Ee Mwnyezi MUNGU Nakuomba Uwapumzishe Kwa Amani Ndugu Zetu Hao Wa K.riakoo Majeruhi Wafanyie Wepesi Wapone Na Waliokuwa Bado Wapo Chini Wameshindiliwa Na Tofari Mwnyezi MUNGU Azidi Kuwajalia Nguvu Na Maarifa Waokoaji Waendelee Kuwatoa Wote Jamani 😢😢
Movie ni zuri ukiona moyo unatulia sana kama unakubaliana na mimi ni tamu sana usipite bila kuweka alam kama unamkubali manyanya weka apo alama ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉
Itoshe tuu kusema mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tuuu lkn akikupenda amekupenda tuu,, Likes nyingi kwa Manyanya na Mati na hapa ndo tujifunze mwanaume anapenda kujaliwa tumbo lake siyo unamlisha ugali mchicha kila siku,, acha mati akusaidie kulea mume dada🎉 Ila mudi jamani 😅😅😅
Ni kweli mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu hata ufanye nini hawezi kukupenda. Na mwanaume akimpenda mwanamke hata huyo mwanamke awe na kero kwake kiasi gani utashangaa bado anarudi kwa yule yule mwanamke
vai aendelee kula maharage na michicha huku mati anampikia vinono jaman mbon kam naon manyanya anavyokua chibonge 😅😅 team mati like up tumnenepeshe manyanya🎉🎉
Kutoka burundi tupo makini,wandugu zangu,wacheza cinema kutoka Tanzanie, filamu ya dunia ni kali sana💪💪💪💪nawaomba wandugu mwambie wandugu zenu ku follow chanel hii tuwakabidi🔥🔥🔥🔥ebu jamani mnipatie like😂
Tuliopata neema ya kuiona siku ya leo tumshukuru MUNGU na tuwaombee wenzetu waliotangulia kwa ajali ya ghorofa kuporomoka kariakoo na awafanyie wepesi wagonjwa waendelee vizuri🙏
Kwaajili ya ndugu zetu Wa kariakoo gonga like hapa tuwaombee😢😢😢
Ee Mwnyezi MUNGU Nakuomba Uwapumzishe Kwa Amani Ndugu Zetu Hao Wa K.riakoo Majeruhi Wafanyie Wepesi Wapone Na Waliokuwa Bado Wapo Chini Wameshindiliwa Na Tofari Mwnyezi MUNGU Azidi Kuwajalia Nguvu Na Maarifa Waokoaji Waendelee Kuwatoa Wote Jamani 😢😢
@@hildahaule Ameen
Amen @@hildahaule
❤❤❤🔥🔥🔥🤟🇸🇦🇰🇪
Ahahaha kama unamkubaliii mke wa muddy gonga like
Nmkubli San, lkn dah! Mudy chnga mto
Movie ni zuri ukiona moyo unatulia sana kama unakubaliana na mimi ni tamu sana usipite bila kuweka alam kama unamkubali manyanya weka apo alama ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉
Ww sio kp weew ni mdudud
@@BeckhamKyando-y7e😂😂😂
Na wewe plan b usicheleweshe sana si unaona dunia mambo ni 🔥🔥🔥
🎉🎉
Mbona Mr money Leo???
Tuzidi kuwaombea ndugu zetu kariakoo, tuko wamoja ya parestina tuwaachie wao,.
