wetu...you deserve to stay at home😂
Nyinyi tunawatoa kwanza
Dont listen to this fake leaders, wenye they have double speech, ata muongee nini mambo yenu hatutaki lazima reject finance bill
Hawa hatuwezi bargain nao. I hope hii pain itatufikisha 2027.
No bargaining, they have to go home
Politicians vigeugeu
GZ wasikubali sauti za uongo za viongozi wa UDA
These are just ruto's puppet..do not trust them
Exactly ndio waendele kula
Flowers girls. Wa ruto atakavyo sema wanaiga ,jana walisema mengine na leo wana sema tofauti ,shida sikusikizwa shida ni ruto mwenyewe ni disaster.
Ondoa hio kitu mnaita Finance Bill completely
Gen Zs forever👊👊👊👊👊👊👊👊
Corrupt opportunists who have no shame 😂. Little do they know our generation isn’t about any political formation or any specific individual. It’s about getting rid of the corrupt political culture in Kenya in it’s entirety.
🇰🇪🇰🇪 TUESDAY 🇰🇪🇰🇪
OCCUPY PARLIAMENT
RUTO MUST GO
# GEN Z 🇰🇪 KENYA 🇰🇪👑👑👑 KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 KENYA
its not like this guys are so interested in not borrowing debts bt truth be told is that it seems the former regimes have piled up the debts to a place where government aren’t eligible to ask 4 extra debts..hence to suffice their personal needs they bring that baggage to common mwananchi than cut down on their huge expenditures to accommodate best interest of the nation…
Hii ni siasa too wanatuchezea,,,but deep inside ....they are planning something
Kimani ichungwa KFC chicken eating,uber riding comment was just gold
Ichungwa kumamako
Wewe machungwa uongo yenu munafikiria watu ni wajinga mumeongea mtufunge macho ndio mpitishe hio finance bill no no no
So everyone is trying to own Gen Z
Iyo strategy tunaiona tu , Tuesday lazima
Uongoo.....just talking nothing else. Mnaongea vitu zingine while doing others