PATRICK NYEMBERA Afafanua UTATA PAMBANO la MWAKINYO, Kupigwa STOP na KURUHUSIWA, KOSA la PROMOTA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @Basra74438
    @Basra74438 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sina mchango wowote kuhusu harakat za ngumi Ninacho wakumbusha watanzania wenzangu ni [Ibada] tu jitambue yakwamba kuna maisha baada ya kifo Muhimu kwetu kufanya [Ibada] Allah ametupa Muongozo kamili Huenda kwa ukumbusho huu wakakumbuka wenye kumuogopa Mungu Ndugu yangu mwakinyo rudi kwa mola wako Allah amekupa nafasi nyengine ya kurejea kwake kwa mapenzi yake bila nguvu zako Jitambue ewe Mwana wa Adamu mwenzangu Mungu awabariki nyote Amina🤲🤲

  • @RojaAbdul
    @RojaAbdul 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa sn Patrick upo viziri napenda sn ngumi 💪

  • @papaahussein5263
    @papaahussein5263 6 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wengine wapumbavu mtu mnataka apigane bure

  • @TeamJONGOO
    @TeamJONGOO 6 หลายเดือนก่อน +2

    Maelezo mengi halafu point hakuna nyoosha maelekezo, Yaan hamjui watanzania tunavyoo waona MNAZINGUA,

  • @abdallahkhalid2191
    @abdallahkhalid2191 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hii ni vita baridi Kwa mwakinyo

  • @ErickJosephmlay-kf2sy
    @ErickJosephmlay-kf2sy 6 หลายเดือนก่อน

    Ile ni kazi ivy siwezi fanya kazi bila malipo mwakinyo Big up kwa kutetea haki ya wenzio

  • @TeamJONGOO
    @TeamJONGOO 6 หลายเดือนก่อน +3

    HAKUNA UWONGOZI hapa ni utopolo TU, KAMA HAMNA ACHEN KUITA WATU KUTOKA NJEE

  • @selemaniissa4275
    @selemaniissa4275 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hasani Mwakinyo akumbukwe kwahaya yote yanayo tokea inawezekana wazi mabondia wote wanayapitiahaya lakini mwakinyo anatuweka wazi huu ni ushenzi sana

  • @emilysanga7662
    @emilysanga7662 6 หลายเดือนก่อน +2

    There is something behind

  • @emmanuelbenedicto589
    @emmanuelbenedicto589 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna siku hamtapata washabiki then muanze kulalamika TZ hawatoi saport kwenye ngumi.

  • @WinifridaJonathan-cq2nw
    @WinifridaJonathan-cq2nw 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa sasa tumejua shida sio mwakinyo ni hilo genge la wahuni hapo nyuma yake maana hata mpinzani wake kaweka wazi, mwakinyo kuzijua haki zake nalo linawaumiza kichwa wadhurumaji😢

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 6 หลายเดือนก่อน +2

    Why mwakinyo.....???

  • @TeamJONGOO
    @TeamJONGOO 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sio opinion ww SEMA HAKUNA UWONGOZI WWT

  • @FabianCharles-cv2pm
    @FabianCharles-cv2pm 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mwakinyo Hana kosa hata kidogo hata huyo Patrick nae kaonge kuwa shida cyo mwakinyo Wala yeye shida waandaaji wapambano ndo wanamuumiza mwakinyo wanamshusha kidogo kidogo kumpotezea uwaminifu wake kwawashabiki wake nawapenzi wote wanao penda ngumi kwasasa nimeshaelewa kuwa shida cyo mwakinyo tutamlaumu bule shida ipo waandaaji wapambano.

