After a long night at the police cell mama Kamau & Vero finally adamites to say who k!ll3d baba Jeff

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 445

  • @charitymumbi6088
    @charitymumbi6088 2 หลายเดือนก่อน +19

    Am in love with mama kamaus dressing code

    • @maulidwhyder8848
      @maulidwhyder8848 2 หลายเดือนก่อน

      Ako kwa rhythm safi sana bdo

    • @paulkorir8698
      @paulkorir8698 2 หลายเดือนก่อน

      Chugua number yake

  • @Janemwangi-zc7rl
    @Janemwangi-zc7rl 2 หลายเดือนก่อน +29

    Hatutaki kuskia story za pesa tena tunataka kujua kama baba jeff amekufa,naninani amemuua

    • @agnesnjeri2040
      @agnesnjeri2040 2 หลายเดือนก่อน +2

      True

    • @ephreimwarui8009
      @ephreimwarui8009 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sure

    • @malaikajabali-oj2fh
      @malaikajabali-oj2fh 2 หลายเดือนก่อน +3

      Very true huyu mwanamke na bwanake hawajui chenye wanataka so far 😮

  • @safiaahmed995
    @safiaahmed995 2 หลายเดือนก่อน +21

    I think I support mama Kamau now. That is what it means to marry a foolish man who doesn't know the meaning of marriage.
    Mwanaume mjinga!!

    • @janetchirchir5764
      @janetchirchir5764 2 หลายเดือนก่อน +1

      I support you

    • @annwangoi1606
      @annwangoi1606 2 หลายเดือนก่อน +3

      Anajua tu mashairi na kiswahili kikuyu😂😂

    • @nickpapapapa9033
      @nickpapapapa9033 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@annwangoi1606

    • @ماجيالروسري
      @ماجيالروسري 2 หลายเดือนก่อน

      I also see the other kind of the coin, mwanaume asipochunga nyumba yake inabomoka tu hivyo

    • @kipkorirkipkorirrobert
      @kipkorirkipkorirrobert 2 หลายเดือนก่อน

      We ndio mjinga

  • @chrisziroh3016
    @chrisziroh3016 2 หลายเดือนก่อน +55

    Baba Kamau you need to be a man enough in such matters!

    • @petermwangi1552
      @petermwangi1552 2 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu ni kama ata yeye aliziiba hafeel pain ya kupoteza pesa amefanyia miaka yote gulf

    • @liliancate7934
      @liliancate7934 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo ata kama he's Half man.

    • @njambiwandeiya697
      @njambiwandeiya697 2 หลายเดือนก่อน

      Aki bona wale wanawake wamabaya hupata bwana wazuri,,

    • @MilkaKariuki-m1q
      @MilkaKariuki-m1q 2 หลายเดือนก่อน

      Hiki kimzee ni kinongwe tuu ama amekorogewa makojoo hajielewi kabisa

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@njambiwandeiya697,,,lakini kama ni hivo anasema, wanaume wengine awashuhuliki na familia ya Kwa kina mke wake, wajipendea kwao tu every Kila kitu.awakumbuki Kwa kina bibi, ila kama uwongo mama kamau usijaribu kwako na mikono Yako mwenyewe.....

  • @geospeenterprises8286
    @geospeenterprises8286 2 หลายเดือนก่อน +27

    Sound not clear. This man is not seeing far enough. How can you withdraw a case and your wife is involved. I'm sure that money this man will not get a penny. Wait and see😢

    • @aishaelias9071
      @aishaelias9071 2 หลายเดือนก่อน

      Na akicheza atapelekwa 6ft

  • @JaneJane-vq6pt
    @JaneJane-vq6pt 2 หลายเดือนก่อน +3

    I have ever seen a man like you you are a good person Baba kamau I know your pain but God is good

  • @jessicahneshi9811
    @jessicahneshi9811 2 หลายเดือนก่อน +1

    Samaritan God bless you

  • @davidkariuki7951
    @davidkariuki7951 2 หลายเดือนก่อน +8

    Let me side na mum Kamau juu amefungua Roho yake, it's good coz she didn't plan anything with killing this( stingy man)🥺🥺🥺🥺🥺🥺

