YESU yu karibu kurudi. Huyu dada anazungumza ukweli juu ya Wasomali Waislamu. Huku Ulaya wengi wanabagua ukisema we ni Mkristo. Lakini cha ajabu ni kwamba hata wao Waislamu wa Kisomali na Waarabu wanabaguana pia. YESU azidi kukutumia my sister ili Waislamu wengi waje kwa Bwana. Amen
Nyoo atakuja huyo huyo kwasababu hajielewi nahuyo sio msomali anajinasibisha nawasomali lkni hakika yeye nimborana msomali huwezi muona ameritad hivi hivi never ever, sema kama huwajui waweza sema nimsomali lkni hakika sivyo niborana huyo naborana wengi wao ni makafir
@@yunusramadhan2546 Utaendelea kupiga teke mchokoo na utaumia tu ,Kwa YESU kila goti litapigwa kwake na kila ulimi utamkiri kuwa ni BWANA,siyo tu Myahudi bali hata Myunani pia
@@yunusramadhan2546 Bwana Kaka Mbona hasira nyingi? Mbona Waislamu mnakuwa na jazba sana? Jaribu kutumia muda wako kutafuta ukweli. Kwa kukusaidia naomba umsikilize Christian Prince kwenye TH-cam, kisha utafanya maamuzi binafsi. Usiseme sijakwambia… 🤣🤣🙏🏾🙏🏾
@@jimmykazoya1749 wanatumia hisia sio moyo😅😅😅 no one like Jesus Christ kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu kristo ni BWANA na mwokozi you wa maisha yetu
No muslim is a muslim if he / she doesn't believe in jesus... muslims are more Christian than the Christians themselves...hatumfuati yesu kwa mdomo tu pia matendo.
Yesu hubadilisha kweli....Tazama jinsi huyu dada alivyo na amani, utulivu na furaha. Angekuwa bado mwislamu angekuwa anaongea kama anayegombana, jinsi Msomali wa kawaida aongeavyo!!😂😂😂😂😂
@@wazomyakinifu2301 upande wa watu wasio elewa imani yao watu wasiokuwa na dini watu wasio soma maandiko kwa uwelewa watu wanaoshikiwa akili na viongozi wao watu wanaomuabudu mtu ambae yeye mwenyewe aliabudu yan wakristo wengi wao ni vilaza
@@wazomyakinifu2301 Hasara yako Mungu wako Yesu yusu Si Mungu kazaliwa kalelelewa ilipofika sikusaba katahiriwa alikua anakula anakunywa anakula a nakwenda chooni alikua anaishi Jerusalem kabila myahudi Mungu Hana sifa hizo
Uislamu unalindwa kwa bunduki bila hivyo ungeshapotea wengi wapo huko sababu wanaogopa kuuwawa kama wakiacha uislamu. Uislamu unaogopa competition ya kiimani toka kwenye imani zingine. Thus awataki ushindani
kabla Muhhamad hajazaliwa hajazaliwa Jews wanavaa hivyo kabla muhhamad hajazaliwa wa Roman catholic wanavaa hivyo wewe uwe mjinga tu kusema ni aya ilitoka kwa Allah wakati watu walikuwa wanafanya
@@abbyadams8691 before muhhamad azaliwe watu wanavaa hivyo wewe kwasababu ni limbukeni wa kuvaa hivyo utapiga kelele ni sawa na mtu kazowea gari na wewe umenunua leo by the way pamoja na kuvaa hivyo mbona muhhamad bado alimtani Aisha akiwa na miaka 6??
@@jesusislord9190 Km we ni mwanamke pole ako ila km ni mwanaume utakuwa mbioni kuwa mtoto wa kike. Kipi kibaya nilichoongea hadi ujae povu lote hilo? Nani asiejua kuwa wanawake wa Kiislamu wanajistiri vzr kuliko wanawake wa Kikristu? Au unapenda uadui na ubishi wa kijinga?
