MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI/MANENO YAKE YA MWISHO KABLA YA KIFO CHAKE/TUMUOMBE MUNGU/CORONA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • TANZIA: MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA USIKU HUU
    -
    Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi ni kiongozi wa Kanisa la Warehouse Christian Center(WHC)
    -
    Mpaka anafariki alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Huduma ya the Voice of Hope Ministry, Mshauri wa Saikolojia wa BLCCC
    -
    Alifahamika zaidi kwa mahubiri na mafundisho yake kuhusu mahusiano na maisha ya ndoa yaliyoenea zaidi kupitia Mitandao ya Kijamii

ความคิดเห็น • 344

  • @mosekasudu6541
    @mosekasudu6541 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani inahuma pole sana mwanamke mwenzangu nimeamini mke wako amebaki mkiwa pole sana tena sana.

  • @saidabdullah7273
    @saidabdullah7273 4 ปีที่แล้ว

    Yaani huyu baba ni mwanasaikolojia mzuri sana ... Mungu kampenda zaidi

  • @leahjohnson5813
    @leahjohnson5813 4 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli inauma ila acha Mungu abaki kuwa Mungu. Asante Mungu kwa ajili ya muda ambao umemruhusu atufundishe sisi wanao. Jina la BWANA lihimidiwe!!!!

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 4 ปีที่แล้ว

    nitakuliya sana umenifuza nanitayazigatiya kweli Mungu akupimuzishe mahali pema .kazi ya Mungu hahina makosa.amen R.IP

  • @jescadaniel6646
    @jescadaniel6646 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulaze mahari pema peponi amen

  • @zachariakayegele4141
    @zachariakayegele4141 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ilaze roho ya mchungaji Peter mahali pema peponi ameni

  • @monicawanza8779
    @monicawanza8779 4 ปีที่แล้ว

    Daahh poleni tanzania. Mwanzo Bishop Getrude Rwakatare then mwalimu Peter mitimingi may there souls Rip🙏😭😭😭😭

  • @vumiliaevangeline5681
    @vumiliaevangeline5681 4 ปีที่แล้ว

    Kama ni maumivu yako ila Mungu atabaki kuwa Mungu.Baba Asante sana tena sana kwa yale yote umetufundisha .Kweli mwili ni kitu burr heri wale wakufao katika bwana

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 4 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani,mtumishi wa Mungu,akusamehe mapungufu yakibinaadamu,ili uweze kuuona uso wake.

  • @agnespeter8740
    @agnespeter8740 4 ปีที่แล้ว

    Dah jamani Mungu nisaidie nisikufuru inauma sana Mungu akulaze mahali pema amina

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 4 ปีที่แล้ว

    Inalila wainalilahi rajiun pole sana sana ndungu zetu mungu amuake pema penye wema peponi inshallah

  • @annemakaka210
    @annemakaka210 4 ปีที่แล้ว

    Dah! Tanzania tena! Mungu tukumbuke jameni

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 4 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani mtumishi wa mungu hakika tutayaishi maneno yako

  • @adelinakimaro8198
    @adelinakimaro8198 4 ปีที่แล้ว +13

    😭😭😭😭😭😭 jamaniiiiii mimiii nimeumiaaaa.....I really can't believe this jamanii bado tulikua tunakuhitaji Baba.... lakini kazi ya Mungu haina makosa....may his soul rest in peace

  • @josephpesa5192
    @josephpesa5192 4 ปีที่แล้ว

    Mafundisho bila jina la Yesu Kristo ni ubatiri mtupu ndugu yangu.

