Hakika ni wewe BWANA 🙌🏼 ni nyimbo ambayo inaniinua na kunitia nguvu kwa nyakati zote..hii nyimbo inatia sana moyo na kuinuia imani ya mtu kama ataisikiliza kwa makini na katika uwepo wa MUNGU,kila wakati inanifanya nitafakari makuu ya MUNGU na kuona kwamba ninae MUNGU asiyeshindwa na jambo lolote lile.ubarikiwe sana mtu wa MUNGU.. MUNGU azidi kukutia nguvu zaidi na zaidi na kusonga mbele bila kukata tamaa.. ubarikiwe sana kwa kazi nzuri🙌🏼 "MUNGU ANAJIVUNIA NA WALE WAMCHAO KWA MOYO WOTE"jitie nguvu usichoke🙌🏼 Niwewe ni wewee mfarijii
Yale maisha imenionyesha kwa mwaka uliopita imenikatisha tamaa iwapo Kuna jambo zuri naeza pata kwa maisha. Lakini ninapojiwazia Sana najipata kwa sehemu iliyotulia na kuweza kuusukiliza sauti ya Roho mtakatifu yu hapa ndani ya hii wimbo wako. Nahisi amani ninaposikiliza.Mungu aibariki kazi Yako Sana.
Huu wimbo niamkapo lazima nimwambie Mungu niwewee ifikapo usiku lazima nimwambie Mungu niwewe Maji yali hai. Hongera sana Mwalimu lmani naupenda sanaaa huu Mungu akuinue viwangoo vya juu zaidii.
This is a Holy Spirit filled sound man of God. Hata katika udogo wako, Mungu amekuamini na neema kubwa mno katika ufalme wake. Mungu ayahifadhi mafuta haya. I pray for you Eric here from Kenya.
Kati ya huduma zilizowahi kunibariki ni hii huduma uliyowekewa Iman Eric Shoo. Kaka Mungu akuinue juu zaidi watu waendelee kubarikiwa na hii huduma. Niwewe Yesu Mungu wangu ohhh Mungu asante kwa huu wimbo umenibariki mno. Mimi aliyenisaidia katika yote mbona ni wewe Tu Mungu wangu Asante Yesu. Kijana Mdogo kabisa wewe Iman ila usiache kumuimbia aliyekutuma. Naomba Namba yako Kaka Iman.
Napenda Sana nyimbo zako yaani kweny simu yangu ninazo karibia zote nikizisikiliza ni kuanzia asubh mpaka jioni yaani kaka mungu akufikishe mabali kiuduma na unajua kuimba mno ongera sana
Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote. Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana. lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yeye yule, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo yeye. KAZI HII IMETUKUKA
MY ONLY BROTHER I BLESS YOU IN JESUS NAME MORE ANOINTING OF GOD BE UPON YOU. Your Blessed. Powerful Song Witj Massage I ever had before. I love you Brother 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Aaah I just like this MAN OF GOD vocals za the ladies are on point and ecause of the order thats how you bless hearts🙌🙌🙌Glory to the most high who is using you ..
🙏🙏🙏Him alone is the rock of our salvation. Glory and Honor to Him in the Highest. Eric and your team are a blessing to my life, may the Lord keep lifting you from one glory to the other. 🙏🙏
Ni 🔥🔥🔥
Barikiwa sanaa na huu wimbo, mwanangu lmani songa mbele huduma yako ni kubwa, nafurahi kwaajili yako nakuombea kila iitwapo leo, Nakupenda
It's 2024 ,who is still here......Praise THE ALMIGHTY GOD.......ROCK OF AGES ❤❤❤
Kazi nzuri sana mwanangu imani. Nakupenda. Songa mbele zaidi biblia inasema ukinitumikia nitakuheshimu. Mtumikie Mungu.
