Ila hapo kwenye presentation MMEZINGUA.... chuo kikuuu presentation hiyooo...hata class 7 sio hivyo... Hapana scene hiyo...Yani kujing'ata...😅🤔 Amepotaje 4, 6 na kujoin University.. Dah ..
Movie kali sana ila sasa kuna kitu sijakielewa, wakati waanza wale wadada waliulizana wanasoma nini wakasema wanasoma Lab, i assume kama hii ni lab science, ila class toka kipindi cha kwanza wanafundshwa Computer Networking, hili ni somo la wanaosoma IT related programms
Yaa tuna waerewa ila sas kizungu kikae maali pake movie niyaki bongo af lugha ina tumika kila mahal kizungu yan maana yangu ni kwamba seem zakawaid ikiwa mtaan nyumban maongez ya wa2 kawaida msi 4c kingereza sio mahal pake tuko pa1 sana na tuna penda na tuna wafatilia from chunya mbeya
Kila kitu kinamaana yake hao ni wanachuo, wanaishi maishi halisi hakuna aliye4c hapo, kama huelewi pole anagalia zingine ambazo hazina kingereza mbona hapa kuna movie nyingi
Nakubalii sana mnachokifanya mungu waongoze katika kazi zenu
Yani mko sawa sana movies zenyu zuri sana💯💯💯💯💯💯❤❤❤❤
Kazi nzuri sana I ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Movi nzuri xana mungu awbark
NZURI na Kali lakin ubaya wake zinaishiag hivhiv hamuziendelez🙌🙌🙌
Kazi ❤❤❤
Mnajua kwakweli, hongera sana
i see fighter 💪💪
Ila hapo kwenye presentation MMEZINGUA.... chuo kikuuu presentation hiyooo...hata class 7 sio hivyo... Hapana scene hiyo...Yani kujing'ata...😅🤔 Amepotaje 4, 6 na kujoin University.. Dah ..
Tunaisubili sana sisi, season 2 ep 3
Name of the song please
Kazi Nzuri🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉Imalizien hiiii moveeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Gud movie💪💪
Hamuja wahi kufeli kwenye moves zenu
mnanikumbusha mbali sana maisha ya chuo daaaa
congratulation for the good work
Good movie 🇹🇿🔥🔥🔥
Tunaitadji film nyimpia
Good job❤
Amani episode 4 ipo wapi jamani
Good movie
Naomba na mm hii nyimbo jna lake
Nakubal 🔥🔥✌️
Woooh it's amazing
Movie kali sana ila sasa kuna kitu sijakielewa, wakati waanza wale wadada waliulizana wanasoma nini wakasema wanasoma Lab, i assume kama hii ni lab science, ila class toka kipindi cha kwanza wanafundshwa Computer Networking, hili ni somo la wanaosoma IT related programms
Ata lab piaa kuna somo la computer
@@philiberthmdoma5060 ila wanasoma basics, networking is way more deeper boss
Oyaa Hawa jamaa ni hatari
Nala nilimuona zaman san
hiii chaneli nombar moja Tanzania
Nice
hii nyimbo iliyomo humo ya romantic kaimba nan
Amna makosa
💔💔
Mmh huyo jamaa amevuka vp kutoka O level Advice hadi chuo!!!?
❤❤❤❤❤❤
tunahitaji gamelos sehem ya pili ila pongez kwenu
Mimi ndo musa 😂😂😂😂
God bless you guys
Huyu msanii ni nani na nyimbo Gani
Huwa sichoki kuona movie kila nikiiona naiona mpya kila uchao
Yaa tuna waerewa ila sas kizungu kikae maali pake movie niyaki bongo af lugha ina tumika kila mahal kizungu yan maana yangu ni kwamba seem zakawaid ikiwa mtaan nyumban maongez ya wa2 kawaida msi 4c kingereza sio mahal pake tuko pa1 sana na tuna penda na tuna wafatilia from chunya mbeya
Kila kitu kinamaana yake hao ni wanachuo, wanaishi maishi halisi hakuna aliye4c hapo, kama huelewi pole anagalia zingine ambazo hazina kingereza mbona hapa kuna movie nyingi
Izo chunya moja ✊
Kweli kabixa
@@Benroyalmovies ndo maana yake
Good performance....keep it up
🔥🔥🔥Part 2 please..!!
Hamjawah nuangusha
PERFECT.......
Hiyo nyimbo ya Santana naipataje
Nyimbo ya Santana
Networks kama alivyo elezea nimechek nakubl ziko tano
Mm mbavu zangu jmn🤣
Safi sana
No translation..
Sorry but we are working on it
am still watching this from gulf
Nice ,very interesting
waiting for session 2
Ivi watu kama hawa chuo wapo kweli
Hello
Kuna hio song imepigwa wakati alipoiomba Kama saplaizi kwa manzi yake naipataje wadau
Special for movie
aiseee ngoma kali sana
@@Benroyalmovies bro nisaidieni hii nyimbo duh Iko vizUri msie mnatukatili ivo kivipi iwe special kwa movie duh sio poa bhana
Kumbe mmelizika
Sehem ya pili tafadhali
Season 2 plz
Next
Best direct in east africa
Part 2 please
Good movie 🔥🔥🔥🔥🔥 I like it