    • @jmstudio1157
      @jmstudio1157 6 หลายเดือนก่อน +2

      Fala uyo Toka auze pambano amekiwa maku anakwepa Wanaume anatafuta walaini Jan lingepigwa chupi ilo😅

    • @saimonmizingo7485
      @saimonmizingo7485 6 หลายเดือนก่อน

      Mwakinyo afanye kazi nyingine kama anaona kuwa uonevu mwingi ujanja wa kijinga jamaaa yule alipoteza.pambano nje ya nchi kijinga

  • @TeamJONGOO
    @TeamJONGOO 6 หลายเดือนก่อน +4

    Alafu kauli yako inankela UNAVOSEMA HAKUNA WAKULAUMIWA, sijajua mfumo wako wakufikilia umefika wapi,???? Waandishi jaribu kuangalia watu wakuhoji bhna, na nyie wandishi MNAZINGUA bhna, mtu anaongea pointless alafu mnabaki kumsikiliza

  • @fadhilinanyanga2048
    @fadhilinanyanga2048 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mmetukalisha ucku nzima hadi mapambazuko,,,watu tunagombana na wake zetu tunasubir pambano Kumbe mambo ya hovyo tu......

  • @TeamJONGOO
    @TeamJONGOO 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbn Munakuwa waoga SEMEN TATIZO NNI

  • @IgarandaIgaranda
    @IgarandaIgaranda 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kunawengine tunalopoka tu lakini hatujui kanuni za ngumi tumejaa chuki tu

  • @TeamJONGOO
    @TeamJONGOO 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mm naungana na mwakinyo HATAK MAMBO YA UBABASHAJI

  • @ConsolataMedard
    @ConsolataMedard 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanin ikifika wakati wapambano lake Kuna tokea haya mambo jaman ninishida

  • @abdulyhumudi
    @abdulyhumudi 6 หลายเดือนก่อน +2

    Wamezoea janja janja

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu Nyembela ana uwezo mdogo mno wa kujenga hoja. Haeleweki.

  • @MakuoeJafary
    @MakuoeJafary 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani menejiment ya mwakinyo hupenda aya mambo amujui hasara ya watu kilipia kisimbuzi kwaa ajili ya pambano alafu munazingua

    • @abdulkinana6774
      @abdulkinana6774 6 หลายเดือนก่อน

      We nae funua fuvu lako ilo na ulegeze ubongo. Watz weng kujitambua kwetu ni kudgo sana na ndiomana tunatumika bila manufaa yyte. Ebu sikiliza hyo interview vzr. Watz achen ujinga, zinduken. Sikiliza vzr ukiwa na akili timamu. Sikiliza vzr dakika ya 13:29 nadhan km una maarifa utakua umejifunza. Mwakinyo sio adui wq hii industry, ila mwakinyo ndio mkombozi wa hii industry. Hapo kosa sio la mabondia wala sio kwa mdhamaln. Shida ipo kwa promota

  • @mselematrans3474
    @mselematrans3474 6 หลายเดือนก่อน +4

    Nimekuwa wakwanza nipeni mauwa yangu

    • @thehunter5920
      @thehunter5920 6 หลายเดือนก่อน

      Utazibuliwa mtaro mtoto wa kiume wewe,ndiyo nini sasa hiyo?

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 6 หลายเดือนก่อน

      Maua ya nyuki

  • @noahmdeka5783
    @noahmdeka5783 6 หลายเดือนก่อน +3

    SHIRIKISHO LA NGUMI NDIO LINAZINGUA NA SIO MWAKINYO

  • @ibrahimselemani4306
    @ibrahimselemani4306 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uhuni mwingi

  • @kimingowameno4068
    @kimingowameno4068 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanini mpaka usiku mnatangaza pambano lipo kuanzia Leo Sina Imani na ndugu yangu na wala sipotezi muda tena

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 6 หลายเดือนก่อน

      watu wasingeenda walitaka wapate hata hela ya matangazo

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 6 หลายเดือนก่อน +1

    mapambano ya mwakinyo wala usikeshe maana mapromota hawaweki mzigo, hii ni wazi watamshusha ktk rank kwa kudai haki zake, ni bondia anaedai haki zake japo haeleweki ila kwann watupige hela zetu na ilihali wanajua hakuna pambano? atuhitaji haya mambo ngumi ni maisha yao waheshimike na kabla ya kunadi pambano muwe mshakamilisha kila kitu. kiufupi huyu kijana mwakinyo mnajitahidi kumshusha