  • @mercimerci9540
    @mercimerci9540 2 หลายเดือนก่อน +12

    Waaa baba kamau unasikia kile huyu bibi unaita wako anasema,wewe uko karibu na yala river

  • @gloria_justgloria2013
    @gloria_justgloria2013 2 หลายเดือนก่อน +28

    Pesa Iko kwa kina Vero,,Vero Ako na ujanja Fulani she wants to end up with the money,,she is outshined mama kamau ,,after pesa imeenda na baba Jeff,she planned to steal it and she did,,Soo ameficha pesa kwao ushago period!

    • @JannyJeni
      @JannyJeni 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hio pesa amupati Vero Ako na hio Doo na mama yake

    • @TESSY-nr8cq
      @TESSY-nr8cq 2 หลายเดือนก่อน

      Walai. Hawatapata anythng..

    • @Asha-yn4bu
      @Asha-yn4bu 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hawa wanawake wote wapo together wanamchezea huyu bwana

    • @alicenjiru4002
      @alicenjiru4002 2 หลายเดือนก่อน +2

      Vero mkorogo iimeanza kushika

    • @MagdaleneMaingi-p7c
      @MagdaleneMaingi-p7c 2 หลายเดือนก่อน +2

      Pesa iko kwa kina vero,simple

  • @josphinewambui7004
    @josphinewambui7004 2 หลายเดือนก่อน +14

    Sasa ata hatuna haja na pesa kupatikana we want to know who killed baba Jeff. May justice prevail

    • @dorcasjebet1691
      @dorcasjebet1691 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sure

    • @peterkamau6228
      @peterkamau6228 2 หลายเดือนก่อน +1

      ndio hapo dio tunataka sasa, familia ya marehemu jeff wakunje on set, tuone watanjitoa aje,

  • @njokisusan4451
    @njokisusan4451 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mama kamau is the main suspect here awache kujifanya ati vile yeye ako inlove baba kamau chuma chako ki mwotoni huyo mama isa no

  • @Kary_254
    @Kary_254 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mama mtobwi si watoepesa😮but nyinyi hamkunotice mama kamau alikua akijaribu kufinyia Vero macho za juu walilala police walipanga Mambo yote huko

  • @gilbertmumelo8571
    @gilbertmumelo8571 2 หลายเดือนก่อน +28

    sama is a booooring investigator not asking the right questions mama kamau alichukua pessa why dont aske her details.

    • @fredmoranga2439
      @fredmoranga2439 2 หลายเดือนก่อน

      something hidden behind the money

  • @naomiwanjiku6483
    @naomiwanjiku6483 2 หลายเดือนก่อน +2

    From when this story came up I said Vero knows alot😢. ..n I will say again n again.

  • @NancynjeriKuria-en3tt
    @NancynjeriKuria-en3tt 2 หลายเดือนก่อน +3

    I understand why mama kamau took the money

  • @alupoakol7731
    @alupoakol7731 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ooh true mama kamau is very right ,if u both work and u never value her that's what happens so learn from that

  • @CarolineGatua
    @CarolineGatua 2 หลายเดือนก่อน +1

    Weee mama kamau ushindwe, mbona hukupeleka pesa kwen?weee ni mjinga sana

  • @marywanjirukamwaro7261
    @marywanjirukamwaro7261 2 หลายเดือนก่อน +18

    Baba kamau anaonekana mzuri ungemwabia akusaidie kujengea mama yako haungemfanyia ivyo

    • @marymaina5245
      @marymaina5245 2 หลายเดือนก่อน

      Mama kamau u know everything stop

    • @susanngugi2489
      @susanngugi2489 2 หลายเดือนก่อน

      Men don't help wife side. Mean

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k 2 หลายเดือนก่อน

      Weeee watu wapole Achana nao, ni moto wa kuotea mbali...Niko naye wa Haina hii....wanakiburi mbaya sana

    • @ماجيالروسري
      @ماجيالروسري 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mamas-06ksure the are serious than you can imagine

  • @shikusteve
    @shikusteve 2 หลายเดือนก่อน +8

    Baba Kamau be a man enough or else you will lose even that money

  • @fridahnkatha9589
    @fridahnkatha9589 2 หลายเดือนก่อน +5

    Vero knows where the money is!! Samaa you already read the messages that pesa imechimbiwa kwa quarry!! Kwa akina Vero!! Huyu Vero angebaki cell 📱 mpaka pesa ipatikane!!

