jamani nyimbo hii imeningusa nitembele baba ninahaja nawe bwqna Yesu ni nguse ninahaja nawe ni nguse MUNGU wangu ninahaja nawe ninahaitaja msahada wa MUNGU nehema yako dio ilio ni beba ni nguse MUNGU WANGU UKININGUSA NITAKUA SALAMA WANGAPI WATAKA KUNGUSWA NA UYU YESU JAMANI💘💘💪
Hakika wimbo huu umenibariki nakunipa nguvu ya kutokata tamaa maana najua mungu atanigusa na kufika pale aliponiahidi.pia barikiwa sana mtumishi wa mungu na kipaji chako kikue maradufu kwa uweza wa mungu
Ahsante ssna mtumishi kwa wimbo wako mzuri sana kwani huwa unajibariki kila niusikilizapo.Amen
Hakika wimbo huu huwa hauchuji ndani ya moyowangu kazana katika Imani baba yangu sikumoja ukafike mbinguni
jamani nyimbo hii imeningusa nitembele baba ninahaja nawe bwqna Yesu ni nguse ninahaja nawe ni nguse MUNGU wangu ninahaja nawe ninahaitaja msahada wa MUNGU nehema yako dio ilio ni beba ni nguse MUNGU WANGU UKININGUSA NITAKUA SALAMA WANGAPI WATAKA KUNGUSWA NA UYU YESU JAMANI💘💘💪
Nikunguse mungu wangu maan majaribu ninayopitia ni mengi ukiningusa nitakuwa salama ubarikiwe cn mwibaji wimbo mzr
AMen🙏🙏🙏💖💖💖💞👌 naitanji ungunzo wako mungu barikiweni Sana waimbanji 🙏🙏🙏😂😂😂😂👊😍👌
Honger mtumish mung akutie nguv kweny kaz yak
Nece nyimbo boss wangu
Niguse Mungu wangu,, wimbo huu umenibariki sana na kuamini kwamba Mungu akinigusa nitakuwa salama ! barikiwa sana mtumishi kwa wimbo huu mzuri sana !
Niguse na mimi Bwana naamini ukinigusa na mimi nitakuwa salama,nitakuwa afya njema,nitabarikiwa ,
Amen
Hongera sana ndugu yangu sanga
Nami niguse Baba Mungu naomba
Hakika wimbo huu umenibariki nakunipa nguvu ya kutokata tamaa maana najua mungu atanigusa na kufika pale aliponiahidi.pia barikiwa sana mtumishi wa mungu na kipaji chako kikue maradufu kwa uweza wa mungu
Wonderful Song
God bless you
Amen Amen Amen🙏God bless you.
Mungu niguse, be blessed
Usiponigusa sitaweza baba
Ubarikwe Sana nimetoa chox kutazama nyimbo hii
Francis Japan tuko pamoja hata mm nimetoa choz maana hii nyimbo ukiwa rohoni lazima ulie
Kweli nmekubali upako wa huuu wimboo
Nice Song congras
Niguse eh Mungu wangu niguse Yesu wew ndo unijuye niguse usinipite
napenda sana huu wimbo nikisikiliza nabarikiwa sana mungu aendelee kukuinua kaka kazi nzuri
Niguse baba nakutegemea ktk mwaka huu mpya. 🙏🙏🙏
Niguse Mungu wangu mim na familia yangu .barikiwa mtumish.
