Uharamu Wa Nyimbo Na Muziki-Sheikh Nurdin Kishki

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 203

  • @fatumajuma867
    @fatumajuma867 6 ปีที่แล้ว +3

    Na kupenda cna shekhe wangu namuomba Allah kabla sijafa anikutanishe na ww ishaallah

  • @samirahassani4931
    @samirahassani4931 7 ปีที่แล้ว +8

    nurdini kishki ALLAH hakujaze kheri mashaallah unatuelimisha vema jazzakallah kher

  • @ahmadadi2604
    @ahmadadi2604 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH atatufanyia wepesi,,,mashikio yetu yanasikiza nyimbo SANA kuliko mawaidha,,,,maredio twanunua makubwa tusikizeni maneno ya MUNGU anayo tupa sheikh kama kishki na mwengine kama YEYE tutafaulu INSHALLAH 🙏🙏🙏 AMYN

  • @khayiriyyasir2031
    @khayiriyyasir2031 8 ปีที่แล้ว +21

    Subhan llah
    Allah atunusur jaman maan na dunia ya xx mtihan wallah
    shukren saan shekhe nurdin allah akupe afya njem uendelee kutuelimish

  • @saidkokoto9156
    @saidkokoto9156 11 ปีที่แล้ว +3

    tunashukuru shekh wetu kwa kutufumbua macho mungu kujaalie ameen

  • @hawakassimu6120
    @hawakassimu6120 7 ปีที่แล้ว +7

    allah atuongoze tuiache batwil tuifuate haqi sheikh kishki allah akuongoze akupe afya ili uendelee kuwa unatupa mawaidha mi nadhani mawaidha ni kipaji mi nakuelewa sana na nimebadilika kwa kiwango kikubwa kupitia mawaidha yako

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 6 ปีที่แล้ว +1

    Allahu akbar .tabaraka rahmani umejaaliwa kwa kusoma qur anni umejaaliwa sauti....

  • @masikakhamis8215
    @masikakhamis8215 8 ปีที่แล้ว +4

    Shukran usithadh kwa mawadha Mungu akujazi in shaa Allah

  • @salmanoor3561
    @salmanoor3561 7 ปีที่แล้ว +7

    Live long shekhe.. Jazakallah

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 9 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Sheikh Allah akuzidishie Inshaallah ujumbe mzuriii. Kwelii kabsa nyimbo na miziki n haramu

  • @azizikwangaya7272
    @azizikwangaya7272 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah sheikh kishki Mungu akupe uhai mrefu na ss mwisho mwema maana mziki umetawala wengi miongon mwetu (SW) atulinde jaman l

  • @abdullmaharouk4810
    @abdullmaharouk4810 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mawaidha mazur Ałlah akupe umri mrefu

  • @manutdstandsportsnews7921
    @manutdstandsportsnews7921 7 ปีที่แล้ว +5

    Allah akujariye yakhe, asanteni kwa mawaithi nzuri hiyi.

  • @suleimanomar4518
    @suleimanomar4518 7 ปีที่แล้ว +6

    Allah atunisuru kwa kila ovuu tufanyalo na tutendalo hatujui wapiii tunaeleke sisi umati muhammed (SAW) atupe nuru katika makaburii ytu amin rabii

  • @habibtyhussein6788
    @habibtyhussein6788 8 ปีที่แล้ว +5

    ya rabee tu samehe dhambi zetu na ya wazazi wetu Ameen.

    • @maryanabdi4512
      @maryanabdi4512 7 ปีที่แล้ว

      habibty Hussein Aameen ya rabbi! 😭

  • @ryanrun2916
    @ryanrun2916 7 ปีที่แล้ว +9

    Am always listen to different waadhi but today i learn something.
    Jazakhalau khair Shekh
    Allah swt give anything in this dunia and Akhira & protect u Amin yarabi Allahmin

    • @maryanabdi4512
      @maryanabdi4512 7 ปีที่แล้ว

      Ryan Run Aameen ya rabbi!! remember me2 in your dua dear.bye

    • @princessalisha5630
      @princessalisha5630 6 ปีที่แล้ว

      Subhana Allah my Allah (A j ) grant u the highest rank in Hannah and all the scholars who are in the same major as u ameen

  • @tiffany_yd2755
    @tiffany_yd2755 5 ปีที่แล้ว

    Allah atusameh ,mungu akubariki sheikh kishki umenifumbua macho Leo mungu akubariki na akujaalie maisha marefu inshallah

  • @mwanasitihamadimwamkowa3912
    @mwanasitihamadimwamkowa3912 8 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ....Allah akuzidishie kila la kheri sheikh wetu uzidi kutuelimisha.