  • @lucywachira7709
    @lucywachira7709 2 หลายเดือนก่อน

    Bure sana.... baba kamau

  • @kiamariga72
    @kiamariga72 2 หลายเดือนก่อน +1

    What is the difference between "taking" the money and stealing?

  • @mosesmagumba
    @mosesmagumba 2 หลายเดือนก่อน

    Wafungwe sana baba kamau

  • @janekingorieliud8563
    @janekingorieliud8563 2 หลายเดือนก่อน

    Eee...ngojea

  • @connietops3191
    @connietops3191 2 หลายเดือนก่อน +3

    Some men are so stingy i support mama kamash

    • @lucynyambura6804
      @lucynyambura6804 2 หลายเดือนก่อน

      Me too ,,makosa hapa ni Mm kamau kupatikana b4 deal ikuwe through nothing big

  • @andrewKausi
    @andrewKausi 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mama kamau anajikanganya. She has said she decided to do this to build for her parents. Again is saying, she was taking the money to the bank. Which is which?

  • @carolwaithaka2223
    @carolwaithaka2223 2 หลายเดือนก่อน +8

    Vero alisema ukweli ameficha pesa kwao uko chini kwa kware mamake anajua Vero peana pesa

    • @agnesmutindi3094
      @agnesmutindi3094 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nandio nashangaa woooote hakuna mtu anakumbuka kuwa pesa imechimbiwa kware, sasa wanaenda kwa Sam wavurute time mpaka vero aweze kupigia mamake pesa iondolewe, aiiii wanabore😊

  • @MuchiriAgnes
    @MuchiriAgnes 2 หลายเดือนก่อน +1

    Weeee wangapi wanasema I wish wangekuwa na baba kamau..kama his hubby..ma single muko wapi?????

  • @martinmwangi8902
    @martinmwangi8902 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na by the way nikienda muthangari nichimbe quary si ntadosika

  • @Sarasheba
    @Sarasheba 2 หลายเดือนก่อน

    Samaa.. Mfanya kazi vizuri... Pesa iko kwa kina Vero muranga. Kwa kwaree.. Fatilia hiyo pesa kwa kina Vero. Acheni ujinga na nyinyi.

  • @emmaculatekyakashow
    @emmaculatekyakashow 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo mama hapana 😊

  • @catherinekavita185
    @catherinekavita185 2 หลายเดือนก่อน

    Mr musa,oua follow up on what xaused baba Jeff s death,and who was this man with vero while transferring the black bag.

  • @emmamaish4712
    @emmamaish4712 2 หลายเดือนก่อน

    I understand mama kamau

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 2 หลายเดือนก่อน

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱wamama surely,na hii kuzungushwa yote😢

  • @ppatop
    @ppatop 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama ana run supermarket na lazima ako na account yake.why was it hard to bank money direct instead of involving many people

  • @lucymuchira5675
    @lucymuchira5675 2 หลายเดือนก่อน

    Justice for baba jeff

  • @ephantusweru6832
    @ephantusweru6832 2 หลายเดือนก่อน

    Hapa mwatucheza......

  • @ElijahMwandia
    @ElijahMwandia 2 หลายเดือนก่อน

    Ngoja ...ngojeaa😂😂😂

  • @mosesmagumba
    @mosesmagumba 2 หลายเดือนก่อน +3

    What is wrong with some Ukuyu women like mama Kamau and Vero. Killing somebody to them is like kuchinja kuku

  • @ElizabethNgure-ig5xy
    @ElizabethNgure-ig5xy 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mama kamau ok we hear u case lakini why didn't u keep the money u r self.

