SHEHENA YA SUKARI KUTOKA BRAZIL YASHUSHWA BANDARINI, ITAUZWA KWA BEI PUNGUFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @bongo39
    @bongo39 10 หลายเดือนก่อน

    Hiyo bei elekezi sii kweli mie jana nimenunua kg 1 ya sukari 5000

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mnataka tutukane matusi au vp aiwezekani kila siku mnasema shehena shehena bei iko vile vile mtaani tumechoka fuck

  • @bongo39
    @bongo39 10 หลายเดือนก่อน

    Na wdkutolea sukari ndani wanaficha na wanaangalia nazingira kwanza ndio wanakkuuzia laa wakiwa na mashaka basi wanakwambia hakuna

  • @andreap.assenga8480
    @andreap.assenga8480 10 หลายเดือนก่อน

    Huku mtaani mbona bado bei ipo 4,000 kwa kilo?

  • @erickmsilu6308
    @erickmsilu6308 10 หลายเดือนก่อน

    Bei pungufu ndiyo bei gani hiyo?

  • @SoudOmar-lu7we
    @SoudOmar-lu7we 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba za mawakala wa dar

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 10 หลายเดือนก่อน

    Na serikali ifuatilie kwa ukaribu kwani kutatuwa na utata mtupu