SIFAELI MWABUKA:MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AKIWA MATEMBEZI NA MKE WAKE( ZANZIBAR AFRICA)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 228

  • @frank254tv3
    @frank254tv3 3 ปีที่แล้ว +36

    Wapi like ZA wakenya 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @edwinewafula1221
    @edwinewafula1221 3 ปีที่แล้ว +7

    Nairobi Kenya waiting

  • @komenjnr.5348
    @komenjnr.5348 3 ปีที่แล้ว +15

    Be blessed Sifaeli.ubarikiwe sana.kenya we love you

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 3 ปีที่แล้ว +4

    Tunawapenda sana I'm Muslim but napenda venye unaimba kaka god bless you

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 ปีที่แล้ว

    Wakenya tuko Natasha weka like zetu...Sina chakukulipa mungu wangu Bali nasema tu asante baba

  • @priscilarkahindi9126
    @priscilarkahindi9126 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina,alafu mumefanana ww na mkeo,ulijua kuchagua mtumishi,from kenya

  • @immaculatenabwire789
    @immaculatenabwire789 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu azidii kuwabariki milele na milele daima 🙏🙏🙏

  • @thegovernmentofkenya238
    @thegovernmentofkenya238 3 ปีที่แล้ว +2

    Kenya tuna kutambua sana bro.

  • @jamesdonard2081
    @jamesdonard2081 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki sana Kaka SIFAELI nakupenda sana

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 3 ปีที่แล้ว +1

    Waiting 👍

  • @kherymasoudy8364
    @kherymasoudy8364 ปีที่แล้ว

    Nikulipe nini Mungu wangu kwa mengi ulio nitendea Asante tu baba

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 3 ปีที่แล้ว

    Tembea kenya pia🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🌷🌷🌷nakupenda bura bro

  • @rosedhieu8618
    @rosedhieu8618 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana. Australia twakupenda

  • @erickmunene4865
    @erickmunene4865 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuride pamoja na familia yko

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @maggiealf4474
    @maggiealf4474 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ndio watumishi wa Mungu kweli ,natural beauty God you

  • @joycewanja9903
    @joycewanja9903 3 ปีที่แล้ว +2

    Karibu kenya na uhamie kenya we love you

  • @hudsonmalanga7955
    @hudsonmalanga7955 2 ปีที่แล้ว

    Mimi na familia yangu tunapenda nyimbo sana hapa kenya nairobi

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @binonsakwa1229
    @binonsakwa1229 3 ปีที่แล้ว +1

    +254 representing🔥🔥🔥🔥

  • @esthermachea1154
    @esthermachea1154 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda nyimbo zako Naitwa ester machea nipo Dodoma naamini IPO siku tutaonana

  • @joycewanja9903
    @joycewanja9903 3 ปีที่แล้ว +2

    🇰🇪🇨🇦 Nyimbo zako unibariki nikiwa kwa wakati mungumu

  • @santanabii5374
    @santanabii5374 3 ปีที่แล้ว +3

    My people nawapenda Sanaa,, watching from Nairobi kenya ❣️ ❣️❣️❣️,,,mungu akulinde sifaeli

  • @jacintamutinda2482
    @jacintamutinda2482 3 ปีที่แล้ว +1

    I love your songs zinanibariki sana sana sana🙏🙏🙏 barikiwa sana

  • @rehema-mwandiga
    @rehema-mwandiga 3 ปีที่แล้ว +2

    Am waiting...

  • @opdplegends9458
    @opdplegends9458 3 ปีที่แล้ว +2

    Wow so lovely mtumishi ,Kenya tuko locked

  • @aminakalinga9017
    @aminakalinga9017 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana mtumishi wa mungu 💕💕

  • @mwangamediasimoncephas
    @mwangamediasimoncephas 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana na Mungu mtumishi, nyimbo zako zanitia nguvu sana, hususan ile isemayo,"Mimi ni nani? ",
    Nikifikiria nilikotoka Midoina -Kenya, jinsi maisha yalivyo, tuliosoma pamoja, ila Mungu akanipa upendeleo mahali nilipo nasema asante.
    Mungu akuinue zaidi Sifael

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante kwa kufuatilia kazi zangu mungu akubariki be blessed Mungu akupe ushuhuda zaidi

  • @beatricechepngeno1932
    @beatricechepngeno1932 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana from kenya

  • @michaeloyioma846
    @michaeloyioma846 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mutumishi wa mungu,kwa nyimbo nzuri.

