ความคิดเห็น •

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 ปีที่แล้ว +11

    Tuna wachezaji wazawa wazuri sana Yanga hata haturingi 😂😂💚💛💚💛🙏🙏

  • @JerinaNguto-vv1gt
    @JerinaNguto-vv1gt ปีที่แล้ว +12

    Weweeeee,nawapenda,wachezaji,wa,yanga,wote,,amina🙏🙏🙏🙏🙏

  • @FaudhiaBurhan
    @FaudhiaBurhan ปีที่แล้ว +31

    Nimekua wa 6 leo piga kelele kwa yanga yetu❤❤

  • @EdwardVenasi
    @EdwardVenasi ปีที่แล้ว +12

    Hiii ikitoka itakuwa powa😂😂kibwana kama Jack 🥷

  • @EmanuelGodwin-ne3jo
    @EmanuelGodwin-ne3jo ปีที่แล้ว +17

    Hongera mabingwa, naona huu mwaka mmekuja kivingine

  • @Zina-m2v
    @Zina-m2v ปีที่แล้ว +17

    Inshaallah mungu awape afya njema

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js ปีที่แล้ว +1

    Hongera uongozi wa nyanga nawachezaji naona tukifika mbali sana mwaka huu

  • @SelemanSaid-hr3ke
    @SelemanSaid-hr3ke ปีที่แล้ว +1

    Wanamasiyala

  • @Erickmjuni-ev6dc
    @Erickmjuni-ev6dc ปีที่แล้ว +7

    Kwa sisi wapenzi wa movie nguo Kama hizi zilivaliwa kwenye movie inaitwa "THE BLACK SHEEP AFFAIR". Daaaaaah I Love My Team 🔰🔰💛💚💛💚

  • @jailosibrahim88
    @jailosibrahim88 ปีที่แล้ว +10

    Kuna vitu yanga wanafanya kama wanapoteza mda hivi mwisho wa siku mtu anakula chuma tano wanasema kanunua

    • @matiankomola2391
      @matiankomola2391 ปีที่แล้ว +1

      Acha Woga !😅
      Kwani wewe unakereheka nini!,
      Ikifungwa kuna Nogwa Gani?
      Timu Kubwa za Ulaya zinafanya mambo makubwa Zaidi hii! Lakini zinafungwa!
      Usiogope kufungwa ni Mchezo na kufunga ni Mchezo .
      Aliyefungwa atasononeka na Aliyefungwa atafarijika na kufurahi.
      Yanga wanatafuta kutufurahisha sisi Wanachama na Mashabiki.

  • @jumannezengo3437
    @jumannezengo3437 ปีที่แล้ว +1

    Sure boy anavituko sana akiwa mazoezini lakni kwenye suara la mechi anakuwa Siriazi nampenda kweli

  • @jameskasekele1705
    @jameskasekele1705 ปีที่แล้ว +23

    Kibwana unautani wewe, eti ningekuwa 40 yes ungekuwa hapa wewe😂

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 ปีที่แล้ว +7

    Timu kubwa Mambo makubwa

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt ปีที่แล้ว +7

    Nomaaaa Saaaana aiseeeee 🔝💪 Wananchiiiiii 💚💛✨🌟

  • @mamuwadomu8448
    @mamuwadomu8448 ปีที่แล้ว +9

    😂😂😂 sureboy hata vitu vya serious yeye analeta utani😂😂

    • @SiraIbrahim-sp3jd
      @SiraIbrahim-sp3jd ปีที่แล้ว

      Maneja alipohojiwa alisema😂😂😂😂

    • @ummusumayya7845
      @ummusumayya7845 ปีที่แล้ว

      Sure boy

    • @mbarakamatutu8042
      @mbarakamatutu8042 ปีที่แล้ว

      Ni jambo zuli sana kufrahi yaani anamaanisha anafurahia anachofanya...

  • @etech378
    @etech378 ปีที่แล้ว +11

    sure boy hajawai kuwa serious🤣🤣

  • @kapelotz9967
    @kapelotz9967 ปีที่แล้ว

    Hii yangu ya preez enjinia heris kuna siku team moja itakuja kula kumi mana vijana wako very very strong

  • @fatmasuleiman3885
    @fatmasuleiman3885 ปีที่แล้ว

    Jongereni sana kupata vifaa vya kufanyia masaji mwili nitiba nzuri sana💚💚🤲

  • @scopy0428
    @scopy0428 ปีที่แล้ว +1

    Jeshi la kurinda Burudan (JKB)

