Beka nakupend bt umeniudhi kutukana wanawake wa gulf tafutani pesa acheni kufata watu kwa pesa zikiisha mutampend harusi mbon ikawa ya siri alipenda pesa hajampend
😅😅😅ahh ivi kuna watu bado wajipiga vifua na hawa vijana wahovyo wanao taka kulelewa 😅😅😅 wee sqookey nkukute unkua mlezi wa wanaa naiparatua iyo sambusa niifanye bulb 💡 mzee asomee gazeti 😅😅
wacha zako kumbe huna maana mambo wallaahi wacha sifa zako unatukana watu wa gulf haki naona tu beka kumbe bure watukana watu umbeaaaaa bureeeee wanuka mkojo ni yao halali yao usijione umefika chunga mdomo wa kutukana watu hiyo neema uliopewa wa uzungumzaji uchunge huo mdomo mbona watetea sana heheeeee bureee kabisa wacha kudharau watu wa gulf
Sasa nyumba Alo pewa n mke ndo sifa ama izo pesa z mke ndo sifa 😏 wachana n wadada wa gulf kila mtu ana maisha yeke 30k halali lakin sio za kupewa twa pambana sisi upo ujinga tu et ameangukia watamani pia wewe wote uvivu uwo tafuta shuhuli ufanye pumbavu wewe acha kutukana watu wa gulf naku sapost sna kumbe Hamna kitu Bure kabisa wewe😏😏😏
Huyu kijana ni mshenzi, nilikua namuport sana lakini siku hizi naona amelewa sifa mpaka zinamfanya hachagui maneno yakuongea, mimi kwetu ni msabweni pia lakini kwenye family yetu hakuna kijana mpuuzi kama huyu
Punguza jazba na kiburi kimekutawala Beka nakufatilia lkn mdomo wako umejaa matusi sana kisha mwapenda mtelezo mtageuzwa na usilolijua beka usitutukane wanawake tulio galf twatafuta jasho yetu ya halali Alhamdulillah
Mmmhh mwaja tolewa vikoa😂😂😂😂 mwapenda pesa nyinyi 🚶🚶🚶🚶
Pitia kwetu pia please
Beka saai anajiona ashakua staa ashahanza kiburi acha udigo mwingi mbwa wewe
Shemegi ama mamaa😂😂anyway beka akimuoa huyo tz niite mbwa nko haphapa nimekaa
Arooo make kwanza ncheke 😂😂
@@Hermajesty-r4l cheka.mwezangu wakuolewa atakuwa yy 😀😀😀mdomo.koma sina lawyer mie
Walah beka ww😢😢😢,,,tamaa itawaponza na utakuja udhairike peupe
Beka wewe ni mjinga Sana tuache watu wa gulf tusunguws ukuta lakn hatuku ombi wewe pesa mbwana sana wewe beka
😂😂madem wa gulf walikutenda ndiman anachuki nao pumbaaaaavvvv
Pitia kwetu pia
Beka nakupend bt umeniudhi kutukana wanawake wa gulf tafutani pesa acheni kufata watu kwa pesa zikiisha mutampend harusi mbon ikawa ya siri alipenda pesa hajampend
Jamani beka ruga nkarea snaaaa watu Wa gf tumefikiwa
Acheni roho mbayaa nyie watu loooh hebu jufunzeni kusema mashaallah, na kumpa hongear6 mtuu,na msipende kumkatisha tamaa mwezenuu,hamna lolotee mwamuonea tamaaaa tuuu nyooooo,eti anaringa mwacheni aring3 na atambe zake beka kaka achana nao wanafki woooteee ni choyo tu,
Kweli
Beka m muongo n izo sifa tuh na wakija achana mtamtenga tena😂😂😂
pitia
Beka ww😂😂😂
Uyu beka cjui yuaongea nn😂😂sisi twalipwa 30k za warabuni je ww walipwa ngp😅jifikirie ww
Yuwagawanywa izo 30k na kibz😂😂😂
