WATUNZA MISINGI - WANATUEKTIA (official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #MisingiJana#MisingiLeo#MisingiKesho
    Hii ni kazi mojawapo kutoka katika Kandamseto ya WATUNZA MISINGI iitwayo "MISINGI NA HIP HOP VOL IV" wakishirikishwa (#MAD KACHAA #MAJANTA,FUNDA,KIRAKA TOSH Na #OPOBO Imetengenezwa na JEGALLA (OLD GARAGE) Akishirikiana na GEEZY. Video imetengenezwa na GEEZY kwa Kushirikiana na WATUNZA MISINGI.

ความคิดเห็น • 72

  • @watunzamisingi2016
    @watunzamisingi2016  3 หลายเดือนก่อน +1

    MAD KACHAA VERSE
    Yoooh yooh yooh,yooh yooh yooh,Staki kuwa tajiri nataka kuishi vizuri/Nataka kuwa Kaafeel staki kuishi ka Dully/Ukiniona mimi umeona element kama sita/So fresh so clean they call me mista,yes Mr.Samuel Victor/Mshindi wa hii vita naacha alama napopita/Tazama kuta uone maandishi na logo/Haters hawawezi futa kwa maana wana TC ndogo/Wanajifanya wana tuna share the same spirit/Kumbe panya wana contain shame na liabilities/Nyie fuckin niggaz,si hatuuzi sura/Panapouma ndo tunapiga huwa hatuangalii chura/Tell ya people Mazabe Gang ndo name of the game/ We do it triple with symbol WM/Najua mnafanya kitu kui corrupt inner cycle/Mnatuektia hamna kitu mnapagawa na hii tittle,motherfuckin Michael/No love no more nyie masnitch,hatuachi kuji print/Bila skendo wala kiki mtatukuta kwenye peak/Uwe tembo uwe witch mtaelewa tunacho spit/Ni kama viper,kidole kwenye trigger jicho lenzi kama sniper/Halafu cheche niki dunk kama Piper,ni Mgenge halafu taita/Ukinikuta Pugu cow boy niko attention,napofanya meditation/Navuta hisia kali kama napiga master besheni/Mna pretend kama warriors hivi mnajua mtapofia?/Hii ni Rap glorious hakuna kina kunaemuhofia,giiiah

  • @Mtamaduni14
    @Mtamaduni14 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kiraka Tosh moto sana much love from 254

  • @mdthehit
    @mdthehit 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kiraka 🔥🔥🔥

  • @cholobrighter104
    @cholobrighter104 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi ✌️

  • @daudminja8118
    @daudminja8118 2 หลายเดือนก่อน

    Sanaaaa good awasimamiye waungwanaaa

  • @benmbuya1814
    @benmbuya1814 3 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @barakamuvara2101
    @barakamuvara2101 หลายเดือนก่อน

    wanangu sana wa Makondeko...

  • @Izzo-fp7le
    @Izzo-fp7le หลายเดือนก่อน

    Izzo rezo hapa nawapitisha wanangu mpe Hai mduu

  • @mwambamgumu
    @mwambamgumu 3 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥

  • @MBANGA_NAME
    @MBANGA_NAME 3 หลายเดือนก่อน +1

    Spingii

  • @robertlary6007
    @robertlary6007 3 หลายเดือนก่อน

    WATUNZA MISINGI 🔥🔥🔥

  • @user-kc6cd5ps9m
    @user-kc6cd5ps9m 3 หลายเดือนก่อน

    The real Hip hop achana na vijana wa kelele nyingi

  • @JaneShekiao
    @JaneShekiao หลายเดือนก่อน

    Sijawahi nyea kambi janta planta❤❤❤😂😂

  • @JaneShekiao
    @JaneShekiao หลายเดือนก่อน

    KIRAKA TOSH huku ni ma kvant na hewa safii🤏🔥🔥

  • @MAILAGUN
    @MAILAGUN 4 หลายเดือนก่อน

    Washamba Hawawez elewa

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 3 หลายเดือนก่อน

    HARAKATI MAGIRINI,HESHIMA SANA,🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥HIP____HOP SANA⚡🌍✨

  • @Mr.Banton
    @Mr.Banton 4 หลายเดือนก่อน

    💪

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar 6 หลายเดือนก่อน +3

    Aminia saaana wanakwetu MISINGI daima

  • @Sobo740
    @Sobo740 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli wanatuektia

  • @MocraMontana
    @MocraMontana 4 หลายเดือนก่อน +2

    Eshima kwenu ma legendary 🔥

  • @Lamarttown.
    @Lamarttown. 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mabratha Looking Gud on visual.. Yu did good

  • @mdthehit
    @mdthehit 4 หลายเดือนก่อน +2

    Good sana🔥🔥🔥

  • @nacophai.t2601
    @nacophai.t2601 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nakubali sana oioi andaeni ma battle tuje ma fans tupate maujanja

  • @MomumoMaKaNTa
    @MomumoMaKaNTa 4 หลายเดือนก่อน +2

    Misingi Jana Misingi Leo Misingi Kesho 💯🙌🏿

  • @mkwavinyikanguyu923
    @mkwavinyikanguyu923 4 หลายเดือนก่อน +2

    Giaaa

  • @JohnMabustar
    @JohnMabustar 4 หลายเดือนก่อน +2

    Saaana wanakwe2 amsha amsha la nguvu chem chem daima

  • @Lamarttown.
    @Lamarttown. 4 หลายเดือนก่อน +2

    😊sharout Watunza misingi...

