TOP 10 MIJI MIZURI ZAIDI AFRIKA MASHARIKI.| Darasamedia Podcast Ep1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • NIKWAMBIE USIDANYIKE….. ! Kwamba ukanda wa Mashariki mwa Afrika eti hakuna miji mizuri sio kweli!. Miji ipo mizuri sana ambayo inafaa kabisa watu kuishi na kufurahia uzuri wa miji hii ambayo mazingira yake yamekuwa zawadi toka kwa MUNGU iliyoitoa kwa ukanda huu wa bara la Afrika.Kutokana na ushindani uliopo miongoni mwa miji ya Afrika mashariki, .Vipo vigezo vya kimataifa vilivyotumika kusema mji fulani ni mzuri ,mara nyingi vigezo hivi huzingatia muonekano wa vitu vya asili kama vile mito,maziwa,bahari,miti,milima,tambarare na kadhalika Ingawa haimanishi vitu kama mpangilio wa makazi,barabara kwamba havizingatiwi.Lakini baadhi ya vigezo vikuu ni mwonekano wa kijani(the green field), vyanzo vya maji vinavyozunguka mji(water bodies ’round city),milima,mabonde na maeneo ya tambarare katika eneo la mji,usafi na utaratibu mzuri wa kutupa taka(city clarity n’ waste managment

ความคิดเห็น • 87

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx หลายเดือนก่อน

    Real true kinachoishushia thamani Mwanza ni Miundombinu

  • @gracejulius3966
    @gracejulius3966 ปีที่แล้ว +8

    Sidhani kama jiji la Arusha linazidi jiji la Kampala, na sidhani kama jiji la Mwanza linastahili hiyo namba moja

    • @Mtajirishaji360
      @Mtajirishaji360  ปีที่แล้ว

      Tusaidie kujua
      Idadi ya watu kampala
      Kujua miuondombinu
      Shughuli za uchumi
      Pato lake kwa mwaka
      Na vigezo ambavyo unahisi vinazidi Arusha

  • @norberthamlowe2363
    @norberthamlowe2363 2 หลายเดือนก่อน

    Dar es salaam inashika nafasi ya 1. Nairobi nafasi ya 2. Dar es salaam the beautiful city and it assured to be called the city of peace!

  • @edsonmoshiro4547
    @edsonmoshiro4547 ปีที่แล้ว +1

    Kwa jinsi mwanza walivyo waharibifu wa mazingira na mfumo wa majengo, na miundombinu barabara haiwezi kuwa ya kwanza. Miti imekatwa mpaka ufukweni mwa Ziwa na poa ujenzi kiholela hasa kwenye vivutio ya asili ambavyo ni mawe na hifadhi za wanyama.

  • @angelohabonimana960
    @angelohabonimana960 2 ปีที่แล้ว +3

    Nairobi noma,ndio ingeishika nafasi ya kwanza

    • @mwana4599
      @mwana4599 2 ปีที่แล้ว +1

      Hapana. Dar Es Salaam.ndio ya kwanza sasa hivi.

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 2 ปีที่แล้ว

      @@mwana4599 tungalia uzur sio ukubwa Mwanza inastahili

  • @AutoCarimo
    @AutoCarimo 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe muwongo sana

  • @DerrickMuse
    @DerrickMuse 7 หลายเดือนก่อน +1

    nyinyi wtz masomo yenu yeregbishwe

  • @kanaelikanuya7919
    @kanaelikanuya7919 ปีที่แล้ว +2

    Uzuri upi

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 ปีที่แล้ว

    Hapana Mwanza ndio namba Moja du kweli

  • @MariamKijuu-y2o
    @MariamKijuu-y2o ปีที่แล้ว +1

    Arusha oyee

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 ปีที่แล้ว +2

    Hakika ni mji wa mwanza big up sn home

  • @jumazuberihomera6773
    @jumazuberihomera6773 ปีที่แล้ว +1

    Mbeya

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 ปีที่แล้ว

      Mbeya kuna nini na uku ukifika hata katkat ya jiji hapajulikani ni wapi
      Mbeya bado sana hata Dodoma imetoka nyuma imewapita

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 5 หลายเดือนก่อน

    KWA MAENEO AMBAYO YANAIONDOLEA CREDIT MWANZA. ENEO LA KIRUMBA BANA NA MITAA YA FURAHISHA HATA SIIELEWI ELEWI

  • @masalumakoye2550
    @masalumakoye2550 ปีที่แล้ว

    Mwanza

  • @marcosmarcosmarcos9001
    @marcosmarcosmarcos9001 ปีที่แล้ว +2

    Wacha bhagi kabisa wapi kisumu

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 ปีที่แล้ว

    Bujumbura inauzuri gani jamani ?. Mimi nimefika na nimekaa Bujumbura nikienda uvira Kongo, Bujumbura aifikii hata mji wa iringa

