No Rezoning of Historic Minnetonka Mills” signs. These are just a fraction of residents against rezoning property that is across from the historical Burwell House, Minnehaha Creek and Minnetonka Town Hall, from single affordable homes to high density, low-income townhomes. Danganya Ma fala sio Mimi
Niaje Hibra‼️ Happy to see you Rollin back like you never left Omwami...lakini uache kutubeba ufala sana wee pia ibra..eti NOREAZONING ZONE..inamanisha??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
BIG difference between REZONING and REASONING. That goes for intonation (pronunciation) too. If rezoning hadn't happened in Nairobi, places like Kileleshwa would still be like Karen. Unfortunately Kilee today is fast becoming Pipu 2.0 Edit: Now to watch the rest of the vid. I'm hoping it's satirical.
Sio mzungu which means God in a small Bantu speaking tribe who lived between Wachaga na Wataita. In early 1800s, a German narcist shot dead more than 80% of them and ordered the remaining to call him n all of his tribe Mzungu. Our freedom fighters called them Wabeberu. Situjajazie
By the way I saw that post on TikTok... Nikashangaa 30k... Ujipate Amerika..... 😅😅😅😅😅😅sasa Kenya Kuna sehemu ya wajinga 😅😅😅😅....???? Ibra si unientetain na mmoja mjinga.... Sitakusahau milele 😅😅😅😅
Uyu jamaa ametupima apo🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli😂😂😂 😂😂😂 anatupima
Hii ya Leo nayo waah,😅One of the best unscripted content creator, you are always my mentor since day one,
Ata wewe n no rezoning..Sasa huyu anakumentor na nini
No Rezoning of Historic Minnetonka Mills” signs. These are just a fraction of residents against rezoning property that is across from the historical Burwell House, Minnehaha Creek and Minnetonka Town Hall, from single affordable homes to high density, low-income townhomes.
Danganya Ma fala sio Mimi
Tengenexa channel Yako..... Wait till at the end of the video uone aki explain rezoning....... MBWA ,MALAYA WEWE!
@@URJohn254boss mbona hasira 😂
Ibra unakuwanga mjinga lakini😂😂😂😂 Anyway I am happy you are back
Happy to have you back Ibrah
happy to have you back. I hope hutapotea tena
Anatuteeesa
RE-ZONING and REASONING 🎸
Yup i saw that 😂
Wow is a very beautiful place I like the green
Heri nkue mzungu mjinga kuliko mwafrika mwerevu kama wajinga wanaishi hivi
That area is beautiful and clean I love green
Your so beautiful n i love u ❤❤❤
Niaje Hibra‼️ Happy to see you Rollin back like you never left Omwami...lakini uache kutubeba ufala sana wee pia ibra..eti NOREAZONING ZONE..inamanisha??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
My brother mungu akubariki sana nakupenda sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣, onami si unitumie dollar moja aki, sijawai tumiwa Doo Toka majuu
Members mwabolakho..Thank you so much for uploading such awesome content ..
😅😊Maggie Maggie Nakucheki
@@HukuYues172 Yues I appreciate your speed feed back reply comrade just count me in lazima niku support my boss you are amazing soul
Iba wewe ni mtu wa nguvu tupe kitu cha nguvu mpaka kila siku mpaka kina kibe watii wewe ndo mwenye content HUKU YUES...... Keep moving poa bro🇰🇪🙏💪👍
@Ibrahim ....how do you know those vehicle have been thrown
😂😅😅😅nimecheka anaambia eti wazungu ni wajinga eti mzungu fala hahaha
Aki wewe kama singesoma hapo i would have fallen for it 🤣🤣🤣🤣🤣
😂🤣🤣
Toka hapa Ibrah... Wewe ndie uko na ujinga 😂😂welkn back
the action or process of assigning land or property to a different category of restrictions on use and development.
Sio reasoning Ibra, ni rezoning yawa😂😂😂.
Unakuwanga na ujinga nawe😂😂.
Happy to have you back after long time.
Content ziflow sasa.
Team 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏👏👏👏
😅😂safi
Leo nayo umetubeba wana 😆😆😆
Ibra, Leo umetufanya mambo
Re-zoning...Reasoning!!! Haki Ibra
Lakini hi yo place iko sawa kumetulia nkikuja yues ntakaa hiyo mtaa ya wajinga😂😂
Iba tunangoja content zako mingi tupe vitu vya nguvu kutoka kwako morally safi 👊🇰🇪🙏💪👍💐
Naitwa clever niko tz,,, bro nakufwatilia sana sana uko poa mzee wangu 🎉🎉
😂😂😂 Ibra wewe, tunakuona Sana. Love to see you back
Where in the USA is this neighborhood?
We mwenyewe unaitamani. Umeongea kinyume.😂😂. Umetuteka😅
some time unatuchocha sana....happy to see you back
Thanks sana you are back...Sasa tukufikishe 200k sub 🎉🎉🎉
Ibrahim please nataka tuongee please unipatie mmoja mjinga please 🙏
Mimi ni follower wa ibrahim onami . nikitaka kukam yues process ni gani?