Wewe ulimuona shetani eti yesu filauni mkubwa ww mama mzima una ata Aya arafu wedavista umekosa Mikasa yamaana uyo katumwa namajini wamsituni eti yesu kua makini nawewe uko unaenda pabaya
Nimevutiwa sana na ushuhuda huu. Ziko jamii fulani ni vigumu Injili kuhubiriwa kwayo mpaka Yesu mwenyewe awatokee. Hebu tulio ktk hii neema tuitumie vizuri. Davister naomba namba yako ya WhatsApp
Subhanallah ( ametakasika mwenyezi mungu): sheria zote zinazo elezea kupigana zilishushwa kama maelekezo ya kujitetea . Mateso kwa waislam yalizidi kutoka kwa makafir hadi ikapelekea mtume kukumbia maka kwenda madina, pia baadhi ya maswahaba walikimbilia ethiopia kwa mfalme najash nchi ya sheba ethiopia ya sasa. Wale walio kuwa manaswala alafu wapo poa wawapidi na kuwatesa waislam waliishi vizuri tuu na waislam. Tatizo ukikutana na watu wanaotumia quran kwa malengo yao ndo watakupa misimamo mikali na uongo wa majini. Uislam umekataza kuua, uchawi, ushirikina na kutumia au kuyategemea majini. Ukiangalia huyo dada amependa uhuru sio haki .
Jaribu kumsikiliza Christian Prince on TH-cam …. Usikurupuke tu kwa sababu umekaririshwa imani ya Uislam. Muda bado unao, ukichelewa utamfuata Muhammad jehanam… Jina la YESU KRISTO Lihimidiwe…
@@jasiri25 umejuaje? Naomba source uliyoitumia kupata raarifa hiyo au nipe reference ya hicho unachosema. Isijekuwa unatoa kichwani au kwenye vijiwe vya saluni na kahawa.
Sie wa kwanza uyu wapo wengi kama yeye walijitokeza kuuponda uislam, ikajulikana baadae kwamba walilipwa na kupewa ulinzi mkali kwa maneno yao ya uongo.
Kama anavyosema Mtume Yakobo katika Bibilia kwamba maombi ya mchamungu yanajibiwa wakati akasema kama waumini waoembeane na waungamane madhambi yao wao kwa wao
Qur'an inasema hakuna kulazimishana Katka Dini Waislamu hawalazimishi mtu kuingia kwenye uislamu , Wanakupa Elimu ukikubali sawa ukikataa hawakulazimishi
Huyo ni Kenya Kama kweli ni msomalia Stowe mjitandio watu waone nywele zake kama za kisomalia Anadai kazaliwa tanzania singida ila kiswahili chakula ni cha kikenya na maneno engine anaongea nita kingereza na huyo ni hali ya Kenya sio tanzania Kwakweli anajitahidi ila wapiiiii Uislam unazidi kuendelea na ndio dining inayo kuwa kwa kazi duniani watu wanazidi kuingia katia dining ya haqi ya kiislam Sasa sijuwi mwanamke mwenye kujiheshimu spandex polish piki stakes aje? Mgu umoja kusoto na mwengine Julia? So miguu tote upande umoja? Yaani anajipanuwa migu kwenye Boda boda........ aibu hiyo DADA mwanamke hujistiri hata katia Lukas Unapashwa Lukas vizuri Waislam tunatosha natuko wengi tuu