  • @trayoversion
    @trayoversion 4 หลายเดือนก่อน +2

    Familia 🙌 🙌 🙌

  • @KalamuYaGalana
    @KalamuYaGalana 4 หลายเดือนก่อน +2

    Love from Malindi Kenya

  • @bongohoodzpichaz
    @bongohoodzpichaz 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hatarious 💥

  • @watunzamisingi2016
    @watunzamisingi2016  4 หลายเดือนก่อน +4

    QMMK DUDE HILO

  • @mickjizze
    @mickjizze 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nouma sana

  • @Loismo
    @Loismo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Oi oi 💥💥💥💯✊🏿

  • @robertbellon2585
    @robertbellon2585 4 หลายเดือนก่อน

    Watunza Misingi for real 💥💪🏿💪🏿 na hili ndio Misingi

  • @XxhamxyyxShha
    @XxhamxyyxShha 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ngoma ipo kwenye album ya ,,misingi ya hiphop,,bonge moja la album

    • @watunzamisingi2016
      @watunzamisingi2016  4 หลายเดือนก่อน

      Ndio Ndio MJUZI
      MIXTAPE: Misingi na Hip Hop vol. 4

  • @adammagogwa8563
    @adammagogwa8563 4 หลายเดือนก่อน +2

    WAMEFYANTAAA KWA HUUU MDUDE

  • @ndayikengurukiyemoise8343
    @ndayikengurukiyemoise8343 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kiraka tosh fire 🔥

  • @digalo373silentkiller7
    @digalo373silentkiller7 4 หลายเดือนก่อน +1

    Awee

  • @yuzzotime6151
    @yuzzotime6151 4 หลายเดือนก่อน +1

    Misingi jana Misingi Leo,misingi kesho,

  • @omarymilulu
    @omarymilulu 4 หลายเดือนก่อน +2

    Fundamental wagwan

    • @wanaboma2961
      @wanaboma2961 4 หลายเดือนก่อน

      vibe mingi jeshi, respect mingi milulu

  • @charlesabeli9914
    @charlesabeli9914 4 หลายเดือนก่อน

    heshima sana kutoka misingini

  • @erastodomy7030
    @erastodomy7030 4 หลายเดือนก่อน

    Kiraka tosh ni nouuuuma

  • @HassanYassin-ju5rf
    @HassanYassin-ju5rf 4 หลายเดือนก่อน +2

    Majanta moto umeuwa sana

    • @majantaplanta12
      @majantaplanta12 4 หลายเดือนก่อน

      Oiiii
      Kwa heshima sana brother 👊✊

    • @watunzamisingi2016
      @watunzamisingi2016  3 หลายเดือนก่อน

      VERSE:MAJANTA
      Tangu na sniff petrol sijawahi kunyea kambi/
      Tower na control michezo ya chambichambi/
      Wanatu-actia mazishi,tuna wa bless rambirambi/
      Nyoronyoro hawawezi bambi to bambi,pumzi inawakata kwenye ring/
      Zina miminika mbeta na madingi,noti tunazizika kabla jogoo hajawika na haipingwi/ Hapa nilipo ni centre,wakuzuka watakuja wataondoka/
      Wana act ni wa kuboba,sisi kwao ni soba/
      Wakituona tumenoga wanatamani kuroga/
      Nawadondosha mmoja mmoja,sumu imeshatuna kama umaga/
      Hao ma lady gaga nawapulizia mara saba/
      I dont care wakijifanya,mi nafanya vyevye maana/
      Haijalishi wakinikana,naishi kweli leo,kesho na jana/
      Wameshindwa kununua albamu na fulana wamebaki kutu actia wanatujua sana/ Hainikatishi mori wa kupambana hata mic wakiipaka plama/
      Tumeshawazoea ni watu wa drama/

  • @misingination
    @misingination 4 หลายเดือนก่อน +1

    Barabaraaa WM hii ina ithibati moja kwa moko

  • @Msengostreetkabisa
    @Msengostreetkabisa 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uwakika mabrother pa1 Sana

  • @makantaafrika
    @makantaafrika 4 หลายเดือนก่อน +2

    FAMILIA ✊🏿💯

  • @watunzamisingi2016
    @watunzamisingi2016  4 หลายเดือนก่อน +4

    Hii Ni moja ya Ngoma inayopatikana kwenye Mixtape ya MnH vol. 4
    hii inapatikana kwa gharama ya sh. 10,000/=
    Cheki na 0769011818

  • @thomasmussula568
    @thomasmussula568 4 หลายเดือนก่อน +2

    From kwembeeee 😢😂

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 4 หลายเดือนก่อน +2

    Oi oi 🇰🇪

    • @watunzamisingi2016
      @watunzamisingi2016  4 หลายเดือนก่อน

      Kwa heshima sana wanetu wa kipande hicho

    • @REVOLUTIONARYLYRICS
      @REVOLUTIONARYLYRICS 3 หลายเดือนก่อน

      @@watunzamisingi2016 tunakubali harakati asilimia mia Salute sana ma soldier👊🏿

  • @Izzo-fp7le
    @Izzo-fp7le หลายเดือนก่อน

    Nataka njimbo za mdudu akiwa peke yake

  • @mohamedmnyonge9844
    @mohamedmnyonge9844 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nyoro nyoro hawawezi

    • @majantaplanta12
      @majantaplanta12 4 หลายเดือนก่อน

      Oiiiii 🔥🔥🔥🔥

  • @dullahsimbaulanga6472
    @dullahsimbaulanga6472 4 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