ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Like nyingi kwa 1st viewers😊😊,shukhrani kaka richstar 🙏
Good sana
Nakfwatilia San bro 🇰🇪🇰🇪 shukrani xan kW mafnzo yako
Enjoy kijana
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Shukrani
Imekaa poa sana
Ubarikiwe ma bro yani unafundisha vzr na taratibu adi raha mmmh uwe na afya njemaaa kila cku utufundishe vitu
Asante sana
Shukrani sana kaka @Richstar Unatupa elimu ambayo ilikuwa tuipate mbali sana
Asante sana kaka
Naitaji mawasiliana nawewe kk
asante kaka imenisaidia sana asee
Upo vzr m najfunza kuptia ww
Bro upo vizuri.naomba siku moja uongelee namba ya kudowload fonts ambazo azipo kwenye adobeillustrator au photoshop
Uko vizuri sana, Ninakukubali kinoma.
Na pia nidha download kaka shukrani sana broo
Vipi utoa mafunzo online? Kama ndiyo nipe namba tuwasiliane
Bigup broo tunaomba link yaprogram ya illustrated
Adobe.com
Mbn mm nikicreate mistar haileti inatokea object t
Izo packages za psd unazouza naomba tupate zaidi.
Hiyo layer ya background uloweka ya kwanza kabisa naipataje?
Download in Freepik.com
Nimeinasa brooo
broo mm naomba uzielezee hizo ruller ambazo zimetengeza box ambazo zipo mbili mbili kila side
Hujazielewa zinakaaje?
@@Richstartz najua zinaekwa vp but kazi zake haswa ni nin coz hapo zipo mbili kila side ya poster
Kaka rich na wish kua na namba yako ya whatsapp
Uje ufundishe namna ya kutengrneza kadi za harusi na kadi za benk pamoja na kitambulisho penda sana ww
Sawa nitalifanyia kazi hivi siku za karibuni. Usisahau ku subscribe
Ulivyokuwa una copy na kupest cjaelewa hembu tupe tutorial fupi ya copy and paste mkuu
Select layer yako kisha Una bonyeza CONTROL J katika keyboard
Mimi nashida na fonts
Ingia google wana free fonts