Na hilo shuka hakuna malaika ashuke heti kutoka juu akupe eti shuka huo ni unafki huyo ni jini wako tu wewe bwana usiukashifu uislam kama huna maneno ya kuongea koma
Kila anamtazamo wake na beliefs zake binafsi pia inategemea je umepitia mambo mangapi?! ILA tujiangalie sisi wote binadamu..M/Mungu ni huu MMOJA TU. So katika comments please usiwaseme vibaya wala kuwatukana dini zingine . Davista mwenyewe anasema kuna Wakristo, waislamu, watu ambao hawana dini wote tunafuatilia kujifunza zaidi so pls kabla hujaandika comment, fikiria vizuri.. lengo la Davistar tujifunze na pia tuwe na umoja flani hivi au vipi? Sawa tuenjoy sasa 😁
MUNGU BARIKI DADA MM NINGEPENDA KUKWAMBIA SHETANI PIA MUJANJA UTA SHINDA YOTE ILA NAOMBA TUSOME NA WW VIFUNGU HIV HAPA NAOMBA DADA VICTORIA UPITUE HIZI VIFUNGU I WAKORINTHO =6_19 =2 WAFALME =9_30.=UFUNUO WA YOHANA 2 _20. =1 PETRO _3_4
Wakristo na Waislamu hatuna uadui mbali binadamu tunaleta shida...sio kama waislamu hatumtambui Yesu, sisi tunamini kwamba Yesu alikuwa Nabii .. yaani ni kwamba huwezi kuwa Muislamu bila kukubali uwepo wake Yesu na kwamba yeye alikuwa Nabii ambaye kaishusha Biblia (Old Testament) .. ukiangalia pia Old Testament na Qur'an kuna vitu vingi zinafanana
Kuna tofauti ya culture na religion, how come ni haram kupanda pikipiki Enzi za mitume palikua hakuna pikipiki, hii labda ni culture ya kisomali sio dini ya kiislam. Na wa Somali sio waarabu. Sio kila nchi Ina waislam wengi ni waarabu Kuna nchi 100% Muslims na sio waarabu like Indonesia and Malaysia.
Kusema kweli....Nchi ama sehemu zinazoendekeza mchanganyiko wa wake na waume zinaongoza katika uzinzi,usherati, watoto waliozaliwa nje za ndoa,ukahaba,ulevi,ufukara....n.k!
Kama unakubali kazi za Davistar like hapa twende sawa
Nipo hapa mombasa Guest House
Ni ya wasomari naona ubaguzi wao wazi wazi. Mungu awajalie neema ya kumjua kristo Yesu
Kinachofanya nmpende Yesu hatetewi na mtu anaweza yote kwa yeye mwenyewe
Agree 💯
@@biblicalknowledge2734 this is the problem...unasoma history na reverse.
That is the definition of GOD.. ( I am who I am)
@@paschazianestorymatunda5972 that's according to you but to jesus he always testified that there ir god and him... 2 different things
🙏
Wah!!!!! YESU KRISTO KWELI YU HAI !!!! NATAMANI MACHO YA KITOHO NIMUONE PIA❤❤❤❤❤
Saivi kuna uamsho Somalia mkubwa sana Yesu anainuliwa,wapo wasomali wakristo wanaongezeka sana
Lazima waongezeke kwasabu wanaona unaofanyika ni ushetani
Mmmmmh, weka ushuhuda hapa hatutaki maneno matupu!
Sio wakristo yan waliompokea Yesu maan ukisema wakristo kuna wakristo hawajampokea Yesu
Uislam ni dini ya kutumia nguvu
Yesu Kristo ni Mwokozi. Mtenda miujiza.
YESU yu karibu kurudi.