Aisee! Kila kitu kipo sawa, toka sauti hadi kwa vyombo. Nimeipenda. Nimebarikiwa. Mungu akaizidishe huduma hii. Utukufu kwa Bwana Yesu. 2023.🇰🇪
Bro Nishapenda nyimbo zako,,,, Mungu azidi kunyosha mkono wake wa Baraka juu yako
Barikiwa kaka kwa kazi nzuri Mungu azidishe huduma kwako amen
Hakika ni wewe BWANA 🙌🏼 ni nyimbo ambayo inaniinua na kunitia nguvu kwa nyakati zote..hii nyimbo inatia sana moyo na kuinuia imani ya mtu kama ataisikiliza kwa makini na katika uwepo wa MUNGU,kila wakati inanifanya nitafakari makuu ya MUNGU na kuona kwamba ninae MUNGU asiyeshindwa na jambo lolote lile.ubarikiwe sana mtu wa MUNGU.. MUNGU azidi kukutia nguvu zaidi na zaidi na kusonga mbele bila kukata tamaa.. ubarikiwe sana kwa kazi nzuri🙌🏼 "MUNGU ANAJIVUNIA NA WALE WAMCHAO KWA MOYO WOTE"jitie nguvu usichoke🙌🏼
Niwewe ni wewee mfarijii
Nimekukubali Kamanda
Colabo nakuitaji mkuuuu
Yale maisha imenionyesha kwa mwaka uliopita imenikatisha tamaa iwapo Kuna jambo zuri naeza pata kwa maisha. Lakini ninapojiwazia Sana najipata kwa sehemu iliyotulia na kuweza kuusukiliza sauti ya Roho mtakatifu yu hapa ndani ya hii wimbo wako. Nahisi amani ninaposikiliza.Mungu aibariki kazi Yako Sana.
Wajina Wang umetisha uzidi kuinuliwa na bwana✨🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟✨✨✨👊👊👊✊✊✌
blessed bro i like they you delivery the message keep up you are unique with other minister
Nimebarikiwa na kila kitu, Mungu na atukuzwe
mbarikiwe kaka wawili ,Wimbo mzuri .listening from Kenya 🇰🇪
Hongera sana Mdogo wangu MUNGU akuinue zaidi kwa utukufu wake hallelujah hallelujah
Huu wimbo niamkapo lazima nimwambie Mungu niwewee ifikapo usiku lazima nimwambie Mungu niwewe Maji yali hai. Hongera sana Mwalimu lmani naupenda sanaaa huu Mungu akuinue viwangoo vya juu zaidii.
This is a Holy Spirit filled sound man of God. Hata katika udogo wako, Mungu amekuamini na neema kubwa mno katika ufalme wake. Mungu ayahifadhi mafuta haya. I pray for you Eric here from Kenya.
🙌🙌🙌🙌 napenda neema uliyoibeba .... Mungu akuinue Zaidi na Zaidi
Nice song for me
Umebarikiwa sana man of GOD
GOD is glorified 🙌🙌🙌
KAKA HONGERA SANA UKO UNAENDELEA VIZULI BARIKIWA SANA
Be blessed man of God In the same ministry utukufu kwa Yesu kristo@iman Eric shoo
my 2023 fav song...my prayer🙏❤
Ohoooo! Halelujah! Glory be to God,I like🙏
Thanks for listening
Kazi nzuri kaka.keep it up brother 🙏.endeleza.Mungu atuzidishie
From Congo 🇨🇩 nime barikiwa sana na huduma yako mtumishi wa Mungu 😇🔥🙌🏽
Mwamba wangu wa kale Yesu, ninakuamania Bwana wangu🥲
Kati ya huduma zilizowahi kunibariki ni hii huduma uliyowekewa Iman Eric Shoo.
Kaka Mungu akuinue juu zaidi watu waendelee kubarikiwa na hii huduma.
Niwewe Yesu Mungu wangu ohhh Mungu asante kwa huu wimbo umenibariki mno.
Mimi aliyenisaidia katika yote mbona ni wewe Tu Mungu wangu
Asante Yesu.
Kijana Mdogo kabisa wewe Iman ila usiache kumuimbia aliyekutuma.
Naomba Namba yako Kaka Iman.
Hongera Sana MD
Inapendeza sana mbele za Mungu, kijana kama wewe kumtumikia.
Napenda Sana nyimbo zako yaani kweny simu yangu ninazo karibia zote nikizisikiliza ni kuanzia asubh mpaka jioni yaani kaka mungu akufikishe mabali kiuduma na unajua kuimba mno ongera sana
Uinuliwe zaidi
Mungu akubariki sana Imani una nyimbo nzuri sana zinazomtaja Yesu Mungu akupe mafunuo zaidi usiishie hapo
ATUKUZWE MFALME #YESU
GGP da peacemaker,I proud you,very awesome song YOU MAKE, I be blessed nikiwa KASULU KIGOMA 🇹🇿
@@imaniericshoo ok,we are together,but take time one day you reach at KASULU KIGOMA especially at church ie MKOMBOZI FPCT
Powerful bro
Ooooh Mungu amehusika katika utunzi huu! Mungu abarikiwe kwa kazi hii
Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana.
lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yeye yule, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo yeye.