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 ปีที่แล้ว +1

    Mtoa post ameruhusu maoni kwa kila mtu badala ya kutoa maoni yako kiustaarabu wewe una toa matusi na mbaya zaidi yule anaye tukana ndiyo ajui kitu kabisaaaaaa baadhi yao ni mambumbumbu

  • @edwinkaombwe831
    @edwinkaombwe831 ปีที่แล้ว +1

    Huu Ndio utofauti Kati ya tafiti za wazungu na sisi waafrika. Umakini na utafiti wa kitaalamu unatupiga chenga sana. Tunasahau kwamba ukirusha video youtube inaangaliwa dunia nzima na watu tofauti tofauti wenye ufahamu wao. Plus, tufikirie tunaporusha video kama hii wanatuchuliaje sisi watu weusi. Nashauri fanyeni tafiti za kina na kitaalam kabla ya kupost video kama hii. Videos kama hizi sio za comedy za kufarahisha watoto..😢

    • @Mtajirishaji360
      @Mtajirishaji360  ปีที่แล้ว

      Hao wazungu hawajawai kuwa na tafiti za maemdeleo kwa mwafrika wao wapo na tafiti zenye benefit kwao. Jaribu kuwa na ideology tafauti kuliko kubaki na elimu ya kukoloni isiokusaidia

    • @Mtajirishaji360
      @Mtajirishaji360  ปีที่แล้ว

      Pinga maoni ya vigezo vyangu kwa kuandika hizo za wazungu

    • @edwinkaombwe831
      @edwinkaombwe831 ปีที่แล้ว

      @@Mtajirishaji360 hakuna mtu anaeweza kuwa busy kutafuta maendeleo ya mtu mwingine na kuacha ya kwake. Pole sana mkuu. Ni bora niwe na ideology za kikoloni na kusifia kitu chenye ukweli kuliko kusifia kitu kisichonamaana kwa watu wanaofikiria...

    • @Mtajirishaji360
      @Mtajirishaji360  ปีที่แล้ว

      Ukweli kwakuwa wamesema au kwakuwa umeumiza kicha kutafuta ukweli ?

    • @edwinkaombwe831
      @edwinkaombwe831 ปีที่แล้ว

      @@Mtajirishaji360 Pole sana mkuu. Endelea kujilinganishanao. Utakuja kujikuta unapoteza muda tu.

  • @tumainishedrack7848
    @tumainishedrack7848 ปีที่แล้ว

    Jinga xana

    • @Mtajirishaji360
      @Mtajirishaji360  ปีที่แล้ว

      Usikae mtandaoni kutusi watu jaribu kufanya homeworm yako amdika fact zako watu watajifinza

    • @Mtajirishaji360
      @Mtajirishaji360  ปีที่แล้ว

      Hivi vitu ni maoni sasa ww njoo na yako

  • @Wafula.J
    @Wafula.J ปีที่แล้ว +1

    Urudi darasa ujifunze vigezo vinavyo tumiwa. Kuorodhesha miji duniani😂Your. Ignorance has been well glorified on your channel 😂😂🤣

    • @Mtajirishaji360
      @Mtajirishaji360  ปีที่แล้ว

      Thank you Atleast this should be added with refference of list from you opinion

  • @lewiswasonga9537
    @lewiswasonga9537 ปีที่แล้ว +7

    1- Nairobi
    2- Dar Es Salaam
    3- Mombasa
    4- Kampala
    5- Mwanza
    6- Kigali
    7- Arusha
    8- Bujumbura
    9- Nakuru
    10- Kisumu

  • @marcosmarcosmarcos9001
    @marcosmarcosmarcos9001 ปีที่แล้ว +2

    Nairobi top 4African mwanza ni Rika ya Eldoret na kakameka Kenya

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz หลายเดือนก่อน

    Tanzania mzuri sana darsalam

  • @AutoCarimo
    @AutoCarimo 3 หลายเดือนก่อน

    Maputo iko wapi muwongo wewe

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 ปีที่แล้ว +1

    Umekosea Sana,
    1 Nairobi
    2Dar es salaam
    3 Kigali
    4mwanza
    5mombsa
    6Arusha
    7kampala
    8mbeya
    9kisumu
    10Tanga

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh mwanza si sawa barabara Toka shinyanga kuingia mwanza nyembamba mashimo na viraka vya kutosha ccm kilumba mitaa michafu madimbwi barabara ni za tarura hazina hazi mwanza inastahili flyovers kama zile za magufuli dar hapo itapendeza Bado sana.