Huyu dada anazungumza ukweli juu ya Wasomali Waislamu. Huku Ulaya wengi wanabagua ukisema we ni Mkristo. Lakini cha ajabu ni kwamba hata wao Waislamu wa Kisomali na Waarabu wanabaguana pia. YESU azidi kukutumia my sister ili Waislamu wengi waje kwa Bwana. Amen
Nyoo atakuja huyo huyo kwasababu hajielewi nahuyo sio msomali anajinasibisha nawasomali lkni hakika yeye nimborana msomali huwezi muona ameritad hivi hivi never ever, sema kama huwajui waweza sema nimsomali lkni hakika sivyo niborana huyo naborana wengi wao ni makafir
@@yunusramadhan2546 Utaendelea kupiga teke mchokoo na utaumia tu ,Kwa YESU kila goti litapigwa kwake na kila ulimi utamkiri kuwa ni BWANA,siyo tu Myahudi bali hata Myunani pia
@@yunusramadhan2546 Bwana Kaka Mbona hasira nyingi? Mbona Waislamu mnakuwa na jazba sana? Jaribu kutumia muda wako kutafuta ukweli. Kwa kukusaidia naomba umsikilize Christian Prince kwenye TH-cam, kisha utafanya maamuzi binafsi. Usiseme sijakwambia… 🤣🤣🙏🏾🙏🏾
@@jimmykazoya1749 wanatumia hisia sio moyo😅😅😅 no one like Jesus Christ kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu kristo ni BWANA na mwokozi you wa maisha yetu
No muslim is a muslim if he / she doesn't believe in jesus... muslims are more Christian than the Christians themselves...hatumfuati yesu kwa mdomo tu pia matendo.
Waisilamu hawana bahati raundi hii kitaeleweka tuu, JESUS is the king 👑
Hahahahaahaaaaaaa
Fuck u hatupo hapa kutukaniana dini mbwa wewe respect dini za watu
Jesus wako pia muislamu kama hujui pimbi wewe 🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿
Jesus ni nabii isa na hajafa wala hajasulubiwa Bali alifananishwa ndo nakupa taarifa kama ulikua hujui kichaa wewe
Alisema anaitwa issa bin mariam sasa wakiristo wanamjua issa siwanamjua yesu
Ubarikiwe sana mtumishi, Mungu akufanye kua kioo ili wengi wakufuate kwenye kweli.
Kazi nzuri sana DM.tuko pamoja
Yesu hubadilisha kweli....Tazama jinsi huyu dada alivyo na amani, utulivu na furaha. Angekuwa bado mwislamu angekuwa anaongea kama anayegombana, jinsi Msomali wa kawaida aongeavyo!!😂😂😂😂😂
Ubarikiwe dada Mungu wangu amekuponya
Amen ubarikiwe mtumishi.
Kila goti litapigwa,kwa Bwana Yesu kristo wa Nazareth aliye hai
Jina la YESU Christo lipewe sifa
Kumbe kuna watu wanatesekea because of Ndini kwa hii ndunia 😭😭😭🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
we mama kwani ukiristo unaruhusa girl friend na boyfriend huyu mama ni firauni tu amelipwa kufanya haya lakini haifanyi kazi
Allah hana shida na yeye na akifa na hali hiyo wallah atajutia nafasi alioipoteza
Okoka acha dini ya mapepo
Dada yuko upande sahihi. Achana na majini weye . Funguka . Yesu ni jibu
@@wazomyakinifu2301 upande wa watu wasio elewa imani yao watu wasiokuwa na dini watu wasio soma maandiko kwa uwelewa watu wanaoshikiwa akili na viongozi wao watu wanaomuabudu mtu ambae yeye mwenyewe aliabudu yan wakristo wengi wao ni vilaza
@@wazomyakinifu2301 Hasara yako Mungu wako Yesu yusu Si Mungu kazaliwa kalelelewa ilipofika sikusaba katahiriwa alikua anakula anakunywa anakula a nakwenda chooni alikua anaishi Jerusalem kabila myahudi Mungu Hana sifa hizo
Kwa YESU hakuna kufa,kila aishie na kumwamini YESU ajapokufa atakuwa anaishi,,
Hii ya Moto🔥🔥Asante davistar....haya weka link ya 3000 pia watu wajiunge🇰🇪
huyu dada sijui kalipwa kiasi gani kuzungumza uwongo inaonyesha wazi kuwa alikuwa hajitambui wakati alipokuwa huko alikofadhiliwa alipoanza kusoma
Wasomali wako Karibu sana na Waarabu, Uislaamu wa kupitiliza.
