Mungu akusamehe maombi kwetu ndio silaha ya ushindi Mungu tunakuomba msamehe huyu kijana endelea kuibariki simba yetu wape afya njema wachezaji wetu na viongozi wote tunakuomba mwenyenzi Mungu utupe ushindi kila mechi tena ushindi mnono.Ninaomba nkiamini upo pamoja nasi. Amen.
Mandala maombi ya ni Muhimu uwe na nguvu au usiwe na nguvu mambo yanahusiana na Mungu hayana Mzaha msipitilize maneno kueni na hakiba Simba inacheza vizuri lakini maswala ya Mungu, Tumwachie Mungu,
Sasa kaka mwanzoni umeanza vizuri unamaliza vibaya wakati wa furaha hendo hisia zako ndugu Mungu ndo Kila kitu hata kwenye maisha Yako huna uwezo wakujiongoza mwenyewe pasipo mungu
Du! Kaka leo unakufuru Mungu kwanza kuna wengine waliongea ujinga waletew malaika wacheze nao leo nin kimewakuta ? Weka akiba ya maneno ukishinda mshukuru Mungu na kuzidi kuwaombea wachezaji wetu
Ww jamaa umeanza ujinga utatufanya tufungwe,eti unatumbia nguvu zako cyo nguvu za yesu,chizi ww ushirikina umeweka akilini mwako,bila maombi bila Mungu simba hatuwezi kitu,simba tunamtegemea Mungu..umeanza vzr mwishon unaharibu..simba wote tunamtegemea Mungu na wachezaji wote wa simba waende wakaombewe wawe salama zaidi achaneni na chizi huyu anashindwa kutuliza hisia na mapenz anamsahau Mungu..ww unafikiri hawa wachezaji kabla hawajacheza hawamuombi Mungu?unataka ufanye team yetu ipate laana tuanze kufungwa ww,hakuna atakaye unga mkono maneno yako bwege ww
MUNGU Akusamehe, Shabiki mwenzetu, Kwamaana ukujitambua wakati ulipokuwa unaongea unaongea upuhuzi. MAOMBI Ndokilakitu. Wewe nawe Unatakakuomba kucheza na Malaika? Tusijiingize katika mtego wa shenanigans Wana SIMBA.
Mwamba nakukubali sana
Mandala heshimu maombi,Mungu hataniwi
Utani ufanyike ila Tusijaribu kudhihaki maombi mashabik🎉, yote kwa yote Simba nguvu Moja ❤❤
Tutaendelea na maombi kwa Mungu endeleeni na tunguri zenu ...
Maombi ya mwamposa nayonimaombi?
@@AshelyAbel-x1q usamehewe tu bure maana haujui ulitendalo
Mungu akusamehe maombi kwetu ndio silaha ya ushindi Mungu tunakuomba msamehe huyu kijana endelea kuibariki simba yetu wape afya njema wachezaji wetu na viongozi wote tunakuomba mwenyenzi Mungu utupe ushindi kila mechi tena ushindi mnono.Ninaomba nkiamini upo pamoja nasi. Amen.
Mandala maombi ya ni Muhimu uwe na nguvu au usiwe na nguvu mambo yanahusiana na Mungu hayana Mzaha msipitilize maneno kueni na hakiba Simba inacheza vizuri lakini maswala ya Mungu, Tumwachie Mungu,
Duuuuh baba umetishaaaaa
Sasa kaka mwanzoni umeanza vizuri unamaliza vibaya wakati wa furaha hendo hisia zako ndugu Mungu ndo Kila kitu hata kwenye maisha Yako huna uwezo wakujiongoza mwenyewe pasipo mungu
Ametereza sisi Simba nguzo yetu kuu ni Mungu.
Ametereza sisi Simba nguzo yetu kuu ni Mungu.
