Marufuku ya kutotoka nje yaondolewa mjini Damascus| DW Kiswahili Habari za Ulimwengu|Podcast
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024
- DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Habari Leo | Swahili habari | Podast
-Marufuku ya kutotoka nje yaondolewa mjini Damascus, Syria
-Urusi yaishutumu Makerani kwa kuipa Ukraine msaada.
-Mataifa ya Uyala yasema yako tayari kurejesha vikwazo dhidi ya Iran ikiwa itahitajika.
dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari.
Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili
Hongereni sana Kwa matangazo moto moto ni mm mshabiki namba 1 wa dw Toka Kanda ya nyanda za juu kusini chunya mbeya
Ataunda lile la Urusi
Hakuna kitu kibaya kama kukosa uhuru wananchi wa siria sasa wako kutoka nje hii ni hatua nzuri sana