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @beatricenyasili7213
    @beatricenyasili7213 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow 😊 wimbo mzuli sana

  • @mosesmwambeneofficial3946
    @mosesmwambeneofficial3946 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kuwatunza barikiwa Sana

  • @SAUTI_YA_DHAHABU
    @SAUTI_YA_DHAHABU 3 ปีที่แล้ว +2

    Waiting

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 3 ปีที่แล้ว +1

    All the best brother Sifaeli

  • @joycewanja9903
    @joycewanja9903 3 ปีที่แล้ว +1

    Karibu pia Canada

  • @judykananu2496
    @judykananu2496 2 ปีที่แล้ว +1

    May God bless u alot ,ur songs really give me hope everyday.

  • @margretsambula684
    @margretsambula684 2 ปีที่แล้ว

    May.god.bless.you.with.your.family.god.is.good.all.the.time.god.is.not.like.a.human.being.amen

  • @reubensonga8860
    @reubensonga8860 3 ปีที่แล้ว +4

    We love you bro especially your songs much love from Kenya

  • @stanleyguthia7771
    @stanleyguthia7771 2 ปีที่แล้ว

    God bless you sir, your songs really bless my soul 🤝🏾🤝🏾🤝🏾🤝🏾🤝🏾

  • @edwardimbuka7802
    @edwardimbuka7802 3 ปีที่แล้ว

    I love the song kiongozi barikiwa sana kaka

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @charlesbele1491
    @charlesbele1491 3 ปีที่แล้ว +4

    Toujours souriant ! ( Tabasamu kila mara). Barikiwa na Jesus. 🇨🇩

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 2 ปีที่แล้ว

    Ushuhuda wa kuwa na Yesu . Una ujasiri wa kushuhudia katika hali zote. Asante kwa ushuhuda SIFAELI MTUMISHI. utaponya wengi Yesu ni jibu. Afungua macho, masikio, na ububu unahama. Mdomo unaingia kazini kwa kishindo. Hapa kazi tu. Tusimame tuu , tuu. TOP BABA. UMENGUSA WENGI KAMA SIYO WOTE. SLALOM 🙏 👍

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others

  • @Repisonny-gc2lt
    @Repisonny-gc2lt ปีที่แล้ว

    Safiiiiiiiii mungu akubalik

  • @everlineocharo4433
    @everlineocharo4433 3 ปีที่แล้ว +4

    Has one the Kenyans l really love and salute continue spreading the word of lord

  • @janetsosadimissmymomnanjal1408
    @janetsosadimissmymomnanjal1408 3 ปีที่แล้ว +2

    Man of God that's a big talent you mean you are in Kenya ? Welcome in western part of Kenya your songs mafunzo sana kwangu may God bless you

  • @gloriamkonda6266
    @gloriamkonda6266 2 ปีที่แล้ว +1

    Mr Mwabuka as iam writing it's 8:49pm here in USA but can't resist your music
    You are so good Ian enjoying Thanks brother

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen thanks so much be blessed more please share to others and God bless you,

  • @margaretnjoronge5712
    @margaretnjoronge5712 3 ปีที่แล้ว +1

    Waoo God bless you man of God 254 we love you pia nyimbo zako zanibariki Sana

  • @bettykimetto4291
    @bettykimetto4291 3 ปีที่แล้ว +4

    God who never changes the same yesterday ,today and forever.Bless you

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @favorwanjiku8335
    @favorwanjiku8335 3 ปีที่แล้ว +1

    Baraka Tele Mtumishi wa Mungu am really blessed with all your songs double Anointing,double blessings am humble

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @annetokwero
    @annetokwero ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwabariki milele ❤❤❤❤❤

  • @dennismulu6992
    @dennismulu6992 3 ปีที่แล้ว

    God bless you sifaeli. 🇰🇪🇰🇪 tumebarikiwa🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @PapaTheKingKenya
    @PapaTheKingKenya 3 ปีที่แล้ว +1

