GB64;HATUOGOPI TUTAFANYA MKUTANO MSIMAMO WETU NI ULEULE KWANINI MNATULAZIMISHA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

ความคิดเห็น • 44

  • @JamesHonore88
    @JamesHonore88 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimependa hii ..... Iwafikie maboss!!!!

  • @ZakariaMwangolombe
    @ZakariaMwangolombe 3 หลายเดือนก่อน +6

    Viongozi kwa hili wamekurupuka na wamejiweka wazi kuwa wameanguka katika mengi, ukubwa ni jalala mazuri na mabaya kubali

  • @shyneafya2468
    @shyneafya2468 3 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana GB 64 lazima kieleweke

  • @JamesHonore88
    @JamesHonore88 3 หลายเดือนก่อน +5

    GB NOMA SAAANA...... WEWE.NI SIMBA KWELIKWELI

  • @davidsebastian661
    @davidsebastian661 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tafuteni maana ya neno/Jina Mangungu halijawahi kupata cheo toka Tz iwe Simba to tulibugi😢😢😢

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Leo li mangungu linasema nitatowa bilioni 3 ya usajiri wagonjwa waajari ameshindwa kuwahudumia pesa za kutoka rushwa ndiyo anayo kwenye vituo na Baazi ya matawi

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mangungu hafai jamani

  • @PaulElias-w3w
    @PaulElias-w3w 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani kwani huyu mangungu hachoki kutukera.

  • @franccoz94
    @franccoz94 3 หลายเดือนก่อน +3

    BILA MANGUNGU KUTOKA MADARAKANI SISI WANASIMBA HATUTANUNUA JEZI NA UWANJAN HATUENDI

  • @IbrahimuPaulo-ni8lr
    @IbrahimuPaulo-ni8lr 3 หลายเดือนก่อน +1

    JAMAN HAO WANACHAMA WANAOGEA VTU VYA FACT SAN

  • @leonardlunguya7112
    @leonardlunguya7112 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi huyu Mwenyekiti Mangungu ni mtanzania kweli au anatokea Nchi jirani? Mtanzania Gani huyu ana roho ngumu kiasi hiki? Kiongozi Gani huyu king'ang'anizi wa madaraka kiasi hiki?

  • @EvodiusMhanuz-qz3hf
    @EvodiusMhanuz-qz3hf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli sijuhi itakuaje ila mm ninachoomba kiukweli Simba iwe imara

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Simba kuzuiwa kufanya mkutano ni mangungu ndio sababu ya kuzuiwa

  • @shukranionesphoro7744
    @shukranionesphoro7744 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada ni kichwa

  • @ramadhanichaurembokahunge
    @ramadhanichaurembokahunge 3 หลายเดือนก่อน +1

    watufungie ote wanasimba tunata wa fungulie doct mo na agi sima

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 หลายเดือนก่อน +1

    Anatumiwa kuivuruga simba TARIMBA NDIO MTU WA KWANZA YANGA KAMPUNI

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 3 หลายเดือนก่อน +1

      Siyo Tarimba ila George Mpondela.

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 3 หลายเดือนก่อน

      @@simonnjovu586
      Safi kwa kunikumbusha

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga bingwa mpaka 2030

  • @NathanChilwa
    @NathanChilwa 3 หลายเดือนก่อน

    tusemee mashabiki wa simba brooo

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mavi yanawahusu💩💩viongozi

  • @allysudi6401
    @allysudi6401 3 หลายเดือนก่อน

    nko pamoja na GB

  • @Sherrymwinyi
    @Sherrymwinyi 3 หลายเดือนก่อน

    simba nguvu moja

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani huko anakoenda kogombea ubunge hakuna wanachama wa Simba au Hawasiki haya.

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi hmkosoi bali mna fosi viongozi waondoke hata samia angefanyiwa hivyo angegoma😢😢😢

  • @ErnestPeter-se5zv
    @ErnestPeter-se5zv 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi binafisi hata sinunui nimekuta mtoto wangu amechoma jezi na amehamia yanga

    • @adrianorayner6551
      @adrianorayner6551 3 หลายเดือนก่อน

      Tutapoteza mashabiki wengi sana

    • @shukranionesphoro7744
      @shukranionesphoro7744 3 หลายเดือนก่อน

      Asichome na asihame , tutatue changamoto ziishe

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mwanao akili yake imeanza kujua jema na baya 😂 ... Mpongezee sana kijana wao inaonekana ulikuwa una m force Sana .... Ashabikie Ubuntu ila kijana amejitambua kuwa yeye ndo MWANANCHI

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@shukranionesphoro7744ameshachoma 😂😂😂 ... Ametafuta furahaaa ....

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 3 หลายเดือนก่อน

    Ongea Yako siyo ya Yanga...kama kasoro zenu ni zenu nyie simba😊😊😊

  • @suleimanmwenyemvua995
    @suleimanmwenyemvua995 3 หลายเดือนก่อน

    Kingereza kibovu gb 64😢

    • @GudilaAkaro
      @GudilaAkaro 3 หลายเดือนก่อน +1

      Cha muhimu umemuelewa

    • @hassanntankwa4156
      @hassanntankwa4156 3 หลายเดือนก่อน

      Karibu uongeee wewee

  • @bauchahamad5333
    @bauchahamad5333 3 หลายเดือนก่อน

    Ww subir uitwe kituo cha polisi umezoea uchochezi

  • @JohnMsaga
    @JohnMsaga 3 หลายเดือนก่อน

    G64 umefilisika kifukira

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe inabidi askali aliye kufungulia get la Milembe akamatwe tiwe ndani mpaka mgonjwa upatikane. Ili ueleweke kwa mbaliii jifunze kwanza kuandika kiswahili. Usimdhihaki mtu kwa usicho kielewa. Rudi Dodoma mara moja.

    • @NassorRashidMuhamedMuhamed
      @NassorRashidMuhamedMuhamed 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kuandika2 hujui kuma ww

    • @omanbarka1588
      @omanbarka1588 3 หลายเดือนก่อน +1

      Vinyis mliofilisika akili mtuache na nasimba yetu tuijadili wenyewe manyau ya jangwani nyie

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 3 หลายเดือนก่อน

      @MrishoMindu-zq7mz najiuliza hivi kweli simba imefanya vibaya? Naangalia AC MILAN, BARCA, OLYMPIC LIONEL,CHELSEA ,MAN UNITED, ARSENAL JUVE NA LIVERPOOL MBONA MAMBO HAYA HAMNA TIMU IMESHIKA NAFASI YA TATU NYIE WAKINGA MNGEKUWAPO MWAKA 88 TIMU INAGOMBEA KUSHUKA DARAJA INGEKUWAJE? NDIO MAANA WASHABIKI NYIE WA SIKU HIZI NI PUMBAVU

    • @florakasike4331
      @florakasike4331 3 หลายเดือนก่อน

      leta Fikra kubwa