  • @aminabalamamnyawasatnzania876
    @aminabalamamnyawasatnzania876 4 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainna ileih Rajiun. Mm nimmoja Kati ya watu waliokuwa wakimfuatilia sana huyu mchungaji. Ni Mwalimu mzuri sana poleni sana familia

  • @rev.musabalalarogersmusabalala
    @rev.musabalalarogersmusabalala 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mwema siku zote. Hatuna buni kusema ahsante kwa Yesu

  • @godlovemgoji4357
    @godlovemgoji4357 4 ปีที่แล้ว

    Umetoa Elimu ya Mahusiano,Ulianza vizuri na Umemaliza Vizuri,Mungu kakupenda zaidi yetu,Dr.na Mwl.Mitimingi.Nenda salama,nimeumia sanaa.
    R.I.P

  • @ziadachewa9215
    @ziadachewa9215 4 ปีที่แล้ว +6

    Innalilah wainnahray rajiun.Mungu akusamehe ulipokosea.inshaallah mwalimu wangu

  • @deborahrehema5819
    @deborahrehema5819 4 ปีที่แล้ว +8

    Jamani huyu baba kweli so sad dunia nzima ime lost such wonderful man of God dah 😭😭😭😭😭😭 God have mercy on you rest in peace ✌️ who will be same like you your words will stay forever in our hearts 💕😢😢😢

  • @syliviadeogratias6835
    @syliviadeogratias6835 4 ปีที่แล้ว

    Umenijenga ktk mahusiano ya Ndoa,nitakukumbuka daima. Pumzika kwa amani Mch Mitimingi.

  • @allymwayama339
    @allymwayama339 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amuweke mahali alipo jichagulia. My number one adviser.

  • @charlesojode4137
    @charlesojode4137 4 ปีที่แล้ว +12

    R.I.P mchungaji , tutakukumbuka kwa mengi , na hasa mafundisho yako ya ndoa , Bwana ametoa Bwana ametwaa , jina lake litukuzwe.

  • @annamushiaminaaa4367
    @annamushiaminaaa4367 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu kwa nnii umwyaruhusu hayaaaaa,umetuaachia nanii

  • @neemayona8874
    @neemayona8874 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupumzishe kwa amani baba Yangu tulikupend a ila Mungu alikupenda zaidi.

  • @charlesadongo3885
    @charlesadongo3885 4 ปีที่แล้ว

    I lack words to describe and express my sincere condolences to the friends and relatives of Dr. Peter Mitimingi wahhhhh then Death is just Unfair why this early when I had subscribed to His teachings from Kenya. Lala Salama with Angels

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 4 ปีที่แล้ว +20

    Doh R.I.P pastor mwendo umeumaliza imani umeilinda

  • @rebekeandjelani6482
    @rebekeandjelani6482 4 ปีที่แล้ว +12

    My favorite mchungaji kweli R.I.P BABA😭

  • @shamimhassan4385
    @shamimhassan4385 4 ปีที่แล้ว

    Innalillahi wainna ilahi rajiun poleni sana dugu jamaa na mfariki pia InshaAllh mwenyenzi mungu awajalisu subra🙏

  • @rosadethafuraha4995
    @rosadethafuraha4995 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Inauma kweli ila hamna jinsi Mungu kashapanga. Pumzika kwa amani papaaaa!

  • @violethmwasomola6679
    @violethmwasomola6679 4 ปีที่แล้ว

    Kwa heri baba yetu tulikupenda lakin Mungu kakupenda zaidi

  • @rosemlay4017
    @rosemlay4017 4 ปีที่แล้ว +24

    May your soul rest in peace ☮️🙏 Peter Mitimingi, ulikua mwenye busara na Upendo, you was more than a teacher, many of people marriage get hope through your lessons about Relationships, you change peoples mind,you make people to be more confidence and to know who we/they are for sure you was the Best no One can cover your position ever.. Nothing to say R.I.P 😭 Umeumaliza mwendo #kama unaamini Peter Mitimingi alifungua akili za watu wengi nakuleta matumaini katika ndoa na mahusiano comment R.I.P

    • @nizigiyimanaclaudia2614
      @nizigiyimanaclaudia2614 4 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @irenemakokha7615
      @irenemakokha7615 4 ปีที่แล้ว

      R.I.P mjungaji na mwalimu Peter Miti mingi nita miss mafundisho yako jamani 😅😅😅😅😅

  • @gatimakonge9749
    @gatimakonge9749 4 ปีที่แล้ว

    Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuaangazie Apate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani Amiina.

  • @lameckshedrack8500
    @lameckshedrack8500 4 ปีที่แล้ว +2

    R. I. P.
    Dk. Peter Mitimingi, hakika niliupenda sana ushauri na mafunzo yako mtandaoni na nilijipa nafasi kubwa ya kukusikiliza na kujifunza mengi kutoka kwako, ila Mungu kakupenda zaidi.