Your captions alone are ‘naively’ hilarious 😂😂😂
Amazing content 🎉
Welcome back bro,we really missed your content,,,
Rezoning !!!! 😅😅😅😅😅😅😅rent would be limited to $1500.average rent is required to match the land's current value
Finaly you are back just go on uploading videos
Ibraa tulimiss sana content zako thanks for coming back wacha tuswet maboringo na nyapwetho
Izo magari ziko kwa uncontrolled parking zone mkuu
Ivi kaka unatuchukuliaje 😂😂😂😂 et magari ya metupwa
Pia mm heri mniite mjinga lakini naishia place kama iyo joh
When did no rezoning mean no reasoning? 🤔
Wewe aki😂😂😂😂
No Re-zoning inamanisha hauwezi vunja hiyo keja ya floor moja uweke ya floor mbili ya mawe. Hauwezi vunja keja residential uweke mpesa. 😇
😅😅I already said that my friend
No Re-Zoning of the hills buana😅😅😅
0:46 😂😂😂, "ReZoning" hakuna ku change architecture, ulikua umeninasa lakini, nilikua nisha amini juu Huko Yues, anything ni possible🤣😂
Niwapi brother nikujie niko new york niokote yangu
Okay Ibraa no reasoning or no reg-zoning yaawa 🤣🤣whish is whish my brother
Napenda kaziyako kijana❤❤❤❤
sasa hiyo mkta hills sinitajua ni wapi
Usipotee sana bhana mambo yanacheamka
Does it say "no rezoning" or "no reasoning"
Hapo sawah my G this is what i talked about ...😂Ya jana pia ilikuwa Noma ,,,,,
No rezoning inamaanisha hio property haifai kufanyiwa modification of any nature!
Hakuna kufanya extension ya nyumba other than the original design!
Kkkkkkkk wanaishingi kkk wanaishigi bana
Is no rezoning same as no reasoning?
Rada ,msee wa Mumias
Hehehe...Ibra si unatubeba ufala....
Nakuja majuu next year naomba unihost mpaka nipate place ya kukaa sina mtu huko
BIG difference between REZONING and REASONING. That goes for intonation (pronunciation) too.
If rezoning hadn't happened in Nairobi, places like Kileleshwa would still be like Karen. Unfortunately Kilee today is fast becoming Pipu 2.0
Edit:
Now to watch the rest of the vid. I'm hoping it's satirical.
Sema wanaishi Maeneo mazuri hata Barabara nzuri Kuliko Sisi wa Reason😂😂
hizo ni gari za visitors,we mzee..
😂Ngombe ni ngombe tuu
Wewe pia unasound mjinga ile mbaya
Siwajinga, Ni utajiri kupitakiyasi, Hawana ajanapesa
Ni wapi huko.
Which country is that??
Kisii walitoka wapi sasa
Wewe hutubeba but si hupenda hivo😂
Sio mzungu which means God in a small Bantu speaking tribe who lived between Wachaga na Wataita. In early 1800s, a German narcist shot dead more than 80% of them and ordered the remaining to call him n all of his tribe Mzungu. Our freedom fighters called them Wabeberu. Situjajazie
Hehe noma meanwhile nipitieni kwa wood flavour tv angalau nifikishe 2k subscribers
Meanwhile back inhome clean street like that is where most reasoning people resides
Wow aki ningependa nifike USA
Brother uwe basi unatoa na michongo ya kazi we kila siku una tu postia uhaya mwingi ivi wakenya mnakuaje?
Za mzungu mjinga atamiliji gari na nyumba?
Kwani umeanza kuvuta bangi 🤔
Jishindie bana nyumba na gari 😂😂😂
😂😂 si uokote nyingi
Hii nayo ni jaba😂😂😂
Noma sana, I almost believed until when I read NOREZONING.... makes sense u need to reason
This is the closest i have come to going to America or overseas. Lakini ipo siku
Onami wacha bwana😂😂😂😂
😂😂😂Re-zoning afi huku atl kuna hizo😂acha kuwapima,,,
Utajuaje gari imetupwa before uitwe mwizi😂😂
Same question
Huwa wanaandika kiposta,Free
@@gaudyfalenciah seriously? What a good place to live in
Niwapi nikuje kuogota gari moja 😂😂
Yani umewachanganya wakenya adi thy fight your idea of rezoning 😂😂😂😂😂
that is clark mills new york
Wewe Wacha....😂😂😂 No rezoning 😅
Rezoning vs reasoning😂
Lexus imepackiwa sio kutupwa😂
This place is beautiful walahi, one day one time I'll land here.
Mkuu kitambo sana ulipotea sana.Iko powa sana video hii
By the way I saw that post on TikTok... Nikashangaa 30k... Ujipate Amerika..... 😅😅😅😅😅😅sasa Kenya Kuna sehemu ya wajinga 😅😅😅😅....???? Ibra si unientetain na mmoja mjinga.... Sitakusahau milele 😅😅😅😅
ati no rezoning 😂
Hibraa bana usiji poteze tena ivio 😂
😂😂 😭🤣🤣bruh! Si no reasoning, imeandikwa no rezoning. SASA hawa wazungu ni wajinga
Uko na ufala, huku yues😅😅😅
Sinikujee huko hata mimi
😂huoni unatupima
Lakini unatubebanga aje😂😂
NO REZONING MEANS HAWAHITAJI KUPLAN TENA WANATAKA WABAKI KWENYE MUONEKANO HUOHUO NA SIOWAJINGA ACHA UONGO
Ukifungua mlango ya gari unashukiwa we mwizi ju uwezi jua gari ni ya free ama mwenyewe ako tu ndani ameiweka tu kwa road kwa raha zake
Wacha kubeba watu ufala Bro!....Rezoning????......Reasoning???.....😂😂😂😂
Ama unatudanganya kama wametupaa gali suchukue uone moto gali haija tupwa
NO-REZONING enda udanganye wa TZ