Eee Mungu wajalie waja wako second time ya kuishi
Palestina wanao uliwa NI wanadamu na kariokoo vile vile wote wanafaa dua zetu, hakuna cha kuwaachia Mungu NI wetu sote
Nyumbani kwanza, tuwaombee ndugu zetu kwanza, kabla ya watu wa nje@@ahmedbadi5822
@@ahmedbadi5822kabisaa huyu jamaa sijui anaongea nini
Wangap wanapenda penzi la manyanya na matrida weka like hapa
😂😂😂❤🎉
Kweri penzi mimi ni merpenda🎉🎉🎉
Dah! Hata mimi nilitamani sana kilichotokea Kwa Mattrida na Manyanya
Tuko wengi sana
Mm apa
Vai hana lake tena wallahi. Sisi wa Congo apa lubumbashi tulia nawa bongo kwakile kilio tokea kariako merci beaucoup ❤ lubumbashi wekeni like
Mwenzangu mkongo vipi uko poa mimi natokeya Bukavu
Pamoja ndugu yangu
Itoshe tuu kusema mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tuuu lkn akikupenda amekupenda tuu,, Likes nyingi kwa Manyanya na Mati na hapa ndo tujifunze mwanaume anapenda kujaliwa tumbo lake siyo unamlisha ugali mchicha kila siku,, acha mati akusaidie kulea mume dada🎉
Ila mudi jamani 😅😅😅
Ni kweli mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu hata ufanye nini hawezi kukupenda. Na mwanaume akimpenda mwanamke hata huyo mwanamke awe na kero kwake kiasi gani utashangaa bado anarudi kwa yule yule mwanamke
Rose upo sahihi sana
@@HappyJohn-h8qkwakweli
Mudy ni hatar, anajiita mudy kubwa, mudy muzungu paka la baa😀😀😀
Vailet ni kiburi na kuwa busy na biashara Mara simu ampokelei mime vizuri lakini wanaume ni kinyonga tu
Mati mati mati nimekita mara tatuuu kuwa makini na Cathe asije akakuharibia kwa kupeleka umbea kwa Vai🤗🤗 wanaoungana nami like hapa
Ndio kitakacho jili🙌🙌
Nahisi itakuwa Ivo ila Mungu awasimamiye nimependa saana utulivu anawupata Manyanya😊
Mambo nimoto moto jamani nakatoto kako kazuri kwakweli manyanya wetu tunakupenda sana tena sana ❤❤❤❤❤
Mke wa mudi paka lá ba namwonea sana uruma😢😢🇲🇿🇲🇿🇲🇿🌺🥀🌹🇲🇿🇲🇿
Wa Kwanza Leo from Doha Qatar 🇶🇦🇶🇦
Hii tamthilia nafatilia vipande vya Manyanya tu mnisamehe 🙏 Waiteni wasanii wengine waambieni waamke wakijisahau watajashtukia Manyanya kafika mbali
From Moçambique 🇲🇿 wapi like zangu wakwanza Léo. Team mwnyanya is good 💪
vai aendelee kula maharage na michicha huku mati anampikia vinono jaman mbon kam naon manyanya anavyokua chibonge 😅😅 team mati like up tumnenepeshe manyanya🎉🎉
Natamani manynya ahame kabisa maana kule penzi tam balaah Vai abaki namichicha yake😅😅😅😅😅
@MackilinerGodlove 😆😆😆wanawake tukishaolewa tuu hua tunajisahau saana tunahis tumeshamaliza😅😅
Yaani mati ni hatari kwelikweli😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri sana wakwanza Leo from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Muddy nomaa sana😂😂 much love from Burundi 🇧🇮
Pacha from tandale leo tena wakwanza mimi huyo
Btunako elekea naona manyanya atahamiya mazima kwa malthida🥰🥰🥰 tuko pamoja michepuko tunapambana mpaka ndowa ikamilike💪💪
Whaou moyo wangu umetuliya
Ila dakika ni ndogo🥰
Wangapi 😢😢😢 tunatamani wajifunze kupitia manyanya Kila k2 mfanyakaziii napenda manyanya anavotoa shulee kwa dada zetuuuuu❤❤❤ penda Sana hii movieee
Wanao kubali penz jipya La manyanya na math 🎉🎉🎉 ❤gonga like
I really love you guys from Kenya Ebu mnipitie,,,,Kama mnapenda uyu kaka manyanya
Wangap wanataman hii movie waxiimalize mwaka huu🫣🫣🫣
Kipande kimoja
Duu manyanya chakula cha mkeo chaonja mwarobaini😂😂😂 chezea n mchepuko ww kaz nzur sana sjachelewa vile❤
Director binafsi nakubali kazi iko moto hakuna scene inayoboa love sana kwenu wote
Woow tamthilia yang pendwa ❤❤❤❤ polen ndugu zangu wa kariakoo😢😢😢
Bora hata uyu kathe asalitiwe maana kazidi😂
I like this game 😂😂😂🎉🎉🎉🎉so interesting ,,, like hata Tano wenzangu ❤
Na mie nawafuatilia humu nchini Rwanda. Nawapenda sana
Yan ii move ikichelewa me uwaga nakosa ham ata ya kula jmn nikiwa naiangalia ivi najiskia aman kabisa ❤❤
😂😂😂ichelewe week si utakua mahututi
Na mm pia
Hakka manyanya unajua mungu akuongezee zaid ujuz
Nazipenda Sana kazi za manyanya. Ila muna chelewesha viande Sana.