  • @anneilado3352
    @anneilado3352 2 หลายเดือนก่อน +2

    Baba kamau Jenga Kwa akuna Bibi wako bana usiangalia too kwako aki inauma mamakamau Sana so Jenga mamakamau aki Baba jeff

  • @Luthermwaniki
    @Luthermwaniki 2 หลายเดือนก่อน +3

    Aty anaumwa ju baba kamau anasaidia watu wao??? Uyu mama ni nyoka.....mwanaume usiwai sahau mahali umetoka kwa sababu damu ni nzito kuliko maji

  • @BellaAYIEKO
    @BellaAYIEKO 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama kamau wanaume wajengi kwa kina bibi wewe ukeongeya na baba kamau polepole ndio asandie watu wenu mum lakini naelewa ivo mama kamau ni uchungu sana mwanaume anashandia watu wao peke 😢😢😢😢

  • @mungaifred
    @mungaifred 2 หลายเดือนก่อน +2

    waiting....na isiwe ni porojo kwa headline tafadhali

  • @anneilado3352
    @anneilado3352 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa samu pia amekufa ama😢😢😢😢😢

  • @lilynjenga7509
    @lilynjenga7509 2 หลายเดือนก่อน +1

    Woman you had a supermarket why didn't you help your family or employ them

  • @janebrytonmuhia7643
    @janebrytonmuhia7643 2 หลายเดือนก่อน

    Vero knows everything

  • @damariskimeu4930
    @damariskimeu4930 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ng'ombe ni ng'ombe tu

  • @catenjoroge8158
    @catenjoroge8158 2 หลายเดือนก่อน +15

    🙄🙄🙄 hata pesa zikikosa acha mama Jeff apate justice ya mume wake basi😢😢😢na kwakweli mbinguni ni mbali very far away 😑😑😑

    • @essy2023
      @essy2023 2 หลายเดือนก่อน

      Pesa iko kwa akina vero 😢aliambia mamake kwa text

    • @alicechege700
      @alicechege700 2 หลายเดือนก่อน

      Veto anaenda jela

    • @catenjoroge8158
      @catenjoroge8158 2 หลายเดือนก่อน

      @@essy2023 yap but who kill baba Jeff 😥

    • @catenjoroge8158
      @catenjoroge8158 2 หลายเดือนก่อน

      @@alicechege700 very true

    • @essy2023
      @essy2023 2 หลายเดือนก่อน

      @@catenjoroge8158 ni kama ni vero na huyo wanaita Sam ili at long last abaki na hizo pesa

  • @rosemsaki1111
    @rosemsaki1111 2 หลายเดือนก่อน +1

    PESA IKO NA MAREHEMU!

  • @RollinNjeri
    @RollinNjeri 2 หลายเดือนก่อน

    waaa kwani gai kunawanaume wapole ivi yooooh

  • @kakuk5384
    @kakuk5384 2 หลายเดือนก่อน

    A good question have you ever asked baba kamau nataka kujengea wazazi wako akakataa, huyu mama anachesa mcheso wa paka na panya hw could you steal your own money?

  • @wilfredshoghosho0017
    @wilfredshoghosho0017 2 หลายเดือนก่อน +10

    Sama uwe na backup channel ikirushwa nje inaangukia kulet kwingine

    • @samuelkamau1777
      @samuelkamau1777 2 หลายเดือนก่อน

      Already kuna Samaritan official

    • @wilfredshoghosho0017
      @wilfredshoghosho0017 2 หลายเดือนก่อน

      @@samuelkamau1777 ooh basi anafaa kuiweka active itumike kwa maswala kama hayo tusipitwe na uhondo

  • @CarolineGatua
    @CarolineGatua 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba kamau jipange run for your life.

