MAAJABU ya MBUYU, KISIMA cha BAGAMOYO, KABURI la WAPENDANAO na MSIKITI wa kale!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • MAAJABU ya MBUYU, KISIMA cha BAGAMOYO, KABURI la WAPENDANAO na MSIKITI wa kale!
    Maajabu katika mji wa Bagamoyo eneo la Kaole ni mengi.
    Global TV Online imetembelea mji huo wa kihistoria na kukuletea simulizi ya Mbuyu wa ajabu wenye umri zaidi ya miaka 500, kisima cha maji ya baraka yasiyokauka tangu karne ya 13, makaburi ya wapendanao waliofariki zama za kale na kuzikwa pamoja, na msikiti uliojengwa karne ya 13 na upo hadi leo, hakika inasisimua.....
    www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/

ความคิดเห็น • 26

  • @jahabdallah1829
    @jahabdallah1829 5 ปีที่แล้ว +4

    Daaa baba mnanikumbusha mbari sana nishakunywa sana hayo maji bahari unajuwa nimesoma pale kaole bahari unajuwa nyuma ya mesi ya chakula daaa tulikuwa boarding school kitambo nakumbuka nilikuwa kilanja wa bweni la nyerere good story

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Global Tv Online

  • @salmaiddy6059
    @salmaiddy6059 5 ปีที่แล้ว +5

    Wawoo pazuri sana kaole jamani

  • @rachelkibaya8537
    @rachelkibaya8537 5 ปีที่แล้ว +4

    Wow!this is nice....

  • @gomakuu
    @gomakuu 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa kuposti hii video. Pia angalia sinema yetu tulishoot hapa bagamoyo: @​

  • @zamzamabdi5279
    @zamzamabdi5279 5 ปีที่แล้ว +4

    That water from this mosque is wonderfull

    • @zamzamabdi5279
      @zamzamabdi5279 5 ปีที่แล้ว +1

      Mimi ntakuja swalii hapo.insha Allah.

  • @hassanturky7511
    @hassanturky7511 3 ปีที่แล้ว +2

    Dua anaombwa allah tu.ambaye kawaweka wao pamoja.

  • @ArafatEmperor-iz4rf
    @ArafatEmperor-iz4rf 8 หลายเดือนก่อน

    Makala ni nzuri ila sio lazima sana kuwatukuza wazungu kwa kuchanganya kiswahili na kiingereza JITAHIDI TU KUONGEA KISWAHILI KIKICHO NYOOKA UNAWEZA

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 5 ปีที่แล้ว +3

    Thanks 🙏 sikujua hata kuna makumbusho karibu na kwangu. nitaenda hapo nikirudi from here.

  • @munirayusuph1297
    @munirayusuph1297 4 ปีที่แล้ว +1

    Sababu ya kaole ni kaone hapo zamani

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 5 ปีที่แล้ว +1

    😊😊Sasa hivi haiwezi tokea eti tupewe sahani za kaure tutoe pembe za ndovu 😁😁

  • @hassanturky7511
    @hassanturky7511 3 ปีที่แล้ว +2

    Magofu hayo yanatakiwa yajengwe vile vile lilivokuwa

  • @answarali2316
    @answarali2316 4 ปีที่แล้ว +1

    Eti ukaombe kwenye makaburi huo ni upotofu huwezi omba maiti akusaidie ...sema ni ukumbusho tu ila maiti huhitaji dua kutoka kwetu tulio hai

  • @agnesyjonasi3951
    @agnesyjonasi3951 5 ปีที่แล้ว

    Daah mmenikumbusha mbali sana

  • @RajabMmero
    @RajabMmero 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe bwege nini kuhiji ni amri na maka ni mji teule sio kwa sababu ni mji wa Zamani

  • @rachelkibaya8537
    @rachelkibaya8537 5 ปีที่แล้ว +2

    Tumetoka mbali

  • @saunually9114
    @saunually9114 5 ปีที่แล้ว +3

    maombi anaombwa mwenyezimungu mmoja c kuomba makabur hiyo ni shirki

  • @gomakuu
    @gomakuu 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa kuposti hii video. Pia angalia sinema yetu tulishoot hapa bagamoyo: @​

  • @gomakuu
    @gomakuu 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kuposti hii video. Pia angalia sinema yetu tulishoot hapa bagamoyo: @​

  • @gomakuu
    @gomakuu 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa kuposti hii video. Pia angalia sinema yetu tulishoot hapa bagamoyo: @​

  • @hassanturky7511
    @hassanturky7511 3 ปีที่แล้ว +1

    Imani ya waislamu hio. Na nyie shikamameni na Imani hio

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 ปีที่แล้ว

    Walikuwa wakiita Mali kwa Mali unampa nguo unachagua unachotaka.

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 5 ปีที่แล้ว +2

    Acha kutangaza ushirikina wewe pumbavu kweli

    • @najayu7428
      @najayu7428 3 ปีที่แล้ว

      Wee nae unajua nini