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 ปีที่แล้ว +4

    Wandawa 🎉😊

  • @iddybakar1946
    @iddybakar1946 ปีที่แล้ว +1

    wazee wachaka sasa mwendo wa kikomandooo💚💚💚💙🖤💙😄🤣🔥

  • @NeyBojo-zy1dx
    @NeyBojo-zy1dx ปีที่แล้ว +1

    Hv vifaa makolo wanavyo kweli😂😂😂😂

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 ปีที่แล้ว +4

    Allaah Akbar

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 ปีที่แล้ว +1

    Hii yanga level za mbele aiseee

  • @AdamNyello
    @AdamNyello ปีที่แล้ว

    Yanga Daima mbele Nyuma mwiko

  • @SalimuJoe
    @SalimuJoe ปีที่แล้ว

    Heshima kwako mr Prez

  • @fatumaaybu8648
    @fatumaaybu8648 ปีที่แล้ว +6

    ila nguo zimewapendeza kama wanajeshi frani 😂😂😂

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 ปีที่แล้ว +7

    Mambo aya yanapatika yanga tu

  • @Amanzi27
    @Amanzi27 ปีที่แล้ว

    Dah miili ya kibwana na msheri vazi alijafit hapo sure boy zimefit

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 ปีที่แล้ว

    Sema yanga wanavitu kuliko makolo mara kisoma mwendo mara mambo yakivita sio powa

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 ปีที่แล้ว +2

    Yaan Kila siku timu yetu inakuja na mambo mapyaaa Hadi rahaaaa jamani njoo ujiunge nasi ufurahi

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 ปีที่แล้ว +5

    Ila kibwana na Sure boy😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @OscarNzunda-q7t
    @OscarNzunda-q7t ปีที่แล้ว +1

    Toeni mabomu please Sureboy hatakawia kujiripua uyo😂😂😂😂😂

  • @MustaqimMuhsin
    @MustaqimMuhsin 11 หลายเดือนก่อน

    Yanga laa

  • @sultankisso3062
    @sultankisso3062 ปีที่แล้ว

    Yanga noma sana

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂sure boy kwani inauma au

  • @MwaniPh
    @MwaniPh ปีที่แล้ว +1

    Sisi ndo yangaaa

  • @victoriasarwat4736
    @victoriasarwat4736 ปีที่แล้ว

    jamani yanga mwaaaah naenjoy sana kuona masihara yenu

  • @mchanganyikotv2032
    @mchanganyikotv2032 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂yanga rahaaa

  • @latifachoga4212
    @latifachoga4212 ปีที่แล้ว

    400k mpenja see you soon

  • @ramadhanisadiki8867
    @ramadhanisadiki8867 ปีที่แล้ว +4

    Kibwana umewaka

  • @issahkibona5886
    @issahkibona5886 ปีที่แล้ว

    Chama la wana

  • @NadoNenga
    @NadoNenga ปีที่แล้ว +5

    Faridi kila sehemu

  • @ashasuweid6341
    @ashasuweid6341 ปีที่แล้ว

    Ila sure boy anafirahisha punguza punuza😅😅😅😅

  • @SalmamashakaMashaka
    @SalmamashakaMashaka ปีที่แล้ว +3

    Kibwana sasa😂😂

  • @ranbirally
    @ranbirally ปีที่แล้ว +6

    💛💚💛💚🤲🙌🙌🙌

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 ปีที่แล้ว +2

    Tuna timu kubwa yenye wataalamu wa kila aina

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂msheri anajiona kama steling ivi

  • @danielbenard9053
    @danielbenard9053 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤

  • @AbdulMakuka-s6w
    @AbdulMakuka-s6w ปีที่แล้ว +2

    Ika yanga raha bwana

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 ปีที่แล้ว

    Iko kijimba huko nyuma ni cha khane na kibwana amaaa😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @simonmlisa4311
    @simonmlisa4311 ปีที่แล้ว

    Hii yenyewe 😂😂 Sure boy kakubali

  • @qbdqllqhKqmbi
    @qbdqllqhKqmbi ปีที่แล้ว

    farid msenge kinoma ni bonge la comedian yan ukimuangalia tu unaanza kucheka kabla ajafanya chochote

  • @JeniphaSilapola
    @JeniphaSilapola ปีที่แล้ว

    Vizur Sana wananchiiiiiii

  • @jaykeenmamba
    @jaykeenmamba ปีที่แล้ว

    Utopolo ni utopolo tu😊😊😊

  • @LatifahMaalick-nc6jd
    @LatifahMaalick-nc6jd ปีที่แล้ว

    Jaman sureboy😂

  • @guccij6236
    @guccij6236 ปีที่แล้ว +7

    Raha inazotoa Yanga huna haja ya kuwa na mpenzi

  • @MulhatRamadhan-fi9or
    @MulhatRamadhan-fi9or ปีที่แล้ว

    Samahanini makolo kwenu yapo haya?

  • @essaujonathan6663
    @essaujonathan6663 ปีที่แล้ว +2

    💚💚💚💚💚✔️✔️✔️✔️

  • @philemonmachange1853
    @philemonmachange1853 ปีที่แล้ว

    Wala haturingi

  • @nambuwkivyake5662
    @nambuwkivyake5662 ปีที่แล้ว

    my team 🔰

  • @ErnestaKimati-hu3cl
    @ErnestaKimati-hu3cl ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂 ila yanga Inanipa Raha jamn

  • @dismasmbwilo7471
    @dismasmbwilo7471 ปีที่แล้ว

    Sure boy ana utani sasa 😂😂😂😂

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 ปีที่แล้ว

    Msheri anasura ya kijeshi kabisa,angekuwa mwanajeshi tu.

