WOW jeremy Ahsante kwa kutuletea kyade...he is a great man of God...kyande napenda vile ulikua unaleta injiri huku kwetu Naivasha karagita..ukiwa umebeba bakola ya kupiga walevi wakileta kisirani kwa kazi ya mungu..missing u Sana
shukrani kikuyu d tv .naitazama hii video huku kenya.asante kwa kumleta apostle kyande ktk mahojiano haya.nafurahia sana kumwona kyandenilianza kumtsikiliza mtumishi katika crusade miaka ya 1999 nikiishi sehemu za kajiado.MUNGU na akuzidishie neema na akulinde .
Asante Jeremy, nilikuwa tu nataka nijue Kyande ni mtoka wapi. Jina lake hunichanganya sana, kiswahili cha mkikuyu kimechanganyikana na cha kitanzania hehehe...I love his songs.
Beautiful word. Thanks to Kyande. Barikiwa sana. Your illustrations are so Holy Spirited. Ila nastaajabu kuhusu muziki wa mtumishi kwenye youtube ilhali hajauweka yeye mwenyewe.
Amen;mc leo umenikumbusha waimbanji wazuri wa kiswahili.Shari matin,Munish na Imanjinji waa...sauti zao zatoa nyoka pangoni.Be blessed apostle.Jeremy amazing you are
Waoh.God bless u Jeremy kwa Kuleta kyande na penda song zke Sana,nikiishi karakta.nilikuwa natokea job nikimkuta nakwama hapo.crusade yake ilikuwanga mahali samaki zilikuwa zinauziwa
uuuuuiii....bro jua ya Arizona imekukaanga uonekani hata....anyway u r doing a gud job Jeremy..God bless u..appostle denxs alot na mungu akubariki zaidi
Kyande I always believe that huenda unge kuwepo kpind Dada yangu anaumwa huenda angekuepo hai hadi Leo nmekua nackia nymbo zako hadi ndugu yangu anafariki anaimba nyimbo yko ila nmwachia Mungu pekeee Mungu akulinde
WOW jeremy Ahsante kwa kutuletea kyade...he is a great man of God...kyande napenda vile ulikua unaleta injiri huku kwetu Naivasha karagita..ukiwa umebeba bakola ya kupiga walevi wakileta kisirani kwa kazi ya mungu..missing u Sana
I love to listening all songs by kyande,,,,because mostly all songs is direct from the Bible.
shukrani kikuyu d tv .naitazama hii video huku kenya.asante kwa kumleta apostle kyande ktk mahojiano haya.nafurahia sana kumwona kyandenilianza kumtsikiliza mtumishi katika crusade miaka ya 1999 nikiishi sehemu za kajiado.MUNGU na akuzidishie neema na akulinde .
Nitarudi nyumbani nimwinamie baba niseme nimekosa mbele zako na mbele zake mungu..I love it a postle.mungu akulinde na kukuinua siku site.
God bless Kyande. Am one of his biggest fan. I like his songs mainly coz of the message.
Asante Jeremy, nilikuwa tu nataka nijue Kyande ni mtoka wapi. Jina lake hunichanganya sana, kiswahili cha mkikuyu kimechanganyikana na cha kitanzania hehehe...I love his songs.
Beautiful word. Thanks to Kyande. Barikiwa sana. Your illustrations are so Holy Spirited. Ila nastaajabu kuhusu muziki wa mtumishi kwenye youtube ilhali hajauweka yeye mwenyewe.
Amen;mc leo umenikumbusha waimbanji wazuri wa kiswahili.Shari matin,Munish na Imanjinji waa...sauti zao zatoa nyoka pangoni.Be blessed apostle.Jeremy amazing you are
+Tbeta Tbeta heheh akkimba wewe hukuwa umezaliwa
Kikuyu Diaspora Television USA
yaani leo nimekumbuka mbali sana hasa bili ya jua ya mwezi nani analipa kama sio Mungu
Waoh.God bless u Jeremy kwa
Kuleta kyande na penda song zke Sana,nikiishi karakta.nilikuwa natokea job nikimkuta nakwama hapo.crusade yake ilikuwanga mahali samaki zilikuwa zinauziwa
Nimeanza kumsikza since 2000, be blessed apostle Kyande
Waaah jeremmy umenikumbusha mbali sana .
He was and still one of my role models to this date.
God bless you guyz
Kanda zako ninazipenda mno. Mtumishi barikiwa sana.
uuuuuiii....bro jua ya Arizona imekukaanga uonekani hata....anyway u r doing a gud job Jeremy..God bless u..appostle denxs alot na mungu akubariki zaidi
I love him songs zake ziko na spiritual messages.
Kyande I always believe that huenda unge kuwepo kpind Dada yangu anaumwa huenda angekuepo hai hadi Leo nmekua nackia nymbo zako hadi ndugu yangu anafariki anaimba nyimbo yko ila nmwachia Mungu pekeee Mungu akulinde
Pole sana Gerald for losing your brother.
Mtumishi was Mungu nitaupataje ule wimbo wa mke sio kitunguu
Mungu ni bwana...be blessed bwana kyande
Blessings
Amen Amen
God bless u Kyande jeremy great job
wao muimbanji wa zamani bado sauti iko juu shukurani jeremia ubalikiwa kutuletea waimbanji
May living God protect u.
Great servant of God
Naomba jibu wadau please pastor Kyande ni Mkenya au Mtanzania na sasa anaishi wapi Kenya or Tanzanian?
Mtanzania
Anaishi Kenya
AMEN GOD bless u
Hooo kyande the big man in de ministry
watumishi wake baba I remember my fred Joan may she rest in peace back 2002 🙏🙏🙏🙏
Man of God,live long Kyande.
Kyande twakupenda kenya
Waoooo
Wa nilifikiri kyande alikuwa mkenya na mkikuyu
Albam ya wachungaji na ile ya kumaliza kilio mtumishi wa Mungu kyande uli imba bwana so mchezo
naomba mtume kiande utoe hiyo albam yakwa vidio
Kama kuna mwenye nyimbo za albam ya kumaliza kilio ya kyande plz check me on. 0757133677
nipigie kwa 0727526644 nikuambie nikupeleke kwa shop yake
Huwa unataja vifungu vya bibilia ktk kila wimbo. Unaimba ukifuata sheria za Mungu. Asante kwa kufuata mtindo huo.
Jeremy unajaribu kiswahili.
Tuwekee kumaliza kilio
Kanda zako ninazipenda mno. Mtumishi barikiwa sana.
May living God protect u.