KAZI HII IMETUKUKA
safe Sana shoka la Bwana
Nazidi kukua na kuzidi kuongezeka kiroho Kila nisikilizapo huu wimbo,, GOD blesse my brother
Umebarikiwa sana mtumishi wa Mungu. Keep it up. Mungu akuongeze.🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏🙏 very wonderful kwako kuwa committed na Mungu kwa kiasi kikubwa namna hiyo songa mbele kazi yako ni njema my God bless you
NImesikia kitu cha bridge cha Joyous kwenye hiyo Brass. Saafi sana.. Josh Charless - TZ kuna mziki hapana ona hapa EA
Ni wewe Yesu, ninakuamania wewe
I must be the first 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 to ring the bell. Awesome Awesome Christ for life to the heavens
Hongera Sana Dogo
Utunzi mzuri ujumbe wenye nguvu hongera sana mwana wa Mungu ,Mungu akuinue viwango vya juu zaidi
Uko vizur sana kjana kaz yako nzur.god bless you
Be blessed nyimbo kali majesh
Hongera kwa wapiga vyombo
Wimbo mzur👏👏👏
Good job....barkiwa my brother...mungu akuinue zaidi..from Kenya mombasa
MY ONLY BROTHER I BLESS YOU IN JESUS NAME MORE ANOINTING OF GOD BE UPON YOU. Your Blessed. Powerful Song Witj Massage I ever had before. I love you Brother 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Huu wimbo unatoa fikra na mawazo mbali, nabarikiwa mno.
kazi nzuri 🖐
MFALME WA UTUKUFU YESU 🙌🙌
Mungu alibariki sana mtumishi iman
Kazi yako njema mno.
Amina Mungu akubariki ❤❤❤❤ Nami nahitaji sapoti yako s'abonner kwangu pia
Mungu aku inuwe kabisa, nime barikiwa sana
Hongera sana brother songambele
Waabuduo Halisi, Hii ni ibada
Nyimbo zangu za Mwakaaaaaaa🤸🤸🤸🤸🤸🤸 Umeinuliwa na uzidi kuinuliwa Kaka
Congratulation my Brother 💖💖🔥🔥🔥🔥💪
Super 👏👏👏🤗🤗🤗🔥🔥
Amina Amina
❤🔥❤🔥❤🔥 Be Blessed Imani and the team
Kaz nzur sn
you are so blessed Tusonge mbelee....mwamba wa kalee YESU yupo na sisii, NAKUPENDA ❤️
Mwamba wa kale Yesu, aiseee nimebarikiwa
MORE GRACE !!! MUCH LOVE FROM NAIROBI KENYA , GOD BLESS YOU
Mwamba wa kale nice song
Wonderful song writing skills 🔥🔥🔥🥰🥰
👏👏👏👏This song
Amina kwa message nzuri
Niwewe Niwewe yesu
Nabarikiwa sana na hii Nyimbo na sichoki kuisikiliza kila siku, imekuwa dozi yanguu sasa..
Be blessed good work
Mwamba wa kale Yesu,mfalme wa utukufu,msaada wakaribu;maji yalio hai nakuaminia we🙏
Wooooow....kaazi nzuri God bless you sir
First verse is my heart prayers GOD, Chorus is my confession JESUS
I like this song🎼❤️🥰
NILIKUWA NAINGOJA HII SANA🙏
Wimbo mzuri sana na arrangements zimekaaa poa sana! Audio ndo balaa usiseme! Duuh!
Asaaante YESUUUUUU
Nimebarikiwaa wimbo mzur
Woooow 🔥🔥🔥🔥🔥
Aaah I just like this MAN OF GOD vocals za the ladies are on point and ecause of the order thats how you bless hearts🙌🙌🙌Glory to the most high who is using you ..
Safi sana
A BLESSED ONE TO BLESS OTHERS.
I LOVE YOU MY BROTHER
🙏🙏🙏Him alone is the rock of our salvation. Glory and Honor to Him in the Highest. Eric and your team are a blessing to my life, may the Lord keep lifting you from one glory to the other. 🙏🙏
Kazi yako ni nzuri sana mwanangu. Keep going my son 🔥🔥
BE BLESSED GLORY 2 JESUS
Powerful songs l do appreciate you brother may God bless you and keep you strong everyday 🎉🎉
Am blessed when i listen all the days😢
Yesu mwamba wa milele...blessings
Blessing
this song is really a blessing to me♥️♥️🇰🇪🇰🇪
KAZI NZURI SANA KAKA PONGEZI KWAKO
Very blessed 🙏
Ooooh Yesu wewe ni mwamba kwenye maisha yangu. Ongoza moyo wangu kwa neno lako🙌🙌