Mbarikiwe sana
Ubatizo ni Kwa jina la YESU
Bwana yesu asifiwe
Amen
Amen 🙏🙏🙏
Ushuhuda karibuni tena, ziko nyingi sana ila kukubali ukweli
Huyu mwongooo kabisaa
Tunaomba watu wapunguze jazba tusikilize story kwa utulivuuuuu!
Mapemaaa umetahadharisha
@@bintalmasi2393 Ndo ivo maana nyie ndugu zetu hamnaga simile.Msisikie mtume katajwa povu km lote!😄😄😄😄
💯💯💯💯💯
@@biblicalknowledge2734 teh teh umeandika maneno meengii ila ukweli ni kwamba Yesu ni Kweli
@@bintalmasi2393
Yesu ni kweli ktk lipi???..
Tuko pamoja Yupo Mungu mmoja tyu alie hai na wa kweli Ambaye hana historian ya kushindwa jambo lokote
Uyu yesu namjua amewai kuntokea mara kadha sema mwanga wamajabu uwezi kumtizama direct bcz of burning sensation 👌
What do you mean by burning sensation😮
Davista mkubali Yesu
Uislamu unalindwa kwa bunduki bila hivyo ungeshapotea wengi wapo huko sababu wanaogopa kuuwawa kama wakiacha uislamu. Uislamu unaogopa competition ya kiimani toka kwenye imani zingine. Thus awataki ushindani
Exactly,,,ungekuwa umeisha kabisa
Kama kweri umebadili dini kuwa Mkiristo inalillahi wainailahi rajuun. Msiba mkubwa huwo. Kumbe swaitwani alikuteka tokamtoto
🤣🤣🤣 stetani kamteka au YESU kammiliki?
Asante Bwana Yesu kwa kutuamsha salama, Asante Shekh Davista, kwa kutusogezea karibu
Davista siyo Shekh, ni mtumishi wa KRISTO YESU! Neno Shekh peleka uarabuni, hayo maneno ndiyo yameleta uharibifu kwenye BIBLIA TAKATIFU
Mungu ni mwema
Kabisa
SubxanaAllah SubxanaAllah SubxanaAllah
😂😂
Tunashukuru Mungu shuka haijageuzwa mafunuo ya kufanyia ishara na maajabu.Ingeshachanwachanwa siku nyiiingiii
waisilam mtabaki kukataa ukweli umesha onekana mpaka uende jehanam ndotajifunza lakini utakuwa kwenyemoto sijuiutasema je
JESUS CHRIST IS LORD KING OF GLORY AND OUR SAVIOR OF THE WORLD NOW AND FOREVER!
Lies.
Wadada na wamama wa Kikristu mmeona mama mwenzenu alivyojistiri? Hivi ndivyo Biblia imeagiza.
kabla Muhhamad hajazaliwa hajazaliwa Jews wanavaa hivyo kabla muhhamad hajazaliwa wa Roman catholic wanavaa hivyo wewe uwe mjinga tu kusema ni aya ilitoka kwa Allah wakati watu walikuwa wanafanya
@@jesusislord9190 We jamaa acha kurupuka soma sms uelewe.Nani kamtaja Muhammad? Kwa mihemko uliyonayo huna hadhi ya kujiita Jesus is the LORD.
@@abbyadams8691 before muhhamad azaliwe watu wanavaa hivyo wewe kwasababu ni limbukeni wa kuvaa hivyo utapiga kelele ni sawa na mtu kazowea gari na wewe umenunua leo by the way pamoja na kuvaa hivyo mbona muhhamad bado alimtani Aisha akiwa na miaka 6??
@@jesusislord9190 Km we ni mwanamke pole ako ila km ni mwanaume utakuwa mbioni kuwa mtoto wa kike. Kipi kibaya nilichoongea hadi ujae povu lote hilo? Nani asiejua kuwa wanawake wa Kiislamu wanajistiri vzr kuliko wanawake wa Kikristu? Au unapenda uadui na ubishi wa kijinga?