  • @martinjohn7854
    @martinjohn7854 ปีที่แล้ว +3

    ❤️MZA

  • @mbonimanakisenya4178
    @mbonimanakisenya4178 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii risk imeandaliwa na walevi asante kwa k vant zenu

    • @daxas_tv5881
      @daxas_tv5881 2 ปีที่แล้ว +2

      Andaa yako ambay sio ya walevi

  • @petercharles7959
    @petercharles7959 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni Muongo

  • @sunrisecity1212
    @sunrisecity1212 ปีที่แล้ว +1

    Nakuru ni jiji la nne Kenya sio tatu

  • @ماريافيدال
    @ماريافيدال ปีที่แล้ว

    Bujumbura mjii wngu napapnda kuliko chochote

  • @alvinekent8846
    @alvinekent8846 ปีที่แล้ว

    ati majeno marefu makubwa zaidi Afrika Mashariki yanapatikana dar esalaam? ndugu fanya utafiti vizuri kabla ya kuposti content subscribers hawapendi uongo

  • @salimosalimizyimo
    @salimosalimizyimo ปีที่แล้ว

    Wewe unapendeleya nchi yako, lakini kiuhalisia siyo Ivo, dar salam unaueza kufananisha na Nampula mji wa tatu mzuri zaidi mchini mozambique 🇲🇿

  • @ShamsiShaban
    @ShamsiShaban 6 หลายเดือนก่อน

    Sawa mwanza naikubali sana big up kwenu

  • @JamesJoseph-fd3sw
    @JamesJoseph-fd3sw ปีที่แล้ว +1

    Acha uwongo

  • @JoshuaLaimeri
    @JoshuaLaimeri ปีที่แล้ว

    Nafikiri Arusha inashika nafasi ya kwanza kwa kua hali yake ya hewa inaruhusu kuishi mtu yeyote kutoka pote Duniani

  • @allanmwangilwa
    @allanmwangilwa ปีที่แล้ว +1

    Punguza mihadarati ndugu.

  • @zachariaernest
    @zachariaernest ปีที่แล้ว

    najivunia mkoa wangu rock city ukweli do huo na ukweli siku zote unauma

  • @jitulamtumba571
    @jitulamtumba571 ปีที่แล้ว

    green city mbeya

  • @habibuhabibu9728
    @habibuhabibu9728 ปีที่แล้ว

    Ety mwanza

  • @habibuhabibu9728
    @habibuhabibu9728 ปีที่แล้ว

    Mwanza kamji kadogo xana

  • @nurdinisudi4940
    @nurdinisudi4940 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani mmetumia vigezo ganii...!??

    • @Mtajirishaji360
      @Mtajirishaji360  2 ปีที่แล้ว

      Wingi wa watu, shughuli za kiuchumi na miundombinu ya utalii

    • @juliasedward9884
      @juliasedward9884 ปีที่แล้ว +1

      Maneno mengi mmbaka mtu unachoka

  • @hassanjuma2748
    @hassanjuma2748 ปีที่แล้ว

    Mbna story nyingi

  • @mabugamussa2860
    @mabugamussa2860 ปีที่แล้ว

    1.Nairobi 2:Dar es salaam 3: Kampala 4:Kigali 5:Mwanza fanya reseach

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 2 ปีที่แล้ว

    Unaongea sana Dah!

  • @saidmwichande6444
    @saidmwichande6444 ปีที่แล้ว

    Sizan kama Jiji la mwanza inastaili kama ni ivyo at Jiji la mbeya iyo namba nilifikili utasema Jiji la kwanza kwauzul ni nailobi app mmebug iyo namba

    • @bongosounds
      @bongosounds ปีที่แล้ว

      Majiji maarufu na majiji mazuri

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 ปีที่แล้ว

      inastahili ulishawah kufika mwanza na akatembea kote?

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 2 ปีที่แล้ว

    Teja ni Teja Tu yaani Nakuru anaonesha mitaa ya Nairobi

    • @Mtajirishaji360
      @Mtajirishaji360  2 ปีที่แล้ว

      Ahsante kwa maoni yako, tumepokea changamoto

  • @sadamkuntukumu3672
    @sadamkuntukumu3672 ปีที่แล้ว

    We jamaa acha upumbaavu

  • @Mamaani-qc2kn
    @Mamaani-qc2kn 5 หลายเดือนก่อน

    Nairobi ndio mji mzuri Africa mashariki

    • @norberthamlowe2363
      @norberthamlowe2363 2 หลายเดือนก่อน

      Dar es salaam ndiyo mji unaovutia Africa Mashariki

  • @tumainishedrack7848
    @tumainishedrack7848 ปีที่แล้ว

    Kumbe jamaa msukuma

    • @Mtajirishaji360
      @Mtajirishaji360  ปีที่แล้ว

      Usiwe na akili ndogo, maoni yanapingwa kwa utafiti sio mameno ya kahawa.

    • @mwanadigital1
      @mwanadigital1 ปีที่แล้ว +1

      Wew ni kabila gani mpaka unadharau ya namna hii

  • @dickensotieno9249
    @dickensotieno9249 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakuru is not no 3 in Kenya,,use facts not rumours

    • @bongosounds
      @bongosounds ปีที่แล้ว

      Its not popularity but beautiful ciry