    • @jidasaid7181
      @jidasaid7181 4 ปีที่แล้ว

      Innalillah wainnailayhi rajiuun Allah akuounguzie adhab ya kaburin mwlm wet haswa ya ndoa

  • @zeldalucas8309
    @zeldalucas8309 4 ปีที่แล้ว +7

    Rest in internal peace pastor , Maneno yako yataishi daima katika moyo wangu, hasa mapenzi kabla ya ndoa

  • @user-ui5wm5cg6h
    @user-ui5wm5cg6h 4 ปีที่แล้ว +3

    Eeeh Mungu wangu inaniuma kabisa moyoni mwalim muzuri mbona unaondoka mapema tumekuwa tungali nashida yako 😭😭😭😭😭😭😭😭RIP Peter Mitimingi

    • @bumibamo9036
      @bumibamo9036 4 ปีที่แล้ว

      Corona ikikupiga uwe na hofu au unayo

  • @maigebulutu3048
    @maigebulutu3048 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyez amlaze mahal pema pepon atakumbukw daima

  • @bennyniyongabo7841
    @bennyniyongabo7841 4 ปีที่แล้ว

    RIP my favorit Dr Peter Mitimingi MUNGU mahari kwake BABA mtumishi muzuri.

  • @mwaminiwivine2840
    @mwaminiwivine2840 4 ปีที่แล้ว

    Munguakupokeye mutumishi

  • @kamaujohn9785
    @kamaujohn9785 4 ปีที่แล้ว

    Ni taarifa ngumu kwa kweli. ilikua ni usiku tu wajana nimekua nikitazama kanda zake za mashauri ya ndoa.Mungu ailaze roho yake mahali pema.Amenisaidia kujua mengi kuhusu ndoa .Jinsi ya kumjua mchumba mzuri na njia yakuboresha ndoa.Ni pigo kubwa sana .Itachukua muda kumpata mwalim mwenye ujasiri na roho kama yake.

  • @witneyjerry1293
    @witneyjerry1293 4 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani mchungaji,pole familia ,kanisa ndugu ,jamaa na rafiki wa mchungaji

  • @YESU01
    @YESU01 4 ปีที่แล้ว

    Pumzika kw amani mtumishi wa Mungu tutaonana badae

  • @rahabgichana4647
    @rahabgichana4647 4 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P I followed you in you tube from Kenya may GOD comfort your family and Church

    • @rahabgichana4647
      @rahabgichana4647 4 ปีที่แล้ว

      Shalom blessed be the name of the LORD thank you

  • @jerryfrank4027
    @jerryfrank4027 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 4 ปีที่แล้ว

    Pia sisi mungu atupe mwisho mwema

  • @josephmushi819
    @josephmushi819 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu kaanza kuchukua kondoo wake tukae tayali

  • @jenifamuia2286
    @jenifamuia2286 4 ปีที่แล้ว

    Watanzania poleni sana.mungu awafariji

  • @princekamuhabwa8564
    @princekamuhabwa8564 4 ปีที่แล้ว

    Hakika mafundisho yako yatadumu daima...vijana tunalia Mwl wetu hayupo tena,lakn mbingu zimevuna shujaa

  • @angelkawau1341
    @angelkawau1341 4 ปีที่แล้ว +1

    Oooh jaman! Pumzik kwa jaman Baba, umetuachia pengo kubwa sana ulitufundisha mambo mengi kuhusu ndoa zetu na zikawa imara

  • @emidypaskas9461
    @emidypaskas9461 4 ปีที่แล้ว

    R I P mungu akulaze mahali pema peponi ameen....