Hijabu zinapigwa moto Iran
Wewe ulimuona shetani eti yesu filauni mkubwa ww mama mzima una ata Aya arafu wedavista umekosa Mikasa yamaana uyo katumwa namajini wamsituni eti yesu kua makini nawewe uko unaenda pabaya
Ghasia ya Mohammed bin kailfiri mtume nguruwe kabisa
Maisha hayo maisha gani?? Ya kigaidi kbsa duh
Nimevutiwa sana na ushuhuda huu. Ziko jamii fulani ni vigumu Injili kuhubiriwa kwayo mpaka Yesu mwenyewe awatokee. Hebu tulio ktk hii neema tuitumie vizuri. Davister naomba namba yako ya WhatsApp
Dada umetisha! Umenielewa mpaka hapo…?😊
Dada unaelezea vizr sana
Natamani Sana kulishika Hilo shuka nipate uponyaji
Amen YESU Apewe sifa
Amelipwa shilling ngapi huu uongo mtupu subhanallah
That was Jesus.🇶🇦🇰🇪
ila Somalia wakali sana , iyo ZAIDI ya sheria za dini dahh hatari
Matayo 28:19-20, Mkawafundishe..
Mshauri dada achane na mapambo iri amu one yesu
Mapambo yanazuia amuone yesu kivipi ,, fafanua.. katika misingi ta bibilia
Nice story ❤
Huyo ni muongo nimtu wskutezea dini zawstu atafuta pesa ataka msada
Subhanallah astaqfirullah
Ni njaahiyo mama hhhhh tafuta msada
Musimuamini huyo hana dini
Amekuja kutafuta msada njaa hiyo akisha pata pesa hamumuoni huyo
Mungu mwema
Sana
Subhanallah ( ametakasika mwenyezi mungu): sheria zote zinazo elezea kupigana zilishushwa kama maelekezo ya kujitetea . Mateso kwa waislam yalizidi kutoka kwa makafir hadi ikapelekea mtume kukumbia maka kwenda madina, pia baadhi ya maswahaba walikimbilia ethiopia kwa mfalme najash nchi ya sheba ethiopia ya sasa. Wale walio kuwa manaswala alafu wapo poa wawapidi na kuwatesa waislam waliishi vizuri tuu na waislam. Tatizo ukikutana na watu wanaotumia quran kwa malengo yao ndo watakupa misimamo mikali na uongo wa majini. Uislam umekataza kuua, uchawi, ushirikina na kutumia au kuyategemea majini. Ukiangalia huyo dada amependa uhuru sio haki .
mbona mimi najua kama muhammad ni mtu hatari sanaa angeogopa nn kuuliwa sasa wakat alikuwa na uwezo mkubwa wa vita
Jaribu kumsikiliza Christian Prince on TH-cam …. Usikurupuke tu kwa sababu umekaririshwa imani ya Uislam.
Muda bado unao, ukichelewa utamfuata Muhammad jehanam…
Jina la YESU KRISTO Lihimidiwe…
Huyu ni muongo wakupitiliza
@@jasiri25 umejuaje? Naomba source uliyoitumia kupata raarifa hiyo au nipe reference ya hicho unachosema. Isijekuwa unatoa kichwani au kwenye vijiwe vya saluni na kahawa.
@@benjaminkiteleke8458 Fungua TH-cam na uanze kumsikiliza Christian Prince…
Ndo utajua kuwa hujui.
Unasikia vile waislamu walivyo wabaya kupita kawaida, siwatu wazuri kabisa yani
Hushuuda huu unanigusa sana Dvst. Mzmbq
Sie wa kwanza uyu wapo wengi kama yeye walijitokeza kuuponda uislam, ikajulikana baadae kwamba walilipwa na kupewa ulinzi mkali kwa maneno yao ya uongo.