  • @salimummbaga4347
    @salimummbaga4347 5 ปีที่แล้ว +1

    Waisilamu Safari ni Nzito saana ALLAH atutangulie saaaaana

  • @drudeshub3188
    @drudeshub3188 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah kishki wetu Allah akupe umri

  • @afric01
    @afric01 3 ปีที่แล้ว

    Aslm alkm ww.... Shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Allah akulinde akukinge na akuhifadhi.🙏

  • @rhiyahbaby304
    @rhiyahbaby304 7 ปีที่แล้ว +2

    mashalla mashallah mashallah alhamndulilah shukran shekh nurdeen Allah baarik fiik wa atiik li afiya twayiba inshallah amin. naitwa mejumaa idd mwakalato napenda sana mawaidha ya shekh

  • @elizabethfares4650
    @elizabethfares4650 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sh NURDUNI KISHKI Alla akujali sana

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 4 ปีที่แล้ว

    InshaAllah tujitahid kufanya mema yampendezayo Allah ili tuupate mwisho mwema. Inashangaza kumuona/kumsikia Muumini wa Kiislamu ameenda Hijja kuhiji Makka (amewacha dhambi) Mara unamsikia/unamuona ktk vyombo vya habari (mitandaoni) kuwa amerejea ktk mziki (amerudi mjini) yaani kuwa ktk UchaMungu ni Shamba/kijijini.!

  • @asiamzamiru232
    @asiamzamiru232 6 ปีที่แล้ว

    Thanx sheikh Allah atujalie ss naww tuw ni weny kuingia ktk pepo ya firdaus NA bwn Muhammad .s.a.w.

  • @asmaalhabsi8714
    @asmaalhabsi8714 8 ปีที่แล้ว +6

    subhana llah yarabi atupe mwisho mwema yarabi

  • @nastexoahmed8023
    @nastexoahmed8023 6 ปีที่แล้ว +3

    I always listen to different types of music Ohhh Allah forgive me

  • @jamilahsharif1648
    @jamilahsharif1648 7 ปีที่แล้ว +1

    mashaallah tabaraka allah shekh nordin mungu akuzidishie elim

  • @barakajames5386
    @barakajames5386 8 ปีที่แล้ว +7

    I lv u nurdin kishki for Allah's sake.may Allah grant u paradise

  • @simbayahe4960
    @simbayahe4960 5 ปีที่แล้ว

    Mungu tujalie mwisho mwema

  • @rajabujumanne2989
    @rajabujumanne2989 7 ปีที่แล้ว +5

    Innalilah wainna ilaih rajiuun ALLAH atunusuru waislam tuepukane na haya dooh jamani tue basi saamina wa atwana kusikia na kutii sio saamina wa aswaina kusikia na kukataa

  • @sharifahawara2759
    @sharifahawara2759 8 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusamehe madhambi yetu

  • @safariramadhani6971
    @safariramadhani6971 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwez mungu atusamehe

  • @rahmaally1775
    @rahmaally1775 6 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Sheikh Allah akulinde na akuzidishie life ndefu yeny kheri

  • @mohazriyaz1596
    @mohazriyaz1596 6 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah really good mungu akube afya

  • @suleisaidi644
    @suleisaidi644 8 ปีที่แล้ว +6

    mwenyezi mungu atusamehe hatujui tufanyalo

  • @mohamedabdikadir1600
    @mohamedabdikadir1600 7 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH ATAKUBARIKI NA ATUEBUSHE NA MOTONI INSHAALLAH

  • @zenamohammed2623
    @zenamohammed2623 6 ปีที่แล้ว +1

    Eeh! m/mungu tujaarie mwisho mwema

  • @hawata7614
    @hawata7614 6 ปีที่แล้ว

    Subuhana llah subuhana llah subuhana llah
    Emung tuongoze umma wako yarabbiy tuswameh mola wetu

  • @mudymboka659
    @mudymboka659 9 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu habariki masheewote

  • @mwanakomboramudzi8121
    @mwanakomboramudzi8121 7 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH tusamehe yaRABBI
    Shukran shekhe ALLAH akujalie siha njema

  • @soniwalboy6856
    @soniwalboy6856 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nurdin kishki shinning kishki

