JAMANI WIMBO HUU NI WA ROHONI SAAANA NILIKUWA NAFUNDISHA SOMO LA CONNECTION NIKAAMBIWA NA ROHO NITAFUTE WIMBO WA TENGENEZA CONNECTION, NIKAUPATA UMETUBARIKI SAAANA.. MUNGU AKUINUE KIJANA WA MFALME YESU KRISTO.. HALELUYA
Mwanzo ulikuwa a good singer but nowadays the more you prosper the more kidogo unatoka kwa njia ya kweli. Watch out brother,i love your earlier songs #🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kuna faida kubwa kutengeneza connection kwa mda Mungu🙏😍
Barikiwa mtu wa Mungu, nyimbo hii inanibariki sana
Huwez Amin huu wimbo nakupenda mpaka nahc kuchanganikiwa
Hongera mtumishi wa MUNGU kwa kutukumbusha kusabuskraibu Chanel za watumishi wa Bwana. Makambako Yeriko mpya.
Watunze watumishi wa mungu
Oh yes 🙌 connection yangu na
Mungu sinjawai hiona na mwanadamu yeyote 💝👏 Asante kaka edson 👍💖👏 baraka tele njuu yako kinjwani Hadi minguuni 👏 nasidi kupokea hanja nza moyo Wangu kupitia nyimbo Nzako kaka 👏
Alitengeneza connection kwangu
Mungu akusadie ufike mbali
Mungu Akubariki sana nimebarikiwa sana
aaf sana mwasabitee.hii kete ni moto ataree firee
Natengeneza connection na MUNGU..Repeat mode.Awesome song🇰🇪🇰🇪
The fast one to view from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Natengeneza conection
Mungu akubariki Nakupenda
Oooh god bless you
Tengeneza connection ndani ya maisha yangu bwana
Huu wimbo nimeuelewa
Jesus bless you my brother
NAKUPENDA SANA WAJINA WANGU SAUTI SAFI MUZIK BOMBA.... BARIKIWA ZAIDI
JAMANI WIMBO HUU NI WA ROHONI SAAANA NILIKUWA NAFUNDISHA SOMO LA CONNECTION NIKAAMBIWA NA ROHO NITAFUTE WIMBO WA TENGENEZA CONNECTION, NIKAUPATA UMETUBARIKI SAAANA.. MUNGU AKUINUE KIJANA WA MFALME YESU KRISTO.. HALELUYA
amin tengeneza connections ndugu zangu
Yani nimeusubili huu wimbo kwa hamu Sana
Umetisha sana kaka❤❤❤
ubalikiwe Sana nakumbuka siku ile pindi unaitambulisha hii nyimbo kanisan anglikana ubungo
Tengeneza connection uone MUNGU atakavyokubariki mpaka ushangae.Big up wimbo mzuri.
have never came across this,am greatly encouraged with your songs
My best song
Amen tengeneza connection na mungu powerful song big up good work
Nakubar sana
Naupenda huu mwimbo kwakweli unanibaliki sanaaa,barikiwa mtumishi
Kweli bila connection ni ngumu. Barikiwa bro.
Edy kitu safii kabisa
ubalikiwe
Nice my dear friend keep it up
Nabarikiwa na nyimbo zako
Barikiwa sana kaka
Hatariiiiii
Imebamba sana hiyo connection na Mungu lazima itengenezwe
Mungu aendelee kukuinua mtumishi 👏👏👏
conection muhimu huu mdundo hope ni mkono wa PG
Nimeipenda
make to connect to God to bless some people need God to bless you with good husband Amen
Mwanzo ulikuwa a good singer but nowadays the more you prosper the more kidogo unatoka kwa njia ya kweli. Watch out brother,i love your earlier songs
#🇰🇪🇰🇪🇰🇪
👏👏👏👏
🇰🇪 Like here tukiendaga
Barikiwa sana
Kutoka kkkt magomeni mviringo dar,nimetengeneza connection
🇲🇿 connection ,🔥 🔥 🔥
kweliiiiiii
Connection na mungu
Safi sana kaka hongear kazi nzuri. Kweli bila connection na Mungu huwezi lolote. Mimi pia natengeneza connection mambo yazidi songa zaidi
Amen mtumishi barikiwa sana
@@nerusigwerobert510 kaka anaweza sio siri msisau Ku shera
Mungu akupiganie kaka umetoka mbali
haleluhya haleluhya
Amen
Baraka tele
Waooooooo
Be blessed
James
Natengeneza connection
Amen
Amen
Amen