Manyanya mpe mimba mati❤❤❤ tufurahiye wakenya😅😅😅
Ka manyanya kameanza kuchet
Ila manyanya kashashibaa ndizi mwenyew saiv maharage anayaonaa kam mawee😅😅😅😅 vai kazi unayoooo si umeamua kugawa kwingn all in all🎉🎉🎉🎉 kwa kaz nzuri
Kwanza hizo mboga ndobajeti au kiduchuuu😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Vai ulitaka mwenyewe kula chuma hicho usilie huyu kutoka Nita muunga mkono juu kunao wengine sababu kubwa za kwenda njee hawana.
Nimekuwa addicted kwa hii Movie
Hata kama umekua Mimi ndio saidi sana
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team manyanya and violet
Natoa mahuwa 🎉🎉🎉🎉🎉juu ya Maty kujali vizuri manyanya kama unamkubali Maty weka alama ya upendo apa ❤❤❤
❤❤❤
Vai badilika akunatafauti namwarabu manyanya owa mAtri 🎉🎉🎉🎉 wanaoo penda dunia gong
M napenda mudy anavyo pigwa vboko , na pale alipo stuka toka kuskia chupa inaenda kutupwa
😅😅😅
Kweli pia mmi
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Muda wa mat kuenjoy kupata vile alivyo kuwa Ana kosa nzuri sana iyo 🎉🎉
Penzi karimati penzi andazi mati vs manyanya ❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂😂 nmecheka sana manyanya akifikiria chakula cha mchepuko wake 10:29
Kisha anatapika😅😅😅
Wakwanza mimi hapa nipeni maua yangu boy from Msumbiji 🇲🇿🔥🔥🔥🔥 in class room
Vaileth, Manyanya amechoshwa na chakula chako,,muache akapikiwe na Matilda ❤❤❤❤
😂😂😂
Tamu Sana team asma film weka like bana msiwe ivo❤❤mwezenu kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪📌
Sijachelewa sana jmn maua yetu wapenz wa Dunia 🎉🎉❤❤❤
Team maty vp tuzichape au tuache mna carthe anajifnya mjuaji sna😅😅😅
Tuhame tu iyo nyumba
Tukiwasheee😂
😂😂😂@@LailatSleyoum-ex6rb
Manyanya kanogewa na maty ... chakula cha nyumban kwake hakipandi 😂😂😂😂😂😂😂❤
Wangapi wanaikubali hii move iwe namba moja msimu huu naomben like zangu
Wew matrida vaaa mavaz ya eshim directa hakuambii Kuna watot wanaangalia hii tamthilia
Mume kama muddy siwezi Nika ishinaykwakwel anatabiya mbaya uyumwana muke nimuvumilivu apewe mauwa🎉🎉🎉🎉
Jamani nimefurahi kama mimi ndie ninae abiwa kua napendwa jamani matiii❤❤
Hii movie ni nzuri sana kwa wanandoa ukweli inafundisha na kuburudisha hongera sana wasanii
Kabsaaa
Kutoka burundi tupo makini,wandugu zangu,wacheza cinema kutoka Tanzanie, filamu ya dunia ni kali sana💪💪💪💪nawaomba wandugu mwambie wandugu zenu ku follow chanel hii tuwakabidi🔥🔥🔥🔥ebu jamani mnipatie like😂
Ongereni kabisa natoka kongo pa GOMA town liké tafazali
Mwanamke Kama wa mudi ni wa chache Sana piya ongera Sana mke wa muddy mahana unatowa somo piya unamoyo wa kipekehe sana
mutumichi wa mungu muokoe uyo mama
Jamani huyu mudy achinjwee tu Christmas jmn khaa😅😅😅
Hii ya manyanya na mati nimeipenda ❤❤❤
Yaani nimefurahi sana kuikuta dunia muda huu 🔥🔥🔥🔥🔥
muvi n nzuri mno mashaAllah kama unakubaliana na mimi gonga like hapa
Km kuna w.wke waume zao ni km mudi Mungu awasaidie kwenye huuu mtihani 😢😢😢
Tena n wengi tuu
Tena awatie nguvu 🙏🙏🙏 neno moja kwa church boy
Leo nmewahii ❤❤kaz Mzur kaka Manyànyaa tuko pamoja ❤🎉❤🎉
Noma sana