Hao wanatokewa na majini zao alaf wanasema wamemuona yesu,mie hvyo vitu nimeshatokewa navyo vingi tu.uyo ana jin sharif sio yesu..sharif ndo zake.
Muomgo makubwa Garissa Na border ya Somalia wapi Kwa wapi....eti NEP GIRLS ni Karibu Na border..
Huyo ni Somali woman am akenyan nawajua Bora
Kama anavyosema Mtume Yakobo katika Bibilia kwamba maombi ya mchamungu yanajibiwa wakati akasema kama waumini waoembeane na waungamane madhambi yao wao kwa wao
Qur'an inasema hakuna kulazimishana Katka Dini
Waislamu hawalazimishi mtu kuingia kwenye uislamu ,
Wanakupa Elimu ukikubali sawa ukikataa hawakulazimishi
ayee
Haya haya, Othman Mulendelwa, Hamis Hassan, Hussein Gabo, Fahmi Al-Bahri nategemea jibu lifuatalo kwenu "huyo siyo msomali, hakuna msomali mkristo" poleni nyie na wengine wote! Oooooh, somali hakuna makanisa, oooooh hakuna msomali mkristo!
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wapo wengi Sana ebu search Adam haji ni msomali
@@fenellalilian4590 Ok sawa nimekuelewa, nilibuni majibu ya wanaochukia UFALME WA KRISTO YESU
Tafuta Somali Christian TV channel.
Huyo ni Kenya
Kama kweli ni msomalia Stowe mjitandio watu waone nywele zake kama za kisomalia
Anadai kazaliwa tanzania singida ila kiswahili chakula ni cha kikenya na maneno engine anaongea nita kingereza na huyo ni hali ya Kenya sio tanzania
Kwakweli anajitahidi ila wapiiiii
Uislam unazidi kuendelea na ndio dining inayo kuwa kwa kazi duniani watu wanazidi kuingia katia dining ya haqi ya kiislam
Sasa sijuwi mwanamke mwenye kujiheshimu spandex polish piki stakes aje?
Mgu umoja kusoto na mwengine Julia? So miguu tote upande umoja?
Yaani anajipanuwa migu kwenye Boda boda........ aibu hiyo DADA mwanamke hujistiri hata katia Lukas
Unapashwa Lukas vizuri
Waislam tunatosha natuko wengi tuu
Utukufu kwa MUNGU WETU aliye hai......
Moto nowako km hujarudi kwenye uislam
Huyu si msomali🤣🤣🤣
Eehhh maana ndo wanvyosemaga,,,utakuta hutu sio muislam hahahahhaha
Sio msomali kabisa,story yenyewe haieleweki ,sio msomali huyu ni borana,hakuna msomsali pure anaweza ritad,asichafue makabila ya watu😏
@@sarakin5504 dats maborana ndio wamejaaa uko isiolo na uko boda za Ethiopia uyo ni boranaa not somalia
Mr facts
Kisa chake kama cha adam Haji msomali Mkristo anasema kule wakristo wanafanya ibada kwa siri sana
Pesa ximekupoteza ww mama acha kudanganya watu dini yahaki ni uislam tu
isiolo hapaa tuu
Salimia Ruto na Raila!
Bro...
Huu kweli ni msomali ila kafwata biashara
TH-cam channel yake ni gani
Fungu ulilochagua ni jema Yesu hata kuacha kwa lolote
Usilamu haujasema mbaguwane watu tu wenyewe wanajifanyiya wasisigizie usilamu hakuna kitu hicho
Pole
Hujui chochote kuhusu Quran. Kuna mistari mingi kwenye Quran inayobagua watu.
