kazi zako hazina mpinzani. Vizuri sana. Naipenda sana Album mpya ya JB Mpiana ya Balle de Match. Naomba tafsiri ya wimbo "Choisy Matata" ulio katika album hiyo.
Niite James Kaswahili a.k.a Mtupoa wa Yoma Somanda Bariadi, Prince Bockson nakubali sana kazi zako na ni shabiki mkubwa wa miziki wa Congo DRC. Tafadhali naomba unipe tafsiri ya wimbo Miriam moleka wake Anthony Angbepa Mumba Koffi Olomide, naupenda sana. Naomba pia unitaje majina yangu kwenye kipindi chako, merci papa Prince Bockson.
kazi zako hazina mpinzani.
Vizuri sana.
Naipenda sana Album mpya ya JB Mpiana ya Balle de Match.
Naomba tafsiri ya wimbo "Choisy Matata" ulio katika album hiyo.
Niite James Kaswahili a.k.a Mtupoa wa Yoma Somanda Bariadi, Prince Bockson nakubali sana kazi zako na ni shabiki mkubwa wa miziki wa Congo DRC.
Tafadhali naomba unipe tafsiri ya wimbo Miriam moleka wake Anthony Angbepa Mumba Koffi Olomide, naupenda sana.
Naomba pia unitaje majina yangu kwenye kipindi chako, merci papa Prince Bockson.
Haya uwe nanikumbusha nitafanya
Jeme rapelle de l'an 96 avec cet chanson de PapaWemba
Yees bro
Asante, basi karushiye ndugu wengine nao wapate ku elewa rumba kwa kiswahili
Prince bockison sisi watanzania hatujui kifaransa unatusaidiaje
Kuna version ya kiswahili na ya kifaransa ndugu
@@princebockson5299 naomba tafasili ya wimbo wa fally ipupa Aime moi
Naomba namba Yako nataka kuongea na wewe
Namba ziko apo kwa video, +971529948186