Kadri sku znavyoenda namuona manyanya anakuwa muhandsome🥰🥰🥰🥰
Chezea kupetiwa petiwa ww😂😂
Leo nadili na carthe😂😂😂😂wacha kuwa kama gigy halaf math mbna hukujib swali langu😂😂😂😂
Mat NA CATH NOW NDO MAANA HALISI YA WIMBO WA AU ME NDO YULE MJINGA ALIEKATAAGA SHULE CHEKECHEA MAANA NIMEKOSA HOJA YA KUJITETEA😅😅😅😂😂😂😂HII NDO DUNIA
😅😅😅😅😅
Jamani Leo nimewahi kutoka Zanzibar nipeni like zangu hapa 😅😅
kama unajifunza kupitia hiii gusa like yako hapa
Mambo saf kbs Ebu tuongez dakika manyanya ❤❤❤ 45
I love u guys team Mat mko wapi ❤
Hivi wakuu, Familia ya Manyanya Haina chakula kingine kinapika zaidi ya ugali, Daaaaaah kama wako jela😅😅😅😅😅😅
Amekula chakula chakula chamaana yup vizuri umekaa ukimrisha vitu vya ajabu
Hii movie mbon ina kachumbali nyingi sana......likes kama unamkubali manyanya na mati
Leo nimefika mapema jamani naomba like mama alinituma like zenu ❤❤❤❤ili mama uniluhusu nirudi nyumbani❤❤❤ I love you all
Tusiache kuomba kwaajili ya ndugu zetu wa kariakoo Mungu awatie nguvu 😢😢😢😢😢😢
Amen 🙏
Amiiiin😢😢😢
Amina
@@Raheema-f5n mungu akubarik mtumishi wa Mungu
Mungu akutendea
Number one vaiii na manyanya
Mudy bana ee waja pombe 😅😅😅
Ila mati msumbufu et kasahau kama zamani alikuwa anamwambia cath kuwa manyanya amekuja kisa sahizi yupo inlove❤❤
Yaani 😂😂😂mm naziona ngumi hizi apa
Leo mke wa mudi kanifuraisha 😂😂😂
Ukisikia tu kingoma kinapigwa, unajua tu kuwa tayari Mudi kashaharibu muda sana
😂😂😂
😅😅😅
Kwakweli maana duh
Ni hatari tupu @@GaudenciaMadirisha
Asee hii move kuna somo kubwa. Sana kwa sisi wanawake. Jaman 😥😥
Wangapi wanafurahia penzi la Manyanya na Matilda
Tunawapenda sana kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ni wa kwanza ku comment naombeni like zenu from zanzibar
Napenda sanaa hii movie jamani
Jamani manyaya anafanya kazi gani mbn kila siku anasem anaenda kazin ni kaz gn iyoooo😮😮😮😮😮😮😮
😂😂😂😂 hata gar Hana 😂
Kwan wote wafanyao kaz wako na magari jaman? Alafu acha tujue anaenda kazini...kuijua kaz yenyewe sio shida zetu😊
@@aishaomar2287 mhhhhh jmn 😭😭🤣🤣jumba zur hata kigar Cha kishkaj Hana 😁
Tuliopata neema ya kuiona siku ya leo tumshukuru MUNGU na tuwaombee wenzetu waliotangulia kwa ajali ya ghorofa kuporomoka kariakoo na awafanyie wepesi wagonjwa waendelee vizuri🙏
Mungu n mkubwa atawapa nguvu inshaallah 🙏
Nimefika,,ak navowafatilia😅😅😅😅team strong nipeni likes nawaakilisha
SIJA CHELEWA SANA JMN NAOMBA LIKE MBILI TU❤❤
Mapema sna wakuuu
😂😂 mudy kiboko kwakweli dooh!! Manyanya na mati penzi lizid kilo 200
😂😂😂 cha pombe ame ni flaisha sio poa
Cem now imeituma vibaya wakulu yaan inaonyesha nusu upande.....
naomba mati kimmrambe kabisa kiherehere chakumuacha r chuga.kama tunakubaliana na mm gonga like nyingi hapa
Hahaha sio mati ni cathe😅
@@ZephaniahSekwa-fl2go 😂
Mmh kwani mati ndo alomuacha r chuga?? Si cathe
weee uyo sio mat n cathe😂😂😂
Ni cathe,tyr kishaanza kumramba
Jmn Dunia isiishe iwe ndefuu season 1 two, 3,4,5,6.... Au kama Isidingo😂😂
Mwanamke ukijifanya mjuaji kuliko mmeo anatafta kitu kizito utampa nafasi kubwa mmeo kutafta mwanamke mwezio
Vizuri tu
😂😂😂😂Mudy kweli mtambo daaah hongeri wote mlioshiliki ❤❤❤