"they" will never let us compete on the same standards as them... lazima we "africanize" our content first which just means "make it nija or bongo" n the sad part is 'we' believe em...... which is weird coz we don't have our own category at the Olympics... or FIFA World Cup... or pretty much anywhere else
Can we please stop looking for validation from folks outside of ourselves..! This is a dope tune and everyone here in the comments agrees. That's enough.
Naichoma nikitembea kuna siku nimeona kwa police post kimemea Nimetoka tuh kunego na police ateme arif yangu kimemia Memo ni ujue ghetto zote east daily lazimanga kimelia baadae unaskia mamwili woishe ziliokotwa kisoronya kiseriam Tuko liquor tunatingika hunters ilikatikia thika Destination dedan kimathi street ndio tunafaa kufika Akuna kupumzika next tupate uko juu kwa milima Naskia bado sons and daughters wanapigania mali ya mirima
AUDIO PRODUCED , MIXED AND MASTERED BY HR THE MESSAGE!!! |Very Important | Msijifanye hamskiii hiyo quality 🔥🔥🔥🔥🔥
Woah! Bazu pia we tunakuaminia utaproduce doba yangu siku moja🔥💯
my bro , shukran sanaa
Maah niggah
Beat ni nani
🔥🔥🔥🔥
Nachoma nikitembea nliona kwa police post kimemea🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Waruhiu itote amezaliwa tena anaitwa general china🔥🔥🔥sewer spitting fire
IF ONLY KENYANS SUPPORT THEIR OWN THIS SONG SHOULD GET A GRAMMY NOMINATION BECAUSE THE MESSAGE💥 TOP NOTCH💯 VISUALS⚡🐐🇰🇪🌍
"they" will never let us compete on the same standards as them... lazima we "africanize" our content first which just means "make it nija or bongo" n the sad part is 'we' believe em...... which is weird coz we don't have our own category at the Olympics... or FIFA World Cup... or pretty much anywhere else
Exactly...problem is this generation is full of goofy teens and lost adults...they can't understand the message
Can we please stop looking for validation from folks outside of ourselves..! This is a dope tune and everyone here in the comments agrees. That's enough.
@@kim1570 I concur, we don't need the Grammys. We know we have gold and that's the only validation we need.
Nimekubalii
Mzungu
Arudi
Ulaya
Mwafrika
Apate
Uhuru
Revolutionary ni ya pili
But this Time tunapigana kiakili
Tuko na power ya mziki ,hatuhitaji kuingia mitini🎶🔥🔥🔥
Mawada is Drill demigod 🔥🔥
I’m a simple person. Every time I see Sewer Sydda. I just automatically like .
Inanipea vibe ya alright ya kendrick you fl me?
HR pump hiyo track bana 🔥🔥🌊🌊🌊🌊🌊🌊
Hakuna kupumZikaaa,next tupate uko Juu Kwa Milima.... 😂
"Sikuangi mtu popular. Vitu mm hufanya ni chini, chini, chini..." 🔥
Hii nayo ni ngorie🔥🔥
HR Dedan Kimathi ft ManAdriller Koitalel Arap Samoei 🐾✔️
That Black and white thing just wraps up the whole idea! Two dopest drillers in Kenya what did you expect!!
sewersyda must have been a janitor,,his bars so cleannnn
Video imejaa angles kwani director alitumia geometry
‘hakuna gang gang hapa ties ni sacred business…’
Movie!! 🔥🔥
#ndiziflowceoapproved
if you are reading this you have excellent taste is music .. simple
Revolt ni ya pili only THIS TIME TUNAPIGA YA KI AKILI..
nGORI SAna sewerSYDAA.. NEW MAU MAU RECRUIT.
kitu ni premium MauMau ngapenda hio🙌
'si ule ni HR budaa😆
ati handas ilikatikia thika😂🔥 na SIATININI🔥
Man a Driller x Messenger = MAU MAU
The lyrics are so cold nd too much truth
thayu thayu!
maaad
Noma sana...bigup sewer!
Kuna siku nimepata kwa police force kimemea🔥🔥🔥🔥
tangu enzi za Cartoon Network.... I really felt it manze,..mimi ni wa hyo generation
HR huwa talented mbaya🔥🔥
Kweli..