  • @TumainielKitundu
    @TumainielKitundu ปีที่แล้ว

    Kibwana shida yako watu wafupi tuonekane wakorofi tu😂😂

  • @nemamgona5886
    @nemamgona5886 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @PhilomenaSteven-tq2tx
    @PhilomenaSteven-tq2tx ปีที่แล้ว

    Sure boy vp mbona km unabanwa😅😅😅😅😅😅

  • @mayagillamussa1589
    @mayagillamussa1589 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona kama ulaya

  • @chrissm8911
    @chrissm8911 ปีที่แล้ว

    Bado hawaja sema

  • @WilsonJoram-l4y
    @WilsonJoram-l4y ปีที่แล้ว

    It's amazing😅😅😅

  • @manyamalima6231
    @manyamalima6231 ปีที่แล้ว +2

    Babu kaju

  • @BarakaNassoro
    @BarakaNassoro ปีที่แล้ว

    Kibwana unamiaka 17

  • @hassanimngetege2904
    @hassanimngetege2904 ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉🎉😂😂good

  • @barakamotto1454
    @barakamotto1454 ปีที่แล้ว

    hapo makolo wakiona watajua wanazindikwa 😂😂

  • @eliudhezron181
    @eliudhezron181 ปีที่แล้ว

    Iv hakuna namna hawa wachezaji wangezeekea hapa 😝

  • @BasuleBasule
    @BasuleBasule 4 หลายเดือนก่อน

    Ila sure boe 😅😅😅😅

  • @vicentsagudasheyi564
    @vicentsagudasheyi564 ปีที่แล้ว

    💚💛🖤

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 ปีที่แล้ว +1

    Maji yana tekenya kibwana una balaa wewe😂😂😂

  • @sadickabdallah1519
    @sadickabdallah1519 ปีที่แล้ว

    Shua boy umepatikana leo

  • @emmynamponda8570
    @emmynamponda8570 ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉🎉💚💚💛💛💪💪

  • @ChrictiaMapendo
    @ChrictiaMapendo ปีที่แล้ว

    Duuuu sisi kama sinema vile

  • @jjanepeter0
    @jjanepeter0 ปีที่แล้ว

    Kwan inauma

  • @mwanabright7907
    @mwanabright7907 ปีที่แล้ว

    Sauti ndogo mtuongezeee

  • @mathiasmushi
    @mathiasmushi ปีที่แล้ว

    Dah😍😅😅😅😅😅

  • @janelyuvale8738
    @janelyuvale8738 ปีที่แล้ว

    Sureboy😂💚

  • @Kinley-bj9lw
    @Kinley-bj9lw ปีที่แล้ว

    Kibwana bwana eti maji yanatekenya

  • @azizasaid7660
    @azizasaid7660 ปีที่แล้ว

    Sure boy😂😂😂😂😂😂

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 ปีที่แล้ว

    Kibwana bhana😅

  • @SeleMarko-hp2qj
    @SeleMarko-hp2qj ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo msheri unajiona kama chuck noris duuh raha yanga nyie naona makolo wanafuatilia kimya kimya

  • @OchoaHomeDecor_
    @OchoaHomeDecor_ ปีที่แล้ว

    Babu kaju 😂😂😂

  • @amanimustapha2089
    @amanimustapha2089 ปีที่แล้ว +1

    Utopwingo

  • @MulhatRamadhan-fi9or
    @MulhatRamadhan-fi9or ปีที่แล้ว

    Timu ina raha hii

  • @angelmasanje817
    @angelmasanje817 ปีที่แล้ว

    Ila babu kaju😀😀😀😀

  • @roitanzumile9079
    @roitanzumile9079 ปีที่แล้ว

    Woyooooo

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 ปีที่แล้ว

    Sure boy msumbufu nyie😂😂😂😂

  • @mbarakashabani3574
    @mbarakashabani3574 ปีที่แล้ว

    Sawa😅😅😅😊😊😊😊

  • @nawatakiyakilalakheriwashe6624
    @nawatakiyakilalakheriwashe6624 ปีที่แล้ว

    Babu kajuuuuu😂😂😂😂😂😂😂

  • @fistonmakopa598
    @fistonmakopa598 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤😅😅😅

  • @joseesollo6419
    @joseesollo6419 ปีที่แล้ว

    Sureboy 😂😂😂😂

  • @dr.edmundbmgeni486
    @dr.edmundbmgeni486 ปีที่แล้ว +1

    Sure Boy, Kibwana acheni utani kwenye mambo muhimu. Mtapitwa na mengi mkiendelea hivyo. Tabia za namna hiyo zimewarudisha nyuma wengi. Kila session mnayopewa ni ya muhimu. Be serious

    • @chapamoko3067
      @chapamoko3067 ปีที่แล้ว

      Tulia wew usiwapangie watu jinsi ya kuish we kolo yan kila kitu unachukulia personal