Kusugua ukuta mmoja ni mwanamkewako achana na xx ww tafuta kiki lkn usitaje wasichana wa arabuni
Wachana na watu wa gulf,ss twalipwa 30k ww mume mbea walipwa ngap😂ama n domo kaya😜
Utamaa uwo akumpenda uyo mwanamke mdigo mzungu 😂😂sasa alifata pesa kwendwn zenu uko
Nauliza kwani kibz kaachwa😎🤥
Akuna kitu kizuri kama eshima usitukane wanawake wa gulf hii n dunia
Usijisahau bake
Huyu ni Mwijaku wa kenyaa😂😂😂
Umeona yan mjinga kweli
Kujivunia which 😂😂😂😂Cha kupewa hakistiri matako
Jamani beka kumbe una maana ivi 😮😮
Hi fam,please pitieni kwetu pia mtufikishe 1K subscribers
aki bureee laiti ungejua hao wanawake wa gulf vile wanapambana na maisha hungethubutu kutukana hao dada zetu
Beka ww umshenzi sana acha kututusi watu wa glf huo mdomo uvalishe suruali
Fafa mzuri 😅 jamani
Aah kumbee😆😆na hawaniambiii
Mwiijaku wa kenya kweli hiujakosea 😂😂
Apo kwa kuongelelea wanawake wapambanaji vibaya ndio wakosea...alafu kumbuka mtu ni chake ata ukikabidhiwa lkn chako kina nguvu
Mume hawi ivyo na mdomo mrefu
ama kweli beka hamjui munacho kifany
Huyu anazidisha sifa hata ameanza kupoteza mwelekeo, amekua na mdomo mchafu,hachagui chakuongea
sema beka unakosea mdogoangu,madem wa gulf niwapambanaji tuwape maua yao..wanapambana mno sio poa unavyo ongea
❤
Wacha mdomo beka huo ni udigo ulio nao
🙌🙌
Kwa Raha zako kka beka ni maoni yako SI vbaya
Ikifika interview Yako fafa ndio nitasubscribe 😅😂
Aaah jmni😆😅😅
Beka unaamba mama anamvura 😅
😀😀
Watu wa gulf kunuka mkojo😢
Beka waume hawawi hivyo na mdomo wacha udigo wewe
Beka na uko naye wa gulf usikii ndewe wala sikio
Ana mdomo mchafu huyu mmbwa anaon sifa Mwenyewe maninaaas
😮😮😮
😅😅😅ahh ivi kuna watu bado wajipiga vifua na hawa vijana wahovyo wanao taka kulelewa 😅😅😅 wee sqookey nkukute unkua mlezi wa wanaa naiparatua iyo sambusa niifanye bulb 💡 mzee asomee gazeti 😅😅
Shangaaa yani mmmh
Wajinga ndo hao wanao olewa 😏😏
Umri hauchagui… mwacheni kijana Aenjoy beka umeongea point … twangoja jimama wako sai😂
Bnaee
Ruga wacha umama na wachana na watu wa Gulf.. Yani video zako huwezi maliza mpka watu wa gulf Na ndio walikuleta mjini shenz type😏😏
wacha zako kumbe huna maana mambo wallaahi wacha sifa zako unatukana watu wa gulf haki naona tu beka kumbe bure watukana watu umbeaaaaa bureeeee wanuka mkojo ni yao halali yao usijione umefika chunga mdomo wa kutukana watu hiyo neema uliopewa wa uzungumzaji uchunge huo mdomo mbona watetea sana heheeeee bureee kabisa wacha kudharau watu wa gulf
Mjinga ww beka mbona ututusi ivyo etu wanuka mkojo wa galfu subhallha 😢😢😢😢😢😢😢sijapenda mm nilikua nampenda uyu kijana kumbe niwaovyo ivi ;bdo ww upelekwe kwa pddy tu
Nimekimbilia comments section 😂😂😂😂
Ubuyuu utakuua😅😅
Chawa uyo watoto WA kiume wataka kuolewa
Wanaume wa vip nyinyi wallah

❤❤❤
Kwa Raha zako kka beka ni maoni yako SI vbaya