Huyu mwamba Joram anajitahidi sana kuwaiga waislam wa pwani namna wanavyoongea hasa wakazi wa Lamu na hata Mombasa pia pwani ya Tanzania kama Tanga na Unguja, wenyewe wanakiita Kiswahili cha kimsikitini au cha kimajanvini. Tunamuombea asichoke kujifunza kwani anapoelekea siku moja atakuwa tunu kuu ya taifa ktk fasihi ya Kiswahili... na yeye awe miongoni mwa kina Shabani Robati wa kizazi kipya. Amen.
Huyu mwamba anajitahidi sana kuwaiga waislam wa pwani namna wanavyoongea hasa wakazi wa Lamu na hata Mombasa pia pwani ya Tanzania kama Tanga na Unguja, wenyewe wanakiita Kiswahili cha kimsikitini au cha majanvini. Tunamuombea asichoke kujifunza kwani anapoelekea atakuwa tunu kuu ya taifa ktk fasihi ya Kiswahili... na yeye awe miongoni mwa kina Shabani Robati wa kizazi kipya. Amen.

Ubarikiwe
Asante sana MUNGU BABA Wa Mbinguni Akubariki
Maelezo ya mahubiri yako ni mazuri sana tatizo rugha yako
Sio "rugha" ni lugha..... kiswahili kitukuzwe usikosoe
Huyu mwamba anajitahidi sana kuwaiga waislam wa pwani namna wanavyoongea hasa wakazi wa Lamu na hata Mombasa pia pwani ya Tanzania kama Tanga na Unguja, wenyewe wanakiita Kiswahili cha kimsikitini au cha majanvini. Tunamuombea asichoke kujifunza kwani anapoelekea atakuwa tunu kuu ya taifa ktk fasihi ya Kiswahili... na yeye awe miongoni mwa kina Shabani Robati wa kizazi kipya. Amen.
Lugha nayo imefanyaje mbona anaeleweka
Nikwelikaka Asante kwasomolako
Duuuh Kuna vijana wamejaliwa hongera Am believe you be person more
Bg up bro
Nimeipenda hyo
Great
amen
100%