Bi Mswafari: Raha au Karaha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Bi Mswafari: Raha au Karaha
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.co...
    / citizentvkenya

ความคิดเห็น • 10

  • @mariamibrahim9855
    @mariamibrahim9855 8 ปีที่แล้ว +2

    Wow tough mom and her girls! Mkala the show has really opened my eyes and mind wider! Kudos,whenever kanze dress in blue show huw ngori? Comedy!

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 8 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa Bi mswafari, Dua na baraka za wazee ni msingi mzuri wa maisha ya ndoa yako.

  • @Mimi.Official76
    @Mimi.Official76 8 ปีที่แล้ว

    Bi mfwafari kuna tatizo katika familia .kuna wazazi wana watoto Kama 6.kati ya hawa 6 wazazi wanapenda watoto 3. kwa sababu wana uwezo wa kifedha zaidi.Mwanzoni Hawa watoto wengine walikuwa hawana uwezo ni masikini.Sasa hivi wanauwezo kuwashinda wale wale wenzao wanaopendwa zaidi .sasa wazazi wameanza kugeukia hawa ambao walikuwa hawawapendi na kuwa upande wao zaidi kushinda wale waliokuwa wakiwapenda mwanzoni.Inakuwaje wazazi kama hawa wenye tabia Kama hii ya kupenda watoto wao namna hii? Bi mswafari hebu liweke wazi hili jambo,kuna watu wanaumia sana na hii tabia .THAFADHALI SANA Bi mswafari nakuomba plz plz plz.

  • @rehemasharriff7494
    @rehemasharriff7494 8 ปีที่แล้ว

    kwa ushauri mkala yupo sawa

  • @mariamibrahim9855
    @mariamibrahim9855 8 ปีที่แล้ว

    Bi mswafari kuna wanaume walikuwepa majukumu , mke aka struggle pekee yake, then akuje akuje mkia anataka mahari haiwezakani hata mungu ataelewa , hakuna laana

  • @seziholiness9921
    @seziholiness9921 8 ปีที่แล้ว +1

    hahaaa kanze

  • @tinakanec9161
    @tinakanec9161 8 ปีที่แล้ว

    napendasana mawaitha yako bimsafari nilianza kukusikiliza tangu ukiwa kwa radio kwa tv mpaka nilisafiri na bado sichoki kukusikiliza cz napenda kujifunza mambo nisiyoyajua mm pia nasubiri hayomahari pianitolewe siichi kama wazungu waichi maana ya mahari ama ndewiichi mdawida wa bura mission buda mawo bura station mlungu ukuneke matukumalazi wotchin frm czech

  • @Mimi.Official76
    @Mimi.Official76 8 ปีที่แล้ว

    Bi mswafari ,afadhali huyo mchumba nimsaidie nimsaidie vitu vya sanduku kuliko mahari

  • @yvonnemusimbi2014
    @yvonnemusimbi2014 8 ปีที่แล้ว

    Wololo!Mambo ni mazito.