Utii - Ibada Maalumu ya Watoto, Efatha Ministry Mwenge

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @polycarpcleophace3261
    @polycarpcleophace3261 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe watoto, yabarikiwe matumbo yalowazaa, mbarikiwe na walimu wa watoto hawa kwa kazi nzuri mnayoifanya kuwalea na kuwafundisha watoto hawa. Libarikiwe kusudi la Efatha ktk kuliandaa kanisa kwa ajili ya unyakuo. Ubarikiwe mtume na nabii Josephat E. Mwingira kwa kukubali kulibeba kusudi hili la Efatha.

  • @neemakapera1579
    @neemakapera1579 5 ปีที่แล้ว +1

    nice watoto,muendelee kukua kwa kumpendez Mungu

  • @maidafrancis45
    @maidafrancis45 5 ปีที่แล้ว +3

    Najikuta nalia kwa furaha

  • @maidafrancis45
    @maidafrancis45 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki Sana watoto

  • @avitusmathias2347
    @avitusmathias2347 4 ปีที่แล้ว

    AMINA mbarikiwe watumishi

  • @annamkuye1276
    @annamkuye1276 4 ปีที่แล้ว

    shukurunan

  • @merrycasmil8327
    @merrycasmil8327 5 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana watoto mzidi kukua ktk karama zenu ns mungu awabariki sana

  • @felistertheo2010
    @felistertheo2010 5 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sanaa naipenda efatha

  • @prisilaegidius9316
    @prisilaegidius9316 5 ปีที่แล้ว

    Ameen mungu awabariki sana.

  • @haapymwinuka9423
    @haapymwinuka9423 5 ปีที่แล้ว

    God bless