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 5 หลายเดือนก่อน

    Daaaah tubadilike waislam

  • @salumalley7210
    @salumalley7210 9 ปีที่แล้ว +4

    Mtihani mkubwa Huu waislam

  • @iddysudy5910
    @iddysudy5910 6 ปีที่แล้ว +1

    Allah atuongoze

  • @kadijah9971
    @kadijah9971 7 ปีที่แล้ว +2

    Ya qareem tujaliyee husnii lihatima

  • @pillyolsen5437
    @pillyolsen5437 7 ปีที่แล้ว +1

    mwenyezi mungu akuzidishie akupe mwisho mwema na atunusuru sisi waja wako

  • @najmakadebe7228
    @najmakadebe7228 4 ปีที่แล้ว

    Yaallah tujaalie mwish mwema

  • @najmaerdan333
    @najmaerdan333 9 ปีที่แล้ว +1

    masha allah je nashida ni haramu

  • @shekuturogo3794
    @shekuturogo3794 7 ปีที่แล้ว +3

    SAWA SHEKHE LAKINI MBONA WEWE UMEIMBA TENA KIUPOTEVU ZAID YAKWASWIDA ITAKAYOMTAJA ALLAH NAMTUME KULIKO JIJI LADALESALAMA HALIISH KUHAMAHAMA UKIONA HIVO MUULIZE MAMA NIDALILI YAKIAMA HII UKITILEA WAP ALLAH NDIE MLIPAJI TUSOMENI JAMANI

    • @rskiabdala4868
      @rskiabdala4868 6 ปีที่แล้ว

      Shekutu Rogo mjomba iyo nyimbo au mashairi tu ujue kutofautish kati ya mziki/nyimbo na mashairi

    • @KingBoy-zf6qv
      @KingBoy-zf6qv 6 ปีที่แล้ว

      Shekutu Rogo we chizi

  • @adhowbashane8537
    @adhowbashane8537 6 ปีที่แล้ว

    Mashaallah napenda kusikisa mawaidha zako may Allah bless you but

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 5 ปีที่แล้ว

    Tusamee mungu wajawako

  • @faridamfilinge8841
    @faridamfilinge8841 8 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu atusamehe

  • @ayoobalqasmi3062
    @ayoobalqasmi3062 8 ปีที่แล้ว +4

    wallah mwenyezi mungu atunusuru...wallah jahanam inatungoja..

  • @rahmahassan3140
    @rahmahassan3140 8 ปีที่แล้ว +2

    love you sheikh nurdeen,

  • @shamimusuleiman7203
    @shamimusuleiman7203 6 ปีที่แล้ว +1

    shukrani sheikh kishki

  • @DekowMohamedofficial
    @DekowMohamedofficial 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah shukran sheik nurdeen

  • @SuperArube
    @SuperArube 10 ปีที่แล้ว +2

    LA ILLAH AILLAH LAHU MUHAMADARASULU LLAH

  • @mathewskitu
    @mathewskitu 9 ปีที่แล้ว +5

    Mtume Sallaahu Alyhi Wasalam,alipokua akizuru madina kwa mara ya kwanza walikosa jinsi wangemkaribisha(walikua hawana dini),basi walijiandaa kwa vinubi na nyimbo na miziki ili kumpokea..lakini mtume alipowasili na dini ya haki ya uislam ilipowafikia basi waliuwacha mziki.#kwa hiyo mziki ni haram kwa muislam yyt#

  • @princessfarry4822
    @princessfarry4822 8 ปีที่แล้ว +5

    mashaallaah mungu atu same he wote

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 7 ปีที่แล้ว +1

    ya Allah tupe mwisho mwema

  • @zuberiyoung474
    @zuberiyoung474 8 ปีที่แล้ว +5

    YA ALLAH TUPE MWISHO MWEMA

  • @nafesamohamed7553
    @nafesamohamed7553 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah jazakAllah kheri sheikh

  • @allymahmoud9951
    @allymahmoud9951 6 ปีที่แล้ว +1

    Shekh mume wangu ana cd nyingi za music na hajawahi kusoma Quran na gari lake anaweka sauti kubwa zaid anapokuwa anaendesha nina mtihani sanaaa

    • @iddysudy5910
      @iddysudy5910 6 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Yakuob Allah atuongoze

