MZEE AMEHAMA KIJIJI '' HAWANIPENDI NIMEAMUA KUHAMIA HUKU''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @jejetoyobo1254
    @jejetoyobo1254 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Mkuu Kwa kupokea hekma za mzeee hawanipendi

  • @khaliylmohd4931
    @khaliylmohd4931 4 ปีที่แล้ว +7

    Kijana mzuri mwenye tabasam na watu wake,mkuu wa mkoa mheshimiwa ALLAY HAPPY fanya kazi kwa kutarajia malipo kwa mungu,upo vizuri

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmm Mzee ubarikiwe Sana ,kibaya kuiba

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +5

    Jamani mzee anapenda maendeleo LoL mpaka wanamchukia 🤔😁😁😁😁😁😁😁

  • @fatemaligalawa4151
    @fatemaligalawa4151 4 ปีที่แล้ว +3

    Inaonekana mzee alikuwa msema. Ukweri ndiomaana awampendi ccm wanapenda kupindisha mambo

  • @ramadhanisuru1822
    @ramadhanisuru1822 4 ปีที่แล้ว +3

    Wallah ally hapi allah yuko pamoja nawewe

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว

    Napenda kuona wazee kama hivi jmn😃😃😃

  • @babasamiah4011
    @babasamiah4011 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimempenda huyo mzee hana mteru (woga )yaani anaongea kama anaongea na kajukuu kake kanyumbani 😂😂😂😂

  • @djmeza411a58
    @djmeza411a58 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha😂🤣👊👊👋👏👏 uyu mzee noma

  • @chudabad6539
    @chudabad6539 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzzee katasha

  • @trumpkikoti3272
    @trumpkikoti3272 4 ปีที่แล้ว +1

    Ali uko sawa pambana

  • @kyambarungwe6960
    @kyambarungwe6960 ปีที่แล้ว

    Hawa ndyo viongozi bola sio viongozi wanatuteulia viongozi ambao awaeleweki

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 4 ปีที่แล้ว +1

    Pama..

  • @africa7479
    @africa7479 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha mpka uwepo wwe ndo watanipenda

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว

    Babu anataka hera kijanja😃😃😃😃

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa na macho mekundu basi

  • @faizebrahim338
    @faizebrahim338 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 nimecheka

  • @gucijeshii1794
    @gucijeshii1794 4 ปีที่แล้ว +3

    Dingilay

  • @gidomathew8154
    @gidomathew8154 4 ปีที่แล้ว +3

    No one 2 view

  • @joseojuang6402
    @joseojuang6402 4 ปีที่แล้ว +1

    Hawanipendi

  • @davidnicholaus5304
    @davidnicholaus5304 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani natamani kukukutana na huyu mkuu wa mkoa yani nimsalimie tu nisaidien nafanyaje

    • @halimamusa2797
      @halimamusa2797 4 ปีที่แล้ว

      David Nicholaus Nenda ofisini kwake uombe kuonana nae

  • @gidomathew8154
    @gidomathew8154 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahahaha

  • @josephatodimary3633
    @josephatodimary3633 4 ปีที่แล้ว +1

    Wanaomchukia huyu mzee watakuwa cdm mana ndo wachawi wa maendeleo😁😁😁

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 ปีที่แล้ว

      Mchawi ni mamako na maku lake punga wewe.

    • @janekikoti2179
      @janekikoti2179 4 ปีที่แล้ว

      Kabsa hao ni Chadema wachawi sana 😂😂😂😂

  • @momepeter9161
    @momepeter9161 4 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀hawani pendi

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahhaahha Hawanipendiiiii

  • @adamrenatus4235
    @adamrenatus4235 4 ปีที่แล้ว

    mpigaji huyo mzee anapalilia njia

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 4 ปีที่แล้ว +1

    Sijaelewa

  • @mustafatibalila4706
    @mustafatibalila4706 4 ปีที่แล้ว +5

    Mzee acha usanii unatumika hadi sasa uzeeni unafaida gani sasa?Unafikiri nani hawajui awamu hii ndo mko kazini.

  • @lungusii
    @lungusii 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahah

  • @swaggerizedninjagoseprocom8523
    @swaggerizedninjagoseprocom8523 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahhahahahahaha

  • @kelvinmbena5796
    @kelvinmbena5796 4 ปีที่แล้ว +1

    Hizi kiki ni shida sana ukweli upo pale pale

    • @manbanshaban9253
      @manbanshaban9253 4 ปีที่แล้ว +1

      Huo ni uchawi mwanangu,, jirekebishe.

    • @kamanzicrouch3881
      @kamanzicrouch3881 4 ปีที่แล้ว

      Kelvin ni mjinga sana

    • @kpatrick8468
      @kpatrick8468 4 ปีที่แล้ว

      Hizi siyo kiki hivi Technology imekuwa kwa watu wengine wapo bize na maendeleo kwa hiyo wanapata taarifa kupitia mitandao ,nchi zilizoendelea wanafanya hivyo kwa sababu watu wapo bize na hakuna muda wa kwenda kwenye mkutano, wewe mtanzania endelea kutoa elimu badala ya kuona kama ni kiki.

  • @33-synchronized
    @33-synchronized 4 ปีที่แล้ว

    Schizophrenia