  • @abdallahkhalid2191
    @abdallahkhalid2191 6 หลายเดือนก่อน

    Mna umoro na u dar

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 6 หลายเดือนก่อน

    Mapromota majizi washenzi

  • @FaridaMbela-uk5eu
    @FaridaMbela-uk5eu 6 หลายเดือนก่อน

    hii ni nn Sasa mbana atuelewi

  • @SaptiKabale
    @SaptiKabale 6 หลายเดือนก่อน +1

    Patrick nilikua nakueshimu sana kumbe na weweni mavi matupu

  • @mhandomhina5503
    @mhandomhina5503 6 หลายเดือนก่อน

    Mtata mtatuzi huyu Mwakinyo ndio kidume pekee kwa maslahi ya jasho lake . Na hili ndilo somo au uamsho kwa wale mabondia njaa au watafuta kuonekana jukwaani.Ongera Mwakinyo mtatuzi na wale vilaza wasiokuelewa wanaanza kuelewa mfumo unyonyaji

  • @FabianCharles-cv2pm
    @FabianCharles-cv2pm 6 หลายเดือนก่อน

    Mfano tumeona wametoka kupgana nabondia mzanzibar namjeshi hapo kabla yapambano lamwakinyo waliojiwa mzanzibar kasema kuwa mudi yakupgana imeisha palikuwa nashida yamasilahi Yao ndo maana pambano limechukuwa mda mlefu wanayaweka sawa nnje kama hawo watangulizi yamekuwa hayo je pambano kuuu ulitalajia kuona nn hapo mm nilijua hapa mchezo haupo

  • @ramsonally7438
    @ramsonally7438 6 หลายเดือนก่อน

    mimi je wa ngapi.

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 6 หลายเดือนก่อน +1

    Musiwe Mnatutangazia Pambano Lamwakinyo kilask Yeyet Kwani Yeye Ninani Kutuhalibia Usingizi Wetu

  • @DIZOGFARU
    @DIZOGFARU 6 หลายเดือนก่อน

    Hamna mwakinyo Tena hao wanajanjajna tu

  • @cisselamerverille5286
    @cisselamerverille5286 6 หลายเดือนก่อน

    Unapindsha pindisha ...

  • @azizikasheshe3835
    @azizikasheshe3835 6 หลายเดือนก่อน

    Kasahau viatu nyumban jaman

  • @jumaasungwi6574
    @jumaasungwi6574 6 หลายเดือนก่อน

    Hakuna chama cha ngumi tanzania wababaivu na hizo ni njama za kumshusha hassan mwakinyo wenye akili tumeshajua kwamba hizo ni chuki za bure hawaishi kumfitinisha

  • @alfredsemwali6945
    @alfredsemwali6945 6 หลายเดือนก่อน

    tumekesha saaanaa, azam wangetujuzatu mapemaa

  • @ErickJosephmlay-kf2sy
    @ErickJosephmlay-kf2sy 6 หลายเดือนก่อน

    Hiyo kampuni ni.makuma 2 jambo lmeandaliwa mda afu siku ya mwisho mda wa pambano liairishwe na sio yeye 2 adi wengine wako wanalalamikq wamerushwa fack fack

  • @GrandUwezo
    @GrandUwezo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wapili mimi apa nipeni like zangu

  • @ABM1963
    @ABM1963 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa Mwakinyo hataaminika Tena kutokana na hili la leo.

  • @Richard-xi8vb
    @Richard-xi8vb 6 หลายเดือนก่อน

    Mwakinyo ndo man harmonize anakupiga acha ufala watu atulal ww unaleta ufal

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 6 หลายเดือนก่อน

    Mwakinyo unazingua sana

  • @SaidiAbdallah-u5n
    @SaidiAbdallah-u5n 6 หลายเดือนก่อน

    mwakinyo atukutaki

    • @abubakarmago2623
      @abubakarmago2623 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sema humtaki ww usisemee wasio ww

    • @azizachoyo6958
      @azizachoyo6958 6 หลายเดือนก่อน

      Ww team kilaza