  • @mchungajisecilia8029
    @mchungajisecilia8029 4 ปีที่แล้ว

    Baba mch, Mungu ailaze roho yako mahali pema

  • @knowledgebenefit7592
    @knowledgebenefit7592 4 ปีที่แล้ว

    Dah neenda kapmzke kazi umemaliza .....wew ni kamanda shujaa

  • @vidamushi1853
    @vidamushi1853 4 ปีที่แล้ว

    R l.P mchungaji tulipenda mafundisho yako Sana lakini hatuna jinsi jina la Mungu liinuliwe

  • @nikiflavour3884
    @nikiflavour3884 4 ปีที่แล้ว

    Heeeeeeee!!!!! yesu wangu,mungu mpunzishe salama m2mishi wako ame maliza kazi

  • @leilahnyaonge7743
    @leilahnyaonge7743 4 ปีที่แล้ว

    🤲mungu msamee uyu baba pale alipokuaga kosea umpumzishr kwaamani

  • @magigejoseph255
    @magigejoseph255 4 ปีที่แล้ว

    Kazi umemaliza brother

  • @leatitiamirimba4546
    @leatitiamirimba4546 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana ina uma mucungaji Mungu akupe upumu zike salama 😭😭😭😭

  • @winfridaanania9047
    @winfridaanania9047 4 ปีที่แล้ว

    Kama vile siamini jaman,Niliyapenda sana mafundisho na semina zako mchungaji,RIP

  • @batulimohamed6088
    @batulimohamed6088 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe kauli sabitih nimejifunza mengi kwako umenielimisha vyema

  • @mariamatonya310
    @mariamatonya310 4 ปีที่แล้ว

    Nenda salama baba tutakukumbuka daima

  • @annapakya8203
    @annapakya8203 4 ปีที่แล้ว

    Kweli inaumiza sana

  • @slellahpaul2399
    @slellahpaul2399 4 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa Aman mchungaj

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu muweza wa yote, Dah mungu mlaze mahali pema

  • @lucassmapunda6248
    @lucassmapunda6248 4 ปีที่แล้ว

    R.I.P pastor mchungaji mitimingi mungu akulaze mahari pema peponi amina

  • @tumainiamani7585
    @tumainiamani7585 4 ปีที่แล้ว

    Bado Mungu anabaki Kua Mungu tuendelee kuomba

  • @hawababy158
    @hawababy158 4 ปีที่แล้ว

    Inalilai waina iraihi rajiun

  • @hellenchirchir2815
    @hellenchirchir2815 4 ปีที่แล้ว +12

    Rest in peace doctor...I was his die hard fan on TH-cam

  • @naasamson3576
    @naasamson3576 4 ปีที่แล้ว

    Dash,tupole Kwa sote Amen🙏

  • @josephpesa5192
    @josephpesa5192 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna sehem nimesikia mtumishi ametaja jina la Yesu Kristo kwahiyo sina hakika na mafundisho haya kama yanatoka kwa Mungu alie umba ulimwengu huu kwanini jina la Yesu limekuwa gumu kulitaja huwezi kuomba bila kutaja jina la Yesu ukadhani Mungu atasikia maombi yako unajidanganya ndugu yangu Yesu aliishinda mauti hivyo tulio mwamini hatuna hofu yeyote na mauti funguka macho.

  • @SAM_163
    @SAM_163 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji Peter Mitiminga Upumzike kwa Amani, Tutakukumbuka Daima😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @chidavunabintu7208
    @chidavunabintu7208 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @bensoncherop3249
    @bensoncherop3249 4 ปีที่แล้ว

    Rest in peace peter I used to listen to your teachings tutakutana Paradiso sisi zote niwasafiri

  • @apostleestherhammerofthelo6954
    @apostleestherhammerofthelo6954 4 ปีที่แล้ว

    Mbona hizi vifo vyia gafla kwa Watumishi wako Mungu, wanaondoka wakati wanaitajika. Oh pumzika kwa amani kazi ya Mungu Haina makosa.

  • @puritychogoro
    @puritychogoro 4 ปีที่แล้ว

    😭😭😭I can't imgn,Rip

  • @anjelajulius6299
    @anjelajulius6299 4 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli inauma sana

  • @faustinaboniface3029
    @faustinaboniface3029 4 ปีที่แล้ว +1

    Hata katika hili Bwana tunakuhitaji saaaana, unatufundisha kukutafuta wewe zaidi, Mitimingi, jembe, pumzika kwa amani baba yetu.