Kisinda wa. Yanga
Oyaaa jombaa punguza maneno mueke Mungu pembeni, tuna mtegemea sana. Maombi muhimu. Usitutie nuksi
Huyu jamaa anajisahau sana, hii ndio mikosi yenyewe hii
Mabao 29 dah! Kweli ubaya ubwela, Happy new year 🎉
Kaka Mimi Simba ila usipende kuzalau maombi mungu ndo Kila kitu ongea vitu vya maana
Uchawi ulee
Ngogwe anawachezaji wazee
Uku mwisho umepuyanga kuingiza mambo ya MUNGU kwenye upuuzi.
Magoli ya mwamposa
UBAYA UBWELA😂😂😂
Kwahiyo uchawi simba balaa 😂😂😂 mmetumia uchawi siyo yesu....
We Fala kauli zako zitatuponza, wenzako nyuma mwiko waliropoka hivyohivyo kuwa wanataka kucheza na malaika
Du ilindolilikuwa lina sema yanga bingwa😅
Huyu ameshatuaribia mpango wetu Mungu tusamehe,usisikie sauti ya huyu anayeropoka
Aisee tumuheshimu MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI atusaidie kama mimi namtegemea SANA
Mandala kuna wakati unafeli,kauli za kusema Hatumtegemei Mungu iliwaponza wale ngogwe,sasa usihamishie na huku laana
Du! Kaka leo unakufuru Mungu kwanza kuna wengine waliongea ujinga waletew malaika wacheze nao leo nin kimewakuta ? Weka akiba ya maneno ukishinda mshukuru Mungu na kuzidi kuwaombea wachezaji wetu
Mwamposa nan bana wee 😅😅😅😅. Kaka labda waibe kombe 😂😂😂
Mng'oa viti maalum huyo 😂😂😂
Ubaya ubwela
Usituletee balaa, maombi tunafanya sana, Mungu kwanza na maombi muhimu. Wenzako walisema waletewe Malaika, wewe umeshinda bila Maombi
Mshaanza kusema ovio sasa mnashida Bila maombi haya sasa
Hovyoooo uharooo mtupuuu
Goli za penalti na offside 😂😂
GSM mtamtaja Tu
Ww jamaa umeanza ujinga utatufanya tufungwe,eti unatumbia nguvu zako cyo nguvu za yesu,chizi ww ushirikina umeweka akilini mwako,bila maombi bila Mungu simba hatuwezi kitu,simba tunamtegemea Mungu..umeanza vzr mwishon unaharibu..simba wote tunamtegemea Mungu na wachezaji wote wa simba waende wakaombewe wawe salama zaidi achaneni na chizi huyu anashindwa kutuliza hisia na mapenz anamsahau Mungu..ww unafikiri hawa wachezaji kabla hawajacheza hawamuombi Mungu?unataka ufanye team yetu ipate laana tuanze kufungwa ww,hakuna atakaye unga mkono maneno yako bwege ww
Mungu kwanza acha ujinga. Hujui kushinda ni Mungu fala wewe
Yesu hawakuamini wewe je Mungu watamwamini? Waonyeshe nguvu yako kwa yanga kushida nakubeba kombe 2024/2025 wakurudie
MUNGU Akusamehe, Shabiki mwenzetu, Kwamaana ukujitambua wakati ulipokuwa unaongea unaongea upuhuzi.
MAOMBI Ndokilakitu.
Wewe nawe Unatakakuomba kucheza na Malaika?
Tusijiingize katika mtego wa shenanigans Wana SIMBA.
Auna akiri ongerea timu yako
Huyu jamaa cjawahi kumsikia akiongea pointi hata cku moja
Ww mbona hatujawahi kukuona uongeze nenda kaongee na wee
Mwalimu yanga aliongea point lini?
Pole sana 😂😂😂😂😂
Wee acha ujinga sisi wanasimba lzm tuombee tunamwomba MUNGU ndo haya yanatokea pumbavu
Kwakuwa anamtaja yesu au
Mshamba wewe karare