Asante sana engineer kyando. Naomba unisaidie maelekezo ya kumia ESP gari yangu ina hicho kitu lakini sijui inafanyeje Kazi pia unifafanulie vizuri kuhusu ESP kwenye gari ina maana gani hasa
Asante sana baba yangu yaan hatimae nimepata mwalimu wa kunifundisha kuendesha gar hivi baba MTU kuja kwako kumfundisha kuendesha mpk KUJUA inachukua mda gan mpk MTU KUJUA kuendesha gar na kujua Sheria zote za balabalan samahani baba naomba kujua
Altenator inaweza kuathirika iwapo waya zake ziko bare, kwaana ya kwamba ziko wazi, hazina ile ile plastic y anje ya kuzuia maji na vumbi kuingia na kusababisha short circuit. kwa hiyo unashauriwa kufanya mategenzo yaliyo salama.

Asante kwa madini mazuri
Ahsante sana Engineer Kyando
Elimu nzuri sana ya kitaalam
Uko sawa sana mwalimu
welcome
Asnt mana nataka kujifunza gari
Asante sana baba yangu yaan hatimae nimepata mwalimu wa kunifundisha kuendesha gar hivi baba MTU kuja kwako kumfundisha kuendesha mpk KUJUA inachukua mda gan mpk MTU KUJUA kuendesha gar na kujua Sheria zote za balabalan samahani baba naomba kujua
Tafuta chuo kilichokaribu na tumia mafunzo haya kwenye kuongeza elimu yako
Je ukipita kwenye dimbwi alternator haiathiriki na maji na kuleta shoti????