Amos Wako akumbukwa kwa kuhudu kama mwanasheria kwa mihula miwili | Mirathi ya Siasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Amos Wako akumbukwa kwa kuhudumu kama mwanasheria kwa mihula miwili | Mirathi ya Siasa
    Tangu Kenya ijipatie uhuru imekuwa na wanasheria wakuu chungu nzima, ila wanaokumbukwa kuhudumu kwa miaka mingi ni Sir Charles Njonjo na Amos Wako ambaye ni seneta wa Busia wakati huu. Wako anakumbukwa kuhudumu katika mihula miwili ya rais mstaafu Daniel Arap Moi na vilevile wakati wa Rais wa tatu Mwai Kibaki. Aliwahi kuwa mwenyekiti wa chama cha mawakili wa kenya LSK na kuwakilisha mawakili katika uliokuwa muungano wa nchi za Afrika O.A.U ambayo sasa ni au. Katika makala ya mirathi ya siasa tunamwangazia aliyekuwa mwanasheria mkuu Amos Wako
    #Kenya #KTNNews #KTNPrime #COVID19 #CoronaVirus
    SUBSCRIBE to our TH-cam channel for more great videos: www.youtube.com/
    Follow us on Twitter: / ktnnewske
    Like us on Facebook: / ktnnewskenya
    For more great content go to www.standardmed... and download our apps: play.google.co...
    KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

ความคิดเห็น • 8

  • @kaloritabu4638
    @kaloritabu4638 4 ปีที่แล้ว +2

    Likes za first view...Amos wako my senator

  • @pn2074
    @pn2074 4 ปีที่แล้ว

    Nabiswa Ana sauti ya kumtoa nyoka pangoni. He is good just as Ananias Edgar

  • @evanskailemia9889
    @evanskailemia9889 2 ปีที่แล้ว

    I thought Philomena Mwilu is Wako's wife

  • @mzalendomzalendo23
    @mzalendomzalendo23 4 ปีที่แล้ว +1

    He is the man who many secrets in kenya

  • @jedidaomukuba6992
    @jedidaomukuba6992 4 ปีที่แล้ว

    What is happening to your headlines.The headline (Akumbukwa) surely wasomi waniambie Kama ni sawae inatisha jameni.

  • @adhiambonyasuna4043
    @adhiambonyasuna4043 4 ปีที่แล้ว

    Nimesoma headlines nkadhania amekufa.let me not watch, nimesoma comments nikapata answer

  • @little1920
    @little1920 4 ปีที่แล้ว

    Headline indicates he had passed away. Anyway I remember we thought this guy was useless.