  • @SicilyKandia
    @SicilyKandia 2 หลายเดือนก่อน

    Could you please number the episodes it's really very hard to follow the story

  • @MarthaMoraa-vb1gz
    @MarthaMoraa-vb1gz 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂wah upendo namuuaji Tena 😢autaenda mbali ww mwanaume 😅

  • @Martha-w6h
    @Martha-w6h 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba kamau be a man enough or else next time you will 6 under fit😂😂😂😂

  • @MairieMarie
    @MairieMarie 2 หลายเดือนก่อน +20

    Baba kamau wwe ni bure kabisa

  • @emilykananu7869
    @emilykananu7869 2 หลายเดือนก่อน

    hii pesa itapotea, endeni uko kwenye zimechimbiwa, mapema dio best.

  • @PhylisNdwiga-y2r
    @PhylisNdwiga-y2r 2 หลายเดือนก่อน +2

    Lakini bona wamama wengine mko na roho ya unyama na mmepewa waume wazuri

  • @virginiawanjikuwanjiku3909
    @virginiawanjikuwanjiku3909 2 หลายเดือนก่อน

    After getting money tutalia zote either ukufe ama uwe kipofu 😊

  • @waruidaniel5850
    @waruidaniel5850 2 หลายเดือนก่อน

    Baba kamau ni ng'ombe Tu

  • @MuyamaPhina
    @MuyamaPhina 2 หลายเดือนก่อน

    I stand na mama kamau although baba Jeff aliaga😢😢

  • @beatrice-faithingodwaruta1258
    @beatrice-faithingodwaruta1258 2 หลายเดือนก่อน

    I thought Vero said she hid the money ushago Kwai from her msg to her mother

  • @catenjoroge8158
    @catenjoroge8158 2 หลายเดือนก่อน +3

    Fuuuundaaaa sana fuuuundaaaa sana wewe mama Kamau ulikuwa unataka kupata red carpet huko ama kuku ndio uwekwe poa 😏😏😏😥😥

    • @malaikajabali-oj2fh
      @malaikajabali-oj2fh 2 หลายเดือนก่อน

      Hii ni fudaaa kabisa eti anaweka pesa kwa ngunia....pia anakaa ngunia tu haina akili

    • @catenjoroge8158
      @catenjoroge8158 2 หลายเดือนก่อน

      @@malaikajabali-oj2fh hiii ni kono kono😏😏

  • @tashawambui7248
    @tashawambui7248 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ngombe ni ngombe tu

  • @aishaelias9071
    @aishaelias9071 2 หลายเดือนก่อน

    Huku ndio kuna bamba, banger after fracas 😂, we need vayolence

  • @sweetheart6813
    @sweetheart6813 2 หลายเดือนก่อน +1

    Twende kazi sasa ,kumechemka tena ,

  • @Ann-jv1vs
    @Ann-jv1vs 2 หลายเดือนก่อน +2

    This baba kamau is not serious

  • @YussufIMohamed
    @YussufIMohamed 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo pesa haipatikani

  • @janekingorieliud8563
    @janekingorieliud8563 2 หลายเดือนก่อน

    Ngojea

  • @marykaruri8994
    @marykaruri8994 2 หลายเดือนก่อน

    Baba Kamau ni yeye amejifikusha hapa...dealing with these criminals in a very soft way

  • @mercykihuha-rh9wi
    @mercykihuha-rh9wi 2 หลายเดือนก่อน

    Musa tumechoka na mapesa ... justice for Baba Jeff nuguii ,

  • @JanewambuiWambui
    @JanewambuiWambui 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ulichukua dio mukule na jamaa ya maziwa na bando uko na mtoto na yeye wacha kuleta maneno mingi peana pesa za wenyewe hio ingine utasolve bandae

  • @feliciteruzunga4652
    @feliciteruzunga4652 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo vero nikutaka kuazungusha atowe pesa , sam anamuekerea

  • @evahkaranja8993
    @evahkaranja8993 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama kamau hope utaona hii text fanya kazi tafuta pesa yako ....mamako akae maisha yenye unataka

    • @Mary-c7x
      @Mary-c7x 2 หลายเดือนก่อน

      Free advice😂😂😂😂😂😂😂

  • @Kary_254
    @Kary_254 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waiting sana from gulf chokaa is my bass

    • @estherkinyua914
      @estherkinyua914 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hizi za gulf ndizo tunafichanga huku.Chunga tu usitume .