  • @kulwamkopak6190
    @kulwamkopak6190 7 ปีที่แล้ว +3

    ALLA ATUJAARUE MWISHO MWEMA😭

    • @maryanabdi4512
      @maryanabdi4512 7 ปีที่แล้ว

      Kul L Aameen ya rabbi!!😭😭😭

    • @issamtuma4525
      @issamtuma4525 6 ปีที่แล้ว

      kulwa Mkopa k kwema

  • @خديجهعلي-خ4ص
    @خديجهعلي-خ4ص 8 ปีที่แล้ว +2

    ewalaaaa n Mtihan
    mkubwa huu

  • @ramadhankasembo8672
    @ramadhankasembo8672 6 ปีที่แล้ว +1

    Allah tuepushe na fitna za shetani

  • @mariamdinya246
    @mariamdinya246 8 ปีที่แล้ว +8

    yarrabb tusamehe makosa yetu

  • @fardosadadle1550
    @fardosadadle1550 6 ปีที่แล้ว

    Mansha Allah sheik may Allah reword you

  • @brianmuraguri6842
    @brianmuraguri6842 9 ปีที่แล้ว +3

    Very true.Sheikh Nurdin keep up the good work

  • @wardalward3693
    @wardalward3693 8 ปีที่แล้ว +11

    Mngu atusameh

  • @hildagift217
    @hildagift217 7 ปีที่แล้ว +1

    mazury xan mawaidha

  • @siyatmohamed2552
    @siyatmohamed2552 8 ปีที่แล้ว +2

    Manshaalah may God bless you

  • @mathewskitu
    @mathewskitu 9 ปีที่แล้ว +3

    سبحان الله وبحمده سبحان الله العظيم

  • @jacksonbajuta5187
    @jacksonbajuta5187 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashalaaaaaahhh

  • @sadikayamba4994
    @sadikayamba4994 6 ปีที่แล้ว

    allah atuepishe na haramu hii

  • @shariffkombo9894
    @shariffkombo9894 5 ปีที่แล้ว +1

    Msiba huu😭😭

  • @godfreymasubugu7189
    @godfreymasubugu7189 9 ปีที่แล้ว +2

    waislamu wote tuungane kupeana mawaidha tukumbushane kuswali

  • @mwajumamuhammed9593
    @mwajumamuhammed9593 9 ปีที่แล้ว +1

    shukran sheikh wangu

  • @mwajumamuhammed9593
    @mwajumamuhammed9593 9 ปีที่แล้ว +2

    Allahu Akbar

    • @maxbuub56
      @maxbuub56 6 ปีที่แล้ว

      mwajuma muhammed 8

  • @gordonomondi4552
    @gordonomondi4552 8 ปีที่แล้ว +2

    maashalaa

  • @marimyussuf3374
    @marimyussuf3374 2 ปีที่แล้ว

    لا اله الا الله 😭😭

  • @fatmahussen3208
    @fatmahussen3208 6 ปีที่แล้ว +1

    Allah atunusuru

  • @queenlishlish1914
    @queenlishlish1914 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah ihave learnt alot

  • @khatibutarik723
    @khatibutarik723 4 ปีที่แล้ว

    Vipi kuhusu nasheed

  • @rajabuelisha5464
    @rajabuelisha5464 6 ปีที่แล้ว +1

    Jazak allah

  • @abdallahmustapha7125
    @abdallahmustapha7125 5 ปีที่แล้ว

    jazaka lahu khaira

  • @issaikopoarashid5137
    @issaikopoarashid5137 8 ปีที่แล้ว +1

    Yarabb atusamehe

    • @maryanabdi4512
      @maryanabdi4512 7 ปีที่แล้ว

      Issa iko poa Rashid Aameen ya rabbi! 😭😭

  • @aminiwise_guy_respect_musi2254
    @aminiwise_guy_respect_musi2254 7 ปีที่แล้ว +2

    Allah akbarrr.

  • @ayushzubeda3510
    @ayushzubeda3510 9 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah

  • @abdiweliadan4718
    @abdiweliadan4718 9 ปีที่แล้ว +1

    nathani bush dr ameufahi kinyume

  • @abshashantaraz797
    @abshashantaraz797 8 ปีที่แล้ว +2

    man shaa Allah

  • @iddyhamissy207
    @iddyhamissy207 5 ปีที่แล้ว +1

    mwenyezimungu atu0ng0ze katika njia iliyo nakheri

  • @SuperArube
    @SuperArube 10 ปีที่แล้ว +1

    QADHARA LLAH MAFAILLAH

  • @shwaibuathumani2479
    @shwaibuathumani2479 5 ปีที่แล้ว

    Jamn naomba niulize swali kusikiliza qaswida nazo ni haramu

  • @معلمجمعة-ف3ي
    @معلمجمعة-ف3ي 8 ปีที่แล้ว +3

    mshallah

  • @reginaldmavere7511
    @reginaldmavere7511 4 ปีที่แล้ว

    Maashaaallah

  • @sarahdegelesa2251
    @sarahdegelesa2251 7 ปีที่แล้ว +1

    mtihani Kwakweli

  • @mohamedhared9593
    @mohamedhared9593 9 ปีที่แล้ว +1

    mashaalah

  • @asimaismail5559
    @asimaismail5559 8 ปีที่แล้ว +1

    subhannallah