Amen
Touch me God
So touching song and uplifting Amen
Mungu akupiganie ktk utumishi wako umenigusa bwana wangu
God u have been so merciful in my entire life. U med me feel your presence near.iwil prays you forever
Watching from middle East...l love this song...barikiwe sana
Good Message
Ahsante kwa ujumbe huu
Mungu akutie nguvu mtumishi wimbo umenibariki
Mungu akubariki
Ameni Be Blessed sevart of God
Ahsante kwa kazi yako nzuri mungu akubaliki kwa hatua uliyofikia.Shuka kweli Baba
niguse mungu wangu jamani baba anaimba
Napenda saana huu wimbo...watching from middle East...barikiwe sana
Touch me God I still need u
Hakika kwa yeyote yesu alimguza alibadilika
Wimbo mzuri sana
Barikiwa SANAAAA mtumish wa Jehovah nimebarikiwa SANAAAA
Mtumishi wimbo wako ni mzuri.Ubarikiwe
Shuka Baba Mungu uniguse ,?bless all Jesus
Nyc song mungu akubaliki kaka .keep it up
a@
Mungu akubariki wimbo huu wenye ujumbe mzito
hakika kaka mungu akubariki kz nzuri
Mmevaa vizuri wamama
Ooh asante kka na madada nimebarkiwa mno
Shuka baba shuka Blessing song
Tuguse munguwetu.tumekuchagua pekeyako ubarikiwe
Aimeee nimebarikiwa sana na huu wimbo
Nimeona ukiwaponya wengi baba namim niguse niwe salama
Kila nikiusikiliza huu wimbo huwa nabarikiwa sana nigusa na mm nitapona
Barikiwa
Mungu aendelee kukuinua
I have be blessed by the song,Thanx bro may God lift yu up and up
Napenda sana nyimbo zako
Hakika Mungu ni wa rehema.Wimbo wa kunibariki
Mungu akubariki sana
Amen,feeling soo blessed
Niguse Mungu wangu mimi na familia yangu
❤
Amen.usinipite Mungu wangu
Wow,,,,God bless you for such a blessing song... Mungu azidi ndani mwako
niguse tena Yesu usinipite
Nice song my Boc
Nimebarikiwa sana na hii nyimbo.🇰🇪
Ibra Gichuki
Wimbo huu umenifanya kuwa na imani ya juu sana
Wimbo wanibariki nikiwa Qatar amen
Nmebarikiwa sanaa
My God touch my heart,
Sifa na utukufu kwa MUNGU
Amen,nice song
mungu akutie nguvu
barikiwa sana Mtumishi
Feeling so blessed
Ahsante kwa kazi yako nzuri mungu akubaliki kwa hatua uliyofikia.
Amen ubarkiwe brother wimb mzur unanfariji
Paul siria
Axant kwa nyimbo nzur
Mungu akubariki sana kaka
safi sana
Eastafrican gospel are very attached
Best and blessing song ever, i like and love the song.
Ameeeeeeen 🙏 🙏😁👏👊 keep up mnjunganji
God bless you ninguse nami mungu 🙏🙏💖💖💖👌 watching from Jordan 🙏🙏 injili isonge mbeleee watu wa mungu 🙏👍😁😁😁😁👊💖
Mungu akubariki
hakika nimebarikiwa sana na huu wimbo
Great song indeed
What a blessing. May God bless you.
amen.nibarikia.nahuowimbo.amen.ubarikiwe
very blessed this song.
amen
NAkukubari Bo's wangu nimeipenda sanaaaa
Prisca Mgata amen
niguse pia Mimi, I'm so blessed
mwenyezi mungu gusa afya ya familia yng gusana kz ya mikono yangu
I'm here my God waiting for your touch and I will be blessed
Kaka Mungu akubarik
Kelvin Mwalunenge ubakiwe Na bwana
Nimebarikiwa na huu wimbo
ubarikiwe sanaa Mtumishi Wa mungu kwa huduma hii ya uimbaj
ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
God bless u
Be blessed
Niguze Mungu wangu
Ameeeee
ubarikiwe sana mtumishi
Dorcas Keph🕍🕍ace
mungu akuguse
Safi sana
mutumishi barikiwa na mungu akuzidishie
فوزيه كتانا AMEN
BE BLESSED
Amen
Amen Amen🙏
be blessed
Betty Zakayo mungu akubrk sana
eeeeeelooooooooooo
Ameen
Jina labwana lizid kuwa namm ktik mipango yg yote niliyonay
Amen be blessed almighty God
Priscilla Funilo emeen
Nice song