  • @irunguwanjiru5260
    @irunguwanjiru5260 2 หลายเดือนก่อน

    C nipewe tu huyu baba Kamau 🤔🤔🤔

  • @naomikanyara8985
    @naomikanyara8985 2 หลายเดือนก่อน

    nimeanza kuelewa mama kamau sasa ,i know the pain ya kuona wazazi wakiteseka

  • @chiriijoy9368
    @chiriijoy9368 2 หลายเดือนก่อน

    Why not sanitizer mama kamau phone

  • @gloriateryan7351
    @gloriateryan7351 2 หลายเดือนก่อน

    Baba kamau ni mwanamke,wewe ni bure sana

  • @Asha-yn4bu
    @Asha-yn4bu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wizi wote washikwe justice for this guy mbwa ma malaya wote jela

  • @dicksonmagutu9953
    @dicksonmagutu9953 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba kamau if you are not careful...you will be next to b killed...you have all the evidence bt you are weakening the case by withdrawing it...shauri yako kitakuraba😮😮😮😮

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 2 หลายเดือนก่อน

    Okuyu, ukiandika majina yake next septic tank,

  • @chemutaijaneth568
    @chemutaijaneth568 2 หลายเดือนก่อน +1

    I hate how Baba Kamau is too soft

  • @ELIZABETHMWANGI-h6b
    @ELIZABETHMWANGI-h6b 2 หลายเดือนก่อน

    How did this end

  • @monicamaina3854
    @monicamaina3854 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanawake hawajamaliza kuuwana hii deal iko na watu wengi sana

  • @victoriawayua4514
    @victoriawayua4514 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mimi siwezi kaa na mtu hawezi saidia wazazi wangu lakini peana pesa

  • @0sengoshikondi.junior451
    @0sengoshikondi.junior451 2 หลายเดือนก่อน

    Vero has the money...afinywe kinembe na pliers..aongee

  • @mamaboizpure842
    @mamaboizpure842 2 หลายเดือนก่อน

    Mko hapa expecting kupata pesa ama

  • @JanetKungu
    @JanetKungu 2 หลายเดือนก่อน

    Nasimeasange inasema pesa ziko ushagoo😊

  • @Martha-w6h
    @Martha-w6h 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu vero ni mkora coz message was so clear akiambia mama yake watu wasiende huko chini kwa kware

  • @rosemarykihara9596
    @rosemarykihara9596 2 หลายเดือนก่อน

    If this money is still there, it will be found in Gathangari. Wacha mambo ya ki a Samuel. Vero ndio ako na pesa pamonja na Mama Kamau. Mtazungushwa hadi Yesu arundi bila mafanikio. Moja kwa moja mpaka Gathangari quick work. Twende Kazi.

  • @joymuthoni6975
    @joymuthoni6975 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pesa ziko kwa kina veloo amechimbia uko.angewapeleka kwao

    • @nixonrono9120
      @nixonrono9120 2 หลายเดือนก่อน

      Anaitwa veroo kasia

  • @hellengatimu1132
    @hellengatimu1132 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo pesa haitapatikana sama huyu Vero is playing with ur mind

  • @assumptamuhia8826
    @assumptamuhia8826 2 หลายเดือนก่อน

    Baba kamau why uchukue simu tu ya Vero Ata ya bibi chukua do wanacommunacate take your wife phone you sanitize again Ata mtajua who killed baba Jeff..uyu mzee ajichunge sana kichwa itapatwa river yala

  • @ElizabethNjeri-qx9wp
    @ElizabethNjeri-qx9wp 2 หลายเดือนก่อน

    Baba siu change uwe muhubiri juu vile unakaa kuna kits umepewa

  • @bablibee4980
    @bablibee4980 2 หลายเดือนก่อน

    Mzunguko tena 😮

  • @alyse5092
    @alyse5092 2 หลายเดือนก่อน

    Samaritan work on the sound please