Unajidanganya mwenyewe
@@abbyadams8691 POLE
POLE
Rudi somali muongo anataka pesa
Na hilo shuka hakuna malaika ashuke heti kutoka juu akupe eti shuka huo ni unafki huyo ni jini wako tu wewe bwana usiukashifu uislam kama huna maneno ya kuongea koma
Kila anamtazamo wake na beliefs zake binafsi pia inategemea je umepitia mambo mangapi?! ILA tujiangalie sisi wote binadamu..M/Mungu ni huu MMOJA TU. So katika comments please usiwaseme vibaya wala kuwatukana dini zingine . Davista mwenyewe anasema kuna Wakristo, waislamu, watu ambao hawana dini wote tunafuatilia kujifunza zaidi so pls kabla hujaandika comment, fikiria vizuri.. lengo la Davistar tujifunze na pia tuwe na umoja flani hivi au vipi? Sawa tuenjoy sasa 😁
Subhana Allah
Mathayo 28:19-20
JESUS IS LORD
Where is it written?
MUNGU BARIKI DADA MM NINGEPENDA KUKWAMBIA SHETANI PIA MUJANJA UTA SHINDA YOTE ILA NAOMBA TUSOME NA WW VIFUNGU HIV HAPA NAOMBA DADA VICTORIA UPITUE HIZI VIFUNGU I WAKORINTHO =6_19 =2 WAFALME =9_30.=UFUNUO WA YOHANA 2 _20. =1 PETRO _3_4
Davista mtafute phofet Adam haji...msomali aliekoka alitokewa na Yesu akiwa msikitini,,ana booooonge la story
Innalillahi wainna ilaihiraajiun...
Inalilah wainailah rajiun
Njaa mbaya sana
@@fadhumoyusuf7092 njaa Mohammed kafiri huyo
Wakristo na Waislamu hatuna uadui mbali binadamu tunaleta shida...sio kama waislamu hatumtambui Yesu, sisi tunamini kwamba Yesu alikuwa Nabii .. yaani ni kwamba huwezi kuwa Muislamu bila kukubali uwepo wake Yesu na kwamba yeye alikuwa Nabii ambaye kaishusha Biblia (Old Testament) .. ukiangalia pia Old Testament na Qur'an kuna vitu vingi zinafanana
Yesu Kristo si Naabi ila alikuja duniani kwa mfumo wa kibinadamu ila ni Mungu
Sio KUPIGANA KUWAUWA AU KUWAUMIZA WATU HIYO HAIRUSIW KTK ISLAM
Wewe nenda kasome vizuri dini si kupiga a kwa mapanga wewe mjinga kuana akiri vizuriiii
Kuna tofauti ya culture na religion, how come ni haram kupanda pikipiki Enzi za mitume palikua hakuna pikipiki, hii labda ni culture ya kisomali sio dini ya kiislam. Na wa Somali sio waarabu. Sio kila nchi Ina waislam wengi ni waarabu Kuna nchi 100% Muslims na sio waarabu like Indonesia and Malaysia.
Wewe dada unaigiza kama kweli we mkristo sasahivi mbona bado umevaa hijabu
Kalipwaa uyo tayari ata story yake ni uwongo mtupu
hata kuendesha gari ehee
Kusema kweli....Nchi ama sehemu zinazoendekeza mchanganyiko wa wake na waume zinaongoza katika uzinzi,usherati, watoto waliozaliwa nje za ndoa,ukahaba,ulevi,ufukara....n.k!
All Glory be to God
🙏
Ameeen forever ever amen
Wajukuu wa mtume wamekasirika
🤣🤣🤣🤣😆😉
Kinoma....majini yamepanda wamechukia kishenzi 😂🤣
Stakhfurullah
Wanda wanaoishi nchi za kiislam hawana haki wanachukuliwa kama wanyama
Usha hidi unao au unaropokatu kijidudu mtu wewe kafir mdogo sana wewe jiangalie sana na utakuja lipwa uongo wako huo
Matayo 28:18-20
Mbona haina sauti
Somali ukikutwa na bangi utasamehewa lakini ukikutwa na Biblia kifo ndo hukumu yako. Sema technology imewashinda kuzuia online bible