Nukuri Rurema akwiriye amashimwe Asante Dadaetu kwa kutowa shukurani kwa Mungu maana umeweza kushukuru kwaniaba ya sote. Kiukweli ubarikiwe na Mungu. Pia Mungu azidi kukuwezesha katika huduma hii ya uimbaji, Mungu akaendelee kukikuza na kukitunza kipaji chako Shalom shalom kwa nyote
Nukuri Rurema akwiriye amashimwe
Asante Dadaetu kwa kutowa shukurani kwa Mungu maana umeweza kushukuru kwaniaba ya sote.
Kiukweli ubarikiwe na Mungu.
Pia Mungu azidi kukuwezesha katika huduma hii ya uimbaji, Mungu akaendelee kukikuza na kukitunza kipaji chako
Shalom shalom kwa nyote