  • @reubenbuchege8577
    @reubenbuchege8577 4 ปีที่แล้ว

    Kazi umeimaliza salama

  • @danielmlanda2546
    @danielmlanda2546 4 ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidie

  • @edwinwaiton8527
    @edwinwaiton8527 4 ปีที่แล้ว

    Mwendo umeumaliza imani umeilida pumzika salama

  • @musarichard2934
    @musarichard2934 4 ปีที่แล้ว +2

    Death is a uncertainty, it is really pourable,. Ooh God.who knows his end?..it is a big secret!.. Let's build a good relationship with God!R.I.P man of God..Go dad and rest in peace many were still in need of u!

  • @jonasrogers3596
    @jonasrogers3596 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wambinguni na haipokee nafsi yko

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 4 ปีที่แล้ว +3

    Mtumishi , nini kimekukuta mtu wa mungu jmn ,kiukweli inauma ana , nilikuwa nakufatilia mafunzo yako baba ,, eee mungu umrehemu huyu baba , alikuwa ni kioo cha jamii ,lkn yote tumshuru mungu ,

  • @patrickmatembo5044
    @patrickmatembo5044 4 ปีที่แล้ว

    Pumzika mchungajiii wetu

  • @zoohrazoohra7170
    @zoohrazoohra7170 4 ปีที่แล้ว

    R . I, P Mungu aipumzishe roho yako mahali pema peponi. Amen

  • @estherlemther9030
    @estherlemther9030 4 ปีที่แล้ว +3

    Duh Pumzika kwa Amani Mchungaji!😭😭

  • @augustinremy2580
    @augustinremy2580 4 ปีที่แล้ว

    poleni sana watanzania

  • @tecla5879
    @tecla5879 4 ปีที่แล้ว

    RIP mchungaji utakumbukwa kwa mafundisho yako matamu naamini mafamilia wengi walirekebisha ndoa zao kupitia maelezo yako.😭😭😭😭

  • @lightnessdominick3947
    @lightnessdominick3947 4 ปีที่แล้ว

    Duuuh nimeumia Sana R.I.P

  • @verynicemasaka9222
    @verynicemasaka9222 4 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa Amani Mchungaji Mafundisho yako yataendelea kuwa kumbukumbu ndani ya kila mtu

  • @eliciousnikitah8785
    @eliciousnikitah8785 4 ปีที่แล้ว

    Rip mchungaji 😭😭😭😭😭Waah Ata siamini

  • @jacklinemarco5633
    @jacklinemarco5633 4 ปีที่แล้ว

    I can't believe oooh!😭 RIP baba

  • @majaliwamajaliwa5547
    @majaliwamajaliwa5547 4 ปีที่แล้ว

    Allah amuweke anapostahili

  • @loyceackim4296
    @loyceackim4296 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli Mtumishi rip

  • @hafsasaif8004
    @hafsasaif8004 4 ปีที่แล้ว

    Jaman Jaman Jaman
    Mungu Naomba Isije ikawa Kwei
    😭Mwalimu Wng Wa Kiiman
    Wa Kiroho
    Mwalimu wangu wa Kiimani
    Mwalimu Wangu Wa Kimaisha
    Nilijifunza Vingi Kupitia Wewe
    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
    Acha Leo Nilie Na Moyo Wangu 💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔

  • @nancynyaga7675
    @nancynyaga7675 4 ปีที่แล้ว

    Jamani what happened. ? But... Yeye ni Mungu kila wakati.

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 4 ปีที่แล้ว

    RIP mchungaji ila kuna wakati hofu ni muhimu.

  • @maryamathman8917
    @maryamathman8917 4 ปีที่แล้ว

    Innalilahi wainailaih rajiun poleni sana Allah awape nguvu na subra kwa kipindi hichi kigumu

  • @zawadigongo9495
    @zawadigongo9495 4 ปีที่แล้ว

    dah!! mungu wangu

  • @gracehenga1980
    @gracehenga1980 4 ปีที่แล้ว +6

    Gone too Earlier oh my God! We will always remember you.

  • @faithkarungani9503
    @faithkarungani9503 4 ปีที่แล้ว

    Noooo😭😭😭😭😭😭 ..
    Rip mitimingi nlikuwa napendaa mafundisho yake anyway safiri salama