    Good work man of God

  • @eldahspeke1769
    @eldahspeke1769 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi karibu kenya 🙏🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @lyn254
    @lyn254 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awainue zaidi 🙏🙏

  • @nalaikapaustine7197
    @nalaikapaustine7197 3 ปีที่แล้ว

    Aki.waje.mungu.a......mungu..🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @juddexoloro5881
    @juddexoloro5881 3 ปีที่แล้ว +4

    Come back again our lovely brother, all the way from Kenya more love

  • @simonmusyimi17
    @simonmusyimi17 3 ปีที่แล้ว +1

    Much love from +254

  • @rashilali8591
    @rashilali8591 3 ปีที่แล้ว +4

    We love you Kenyan pastor Sifael be blessed ad enjoy our beautiful country 🙏

  • @SaraS-li1xt
    @SaraS-li1xt 3 ปีที่แล้ว +4

    Glory be to JESUS Christ blessed family be blessed n may GOD protect u Amen Amen Amen

  • @mukaipeter2186
    @mukaipeter2186 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @naomyruttoh2789
    @naomyruttoh2789 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow your song really gives me a reason to praise God every day.lots of LOVE from KENYA

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante kwa kufuatilia kazi zangu mungu akubariki be blessed Mungu akupe ushuhuda zaidi

  • @beatricemakena6224
    @beatricemakena6224 3 ปีที่แล้ว

    Be blessed napenda sana nyimbo za zako

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante kwa kufuatilia kazi zangu mungu akubariki be blessed Mungu akupe ushuhuda zaidi

  • @cayteryn4491
    @cayteryn4491 3 ปีที่แล้ว +4

    Blessed family, Kenya loves you

  • @carolinewanjala7353
    @carolinewanjala7353 3 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed mtumishi

  • @munyokikivivya2006
    @munyokikivivya2006 3 ปีที่แล้ว

    I always love your songs mtumish baraka tele

  • @franciskombo5753
    @franciskombo5753 3 ปีที่แล้ว +1

    Powerful couple. Nyie niwa baraka.

  • @SaraS-li1xt
    @SaraS-li1xt 3 ปีที่แล้ว +2

    U really bless me More ❤❤❤❤❤❤❤

  • @cesaerwaswa5004
    @cesaerwaswa5004 3 ปีที่แล้ว +4

    Happy couple ..We love you from Kenya

  • @petermudagale8015
    @petermudagale8015 3 ปีที่แล้ว +2

    I like it blessings

  • @agnesmacharia6055
    @agnesmacharia6055 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow blessed

  • @edwinewafula1221
    @edwinewafula1221 3 ปีที่แล้ว +1

    be blessed bro

  • @catherinemasakhwemakokhama9117
    @catherinemasakhwemakokhama9117 2 ปีที่แล้ว +1

    Blessing song brother, my the lord jesus christ stay to protecte you more and more in spiritual life, your so blessed our hearts🙏🙏🇰🇪

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      amen

    • @esthersissamo1120
      @esthersissamo1120 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana mtumishi nyimbo zako zinanipa faraja sana moyoni endelea mbele kutupa habari za injili kupitia nyimbo

  • @paulineatito8474
    @paulineatito8474 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki na akiwe nawe Kila siku sifael . nmebarikiwa namm

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @peninauae2309
    @peninauae2309 3 ปีที่แล้ว +3

    So lovely 😍💖💕salamia madam and GOD bless you so much

  • @joshuawambura2036
    @joshuawambura2036 3 ปีที่แล้ว +2

    Great love from Kenya we love your music sifaeli be blessed.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 2 ปีที่แล้ว

    watu wa Mungu hawahitaji ulinzi wa watu. you see how it is so simple and humble

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu

  • @doricakadori254
    @doricakadori254 3 ปีที่แล้ว +1

    From USA we love you Sifael your songs are a blessing to many souls.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @Solanjerecho
    @Solanjerecho 3 ปีที่แล้ว +3

