Poleni sana wana familia na watanzania kwa ujumla kwa kuondokewa na mpendwa wenu, mimi pia nilikuwa napenda sana uigizaji wake, alikuwa na kipaji sana, na alikuwa akiigiza kwa utulivu ,na ile smile yake hakuna wa kumfananisha. Tuseme Inna Lilah Wainnailah Rajuun, Mungu akampe kauli thabit marehemu. from Switzerland. 02.11.24.
Poleni sana wana familia na watanzania kwa ujumla kwa kuondokewa na mpendwa wenu, mimi pia nilikuwa napenda sana uigizaji wake, alikuwa na kipaji sana, na alikuwa akiigiza kwa utulivu ,na ile smile yake hakuna wa kumfananisha. Tuseme Inna Lilah Wainnailah Rajuun, Mungu akampe kauli thabit marehemu. from Switzerland. 02.11.24.
Mwezi mmoja wasanii watatu tuwen makin na haya maisha,pembe,Dida,na grace mapunda
Poleni sana wana Sanaa. Mm nilipenda sana kazi zake. Mwenyezi Mungu amuhifadhi pahala panapstahiki. Awape subira wafiwa na wana familia wote.
Kenyan representative,namuona Rashid Abdala wa Citizen Tv
Nimwana familia wahuba
yeye ndo mwenye hyo series ya huba
Namuona pia
Rashidi ni director was huba series
@@DautuuSaidlovehe's the producer
😢😢😢Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe🙏🙏🙏
Innalilah waina ilah rajiun polen sana
Imeniuma sana 😢😢nilipenda sana movie zake kiukweli. Rest in Paradise😢😢
Rashid Abdllh namuona ameenda tuwakilsha jmn mashaallh
Apumzike kwa Amani mama Grace Mapunda😢😢😢😢
Poleni ndugu jamaa na marafiki mungu ampuzishe mahala pema💔💔💔😭😭😭
Poleni sana aiseee😢😢
Poleni sana jamani apumzike kwa amani mama yetu #tesa🙏
Kifo hakina huruma yani hapa naangalia marudio ya huba namuona marehemu hapa..mbele yake nyuma yetu
Innalilah wanna ilah lajighuni 😢
Poleni mlosholiki kwe siba huu
Aaaaaash jaman kifo
Mwendo umeumaliza nenda salama Grace mapunda Rip 😢😢
Poleni kwa familia 😢😢😢
Inalilah wa inailah rajuun
Mungu ametufumba ss wanadam na akuna atakaye tufumbua ss bi sonia alisaulika leo mama yetu 😢
Kwenye maisha yangu nilikuwa nina ndoto yakuwa askari magereza, ila sasahivi mimi ni nimfungwa 😭,rip da grace
Sasa kama wewe ni mfungwa cm umetowa wapi
@@seekerlyambassamnavisa jaman nilikua nalia mefanya nichele😊
Hapo sasa mfungwa mwenye sim yake gerezani 😢@@seekerlyambassa
Mfungwa huru upo gereza la wapi naona umeachiwa cm au unataka tucheke tu msibani😮
R. I. P Tesa
inalilah wainalilah rajuin mbele yako nyuma ye2
Wanasema wanazika jumatatu au kesho
R.i.p mom
Nanamimi 😢😢😢 ipo msibani kwani kamera hainioni😢😢😢😢
Some tupp stand tunasubir usability
Inalilah waina lilah rajuni 😭😭
💔💔💔💔💔💔💔
Msiba uko wap na anazikiwa wapi
Sinza Vatican
Jameni mtu kafa leo leo ila wasanii awalii
Ila nyie wasanih kumamayo zenu mnazingua kinoma mbona kwa mzee pembe amkujitokeza ivi
Matusi juu 😂😂😂😂 mana nacheka km mazr poleni Wana familia 😭😭😭
Umeona eee yani Wana ubaguzi
Kila mtu na riski yke muhimu tunafika sehemu husika bc
Umefany nicheke 😂😂 kila mtu na bahati yake
Yy pembe alikuwa anafika Kwa nani
Sijaona mtu hata mmoja akimlilia Dada ang.watu wanaongea tu basi wakiona camera ndo wanazidi kujiramba
Mim nmejiuliza pia