DRM ya mkenya
hakunanga gang gang hapa ties huwanga sacred bizness, noma sana,
Sewersydaa mkadinali 🐐🔥🔥🔥
Sewersyda all day
Youths tuko na power ya mziki
Si lazima tuingie mitini🔥🔥🔥🔥💯✔️
Addressing real issues lyrically
Man a drilla 💣💣💣💣
Nani anakumbuka Ukoo Fulani?
Had to listen again,
Kesho tuko nje
sewer is just pure talent🤘
Kali ata kama nimekam late
A year back nikichomeka na hii fire hit...motivation ..truth..Authentic Kenyan lyrics. Amazing blood🎉🇰🇪
Next level Kenya🇰🇪💯🔥
This man Sewer🫡🔥
yooo😭 y'all did this for all em Rastassszz🔥🔥Kime Mia😂🔥😭🎉
Thayu thayu. Great one son and the team. Bravo!!!!
#NA_SI_ATI_NINI
HR THE MESSANGER message imefika kwa mpigo🔥🔥🔥🔥
Violation 🔥⚡
Eeeeeish 🤯🤯
Teachings za Field Marshall
Soon watatupia ting sababu ya truss
Ayo black jurist mad for this🔥🔥🔥🔥
Naichoma nikitembea kuna siku nimeona kwa police post kimemea
Nimetoka tuh kunego na police ateme arif yangu kimemia
Memo ni ujue ghetto zote east daily lazimanga kimelia
baadae unaskia mamwili woishe ziliokotwa kisoronya kiseriam
Tuko liquor tunatingika hunters ilikatikia thika
Destination dedan kimathi street ndio tunafaa kufika
Akuna kupumzika next tupate uko juu kwa milima
Naskia bado sons and daughters wanapigania mali ya mirima
HR The Messenger big up👆
Hrs flow Wueh 🌋🌋🌋🌋🌋🌋🌋🎤💯
Long Live the Mau Mau
Ati boychild alijisahau ako na kibeti instead of kiberiti 😂😂🤟
Wakadinali to the world 💯💯💯
Banger Alert
Kito hot manze 🔥
Another mark of black excellence. Too much dripping talent.
Kenyan Talents Rock!!!!
Ndugu ya Suleh never disappoints. GOAT 🐐 that one🔥
*Sewer never disappoints.* _Good job HR_
Can't stop listening to this song....like every morning when I wake up and every night 'fore I sleep, shiiiiid😅😅💯
Lyrics, beat production and mastering all fire, but that video though. CLASSIC black and white video for the ages🔥🎯
My love for both makes me unable to tell who killed it! Chemistry 💯🔥
Banaaah😂😂😎
This song is so underated
Not for everyone but the few that fuck with this type of drill. Our eardrums are in heaven .
Hii nayo ni imekubali🔥🔥🔥🙌
HR The Messenger X Swewersydaa combi hatari kama kawa🔥🔥🔥✊🏾 Play Ke fo real
Real genjeness Pon di case
Coming across this jam on this fresh JAMHURI. ANAKU better feeling fam.
Mrenga ni BEAMER.
Wa east tunarelate ..🔥🔥
SALUTE NINJA real recognize real Swahili hip hop culture movement nu mau mau ❤️🖤💚
Dream ya mkenya inadeady daily
Creativity on bars.spitting bars too as well ..MAU MAU to the world 🌎✨...keep winning brothers
WIN MORE✈
I am glad I came across this. Ga damit
Sewer Been killing it lately🤑🤑
tumezunguukwa zungukwaa namachinku💀
💯🔊🔊dope
Aty zimeokotwa kisoronya kiserian😂😂😂💯✔️teachings za field Marshal 💯✔️🇰🇪
The sound quality nayo ni 💥💥💥💯si chocha,,, also when ManADriller drops his bars gotta be there,, the hook crazy
The Black Jurist 🔥🔥🔥
Sewer 🔥🔥🇰🇪
Handas Ilikatikia Thika 🇰🇪
best music. 😳🍃🌳
This the new mau mau!
HR ft SEWER BaNger.....
Isn’t it time we say this was ahead of its time?
Gen Z finally catching up to the message🔥
Hii inakuja kuwateka 💯
underrated song.
New🔥🔥🔥
LE'GENDARY
dream ya kenyan ni kuwa......
Sewersydaa
hio beat man is craaazy n ofcourse they absolutely killed it 👏🔥🔥🔥...ni HR na Sewersydaa kwani mliexpect?
iyo ngoma si mbaya
Kazi safii brotherman