    Emen 🙏🙏 mubarikiwe sana family

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  3 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @heriethmozes8151
      @heriethmozes8151 3 ปีที่แล้ว

      Nabarikiwa sana nanyimbo zako zinanitia nguvu kaka sifaeli nipo maskat Omani napambana kwani nina imani kuwa mungu ataniinua

  • @violetnaaomiyu6011
    @violetnaaomiyu6011 3 ปีที่แล้ว +1

    I'm happy for u man of God.God bless you abundantly.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 3 ปีที่แล้ว +3

    God bless you all guys, it's your guys time for enjoy. God wiped out your guys tears🙏🏼

  • @christinehstemy734
    @christinehstemy734 3 ปีที่แล้ว

    Bwana apewe sifa ndugu zidi kubariki moyo wangu nikiwa saudia

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana kwa kuwa pamoja nami, please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @mirriamnzisa4513
    @mirriamnzisa4513 2 ปีที่แล้ว

    WOW so touching sogs still waiting 🙏

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว +1

      amen thanks for your support be blessed,asante kwa kutazama nyimbo zangu nakushukuru sana share na wengine

  • @lia1798
    @lia1798 3 ปีที่แล้ว +1

    Very fantastic be blessed

  • @naomynekesa6643
    @naomynekesa6643 3 ปีที่แล้ว

    Asante Mngu wngu Sina chakuklipa mbali nkushukuru Mngu wngu

  • @nancyadamba2040
    @nancyadamba2040 2 ปีที่แล้ว

    I like your music continue blessing God's people.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others

  • @AnswersfortheEndTimes
    @AnswersfortheEndTimes 3 ปีที่แล้ว +1

    Great messages God 🙏 you and your family

  • @annasannas6210
    @annasannas6210 3 ปีที่แล้ว +2

    Karibu kenya pia

  • @masinda7313
    @masinda7313 3 ปีที่แล้ว +1

    Merci sana

  • @elpinahblessed3212
    @elpinahblessed3212 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa

  • @joselineapoma8730
    @joselineapoma8730 2 ปีที่แล้ว

    Wow wow beautiful and lovely family in Jesus ,praise our living God, my powerful singer more blessings Amen

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @AnodiDenisi-xk8wd
    @AnodiDenisi-xk8wd 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @clementstephen3769
    @clementstephen3769 3 ปีที่แล้ว +1

    Baraka

  • @aishahmukhwana6211
    @aishahmukhwana6211 3 ปีที่แล้ว +1

    Happy and blessed couples,Mungu azidi kuwalinda

  • @lizperpetua1198
    @lizperpetua1198 3 ปีที่แล้ว

    Your songs r so inspirational, keep up the good job,one of my bestie..

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed

  • @joymemoi9105
    @joymemoi9105 2 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful family 🙏🙏🙏God bless you 🥰🥰🥰🥰🥰we love you 🙏🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 ปีที่แล้ว

      Amen amen ninakushukuru kwa kufuatilia kazi zangu Mungu akubariki usiache kushare na wengine, Amen thanks for watching my video God bless you more end don't forget subscribe my channel

  • @raychlucky2050
    @raychlucky2050 3 ปีที่แล้ว +1

    Amazing 👏

  • @doreennelima7775
    @doreennelima7775 3 ปีที่แล้ว +3

    beautiful couple 💑 may GOD BLESS YOU ALL AND U FAMILY AND WE THANK U FOR THE GOOD MUSIC THAT HAS VERY POWERFUL MEANINGS 🙏

  • @justshillahchellaa9522
    @justshillahchellaa9522 3 ปีที่แล้ว +1

    God 🙏🙏 bless your family and do you good as you serve him

  • @juliashimaka7547
    @juliashimaka7547 2 ปีที่แล้ว

    Waaaau so nice

  • @edithembwana7529
    @edithembwana7529 3 ปีที่แล้ว +1

    Karibu mombasa kenya

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  3 ปีที่แล้ว

      Asante

    • @edithembwana7529
      @edithembwana7529 3 ปีที่แล้ว

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL mtumishi wa mungu title ya ule wimbo uliuimba kama umevaa uniform ya kijeshi unaitwaje kindly I love the song very much