🚨Uchambuzi Cloudsfm,Mazito kuelekea mechi,Yanga vs Singida,Yanga hawaeleweki wanavyocheza,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @JumaMpwiko
    @JumaMpwiko 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anzeni kutafuta wakumbebesha zigo lalawama kati refa GSM autff singida Leo lazima wafungwe

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchambuzi uyo boya sana kwani mechi ni magoli mengi au point tatu

  • @lenziangowoko9325
    @lenziangowoko9325 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbeleko fc anapigwa, kama mwamuzi atazingatia sheria 17

  • @richardpembe606
    @richardpembe606 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WACHAMBUZI PUMBA KABISA

  • @j.n5167
    @j.n5167 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani muipe heshima yanga ninyi hamjui,namna inavyocheza ni danganya toto ni mbinu hizo NDO maana inapata matokeo

  • @allyr.mavura7878
    @allyr.mavura7878 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa mnatakaje?

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe umeshawahi kubebwa?.

  • @tanzaboy4824
    @tanzaboy4824 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama yanga aitabebwa lazima wafe

  • @PiusLaymond
    @PiusLaymond 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We unatakawachezeje tuliza kipele

  • @vincentshekibula6670
    @vincentshekibula6670 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wazee na nyie mbona uwezo wenu unatia shaka....mnashindwa kuona strategies ....

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kalaleni mnafanya zogo tu

  • @j.n5167
    @j.n5167 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wee mchambuzi eti hujavutiwa haikuhusu ss ndio tumevutiwa,yanga Ina mashindano mengi lazma tureserve energy

  • @peterkisomezi7101
    @peterkisomezi7101 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachambuzi wa matembele😂😂😂😂

  • @vincentshekibula6670
    @vincentshekibula6670 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mnakosea kumwita master... uelewa uko chini Sana na siyo mtu wa mpira kabisa 😂

  • @denismalembeka1871
    @denismalembeka1871 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie wachambuzi ugwadi kanyweni kichuli mkalale kule hamna inshuu mnataka moira gani uchezwe kila timu inayocheza na yanga inakwwnda kupaki bas sasa tutachez mpira upi

    • @Samwel-y4d
      @Samwel-y4d 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani utopolo anatimu ss

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kalale Yanga tunakifyeka kichaka Chenu mtulie 😂😂😂​@@Samwel-y4d

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TATIZO KUBWA LA WACHAMBUZI NI KUIFANANISHA YANGA YA MSIMU ULIOPITA NA YANGA YA MSIMU HUU MAMBO YAMEBADILIKA JUENI JAMANI.

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uwepo wa josefyu Dgede..
    Daa 😂😂😂😂hii kweli ni hatari itapigwa Kaa Ngoma hiyo sngda isubili tu mbivu na mbichi Leo zitajulikana

  • @lenziangowoko9325
    @lenziangowoko9325 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbeleko fc mbona povu sana,kwani msiambiwe ukweli? Uwezo wenu mdogo ila mnabebwa tu na waamuzi

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi nyie juzi tuclub bingwa mmeona bado hamjijlizi kunani

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo haelewi, hai struggle kwa lipi? Kila mechi wanapata point 3, wewe unataka wastrugle kwa chenga twawala? Hovyo kabisa wewe.

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Subiri Sasa anguko mpumbavu wewe

  • @tanzaboy4824
    @tanzaboy4824 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama yanga aitabebwa lazima wafe

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe ndiyo ushakufa kwa. Coastal union cyo kigezo na sisi tufe Leo tuliaaaa 😅