Sr Christelle Lwahumbire - Nadunda (Official Music Audio)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025
- #christellelwahumbire #gospelsong #newsong #Atawale #tiktoktrend
(Nadunda lyrics)
Ameniwaka huru kweli, naimba sasa: Haleluya! Kwa msalaba nimepata kutoka katika utumwa
Zamani nilifungwa sana kwa minyororo ya shetani, nikamwendea Bwana Yesu, akaniweka huru kweli
Ndio maana nadunda
Nadunda Nadunda nawewe eh
Sina woga wowote
Nadunda Nadunda nawewe eh
Oh Yesu nadunda
Nadunda Nadunda nawewe eh
Siogopi chochote nikiwa nawe
Nadunda Nadunda nawewe eh
Neema kubwa nilipata kuacha njia ya mauti, na nguvu ya wokovu huo yanichukua siku zote
Na siku moja nitafika mbinguni kwake Mungu wangu. Milele nitamhimidi na kumwimbia kwa shukrani
Ndio maana nadunda
Nadunda Nadunda nawewe eh
Sina woga wowote
Nadunda Nadunda nawewe eh
Oh Yesu nadunda
Nadunda Nadunda nawewe eh
Siogopi chochote nikiwa nawe
Nadunda Nadunda nawewe eh
Brk beatz atawale tiktok,Brk beatz noma unaweza,Atawale by Christelle Lwahumbire official audio,Atawale Christelle Lwahumbire official video,Atawale Christelle Lwahumbire video lyrics,Unaweza english translation,Brk beatz noma papa,Brk fally papa,Nadunda by christelle lwahumbire,Christelle lwahumbire nadunda,Nadunda trend,Na dunda christelle lwahumbire official video,Christelle lwahumbire nadunda lyrics,Unaweza lyrics christelle,Amina lele lyrics traduction
Kweli Nadunda na YESU ,,,,hadi moyo unadunda ndani ya yes. Wooooow assume you are in Heaven with Creater of all nations, awesome song,,,,beautiful words on it. Christelle God continue to bless you every day and time wherever you go.
And listening from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
🥰🥰🥰🥰🥰
Nadunda na Yesu 🙏🥰💪💪💪💪
Ubalikiwe Dada❤❤
Congrats sister but am in need of your song called "TAWALA" God bless your work
Very soon
Trop cool ♥️♥️♥️
Merci 🙏
❤😊
Good
🔥🔥🔥🔥